kisima Maduhu Official Audio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @Mr.EyanTz
    @Mr.EyanTz 4 หลายเดือนก่อน +6

    Yani nikisikiaga tu nyimbo ya kisima naachaga kazi nasikiliza kwanza kama unakbali gonga like

  • @JosephRobert-oz4cz
    @JosephRobert-oz4cz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali kaka nimeerewa sana nyimbo iyo mm madaha salala mwanza mwankuba kaz zuri san pamoja kaka nimeerewa sana jaman kwer unakuja kuimba sana kàka mm madaha salala nakupigiaga san sim niko daaa lsalam❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @mahungujulius1788
    @mahungujulius1788 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo muda wa kuachia Ngoma Kali Kali kama hizi Kila iliyo Heri na IKAWE HERI KWA upande wako Nyanda majabala, Hongera sana

  • @manambavideoproduction8394
    @manambavideoproduction8394 4 หลายเดือนก่อน +2

    Moto fire mwaka huu Salamiti imefika tayari kwa DJ JUMA MANAMBA

  • @MkapaJohn
    @MkapaJohn 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzur Sana nyanda majabala endelea hivyo hivyo

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tumeipenda kazi ya maduhu kaza sana

  • @josephlukenza3261
    @josephlukenza3261 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wasukuma wajipange sana kwa kisima hyo jamaa anajuwa na anaerewa watamaliza waganga kipaji anacho siyo majaribio kira ngoma akitowa ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-gb1pt2hc1d
    @user-gb1pt2hc1d 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzr sana kaka kisima,mung akuxaidie usonge mbele,🫡🫡🫡

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kisima wewe Ni Msanii Namba Moja Duniani kwenye Asili Mimi Ndio Nasema Sasa❤❤🔥🔥🔥

  • @MeliYaMaweBm
    @MeliYaMaweBm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wew kisma fikiliya na nyimbo ya kuimba hujui sikupendi nawew unajua tu

  • @sundimalekwa8391
    @sundimalekwa8391 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha wew Kam nakuon ulivokuj katome af kesh nikasafiri

  • @KijaMaduhu-bs4kr
    @KijaMaduhu-bs4kr 4 หลายเดือนก่อน +5

    Salute kwako kijana wa nyumbn nko mbeya ngoma zina sikika hadi huku as nashndwa kuelewa wanyakyusa nao waijua lugha ya kisukuma hahahaha unatisha sana

    • @ShinjeChenya
      @ShinjeChenya 4 หลายเดือนก่อน

      Razim wajue mwamba huyu

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ukimya wako umekuja kukata kiu yote yaan ww ni zaidi ya msaniii❤❤❤

  • @bigtimetz
    @bigtimetz 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dj kutoka manzese msambazaji wa nyimbo za asili tayar kashaziona kazi mpya anazo anapiga kazi🔥🔥

  • @MosesWilliam-oh8tt
    @MosesWilliam-oh8tt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mwezi wa 4 unqchelewa tunakusubilia nyarugusu Mzee baba Huna mpinzani

  • @ShinjeChenya
    @ShinjeChenya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Goma la nyumban liko bomba san kisima wew

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kama ulimis song za kisima like hapa

  • @AdamSheria
    @AdamSheria 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubar sana kaka

  • @ChristinaSami-dj5ej
    @ChristinaSami-dj5ej 4 หลายเดือนก่อน +1

    NI hatariii ogopaaa hizi ni za wachache 🤗 lyembo lisoga lene

  • @patrickkapisha628
    @patrickkapisha628 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nazunyaga kimba mabhiti ima
    nice job

  • @user-zg7gm3cy1j
    @user-zg7gm3cy1j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nazunyagha nkingwa igiki uleshinu ugwimba Ngika mwichane

  • @user-uw8nj9yp9z
    @user-uw8nj9yp9z 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yes yes

  • @user-jx6qm5ks6g
    @user-jx6qm5ks6g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bro kisima tunakupata vizur sana pande za ilinga

