KAULI TATA YA MWISHO ALIYOSEMA MSAIDIZI WA MWAMPOSA KABLA YA KIFO | WANATUMIA NGUVU ZA GIZA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @NgoshaJaphet-zo4sq
    @NgoshaJaphet-zo4sq 2 หลายเดือนก่อน +8

    Utaitumainije madhabahu,Mtumainie Yesu madhabahu za kimwili Mungu anakuwepo tu pale mnapokutanika lakini yeye anataka madhabahu ya kweli ambayo ni Moyo wako na hekaru ni mwili wako

  • @ElizaMwandu
    @ElizaMwandu 2 หลายเดือนก่อน +8

    Nimeumia sana kwa kweli Mtumishi huyu alikuwa ni mtu mwenye tabasamu sana.R.I.P Mtumishi wa Mungu Jonathan 🙏

    • @BoasKambona
      @BoasKambona 2 หลายเดือนก่อน +1

      😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @Youth-for-Jesus
    @Youth-for-Jesus หลายเดือนก่อน +1

    madhabahu haiwezi kuwa ngao, gao yetu ni Yesu Kristo

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akusamehe mwandishi

  • @yohana_antony
    @yohana_antony 2 หลายเดือนก่อน +7

    Da uyu baba mchungaji nilishaenda kuimba kanisani kwake segerea mwazo Wa huduma yangu alikuwa vizuri sana

    • @jeremiadaniel523
      @jeremiadaniel523 2 หลายเดือนก่อน

      mdogo wetu leo umetuvamia kwenye comment😂😂😂😂

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 หลายเดือนก่อน +40

    Waandishi fuateni maadili yenu ya kazi msipende uchonganishi na uzushi ,uchochezi mungu hapendi kszi yako inakosa baraka angalien millad ayo anaheshimika

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli umesema vyema

    • @BeatriceSoka-c7c
      @BeatriceSoka-c7c 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa wanataka kuuza habar unafkir ashukuriwe Mungu anachfundisha marehemu pst Jonathan ni kizur

    • @johnmwakasungula9747
      @johnmwakasungula9747 2 หลายเดือนก่อน

      Wajingq hawa

    • @hamisipower310
      @hamisipower310 2 หลายเดือนก่อน

      Well said

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@BeatriceSoka-c7cPastor Jonathan ndiye huyu anayefundisha hapa??
      Je alishakufa??

  • @GodlistenTsere
    @GodlistenTsere 2 หลายเดือนก่อน +54

    Usiamini madhabahu bali amini neno la mungu katika kweli yote

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION 2 หลายเดือนก่อน +3

      Muamini mungu katka nature

    • @bozeydayana4920
      @bozeydayana4920 2 หลายเดือนก่อน +3

      ukweli usio pingika.

    • @brownsebastianmwibi5647
      @brownsebastianmwibi5647 2 หลายเดือนก่อน +4

      Madhabahu pia ni mhimu sana kwa sababu kila neno linaloweza kumbadilisha mtu kuwa mzuri au mbaya linategemea nguvu ya madhabahu.

    • @godlinegabriel2299
      @godlinegabriel2299 2 หลายเดือนก่อน +4

      Hakuna Mungu pasipo madhabahu

    • @julianajeremiah4353
      @julianajeremiah4353 2 หลายเดือนก่อน +4

      Rafiki madhabahu ndio Imani Hakuna mtu aliyeinuka bila madhabahu au ujamuelewa kuna madhabahu ya Giza na ya Mungu

  • @mariammohammed9229
    @mariammohammed9229 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pumzika kwa Amani Mtumish wa Mungu

  • @veronicachavala9231
    @veronicachavala9231 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kila madhabahu nyuma yake kuna Mungu na huwezi kujua ni Mungu yupi anaabudiwa humo. Jambo la muhimu ni kumwamini Mungu aliye hai kupitia Jina la Yesu.

  • @FaridaShangala
    @FaridaShangala 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pumzika mtumishi kila nafsi itaonja mauti, muandishi wa habari kwenu hamfiwi mkifiwa nikafara mungu wa mwamposa akusamehe.

