"NIPENI Huyo M SOUTH, ITAKUWA Ndio MWISHO Wake KUJA TANZANIA, KIDUKU Sio BONDIA wa TAIFA" - MWAKINYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024
  • "NIPENI Huyo M SOUTH, ITAKUWA Ndio MWISHO Wake KUJA TANZANIA, KIDUKU Sio BONDIA wa TAIFA" - MWAKINYO
    BONDIA Hassan Mwakinyo amesema yupo tayari kucheza na Msouth Assemahle Wellem ambaye kwa hapa Tanzania amempiga Twaha Kiduku na kupata droo kwa Seleman Kidunda.

ความคิดเห็น • 210

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 9 หลายเดือนก่อน +40

    Mwakinyo anafahamu ngumi na mifumo ya ngumi. Hongera Mwakinyo

    • @mohamedswalehe4777
      @mohamedswalehe4777 9 หลายเดือนก่อน +1

      Bwege tu huyo bondia muoga,akileta mabondia wake wa kupigana naye analeta wagonjwa

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mohamedswalehe4777Ngumi si matako kaka useme kila mtu anayo

    • @mohamedswalehe4777
      @mohamedswalehe4777 9 หลายเดือนก่อน

      @@saidbakari2408 achague mabondia imara bana kupigwa kupo tu asiogope

    • @BarakaAmani-p7v
      @BarakaAmani-p7v 8 หลายเดือนก่อน

      Mwinjo hauna viwango vya kupigiana na msauzi acha siasa

  • @saadmotto965
    @saadmotto965 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mwakinyo anajua sana ngumu na ana uelewa mkubwa wa ngumi na anafatilia sana sana, huyu ni pure boxer and fighter....

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 9 หลายเดือนก่อน +22

    Huyu jamaa yuko so smart,, Mwakinyo yuko smart

  • @rashidmsuya5721
    @rashidmsuya5721 9 หลายเดือนก่อน +20

    Aseeh we jamaa unatakia ata upewe kauongozi mbn unatema madini sana sio kama porojo zao pamoja sana kaka nakukubali zaidi ya sana

  • @Presenterramjtz
    @Presenterramjtz 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania one champeeez more stamina, pumzi. Busara na maufundi one love mwambaaa ❤❤

  • @Mja_Gongo
    @Mja_Gongo 9 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu jamaa mimi siyo shabiki yake,lakini nimemfuatilia sana interviews zake,jamaa anastahili kunifanya niwe shabiki yake,from now on nimemkubali na nina mpa heshima kubwa kwamba yy ni best fighter

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana mwakinyo mungu azidi kukulinda daima ❤❤❤❤

  • @jumamlanda5266
    @jumamlanda5266 9 หลายเดือนก่อน

    Bondia wangu,my only favourite boxer in tz Hassan mwaking! Day1 nakuona kwa TV sikujua kwamba ww ni m tz mwamba huyu apa,na unaonekana skills zaualimu unazo pia.All the best king H.M

  • @HarrisonMshua
    @HarrisonMshua 9 หลายเดือนก่อน +4

    Umeongea vizuri sana Champez💯☝️✍️⭐️

  • @FrankHamis-n8n
    @FrankHamis-n8n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo ,the best of tz

  • @bigemagomabigemagoma6312
    @bigemagomabigemagoma6312 9 หลายเดือนก่อน +23

    Ivi mnamuelewa mwakinyo au mnaleta chuki zenu TU. Mwakinyo ameongea point sanaa.
    Msikilizen kwanza kabra ya kumkosoa. Hii inaonesha waTz wengi wana roho ya korosho na vijicho vibaya roho mbaya Tz

    • @enoshmhemakapaya
      @enoshmhemakapaya 9 หลายเดือนก่อน

      Kunamijitu kazi kukosoa tuu

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nafurahi sana Tz wanajaribu sana katika michezo na WA Tanzania watafaulu wakifuata utaratibu wakimataifa coz boxing au ndondi ni kazi kama kazi zingine tuu na zinaingiza kipato muulizeni mwakinyo

  • @Fesary
    @Fesary 9 หลายเดือนก่อน +4

    Umabadilika sana, leo umeongea point

  • @cyriacuskakira1101
    @cyriacuskakira1101 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mahojiano mazuri haya! Safi👏🏾

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 20 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri endelea kupambana

  • @otitokinyaha2292
    @otitokinyaha2292 9 หลายเดือนก่อน +13

    It’s true Mwakinyo, SA boxers are well equipped and have more resources and well maintained by there management

