OFISI YA AQ WITH YOUTH YADAIWA MIEZI 8 - 3 June 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno yko ni kweli yaskitisha sanaa Allah atuwezeshe tuweze kusaidiana Soote jamii Islam 😊....
    Na Allah ndiye mlipaji bora Zaidi Atakulipa Abu Shuraim kwa kazi yko hii unayoifanya mpaka uridhike😢

  • @user-pn1dp2ee9x
    @user-pn1dp2ee9x 3 หลายเดือนก่อน +8

    I'm not amuslim but indeed that guy he do wonderful work mostly in coast.He needs abig support mostly in terms of capital,KINDLY pin his no we support him.

  • @tifu678
    @tifu678 3 หลายเดือนก่อน +9

    Sheikh Yusuf, haya ni maradhi makubwa ambayo yametuvama sisi wakazi wa Mombasa na hata katika wengine wetu sisi tulokulia Mombasa na sasa tuko nje ya nchi. Jambo hili lasikitisha na zaidi yake ni kuwa ni kinyume na dini yetu ya kiislamu. Kutokuwa na mapenzi na ndugu zetu, jirani zetu na umma wetu kijumla ni donda ambalo lahitaji huduma ikiwa lengo letu ni kudumisha jamii hali itakikanavyo. Inshaallah ujumbe huu utafikia wote ambao hawampi nguvu au watia juhudi ndia nyingi za kumvunda kamwe Abu Shuraim, mtu ambae ni wazi kuwa lengo lake ni kusaidia jamii kwa ndia mbali mbali zilo wazi.

    • @Athman151
      @Athman151 3 หลายเดือนก่อน +1

      True

  • @abdallamohamedabdalla
    @abdallamohamedabdalla 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kweli sheikh Yusuf ma sheikh wetu wapata tabu sana

  • @muhammadmasoud3744
    @muhammadmasoud3744 3 หลายเดือนก่อน

    جزاكم اللّٰه الشیخ یوسف عبد وأبو شریم
    Ni vizuri mutwambie tunapokosea kama ummah. La ! sivyo hatutasongea mbele na tutazidi kuzorota.
    Keep up with extremely good work.
    اللّٰه یحفظکما و جمیع المسلمین. آمین

  • @yussufmahbub7032
    @yussufmahbub7032 3 หลายเดือนก่อน

    Asc wlahi shekh yusuf well said...weeh mazito ya Allah turehemu...

  • @MohamedAbdallahSaid
    @MohamedAbdallahSaid 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna Mzee ameenda mbele ya haki,alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Madrassatul Munawar.Ma sha Allah leo imefaulu
    Huyo Mzee alisema sisi ni backwards community ikija kusimamia mambo yetu.Maneno ni mengi sana ,matendo kidogo.Ndio huo unauitwa Uswahili.Lakini dini yetu Uislamu haitaki hivo

  • @ramasalimricha943
    @ramasalimricha943 3 หลายเดือนก่อน +7

    Watu husubiri mialiko ya Biryani tu waje na ndizi zao na magazeti ya kufutia mkono baada ya kula. Sio Haqq jamani mazuri twayataka lakini ni wajib tujitolee kuzikuza Huduma. Tuyasimamie.
    Uwajibikaji ndio muhimu kila pahali.
    Allah, Tabarak Wa Ta'ala, Azilainishe nyoyo zetu. Tuwe pamoja na huu ndio wakati wa harakati.

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 3 หลายเดือนก่อน +1

      DUNIA Ya sasa ataka mtu aongee bila kuongea hakuna atakaeuliza, UJUMBE umefika kwa jamiii.hivimkesho DENI.litalipwa love na camera kitengenezwa

  • @fahimhajialadina742
    @fahimhajialadina742 3 หลายเดือนก่อน +7

    Afaa alipwe mtu atumie time yake vifaa vyake salala paka transport atumia yake na mwisho wa siku hapati kitu,hio c sawa.

    • @Athman151
      @Athman151 3 หลายเดือนก่อน

      True ndo tulivyo twachkuliana poa

  • @Shariff143
    @Shariff143 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wallah hii msiba,tutuluze masheikh wetu😢

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kulaaa kilmah swahihhhhhh wapoooo wakutowaaa MashaAllaah lakin na yatakaaa moyoo na imaniiiii

  • @muhmuhsini005
    @muhmuhsini005 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bila shaka vizuri kuambiana na kuzinduana lakini musife moyo Sheikh Yusuf na Sheikh Muhammad 🤝🏼

  • @MuhammadRashid-jq7eq
    @MuhammadRashid-jq7eq 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kabisaa sh yusuf

  • @hassanaboud8442
    @hassanaboud8442 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani tukibebwa tusirewereshe miguu

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 3 หลายเดือนก่อน +1

      Dunia ya sasa yahitaji.masheikh kama sheikh yusuf ukisema wanyamaza wadidimiwa ninmppaka uongee kama sheikh yusuf