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 2 หลายเดือนก่อน +12

    Yohana 3:36 Yeyote anayemwamini BWANA YESU ana uzima wa milele....tunatakiwa tumwamini MUNGU katika YESU KRISTO!!

    • @bozeydayana4920
      @bozeydayana4920 2 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏.

    • @EvaFuraha
      @EvaFuraha 2 หลายเดือนก่อน

      Very very true.

    • @AbigaeliTesha
      @AbigaeliTesha 2 หลายเดือนก่อน

      😮tunatakiwa kumuamin Yesu Kristo Mungu mkuu na Nuru halisi

  • @AncillaHulilo
    @AncillaHulilo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wapenfwa kila mtu ataondoka. Kila mtu atajibu mbele ya Mungu. Mungu ndie Hakimu wetu . Kwa nini tunajichosha? Kikubwa tumwabudu Mungu katika Roho na kweli . Pumzika salama Baba Jonathan

  • @obbynomwa7143
    @obbynomwa7143 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mwamini Yesu , usikae mbali na Yesu wala neno la lake, hivi ndivyo ninavyofahamu, hiyo ndiyo iwe madhabahu yako, hizi zingine za watu fulani ziogope sana.

    • @bozeydayana4920
      @bozeydayana4920 2 หลายเดือนก่อน

      Umesema ukweli.

    • @GodlistenTsere
      @GodlistenTsere 2 หลายเดือนก่อน +1

      @obbynomwa7143 yes that's good real

    • @dorahmoses
      @dorahmoses 2 หลายเดือนก่อน

      @@obbynomwa7143 hatamm nimeelewa hivyo

    • @issahkibona5886
      @issahkibona5886 2 หลายเดือนก่อน

      Madhabahu imetumika sahihi kabisa

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp 2 หลายเดือนก่อน

      Ninachoona hata yeye kamaanisha hivyo! Kaa karibu na Yesu kwani yeyye ndiye madhabahu! 🙏

  • @IvethaGonza
    @IvethaGonza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwandishi Mungu anakuona

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 2 หลายเดือนก่อน +3

    A man of god

  • @DanielSumary-js6pc
    @DanielSumary-js6pc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ss ww endelea kumsema mtumishi wa Mungu

  • @JACKOBBenson
    @JACKOBBenson หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @platotaurus2301
    @platotaurus2301 หลายเดือนก่อน

    Kwamba watu washakula kichwa mapema kabisa. Kmmmk DINI hizi ndo maana me sizikubali😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MiliamJonh
    @MiliamJonh 2 หลายเดือนก่อน +5

    Umwamini MUNGU peke yake Sio madhabahu.. Utajuaje kama hiyo madhabahu inatokana na Mungu aliye juu mpka uiamini...

    • @HellenDennis-bq7ov
      @HellenDennis-bq7ov 2 หลายเดือนก่อน

      Zipambanue hizo roho unaju shida watu hawajui hata kupambanua wanaongeaga tu madhabahu chagua inayokufaa achana na mengine

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน +4

    Paster Jonathan😢😢

  • @EsterVuriva-bl6mb
    @EsterVuriva-bl6mb 2 หลายเดือนก่อน

    Dah unzips kwaamani baba Ney umemuacha Ney mwanao kipenz first born wako... 😢😢 tutakukumbuka sauna mtumishi

  • @sabinanyondo5691
    @sabinanyondo5691 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mwandishi unaandika kitu hakipo uwe na haiba ya Sanaa husika acha taarifa chonganishi

  • @Edinahlyanga
    @Edinahlyanga หลายเดือนก่อน

    Acha kuwasema vibaya wapakwa mafuta wa BWANA, unavuna laana hadi kwa vizazi vyako vyote, Tengeneza na Mungu ili usamehewe Dhabi zako, acha kudhihaki watumishi, amini maandiko

  • @GodlistenTsere
    @GodlistenTsere 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kapatikana kweli