  • @ZuberiAbdallah-vs1ko
    @ZuberiAbdallah-vs1ko 9 หลายเดือนก่อน +4

    Maneno yenye busara usemwa na wenye busara hongera kwa maneno mazur

  • @ismailmollel4242
    @ismailmollel4242 9 หลายเดือนก่อน +5

    Ukimsikiliza vizuri mwakinyo ,amethibitisha kua kidunda kapigwa ,,kuna visentensi falni anaviongea hv yani

  • @hafidhahmedabdallah5027
    @hafidhahmedabdallah5027 9 หลายเดือนก่อน +5

    Game itakuwa ni rahisi sana kwa Hassan

  • @atyahoodotcome1846
    @atyahoodotcome1846 9 หลายเดือนก่อน +3

    Leo ndio umeongea point bro

  • @NassoroNassoromageni
    @NassoroNassoromageni 9 หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea vizuri sana

  • @Bekatitle-t2k
    @Bekatitle-t2k หลายเดือนก่อน

    Twaha bado sana Katka ngumi

  • @MakasiWaziri
    @MakasiWaziri 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo anajua nini anafanya nampa big Up

  • @goodwellmutambo7607
    @goodwellmutambo7607 9 หลายเดือนก่อน +4

    Pamoja sana Chapeez

  • @colmanuiso545
    @colmanuiso545 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mwakinyo Anajua Ngumi [Boxing]
    Japokua judges yesterday walimuonea Yule Kijana aliyepigana Na Kidundaa

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali Mwakinyo

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 9 หลายเดือนก่อน +9

    Currently,No boxer is ready for Asemahle wellen....the boy is skilled boxer

    • @yusuphsaid564
      @yusuphsaid564 9 หลายเดือนก่อน

      Exactly

    • @thepresidenttobe5481
      @thepresidenttobe5481 9 หลายเดือนก่อน +4

      Mwakinyo is skilled enough to knock him down. Get informed

    • @athumanmakunja941
      @athumanmakunja941 9 หลายเดือนก่อน

      @@thepresidenttobe5481no way huyo wellen yupo skilled na anagumi kali sana + height yake sioni kama wabongo tunawezana nae

  • @NasraAbdallah-k8r
    @NasraAbdallah-k8r 9 หลายเดือนก่อน +5

    Perfect man champez

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 9 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo: "lazima liwe kwa nini lisiwe, labda nife kwa7bu mimi naishi kimifumo!." What a conscious!

  • @RamadhanMalibiche
    @RamadhanMalibiche 8 หลายเดือนก่อน

    Namkubal sana mwakinyo❤

  • @ONEdreamfilmtz
    @ONEdreamfilmtz 9 หลายเดือนก่อน +7

    Ameongea point sana ✅

  • @harrisntibuhera8201
    @harrisntibuhera8201 9 หลายเดือนก่อน +4

    International champion nan? Anabishaa💯💯💯

  • @nasrikhoja9664
    @nasrikhoja9664 13 วันที่ผ่านมา

    Tanga Finest,Mogadishu family ❤

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwakinyo is Tanzania 🇹🇿 one

  • @JohnsonJohn-hm8ck
    @JohnsonJohn-hm8ck 9 หลายเดือนก่อน +13

    Mwakinyo 🥊 ana kitu kikubwa sana

  • @HisaniKasim
    @HisaniKasim 8 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari sana kaka

  • @DidierMkubwa
    @DidierMkubwa 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kabisa uko sahihi hassani

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu jamaa ni mwamba sana kwa Fact zake namkubalia sana Mimi binafsi

  • @MartinKibosho
    @MartinKibosho 8 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo ni professional

  • @imanimbaraka
    @imanimbaraka 8 หลายเดือนก่อน

    Akika asani mwakinyo najielewa sana

  • @DaudiMade
    @DaudiMade 9 หลายเดือนก่อน +8

    Mwakinyo nimekuelewa ila majaji wa jana sikuwaelewa huyu bwana mdogo alishinda

  • @likoswegenius5662
    @likoswegenius5662 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hauchelewi kusema viatu vinakubana Mzee tunakujua vizuri😅😅😅😅

  • @abdallahussi2978
    @abdallahussi2978 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa hiyo maana ya ndani ya mwakinyo ni kwamba kidunda amepigwa anaona haya tu kuweka wazi

    • @MmafiaMmoja
      @MmafiaMmoja 9 หลายเดือนก่อน

      Sema wewe ulivyoona kidunda kashinda au?

