Ahsante sana Lema bro,nisomo kubwa sana nawatanzania sijui tumerogwa nanani mana hata Elimu tuliyoipata bado haijatukomboa!Mungu atusaidie sana,Big up saana bro,mungu akutunze kwaajili yataifa letu
huyu jamaa kaongea ukweli kabisa, wananchi wa Tanzania ni wasenge sana, inakatisha tamaa hata kuwapazia sauti kwenye matatizo yao, siku hawa jamaa wanaopigania haki wakitoweka ndo tutajua , kuna muda utafika amabapo tutawahitaji hawa jamaa lakini hawatakuwepo,
Safi sana mkuu Lema, umeongea vizuri sana. Nchi yetu inasikitisha sana. Hakuna mfumo mzuri wa uongozi. Tunahitaji mfumo mpya wa wa uongozi. Tanzania slowly slowly inaangamia... It's very sad. The leadership has failed 💯😢😢😢
GOD BLESS LEMA,NIMEKUA NIKIKUFUATILIA SANA,WEWE NI MWAMZI CHAGUO LA MUNGU,NAKUSIHI SANA USIKATE TAMAA IJAPO UNAUMIZWA SANA PAMOJA NA NDUGU ZAKO KWA HAWA MAFALAO YANI SERIKARI YA CCM ILIO JAWA NA USHETANI,MIMI BINAFSI KAMA MTUMISHI WA MUNGU NILIE CHINI YA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (T.A.G)SINTAACHA KUWAOMBEA WAAMZI WOTE UKIWEMO WEWE,.SINA ACCESS YA KUISEMA SERIKALI OVU YA TZ KWA LEVEL YA TAIFA,ILA NAMSHANGAA SANA ASKOFU WANGU BARNABA MTOKAMBALI YUKO KIMYA Watu wa MUNGU wanatekwa,wanauliwa,wanateseka,wanazalilishwa,wanabaguliwa nk,Lakini yeye ndie mwenye access ya kuonya uovu huu ambao hata mtoto mdogo yeyote anaujua kuwa ni uovu au uzambi wa serikari ya ccm.Ushauli wangu maaskofu wote walio na uchawa ,ubinafsi na tamaa mbaya ya mali na kuiweka dini kama biashara ni bora wajihudhulu maana wanaogopa kukemea uovu ambao ukiendelea nchi itaingia kwenye Raana kubwa sana,Ombi langu tuombe MUNGU atupe maaskofu wenye hofu ya MUNGU na si hawa ambao hawajui majukumu yao,hawa maaskofu wachache ambao si mabubu wanaendelea kupaza sauti na kukemea uovu huu MUNGU tunaomba usiwaache uwalinde milele(Isaya 58:1-2).Mlio wa haki wote MUNGU awatete siku zote Shetani ni lazima aabishwe kwa nguvu ya MUNGU wa mbingu na nchi.Ni Mimi mtumishi wa MUNGU Daud S.Kasisi"together in one"
Lema umeongea ukweli watanzania tuko nyuma sana kwenye kupigania haki pole legend point kubwa sana vijana vijana hamkeni mimi niko kenya lkn tz shenzi sana mna shindwa kupigania haki hao viongozi anao watetea kuna siku mtawamiss nahawatakuepo inchi itabaki na chama kimoja mtakaa kama kongo vijana hamkeni
Maandamano ya chadema lema familia Yako Iko nje ya nchi tukipata shida sisi wenye nchi wewe familia Yako Iko salama wewe unakujakutu lazimissha sisi kutuvuruga nawewe unakimbia
Wewe mwenyewe mwizi tu unaishi maisha Mazur mshahara wako bei gani au ndio nyani halioni kundule hapo kwenye utekaji tuko wote hila kwenye kuiba hata ww unaiba
Chadema mnatumwa na wazungu kina Bob Amstadam halafu mnataka watu wafe kwa manufaa yenu binafsi na wazungu ... Also chadema is always over playing your hands
Maandamano sio kuleta uchama Kenya walifanikiwa Sababu kulikua hakuna uchama bali ni watu wa kawaida kabisa kama wauza nguo wapita njia wasiokua na ajira kupinga tax kama mmmnaandamana msiitaje jina la chama chenu andamaneni bila kuhusisha chama maana Kuna watu hawana chama wanaogoa kuwaunga mkono mnavyohusisha chama
Mimi nafikiri elemu tulizonazo Watanzania ni finyu sana na hazijatukomboa na bado tuna akili mgando sana na hatuna ujasiri wa kukemea na kukataa maovu yanayofanywa na Serikali maana sisi ndio tunaoumia ni sis wenyewe lakini bado tunaendelea kiwachekea wadhurumu haki zetu,pia haujui sheria na katiba yetu hatuijui kwahiyo tutateseka sana mpaka tutakapo amua kuamka inasikitisha kwakweli
wanaosema maandamano yanauchama ndio maana hawajajitokeza wanatafuta kichaka chakujifichia maana hata Tanzania razima maandamano yaitishwe na taasisi fulani ndio watu wajitokeze kwasababu gani naongea hvyo sisi Kama watanzani hatuongei lugha maja tukaelewana mfano maandamano yakupinga masuala ya bandali situliitwa kama watanzani tulijitokez?
Aliewaroga watanzania ni yeye alieleta wazo la watu waliofeki shule kwa level yeyote ile et ndio waajitiwe kwenye sensetive institutions za ulinzi na usalama wa nchi,ajabu sana!adui yako ni yule wa nyumbani mwako.think big
The best analysis ever given by God bless Lema.