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 2 หลายเดือนก่อน +6

    R I P mtumishi wa mungu

  • @benotayari5970
    @benotayari5970 2 หลายเดือนก่อน +12

    Kila nafsi inaonja mauti akuna kafala wala nini Mungu alimleta dunia kwa kusudi lake na leo cku yake imefika ametangulia mbele za haki na pia hata mimi na wwe tunaokoment leo hii ipo cku na sisi tutakufa sasa sijui wazazi wetu au wake zetu watakuwa wametutoa kafara? Mungu atusaidie sana

  • @ConfusedChicken-ze9fz
    @ConfusedChicken-ze9fz 2 หลายเดือนก่อน +1

    I trust Mwamposa & ❤ him too no matter how much you will scandalise him and his ministry

    • @CadiaOnesmo
      @CadiaOnesmo 2 หลายเดือนก่อน

      Pole baada ya kumwamini Yesu unamwamini mwamposa je mwamposa anayo njia ya uzima?

    • @obbynomwa7143
      @obbynomwa7143 2 หลายเดือนก่อน

      Endelea wala usiache ni uchaguzi wako, jambo moja tu ujue Mungu haziakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna. Mimi nimeamua kumpenda sana Yesu na kumwani Yesu sio mwanadamu, wanadamu nawapenda sawasawa na agizo la Mungu.
      Kumbukumbu la Torati 30:19 Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako; I call heaven and earth to record this day against you, that I have set before you life and death, blessing and cursing: therefore choose life, that both thou and thy seed may live:
      Ufunuo wa Yohana 2:14 Lakini ninayo maneno machache juu yako, kwa kuwa unao huko watu washikao mafundisho ya Balaamu, yeye aliyemfundisha Balaki atie ukwazo mbele ya Waisraeli, kwamba wavile vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na kuzini. But I have a few things against thee, because thou hast there them that hold the doctrine of Balaam, who taught Balac to cast a stumblingblock before the children of Israel, to eat things sacrificed unto idols, and to commit fornication.
      Ufunuo wa Yohana 2:15 Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolai vile vile. So hast thou also them that hold the doctrine of the Nicolaitans, which thing I hate.
      Ufunuo wa Yohana 2:16 Basi tubu; na usipotubu, naja kwako upesi, nami nitafanya vita juu yao kwa huo upanga wa kinywa changu. Repent; or else I will come unto thee quickly, and will fight against them with the sword of my mouth.
      Ufunuo wa Yohana 2:17 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea. He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches; To him that overcometh will I give to eat of the hidden manna, and will give him a white stone, and in the stone a new name written, which no man knoweth saving he that receiveth it.

  • @graceraphael-tj7nf
    @graceraphael-tj7nf 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuweke pepon

  • @bozeydayana4920
    @bozeydayana4920 2 หลายเดือนก่อน

    math 9:13.LAKINI NENDENI MKAJIFUNZE MAANA YA MANENO HAYA,NATAKA REHEMA ,WALA SI SADAKA;KWA MAANA SIKUJA KUWAITA WENYE HAKI,BALI WENYE DHAMBI.🙏 ✝️

  • @AnnaBehile
    @AnnaBehile 2 หลายเดือนก่อน +3

    Waandishi ni wachonganishi sana mbna vifo vipo kwangu nasemaj sio kila kitu fremason

  • @Maria-rz1zf
    @Maria-rz1zf 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeee..R.l.p past Jonathan..

  • @Annie-j8k
    @Annie-j8k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Paster 😭😭😭😭

  • @rachelcharles9219
    @rachelcharles9219 2 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani kwani wanaotakiwa kufa ni akina nani etii maana Kila mtu mnasema kafara duh!

  • @veronicacharles-c4b
    @veronicacharles-c4b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pumzika kwa amani

  • @rachelcharles9219
    @rachelcharles9219 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hatukatai kafara zipo lakini na kifo Cha kawaida ya kibinadamu pia kipo Tena Sana tu hata uwe nani cku ipo nayo inakuja kwa kac kikubwa tumche Mungu tu.