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 9 หลายเดือนก่อน +3

    ila jamaa anatemaga point sana

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 9 หลายเดือนก่อน

    Toka hapa... Uchelewi kutuuza..... Yaanii uchukue pesa utuachie mabishano....
    Nilisha Sema brother unapoelekea utakuwa Kama 20% hii Bongo
    Wewe brother ni Sawa nipo na Gold katika nchiii Yangu alafu hainipi faida.....

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo akili kubwa anaongea kama mtu mwenye utimamu wa akili 🤝

  • @akiletv
    @akiletv 9 หลายเดือนก่อน

    The only boxer I know in Tanzania.

  • @S.A_media1
    @S.A_media1 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo sio poa ✊🏿

  • @jzuuZberi
    @jzuuZberi 12 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @MusaAchuz
    @MusaAchuz 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali xn mwakinyo kwaxbb tunatoka wote tanga na unajua boxing tuletee heshima ya taifa tupigie huyo msouth

  • @mohamedchenge-b6k
    @mohamedchenge-b6k 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mwakinyo Anaendelea kudhihirisha ubora wake

  • @hansboytz7494
    @hansboytz7494 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mwakinyo Respect xn

  • @charlesgyei9105
    @charlesgyei9105 9 หลายเดือนก่อน

    sana mwakinyo point sana

  • @deniskyangala3400
    @deniskyangala3400 8 หลายเดือนก่อน

    Ikitokea mwakinyo akampiga uyu msouth, nasema mwakinyo ndio bondia bora tanzania kwa ngazi zote, yule msouth mtu sana tena sana, nirikua na matunaini na kinunda ila kilichomtokea sitamani ata warudiane kupigana tena, msouth akili nyingi, power na pumzi anazo za kutosha, shorty yupo perfectly.

  • @MohamedHassan-t9e
    @MohamedHassan-t9e 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwakinyo umepotea ndege pia anamfumo wake anaoishi ambao amejaliwa na Allah na anaulimwengu wake

  • @dogopctz2749
    @dogopctz2749 5 หลายเดือนก่อน

    Safi mwakinyo

  • @dwaynekijangwa9591
    @dwaynekijangwa9591 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo Ndio Maana ya kua professional boxing

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisa uyu nibondia
    Mwenye maarifa uwa
    Siyo mtu mkari sanaa
    Uyu ukikaa nae mbal
    anamazala sana jebu yake
    Uwa ni kari sana na inaumiza

  • @chuxdampa8664
    @chuxdampa8664 9 หลายเดือนก่อน +1

    uko vzr

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kamanda kidunda kadundwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂c

  • @HamisiKassim-i6q
    @HamisiKassim-i6q 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @Ramadhaniiddi-s3z
    @Ramadhaniiddi-s3z 9 หลายเดือนก่อน

    God broo

  • @sumarago_tv
    @sumarago_tv 9 หลายเดือนก่อน +8

    Majaji walio hamuwa mchezo wa kidunda na south africa boy inafaa awe disqualified in boxing decisions. Ukweli nikwamba kidunda alidundwaaaaa. Uwamuzi droo haukuwa sahihi. Mawazo yangu naomba walimu wa mchezo wa ngumi wawe making katika kufindisha mchezo huu na pia majaji wasiwe na upendeleo katika maamuzi yao. Na hili litafanya maboxing wetu kufanya mazoezi vizuri na watajuwa ukipigwa umepigwa sio ukipigwa upendeleo upo kwasababu ya hom ground. Tunaomba majaji wale wasitoe tena uwamuzi katika pambano lolote.....for the benefit of boxing in tanzania.🇹🇿

    • @paterinishayo-ef4sx
      @paterinishayo-ef4sx 9 หลายเดือนก่อน

      Mm nasikitika wamemchafulia yule dogo cv yake ilitakiww isome mapambano nane yote kashinda unaenda kumwekea droo ya nn sasa wameniudhi sana kama mtu anauwezo apewe tuu

    • @SajiKizunga
      @SajiKizunga 9 หลายเดือนก่อน

      Tupe vigezo vya ushindi na utoe ushahidi,,mkilalamika tu haitosaidia,,majaji wanajua vigezo ,,wakati nyie mnaangalia mtu kuchoka,bila kujua scores za Kila mmoja Kwa Kila round

