Pongezi Shekhe kwa huo wosia wako kuhusu muguka.Pongezi pia kwa viongozi wote kutoka Pwani kwa msimamo wao juu ya jambo hili. Muguka ni hatari kwa afya ya mwanaadamu.
Mzee wewe uko na chuki sana na wafanyi biashara ya mugukana uko na roho mbaya na uashidi mkubwa na sio kwa zababu mingukaa ni mbaya wewe nivile wewe ni mnafiki mkubwa mbona tembo utaji ama unga yenye inaaribu vijana
MashaAllah Tabarakalah barakalafikum!!!we❤❤❤our elders pongezi, no muguka and miraa all poison!!!
Pwani tunajivunia na wazee wetu wajasiri wanaojali jamii yao na wako tayari kuweka tafauti zao za kisiasa zote kando kwa ajili ya maslahi ya jamii.
Pongezi Shekhe kwa huo wosia wako kuhusu muguka.Pongezi pia kwa viongozi wote kutoka Pwani kwa msimamo wao juu ya jambo hili. Muguka ni hatari kwa afya ya mwanaadamu.
Mzee mogukaa sio mogukaa
Mzee wewe uko na chuki sana na wafanyi biashara ya mugukana uko na roho mbaya na uashidi mkubwa na sio kwa zababu mingukaa ni mbaya wewe nivile wewe ni mnafiki mkubwa mbona tembo utaji ama unga yenye inaaribu vijana
Hata Mimi vivyo hivyo ninawachukia hao wafanyibiashara upo. Wewe jua kwamba tupo wengi
We don't want miraaa and mogukaa it should be ban now and forever
Wacha upuuzi. Huyu mzee ana heshimiwa coast nzima. Funga mdomo wako mchafu
Acha ujinga wewe mbwa koko unga unatoka uko uko kwenu Nairobi ...miraa na mugokaa HATUTAKI PWANI kuleni wenyewe mboga yenu mbwa nyinyi