MCHUNGAJI HANANJA asema hakuna HELA ya bure, atakuvunja mbavu kwa maneno yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มี.ค. 2023
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 64

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 ปีที่แล้ว +95

    Mimi ni Muslim ila nampenda huyu baba🤣🤣🤣🤣🤣 Christian nipeni like basi

  • @edwardkasubi5135
    @edwardkasubi5135 ปีที่แล้ว +1

    Yaaaani hapo Pastor Masanja anamuelewa HANANJA vizuri zaidi kuliko wooooote hapo

  • @uswegesuper
    @uswegesuper ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli huyu mchungaji ni level zingine kiukweli.

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 ปีที่แล้ว +7

    Hananja ❤

  • @jerrycharz25
    @jerrycharz25 ปีที่แล้ว +13

    😅😅😅 hanaja angejiunga pia na stand up comedy yyte Kama kina pastor kulia wa Kenya anaweza sanaa

    • @allyseba172
      @allyseba172 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa yule pasta kuriya na hananja hawana tofaut

    • @georgeburchard4872
      @georgeburchard4872 ปีที่แล้ว

      Sahihi kabisa!

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 ปีที่แล้ว +11

    Huyu mchungaji nimzr sn ila wahusika mtaweza kumshahauri awe anaongea na mic kwa sauti ya kutosha ktk maeneo yote ya mahubiri yk maana kuna wkt sauti inakuwa ndg kiasi huwezi sikia vzr.asanteni sana na samahani kama nitakuwa nimekosea.

    • @hopedigitalmedia34
      @hopedigitalmedia34 ปีที่แล้ว

      Tatzo c o yeya tatzo wanao record mfano hii vdeo saut yake imerecodiwa nje ya mfumo wa saut yaan saut imerekodiwa moja kwa moja kutoka kwnye kamera

    • @scholarmawala1403
      @scholarmawala1403 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuwa na wewe umeona.wahusika tunaomba walifanyie kazi ili tusipunjwe Neno.🙏🙏🙏

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 ปีที่แล้ว +7

    Bongo Tanzania shilingi ni hela haina nguvuu Dunia hiyiiii sema wapiga kazi tunao

  • @lytwilliam7050
    @lytwilliam7050 ปีที่แล้ว +5

    Hananja kama Hananja💕💕💕

  • @hellennjeri2431
    @hellennjeri2431 ปีที่แล้ว +6

    Huku Kenya tunampenda ajab😂😂😂

  • @asifiwekilumbe2806
    @asifiwekilumbe2806 ปีที่แล้ว +9

    Hii Mistari ya Biblia hiki kichwa kimeshika na vitu vingine kweli

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +1

      Yuko vizuri sana kwenye mistari ya Biblia. Amekuwa pastor wa KKKT muda mrefu

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 ปีที่แล้ว +10

    Nampenda sana huyu baba

  • @eboytz
    @eboytz ปีที่แล้ว +6

    Handsome babu😂😂

  • @rahmaawadh1695
    @rahmaawadh1695 ปีที่แล้ว +4

    Jamani nampenda huyu Pastor mno hanichoshiiii

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +2

    U n a roho nzuri❤

  • @allsamaliy3033
    @allsamaliy3033 ปีที่แล้ว +2

    Unafanyaa KAZI mzuri sanaa Allah tabalaka akulindee miongoni waja boraa asantee

  • @angelantinda1009
    @angelantinda1009 ปีที่แล้ว +2

    Nampnda sana mie uyu baba

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +4

    Nacho mpendea huyu mchungajiii Hana story za uwongoooo anakupa Hadi fungu kwenye biblia Hadi rahaaaaa

  • @rachelkaymax547
    @rachelkaymax547 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Baba...😄😄😄

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +3

    Wasafi chukuen huyu baba Hananja atawafaa sana

  • @khadijaalimohd1320
    @khadijaalimohd1320 ปีที่แล้ว +1

    Noma Kweli.Upo Vzr😂

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +19

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Daaah maisha yanaenda kasi jn or juzi baba levol alimwambia kwenye kipindi cha mgahawa Diamond alitaka kumpa kipindi Doooh chelewa chelewa 😢

    • @Boaz22
      @Boaz22 ปีที่แล้ว +2

      Yaani nilikua natafuta hii comment, Ukweli ni kwamba EFM hua wanaiba idea za watu na wanaiba mpaka wafanyakazi lakini wasafi watabaki juu

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky ปีที่แล้ว +4

      @@Boaz22 nadhani nao wapo slow saana hapo usafini

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 ปีที่แล้ว +4

      ​@@Boaz22 hakuna binadamu anaibiwa wewe, pesa inaongea, mambo maelewano tu. Hao Wasafi wako slow sana pia wanamix mno kazi na maisha binafsi. Halafu vijana wa kihuni wengi mnoo mle..Wapo wanaoyaweza mazingira yale ya kazi wengine hawawezi.

    • @riderrider26
      @riderrider26 ปีที่แล้ว +1

      @@homeandaway2811
      Your post is full of hate, I can't tell whether it's a hatred or jealousy. WCB ina variations kwani kwa wale wa vipindi vya wapiga kelele na umbea wameweka exactly commentators wa caliber hiyo na kwenye michezo kuna watangazaji wa caliber hiyo then ukienda kwenye uchambuzi pia utakuta watu wa caliber hiyo so it's a complete package. Tatizo vijana/watoto concentration wameiweka zaidi kwenye udaku na companies zinazowapa endorsements ndiyo zinafanya wao kuonekana zaidi.

    • @joshuamuro9494
      @joshuamuro9494 ปีที่แล้ว

      @@Boaz22 Efm ndiyo radio iliyo fanya mapinduzi makubwa ktk kuboresha vipindi kulikuwa Hakuna kipindi Cha michezo asbh na tarafiza michezo kwenye vipindi vya burudani lkn leo kila radio Ina kipindi Cha michezo asbh na kwenye burudani achana na Efm kabisa

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 ปีที่แล้ว

    I 🌹u Mchungaji Hananja

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 ปีที่แล้ว +2

    Koy mzungu siku ya cheka tu mwalike mchungaji

  • @marympango9247
    @marympango9247 ปีที่แล้ว

    Mim ananikoshaa anavosimama....yan hananjaa....😃😃😃🙌🙌🙌🙌🙌

  • @hamis-qv9me
    @hamis-qv9me ปีที่แล้ว +2

    Rich bilionea Mwasese mtu kaz

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 ปีที่แล้ว +4

    Angekuwa comedian tu huyu pastor😄😄😄😄

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +2

      Ni comedian, amestaafu utumishi (upastor)

  • @petroprenge8716
    @petroprenge8716 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye mwizi sasa😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +1

    Hananji ninakupenda sa n a

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +1

    Mwizi siyo shemeji yako😂

  • @joelsamwel2580
    @joelsamwel2580 ปีที่แล้ว +1

    Mzee biblia ipo kichwani

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aaaaameeni

  • @Gabixtz
    @Gabixtz ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว

    Kanisa la hakina nani
    Na Hananja kaja kuchekesha watu

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 ปีที่แล้ว

    Hahahah ndomana waislamu na wapenda ukifa wanakukamua umekula chips zao

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 ปีที่แล้ว

    Huyu mchungaji apewe maua yake

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Hananja ubarikiwe sa n a

  • @mdta8161
    @mdta8161 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂

  • @peemoneybags410
    @peemoneybags410 ปีที่แล้ว +1

    Huyu NI comedian tu hamna mchungaji hapo