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 หลายเดือนก่อน

    Tunakubalia na ww asilimia 💯 sheikh yusuf , mwambie Abuu shurem achaji watu kwa manufaa ya murekebisha camera na kulipia ofisi hpo hkn shida

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli shelkh aya ni maradhi Allah atuondolee😢 in shaa Allah tubadilike

  • @tifu678
    @tifu678 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shaikh Yusuf, pongezi kwa kumsimamia nduyetu ambae japo yeye atumia sauti yake, na nguvu zake, na vifaa vyake kuwapa sauti wanyonge wasio na uwezo, hawezi kujitetea maana atashambuliwa kuwa yuwaomba. Jazakallah Khair. Ungejulisha pia viwango vinavyohitajika kuendeleza ofisi ya AQ isifungwe maana ni mengi mema yanayotendwa hapo.

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 หลายเดือนก่อน +5

    Haha kawaida ya wa Swahili sheikh Yusuf twapenda buree

  • @MuhammadRashid-jq7eq
    @MuhammadRashid-jq7eq 3 หลายเดือนก่อน +3

    Swadaqtaa

  • @omarmohamed-hu5do
    @omarmohamed-hu5do 3 หลายเดือนก่อน +2

    Swadakta ustad

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nahisi hiyo office iwe na Administration, accountant mtu yeyote atakae kutaka kufanyiwa kitu, muhimu kanuni zifuatwe. Kwa kufuata mfumo kama huu ndipo itakapo patikana income

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wazo zuri na watu ndio sie tulio nanafasi.xetu.tujitokezenikwa hilo.sababu ni kwafaida yetu najamii iiyotuzunguka

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ndio tulivo angalia madrasa zetu walimu hawathaminiwi aonekana mtu duni...

  • @user-ge5yp9me7y
    @user-ge5yp9me7y 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uswahili ni mwingi mskn sheikh abuu shurein insh mungu anakupa subra

  • @ArnoldSalim
    @ArnoldSalim 3 หลายเดือนก่อน

    Daah...tihani kweli

  • @a65704
    @a65704 3 หลายเดือนก่อน +3

    Swadakta

  • @MohamedAbdallahSaid
    @MohamedAbdallahSaid 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wekeni paybill tuchange.Mwambie Sheikh asiogope maneno,amuongope Allah,aulize gharama kwa kazi yake.Wafadhili huchoka.Lipisha gharama. Mafukara watafutie wafadhili.Aweke mfuko wake,ajilipe kutoka huo mfuko.Asome kutoka wanaofanya huduma kama zake.Ruqya waruhusiwa kutukuwa zawadi ndogo, itakuwa mambo mengine

  • @aishaamran7296
    @aishaamran7296 3 หลายเดือนก่อน +1

    kweli kqbisa usadh wape kavu wanapenda free sana a charge hela asifanye Bure watambwaga akiwasikiza sana

  • @ohlala92
    @ohlala92 3 หลายเดือนก่อน +2

    Assalamu alaykum. Kwenye description mungeandika wapi watu watume mchango wao. Itasaidia pia inshaAllah.

  • @aishaamran7296
    @aishaamran7296 3 หลายเดือนก่อน +1

    nakupendea Kwa Hilo ustadh hakuna cha kuogopana kwani wanakupa hewa ya kupumua angelikuwa ni mbara wangekuwa wamlipa lkn ni sheikh wanaona wakimuombea Dua atakua yuala hizo Dua

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 3 หลายเดือนก่อน +2

    SHEIKH YUSUF sikukuona kwenye kuoinnga MUNGOKAA nasikawaida yako

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuna tabia ya kujipisisha au kujitia hamnazo
    Itabidi hivo ulivomwambia aitishe waziwazi.. asswaraha raha

  • @_king_bwouy_
    @_king_bwouy_ 3 หลายเดือนก่อน

    Good job Dad

  • @AbdulrahmanSkandor-vr6gu
    @AbdulrahmanSkandor-vr6gu 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh swadaqta. Unatuambia ukweli sisi ummah wa tuhma laa himma. Tumefikia pabaya leo hii Abu shureim ama AQ imefikia mpaka waombewe ndio tutie akili. Allahulmustaan

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wamevumilia maskini.moaka DENI limekiln kubwa

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 3 หลายเดือนก่อน

    mwaomba kwa lazima jamaa😂😂

    • @tifu678
      @tifu678 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nani alokulazimisha?

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh daawa ikikushinda acha kafanye biashara zako,usidhalilishe waislamu na uislamu.tusilalamike kana kwamba hii ndo chanel ya daawa pekee uislamu unategemea.anaweza kufanya kwa uwezo wake wala asikhalifishe nafsi yake,na akitaka mchango aweke au aseme jamani nipeni mchango sio kudhalilisha uislamu na kulalamika.

  • @spares-repair
    @spares-repair 3 หลายเดือนก่อน +2

    Abu shuraim naomba number yako ya wats app