    • @HellenDennis-bq7ov
      @HellenDennis-bq7ov 2 หลายเดือนก่อน

      Na mbona watu wanawazaga kafara tu Mungu nae anavuna shamba SI lake

    • @claudarajabu
      @claudarajabu 2 หลายเดือนก่อน

      wew mungu hafurahi kifo chamwenye thambi mungu hauwi bali shetani ndio muuwaji​@@HellenDennis-bq7ov

  • @felixlupenza8623
    @felixlupenza8623 2 หลายเดือนก่อน +2

    R.I.P PASTOR!

  • @hadijamohamed623
    @hadijamohamed623 2 หลายเดือนก่อน

    Finari Jehanam khalidina fihaa abada...

    • @ReaganJiwe-mo4xw
      @ReaganJiwe-mo4xw หลายเดือนก่อน

      Kwa Kiswahili sasa wengne hko kiruga mtihan

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 2 หลายเดือนก่อน +3

    binadamu niwagumu sana kuelewa yani mnapigwa mchana kweupe nasema nabii anaponya watu kama kweli anaponya watu kuna ndugu zetu wako hospitali wateswa na magonjwa wengine wamelala kitandani zaidi ya miaka kumi kwanini asitembelee hopitali akaokoe hizi nafisi zilizoko hosptali acheni kulitumia jina la mungu vibaya na kuibia watu na mungu watu kama hawa huwajibu kabula hajapatwa na umauti wake ili ajue mungu sii wakuchezea

    • @pendomchome4654
      @pendomchome4654 หลายเดือนก่อน

      Ila ukumbuke hata hao walio mahospital na vitandani walishawahi kuisikia injili na pia hata ww una uwezo wa kumuombea,kingine ulishawahi kumfata mtumishi umwambie akamuombee huyo ndgu anayeumwa akakataa???hata Yesu walikua wanamletea wagonjwa au wenye mgonjwa walikua wanamwambia ndio anaenda kumponya..... huyo Mungu anayeponya hamumtaki lkn uponyaji mnataka halafu busy huku mitandaoni kuwasema watumishi wake

  • @damareshilary5002
    @damareshilary5002 2 หลายเดือนก่อน

    Pastor 😢😢😢😢

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 หลายเดือนก่อน

    Biblia imesema ole kwa waandishi, Mathayo 23:23-39, Ole wako, ole wako, ole wako wewe mwandishi usiyejua namna ya kutoa habari

  • @Zacharia-s3h
    @Zacharia-s3h หลายเดือนก่อน

    Mpo sengerema

  • @dorahmoses
    @dorahmoses 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hatuwezikupinganana kusudila mungu

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢r.i.p

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 2 หลายเดือนก่อน

    Tutafute kumjua Muimba wa kweli(The Real Source)…

  • @theyoungestog
    @theyoungestog 2 หลายเดือนก่อน +5

    Bado kuna watu hawaelewi

  • @rehemaselemani3774
    @rehemaselemani3774 2 หลายเดือนก่อน

    Jina labwana libarikiwe

  • @AllexMajura
    @AllexMajura 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefatilia comment zenu wote but sjaelewa chochote kiukweli maana naona wote kila mtu anatetea upande wake,sjaona watumishi wa Mungu aliye hai ila wote ni watu mwamposa tu

    • @EvaFuraha
      @EvaFuraha 2 หลายเดือนก่อน

      Agizo la Yesu Kristo alipokuwa duniani ni kumwamini yeye na Maneno yake.

    • @EvaFuraha
      @EvaFuraha 2 หลายเดือนก่อน

      Agizo la Yesu Kristo alipokuwa duniani ni kumwamini yeye na Maneno yake.

