Ukisikia mtu kapata ubavu wake wa kushoto (haumtii kichomi wala kibiyongo) ukisikia mtu kapata kiatu chake (hakibani wala hakilegei)i,ukisikia mtu kapata vazi lake (limemkaa kama amezaliwa nalo) Basi mchungaji Hananja kapata vyote wanafanana hadi sura kasoro maumbile tu.Mungu humjalia kila mtu kadri atakavyo mwenyewe.

Nyieee jamani kuna watu wanafurahiaa maishaa
Mmependeza Mungu awabariki Hananja mcheshi pia ana upendo na kkumheshimu mke wake hongera baba
😘😘😘😘😘😘Kwaajili yako mama❤️❤️❤️
Amen mama ahsante sana
Mmefanana kweli utafikir m2&kaka mbarikiwe sna
Mama una Hekima Sana
Goooooood
Mzee majuto wapili
Beautiful 🙏🏾🙏🏾
Dah
🙏🙏
By
Baba vitu unavyoongea ni madini tupu MUNGU azidi kukuinua
Mbona mnafanana?
Muombee sana kwa Mungu
@@isayakabina2209 huyu nazani atakuwa mke binamu yake mana du🤔🤔🤔🤔🤔🤙🤙🤙🤙
.
hahaha
🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