kisima Tindulano Official Audio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @Costantinejustine
    @Costantinejustine 2 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏hongera broo ,,unazidi kimbizaa ,,,ushaur kwa wanaofkuzia nyayoo zako bola 🛌 tu

  • @aberlymayunga3720
    @aberlymayunga3720 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kisima majabala unajua kaka kuimba kaka Mungu akuzidishe Huwa nashangaa watu kukulinganisha na waimbaji wengine ambao hawajui kuimba sijui watu wanatakiwa wapewe shule jaman wajue kuimba sio sauti tu

  • @SamwelJacob-xj2zw
    @SamwelJacob-xj2zw 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mpaka kieleweke tu, maana ni ngoma baada ya ngoma #sion #sara #elimu #bhazunije #maduhu zote ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KijaMaduhu-bs4kr
    @KijaMaduhu-bs4kr 5 หลายเดือนก่อน +1

    🤝 kisima ningekuwa na uwezo hakika ww ndo unaeokoa jahaz kwenye tasinia ya mziki cjawahi kuona msaniinwa kukuzidi ww 'KISIMA'SHIKAMOOO👐

  • @FrankSabaganga
    @FrankSabaganga หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah kaka umeuwa nipo kenya napendasana nyimbozako

  • @user-ig3oz8kf7k
    @user-ig3oz8kf7k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mh hii sasa ni hatali ,mola akujalie Uwe msanii Safi kwa mda ôté wa maisha Yako kama mondi isiwe kama Wale tulowaona wakapotea ubalikiwe ❤❤❤

  • @peterbukwimba8215
    @peterbukwimba8215 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri sana kisima, napenda kazi zako.

  • @maigecharles301
    @maigecharles301 หลายเดือนก่อน +1

    Kisima toa na video yake itakwa bomba sana hiii ngoma nimependa sukuma oyeeeeeeeee🎉🎉🎉

  • @Saimon244
    @Saimon244 5 หลายเดือนก่อน +2

    Simiyu moja nakubar kaka

  • @bigtimetz
    @bigtimetz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dj kutoka manzese msambazaji wa nyimbo za asili tayar kashaziona kazi mpya anazo anapiga kazi🔥🔥

  • @ibrahimugilya7519
    @ibrahimugilya7519 5 หลายเดือนก่อน +1

    bila kusikiliza nyimboo za majabala kwa siku mamboo yangu hayaendi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-zg7gm3cy1j
    @user-zg7gm3cy1j 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wa tatu Leo mliolala mtakomaaa huku mtc ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @WillyvannyOfficial
    @WillyvannyOfficial 5 หลายเดือนก่อน +1

    Usija ndg tunakusapport kwa Hali ya juu ili mziki wetu utufikishe kimataifa🎉🎉

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa nimepaelewa huyo tindulano huyoo

  • @kusekelangasa4978
    @kusekelangasa4978 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pambana wanaume mungu yupo ila endelea kubuni nyimbo kama hizo kali ahsanteee msukuma mwenzengu??

  • @kisulajuliuskisula2111
    @kisulajuliuskisula2111 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulide uzidi kuelimisha wat ndug yang

  • @ErickKoroneli
    @ErickKoroneli 2 หลายเดือนก่อน +1

    du majabala nakuelewa saana mgd wangu bgp saana kaza tu

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ukimya wako umehakisi kuwa ulikua unaanda mambo mazuri
    Hongera sana Brother

  • @MhojaKamuga
    @MhojaKamuga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vzur sana kaka

  • @kiberitistartv8887
    @kiberitistartv8887 5 หลายเดือนก่อน +2

    Good job

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wapeleke msobe msobe wa majungu nawee

  • @salujohn7679
    @salujohn7679 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni mwalimu kabisa tunatakiwa tuje na viti kabisa kupata mafunzo

  • @manambavideoproduction8394
    @manambavideoproduction8394 5 หลายเดือนก่อน +2

    Moto fire mwaka huu Salamiti imefika tayari kwa DJ JUMA MANAMBA

  • @petrolungwasha4630
    @petrolungwasha4630 หลายเดือนก่อน +1

    safi sana

  • @user-ow1ck7xc5j
    @user-ow1ck7xc5j 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tisha sana

  • @leticiachares727
    @leticiachares727 5 หลายเดือนก่อน +2

    Braza kipaji unacho unaweza ukawa hata raisi waTanzania

  • @SamwelJacob-xj2zw
    @SamwelJacob-xj2zw 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila tulikuwa tunaomba utoe ngoma Tena utuchanganyie Radha ya lugha Tena Kama kabunhu na chacha

  • @lightnessmussa5934
    @lightnessmussa5934 5 หลายเดือนก่อน +1

    nipo nairobi huyu jamaa kashindikana kabisa

  • @madulustudio6794
    @madulustudio6794 5 หลายเดือนก่อน +1

    hii imeenda

  • @MADUHUBULEKI
    @MADUHUBULEKI 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sikiliza Hy nyimbo

  • @user-wv2tl3kl7f
    @user-wv2tl3kl7f 5 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice man

  • @Simondanger-el7th
    @Simondanger-el7th 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka wewe hatali sana

  • @FabianNyanda-qv4on
    @FabianNyanda-qv4on 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma ikovzuri

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tindulano my favorite song

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe ukimya ulikuwa na vi2 ,,tumevipokea

  • @madulustudio6794
    @madulustudio6794 5 หลายเดือนก่อน +1

    good

  • @Jujuu908
    @Jujuu908 4 หลายเดือนก่อน +1

    hatari

  • @maliganyamadirisha
    @maliganyamadirisha 5 หลายเดือนก่อน +2

    Good

  • @user-hn5gv7pt1e
    @user-hn5gv7pt1e หลายเดือนก่อน +1

    Heshima kwako tunakupenda wasukuma tupe na video hii nyimbo kaka

  • @nelemimbasando.ibhesh.9105
    @nelemimbasando.ibhesh.9105 5 หลายเดือนก่อน +1

    🎉

  • @bboytv5861
    @bboytv5861 5 หลายเดือนก่อน +2

    This is a video because it teaches

  • @issamatelephone8066
    @issamatelephone8066 5 หลายเดือนก่อน +1

  • @StanleyDaud-nm9ku
    @StanleyDaud-nm9ku 26 วันที่ผ่านมา

    Fundi

    • @StanleyDaud-nm9ku
      @StanleyDaud-nm9ku 26 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna msanii ninae mkubali kama. Wewe kisama