  • @babuafya3446
    @babuafya3446 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa hujaielewa dunia utateseka sana

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 2 หลายเดือนก่อน +3

    Rip mtumishi wa mungu kila nafsi itaonja mauti

  • @issamariam4807
    @issamariam4807 2 หลายเดือนก่อน

    Atakuwa wakala huyu mwandishi co bure

  • @DanielSumary-js6pc
    @DanielSumary-js6pc 2 หลายเดือนก่อน

    Ss hapo shida nn🙄 amefundisha namna ya kukaa ktk madhabahu shida ni nn kwa wale waliosoma neno Madhabahu nisehemu ambapo Mungu hujithihirisha mfano eliya Mungu alionekana kupitia madhabahu

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 2 หลายเดือนก่อน +1

    Du ni hatari kumbe mnaaamini madhabahu na sio Yesu,ndo maana kwa mwamposa napakimbia km kituo Cha polisi nahs Kuna ushetan mkubwa

    • @HellenDennis-bq7ov
      @HellenDennis-bq7ov 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani mwamposa anamubiri nani ila wanadamu mnashida sana

    • @claudarajabu
      @claudarajabu 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@HellenDennis-bq7ovsio kila anaeniita bwana bwana atakae ingia katika ufalme wambinguni nasio kila anaetaja jina la yesu ukazani yakwamba anampenda yesu

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @VictorKahangwa
    @VictorKahangwa 2 หลายเดือนก่อน

    Madora TV kama wale wengine tu ,kichwa cha habari kuwachanganya na kuwavutia Wasomaji.......

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hujaxoea baridi mmezoea dar joto kali

  • @MariamMZIMBA-zf5ev
    @MariamMZIMBA-zf5ev 2 หลายเดือนก่อน

    Mwandish andika kutokana na mada

  • @ConfusedChicken-ze9fz
    @ConfusedChicken-ze9fz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hata Mwamposa hafundishi watu wamwamini yeye bali Yesu na Hata mtu akija kushuhuudia pale madhabahuni kwamba alikuwa mgojwa sasa amepona Mwamposa as a semi mimi ndio niliokutendea ball Yesu sasa acheni hizo chuki zenuhazitowasaidia kitu

    • @dorahmoses
      @dorahmoses 2 หลายเดือนก่อน

      Napia anasisitiza kuanaimani

    • @CadiaOnesmo
      @CadiaOnesmo 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbona huyu anatwambia tuamini mazabahu si amefundishwa na mwamposa wewe unataka kutwambia unamjuwa mwamposa kuliko huyu

    • @ConfusedChicken-ze9fz
      @ConfusedChicken-ze9fz 2 หลายเดือนก่อน

      @@CadiaOnesmo Nadhani hujaelewa kwasababu hakuna madhabahu isiyokuwa na Mungu au mungu ilo aidha iwe ya nuru au ya giza ilo lazima ulielewe sasa msiwaze waze ujiga tu kwani kufa msaidizi wa Mwamposa ni jambo la ajabu? familia ngapi zinafiwa hapa duniani? mbona amshangai? ebu muwe makini na izo kauli zenu husijemkaukumiwa

  • @antonykashube2065
    @antonykashube2065 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu, hatuko duniani kuishi milele. Ukishamaliza kazi iliyokuleta, basi bila kujali umri wako au cheo chako n.k utaondoka duniani. Inapofikia kuondoka duniani haijalishi ni ugonjwa, ajali, mshtuko, kupigwa, kulala n.k utaondoka tu. Cha kujiuliza tu ni je unapoondoka humu duniani na kuuacha huu mwili uliokuwa vazi lako hapa duniani, UNAENDA WAPI!!???

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 หลายเดือนก่อน

    RIP Dad

  • @nafutarymajogoro30
    @nafutarymajogoro30 2 หลายเดือนก่อน

    We mwenyew ni miongoni mwao ila unajipamba Kwa mavazi ya kondoo miongoni

  • @EdinaLaulent
    @EdinaLaulent 2 หลายเดือนก่อน

    Mazabahu

  • @Fredymwambamapigo
    @Fredymwambamapigo 2 หลายเดือนก่อน

    Shida moja wengi wamekuwa wakianzisha huduma wakiwa very nice kabisa lakin huduma inapokuwa nakuongezeka wanatoka rohoni nakuigeuza huduma kuwa biashara.