  • @kimodomusic9760
    @kimodomusic9760 9 หลายเดือนก่อน +2

    Good

  • @zuberihussein5761
    @zuberihussein5761 9 หลายเดือนก่อน

    Anajua anachofanya.... Sema bongo ukiwa na misimamo tu, we jeuri 😂😂😂😂.. na unafungiwa Busta

  • @AyubuMungii
    @AyubuMungii 9 หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea kikubwa na kiufundi sana master champez,ww ndo jicho letu saiv, waweke mawe ya kutosha umwadabishe huyo mtoto wa madiba

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mwakinyo ndio pekee anaweza kumlaza dogo wallem usingizi fofofo ndani ya raundi saba za pambano.kwakua miongoni mwagharama iliyotupata ni umri mkubwa wa captain.ndio maana akaipata Drow

  • @Dominick-zj6fz
    @Dominick-zj6fz 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @kondradymboya6557
    @kondradymboya6557 9 หลายเดือนก่อน +2

    Azam ndo wamegoma kumpelekea maiki??

  • @DiwanCivanny
    @DiwanCivanny 9 หลายเดือนก่อน +2

    Champez💪💪💪💪💪

  • @izzahboe1442
    @izzahboe1442 9 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hemedindege4232
    @hemedindege4232 9 หลายเดือนก่อน +1

    Salut mwakinyo hakuna mwingine

  • @StevenMgassa
    @StevenMgassa 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yani huyo mwakinyo ndo hawezi kabisa kupigana na msouth na hawez akakubali kupigananae maana atapigwa

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi Kama Mtanzania Twaha Kapigwa Kidunda Kapigwa Hila Nikuambie Ukweri Yule Bondia Wa South Anatumia Akili Sana Ndio Mana Kawapiga Wote Nilio Kutajia Hila Amini Siku Mwakinyo Akiletewa Huyu Bondia Ndipo Utakuja Kumueshimu Mwakinyo

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 9 หลายเดือนก่อน

      Kaka Naomba Fuatilia Ngumi Vizuri

  • @abelaidan
    @abelaidan 9 หลายเดือนก่อน

    Kila siku nawaambia huyu jamaa ni professional boxer. Watu wanatumia mihemko kumpinga na kumkataa huyu jamaa

  • @takrimasamli7536
    @takrimasamli7536 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwakinyo ni real champion

  • @mgazaabeid5873
    @mgazaabeid5873 9 หลายเดือนก่อน

    kaka maneno mengi vitendo kidogo, kuwa km wenzio, wamemtaka msouth wamepewa! kiduku amekalishwa, Mjeda Pia amekalishwa!

  • @edgarmwansasu4743
    @edgarmwansasu4743 9 หลายเดือนก่อน +1

    That's champez

  • @WaheedHamad-d5g
    @WaheedHamad-d5g 9 หลายเดือนก่อน +1

    General kidunda achezea kichapo😅😅😅headline

  • @jabrous2057
    @jabrous2057 9 หลายเดือนก่อน

    ❤ champz

  • @AdonKamota-s1u
    @AdonKamota-s1u 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwakinyo Bado mtoto mdogo Sana Asi jaribu Ata sku moja Ata zarili shwa vibaya Sana mwakinyo BondiA wa michongo 2 choko m moja mshamba Andele ku chaguA Ma BondiA wa Levi

    • @athumanimiraji751
      @athumanimiraji751 9 หลายเดือนก่อน +1

      Chuki binafsi 😂😂

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mwakinyo anamaarifa mengi kwenye boxing dogo anakaa mapema sana.

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe akili huna wenzio wanafikir Kwa kutumia kichwa we unaweza Kwa kutumia makalio ivi hapa tz Kuna bondia zaid ya mwakinyo ?

    • @bwagizoselemani8434
      @bwagizoselemani8434 9 หลายเดือนก่อน

      Bas omba pambano

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 9 หลายเดือนก่อน

      Hv ww unafikiria kwa kutumia kichwa au matako...?