  • @nguzotv
    @nguzotv 4 หลายเดือนก่อน +2

    #MTC PRESENT 🎙️🎙️

  • @JEREMIAHLUSANIKA
    @JEREMIAHLUSANIKA 4 หลายเดือนก่อน +4

    Leta vitu🔥🔥🔥

  • @user-tk3po5wk5p
    @user-tk3po5wk5p 4 หลายเดือนก่อน +3

    Fire❤❤

  • @robertngussa8211
    @robertngussa8211 3 หลายเดือนก่อน +1

    Katika wasanii wote wa nyimbo za kisukuma naye msikilza zaid ni kisima tu! Niko daresalam lakn nyimbo zake zote ninazo, tukate kiu mashabiki zako.

  • @AdamSheria
    @AdamSheria 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huna mpinzani kaka piga kazini ❤❤❤❤

  • @user-ow1ck7xc5j
    @user-ow1ck7xc5j 4 หลายเดือนก่อน +3

    Maduhu

  • @user-jl1ct8be4o
    @user-jl1ct8be4o 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa hapoi nko zimbabwe nafurahi kusikiliza nyimbo zake tuko pamoja ulikuja kasoli nkiwa spo nasubiri video zako

  • @Emma562
    @Emma562 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bhagosha okoto uwaaa,, yeee unajua adi unakela bana.

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe mzuri

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Awapy

  • @MasoudMasoud-dz4sz
    @MasoudMasoud-dz4sz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kisma hakika we nunakipaji siobure

  • @yaokouadio9436
    @yaokouadio9436 4 หลายเดือนก่อน +1

    It IS a better artist i never heard

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba kabisa.💪💪
    Tulihitaji vitu vipyaaa sasa umetuletea Ahsante sana Kisima tunakuhimiza piga kazi wewe ni bora sana kwenye hizi kazi Mungu aendelee kukutunza utupe burudani.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @edwardmahela6225
      @edwardmahela6225 4 หลายเดือนก่อน +2

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @user-zg7gm3cy1j
      @user-zg7gm3cy1j 4 หลายเดือนก่อน

      Abhajidigwa bhinge bhange na jera bhatungwa, yaani hapo umeimba kama Ile ya ulu udaka mwiyanje nemejege nke oko wilolele🤣🤣🤣

  • @amosnaqbarxanaabddallah2730
    @amosnaqbarxanaabddallah2730 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wape dalasa kaka maana umeshabaki wewe2 na Budagala ndo mnaofundisha wengine wametuchosha namakelele yao,,WAP shikome😂😂😂,,Afu cc tupo apa simiyu kwenukwenu uk pia tunakuombea Sana,,,

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou 4 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @ibrahimugilya7519
    @ibrahimugilya7519 4 หลายเดือนก่อน +1

    majabala wewe ni jini

  • @jumamayenga4311
    @jumamayenga4311 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maduhu kaka yangu jamani😂😂

  • @stellastella2795
    @stellastella2795 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wabeja wa nkokaya

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali cna kwa kazi zako nzuri

  • @officiallmaduhuwilliamtzof7056
    @officiallmaduhuwilliamtzof7056 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui nikomenti wapi mm

  • @KIJAMARINGO
    @KIJAMARINGO 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-xx5yw8xi8z
    @user-xx5yw8xi8z 4 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏👍

  • @NsamaKisatu
    @NsamaKisatu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pa1 nipo kamena geita

  • @selelimabula5531
    @selelimabula5531 4 หลายเดือนก่อน +1

    👊

  • @masanjawacha6077
    @masanjawacha6077 4 หลายเดือนก่อน +1

    💔👍

  • @onestartz
    @onestartz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Goma Kali sana bro me nakukubali Sana hukawaji nikosea kwenye nafsi yangu🎉🎉🎉🎉 Seema bro me mwenyewe nafanya hiki ila ni bongo fleva naomba unisaidie namba za mbasha studio namuitaji Sana🙏🙏.

    • @KIJAMARINGO
      @KIJAMARINGO 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @KIJAMARINGO
      @KIJAMARINGO 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nakuaminia kaka