    • @HellenDennis-bq7ov
      @HellenDennis-bq7ov 2 หลายเดือนก่อน

      We unapimaje kiroho Cha mtu na watumishi mnawajuaje na kuwa kiroho niaje wewe mwenyewe ingekuwa kiroho usingeongea ungenyamaza kipimo ni Yesu mwenye kazi yake upo.

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 2 หลายเดือนก่อน

    HUYU ANAMAANISHA NINI HAPA KWAMBA HATA MUNGU AKIKUSAIDIA USISAHAU MADHABAHU? MADHABAHU NININI NA MUNGU NI NINI?😂😂😂😂

  • @leahtonola8332
    @leahtonola8332 2 หลายเดือนก่อน

    Waandishi mnakwama wapi au mnatafuta views wengi?

  • @JjophreyUtenga-o7j
    @JjophreyUtenga-o7j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi wewe huji tambui ludi nyuma shetani wewe

  • @HIDACHAPILE
    @HIDACHAPILE 2 หลายเดือนก่อน

    A cha kutukana wameumbwa naunaemwamini soli yakiatu siosawa

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 2 หลายเดือนก่อน

    Kauli tata ipi hapo?

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน +1

    Madhabahu au
    Mungu mkuu wa mbinguni ndiyo ngao .
    Kwani madhabahu bila Mungu kuwapo kwa hiyo madhabahu ina nini?
    Ni andiko gani limesema madhabahu ndio ngao?
    Tena hizi madhabahu za watu wa mjini wengi wajanja weweeee 😂!

  • @herijaphet
    @herijaphet 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapo utata upo wapi. Uliyeandika ni kichefuchefu. Halafu nyie mnapewa kichwa kuitwa WAANDISHI. Wewe ni mroookaji mtandaoni.
    Kifo kipo tu mn mtu akifa mnatafuta justification ya kifo. Yani ni kama mnaukumu. Akili mgando

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni uchonganishi

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 2 หลายเดือนก่อน

    Nguvu za giza maana yake ni nini?

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 หลายเดือนก่อน

    acha uchonganishi

  • @GervasLyimo-f7p
    @GervasLyimo-f7p 2 หลายเดือนก่อน

    Sijui leo nimeingiaje MADORA. Channel za uhakika ni kama MILLARD AYO. Sasa hawa akina Madora waganga njaa, bure kabisa!

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 2 หลายเดือนก่อน

    channel kama hizi ni rahisi sana kuziblock nenda kwenye vidot vitatu katika hii video waliyopost then chagua report then tik misinformation youtube wataiblock ,ni ujinga sana wanachokifanya

  • @pastoreliya663
    @pastoreliya663 2 หลายเดือนก่อน

    Amini Usiamini katolewa kafara ,Na Rafiki Yake ,Mwamposa mtoa Roho za watu ukiwa freemason ,lazima utoe kafara ya mtu wa karibu yako kwa agano ,katika mkataba

    • @RachelThomas-wl7sh
      @RachelThomas-wl7sh 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu alimchukua acheni kumchafua mtumishi wa Mungu

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 2 หลายเดือนก่อน

      Mmmh kwahyo hyo kafara anatoa mara Moja tu Nan mwengne kamtoa

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e 2 หลายเดือนก่อน

    Shida SISI tulio wengi tunapenda miujiza kuliko kuskiza NENO LA MUNGU , SASA JE TUTAPAJE KUPONA TUSIPO JALI UWOKOVU MKUU? NAMNA HII?

    • @naomimwahosi8177
      @naomimwahosi8177 2 หลายเดือนก่อน

      Na wengi wanakwepa GHARAMA YA KUOMBA 😢WANANASWA PABAYA.

  • @NyagoIncmedia
    @NyagoIncmedia 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa Mbona ulichkandika na alichosema ni tofauti au hii ni moja ya zile channel za ku unsubscribe tu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amekutoa kafara ndugu yako

    • @daudimlamka1239
      @daudimlamka1239 2 หลายเดือนก่อน

      mawazo Yako ni ya kufakufa tu, you think so negative,

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wkae na neno sio madha bau