  • @RamadhaniMzashi
    @RamadhaniMzashi 9 หลายเดือนก่อน +2

    mamae huyo jamaa anapiga bondia yeyote hapa tanzania achen unafiki watanzania mwamba anajua hkn bondia wakupigana nae

  • @Gmponlinetv
    @Gmponlinetv 9 หลายเดือนก่อน

    WATANZANIA tunaushamba sana,kwani LAZIMA hadi mmpige tafteni bondia mwingine sio huyu huyu,

  • @kelementbushishi3687
    @kelementbushishi3687 9 หลายเดือนก่อน +1

    🙌🙌🙌

  • @fikirimgonanze6756
    @fikirimgonanze6756 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo sasa akiweza kumpiga ndiyo atakae fanya ote tutambu kuwa no one tz

  • @ramsonramadhan4156
    @ramsonramadhan4156 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Hassana anaongea point na kama anavopiga ..ila Tz ujinga tu mwingi ila jamaa anweza kumpiga..Na sikku akimpiga watanzania watatafuta tu sababu ata za maradhi watasema alikuwa anaumwa

  • @GodfreyMaghembe
    @GodfreyMaghembe 9 หลายเดือนก่อน

    semaa ana ringaa ringaa😂😂😂

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lako Mwakinyo unapenda kudandia treni kwa mbele! Yule Dogo Msouth usimchukulie poa, endapo hukienda kichwa kichwa anaweza kukupiga KO ya aibu.

    • @KhalifaIddi
      @KhalifaIddi 9 หลายเดือนก่อน +1

      Bob mchezo wangumi unaujua lakini? Isije ikawa unaongea kwachuki . Na vile vile upiganaji wamwakinyo unaufahamu?

    • @salamaswahibu5
      @salamaswahibu5 9 หลายเดือนก่อน

      Mwakinyo kashapgana mechi nyingi ngumu je ushawah kumuona akipigwa k o bondia mzur niyule mwenye maarfa yakupigana nauwezo wakumsoma mpinzan nakujua style yakuchza ili aparfome mfano salim mtango mchnja yohana na ibrah class hao wanapigna kwa nidhamu naufundi ila sio kutumia manguvu nakota kota lazma mchezo uwe mgumu kwa style hyo

  • @sirkipingu6721
    @sirkipingu6721 8 หลายเดือนก่อน

    Apo sasa umeongea, ukimtandika uyo haina aja tena ya kupigana na kiduku wa kidunda

  • @KhalidKilale-p4p
    @KhalidKilale-p4p 9 หลายเดือนก่อน

    Hasan nakukubali sana ila huu mfupa mgumu we kaa embeni waachie wenyewe waambane nao.asije akatuzalilisha huyu dogo

  • @mot.tvmsamvu6770
    @mot.tvmsamvu6770 9 หลายเดือนก่อน +1

    jicho anapiga ili.tujue kweli naomba omba pambano hili

  • @saidabdallah2649
    @saidabdallah2649 9 หลายเดือนก่อน

    Aiseh too much know nakujiona superstar pumbu tu

  • @ChesnoldLuhanga
    @ChesnoldLuhanga 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndiye bondia wa kweli

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu apewe mwakinyo,
    ,sema uzito wa ibra class ni wa chini ila ibra angemuweza km uzito ungekua sawa.

    • @mrishongwikwi6448
      @mrishongwikwi6448 9 หลายเดือนก่อน

      Mmmh Ibra ataharisha uwanjani hamuwezi kabisaaa

  • @MbarakAhmedAbdalla
    @MbarakAhmedAbdalla 7 หลายเดือนก่อน

    Usijisifu kijana nihatari sana

  • @RamadhanKhalfan-tq1go
    @RamadhanKhalfan-tq1go 9 หลายเดือนก่อน

    Namkubali mwakinyo kwanza anajiamini pili mjur mchezo wa ngumi sio mchrzo wakitoto kwahyo tuondoeni chukizetu zisizokua na faida

  • @YasreArafat-kk9en
    @YasreArafat-kk9en 9 หลายเดือนก่อน +2

    oya champ umeongea kuntu

  • @mdosephayta8075
    @mdosephayta8075 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Toto la mama limenyonya miaka 3😂😂😂

  • @HusseinStriker
    @HusseinStriker 9 หลายเดือนก่อน

    Aaa kwa sasa chmpez utawaona mabon'go *2 hahaha

  • @johnwallace9842
    @johnwallace9842 9 หลายเดือนก่อน

    Hatuishi kama ndege homeboy tunaishi kwa mifumo.

  • @CarlosMponda
    @CarlosMponda 9 หลายเดือนก่อน

    Wadigo 😂😂😂 hatuna baya kabisa hutapigwa kw manen na vitendo atakavyokuja ndy tutakavyompiga mwakinyo hilo jina limekaa pahal husika cheza boxer kak waache hao wapigane