KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA: IBADA YA EVENING GLORY 12 APRIL 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA: IBADA YA EVENING GLORY 12 APRIL 2023
    UJUMBE WA LEO: ULICHOBEBA NDIO SABABU YA VITA YAKO
    {MAPINGO YA CHUMA}
    ( LET MY PEOPLE GO )
    Matendo 7 : 25
    Mwanzo 49 : 22 - 24
    Ezra 8 : 31
    Kutoka 8 : 28
    Matendo 7 : 25
    25 Alidhani kwamba ndugu zake watafahamu ya kuwa Mungu anawapa wokovu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu.
    Mwanzo 49 : 22 - 24
    22 Yusufu ni mti mchanga wenye kuzaa, Mti mchanga wenye kuzaa karibu na chemchemi, Matwi yake yametanda ukutani.
    23 Wapiga mishale walimtenda machungu, Wakamtupia, wakamwudhi,
    24 Lakini upinde wake ukakaa imara, Mikono yake ikapata nguvu, Kwa mikono ya Mwenye Enzi wa Yakobo; Kwa jina la mchungaji, yeye jiwe la Israeli,
    Ezra 8 : 31
    31 Ndipo tukasafiri toka mtoni Ahava siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kwanza, ili kwenda Yerusalemu; na mkono wa Mungu ulikuwa pamoja nasi, akatuokoa na mkono wa adui, na mtu mwenye kutuvizia njiani.
    Kutoka 8 : 28
    28 Farao akasema, Mimi nitawapa ruhusa mwende, ili mmchinjie dhabihu Bwana, Mungu wenu, jangwani; lakini hamtakwenda mbali sana; haya niombeeni.

    Mhubiri: Mwl. James Kamera
    Kwa maombi na ushauri:
    Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
    Simu: +255 713 553 443
    TH-cam: Kijitonyama Lutheran church
    Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

ความคิดเห็น • 8

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anifundishe kuyaelewa maandiko yake matakatifu

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 ปีที่แล้ว

    Mtumishi haya mafundisho yananigusa mie nina pitia mitihani ambayo kama siyo Mungu anaye nipigania leo hii sipo kazini ubarikiwe sana kuelewa neno pia ni sehemu ya ufunguzi wa ninayo pitia

  • @lucyurasa5805
    @lucyurasa5805 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 ปีที่แล้ว

    Bwana ni sadiye ni weze kwanda Amen

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 ปีที่แล้ว

    Acha watoto wangu, na ndugu zangu, na vizazi vyetu vingi viende kwa jina la YESU. Acha Watanzania tuende kwa jina la YESU.

  • @Emanuel-fg2ee
    @Emanuel-fg2ee ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 ปีที่แล้ว +1

    BWANA nipe kuyajua maandiko.

    • @barakapaulmakaka2205
      @barakapaulmakaka2205 ปีที่แล้ว

      Ee mungu nitendee kama ulivyo mtendea Daniel 😭😭😭😭