Ahsante sana Lema bro,nisomo kubwa sana nawatanzania sijui tumerogwa nanani mana hata Elimu tuliyoipata bado haijatukomboa!Mungu atusaidie sana,Big up saana bro,mungu akutunze kwaajili yataifa letu
Kiukwel lema umeongea ukwel kabsa ❤Naamin ninyi ni mpango wa Mungu na Mungu watienguvu kwel jmn God bless them
huyu jamaa kaongea ukweli kabisa, wananchi wa Tanzania ni wasenge sana, inakatisha tamaa hata kuwapazia sauti kwenye matatizo yao, siku hawa jamaa wanaopigania haki wakitoweka ndo tutajua , kuna muda utafika amabapo tutawahitaji hawa jamaa lakini hawatakuwepo,
Safi sana mkuu Lema, umeongea vizuri sana. Nchi yetu inasikitisha sana. Hakuna mfumo mzuri wa uongozi. Tunahitaji mfumo mpya wa wa uongozi. Tanzania slowly slowly inaangamia... It's very sad. The leadership has failed 💯😢😢😢
GOD BLESS LEMA,NIMEKUA NIKIKUFUATILIA SANA,WEWE NI MWAMZI CHAGUO LA MUNGU,NAKUSIHI SANA USIKATE TAMAA IJAPO UNAUMIZWA SANA PAMOJA NA NDUGU ZAKO KWA HAWA MAFALAO YANI SERIKARI YA CCM ILIO JAWA NA USHETANI,MIMI BINAFSI KAMA MTUMISHI WA MUNGU NILIE CHINI YA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (T.A.G)SINTAACHA KUWAOMBEA WAAMZI WOTE UKIWEMO WEWE,.SINA ACCESS YA KUISEMA SERIKALI OVU YA TZ KWA LEVEL YA TAIFA,ILA NAMSHANGAA SANA ASKOFU WANGU BARNABA MTOKAMBALI YUKO KIMYA Watu wa MUNGU wanatekwa,wanauliwa,wanateseka,wanazalilishwa,wanabaguliwa nk,Lakini yeye ndie mwenye access ya kuonya uovu huu ambao hata mtoto mdogo yeyote anaujua kuwa ni uovu au uzambi wa serikari ya ccm.Ushauli wangu maaskofu wote walio na uchawa ,ubinafsi na tamaa mbaya ya mali na kuiweka dini kama biashara ni bora wajihudhulu maana wanaogopa kukemea uovu ambao ukiendelea nchi itaingia kwenye Raana kubwa sana,Ombi langu tuombe MUNGU atupe maaskofu wenye hofu ya MUNGU na si hawa ambao hawajui majukumu yao,hawa maaskofu wachache ambao si mabubu wanaendelea kupaza sauti na kukemea uovu huu MUNGU tunaomba usiwaache uwalinde milele(Isaya 58:1-2).Mlio wa haki wote MUNGU awatete siku zote Shetani ni lazima aabishwe kwa nguvu ya MUNGU wa mbingu na nchi.Ni Mimi mtumishi wa MUNGU Daud S.Kasisi"together in one"
Lema umeongea ukweli watanzania tuko nyuma sana kwenye kupigania haki pole legend point kubwa sana vijana vijana hamkeni mimi niko kenya lkn tz shenzi sana mna shindwa kupigania haki hao viongozi anao watetea kuna siku mtawamiss nahawatakuepo inchi itabaki na chama kimoja mtakaa kama kongo vijana hamkeni
VIVA KOMREDI LEMA....MANENO MAZITO YA HEKIMA NA BUSARA KWA MH. RAIS SAMIA NA VIONGOZI WA SERIKALI YETU.
Kwa kweli hamfai kabisa katika jamii mwataka kusomba malizetu mjikusanyie nakupelekea familia zenu huko mliko zificha familia zenu
MUNGU AKUTUNZE, LAKINI UKWELI WA TANZANIA NI WABINAFSI, NA WANAFIKI SANA
Wee humjui mungu bwana
Maandamano ya chadema lema familia Yako Iko nje ya nchi tukipata shida sisi wenye nchi wewe familia Yako Iko salama wewe unakujakutu lazimissha sisi kutuvuruga nawewe unakimbia
Shida gan?
Njaa ni mbaya sana, una njaa, chawa.
Maneno ya busara sana🙏
True lema
Wewe mwenyewe mwizi tu unaishi maisha Mazur mshahara wako bei gani au ndio nyani halioni kundule hapo kwenye utekaji tuko wote hila kwenye kuiba hata ww unaiba
Hii space lema alimaliza kila kitu
Chadema mnatumwa na wazungu kina Bob Amstadam halafu mnataka watu wafe kwa manufaa yenu binafsi na wazungu ... Also chadema is always over playing your hands
Maandamano sio kuleta uchama Kenya walifanikiwa Sababu kulikua hakuna uchama bali ni watu wa kawaida kabisa kama wauza nguo wapita njia wasiokua na ajira kupinga tax kama mmmnaandamana msiitaje jina la chama chenu andamaneni bila kuhusisha chama maana Kuna watu hawana chama wanaogoa kuwaunga mkono mnavyohusisha chama
Yaan wee ndo miongoni wa pumbavu wa kwanza kabisa
Daaah nchii gani hiii mama weeee taka taka
Kweli wewe una kihere here
Mimi nafikiri elemu tulizonazo Watanzania ni finyu sana na hazijatukomboa na bado tuna akili mgando sana na hatuna ujasiri wa kukemea na kukataa maovu yanayofanywa na Serikali maana sisi ndio tunaoumia ni sis wenyewe lakini bado tunaendelea kiwachekea wadhurumu haki zetu,pia haujui sheria na katiba yetu hatuijui kwahiyo tutateseka sana mpaka tutakapo amua kuamka inasikitisha kwakweli
Siku nyingine usikubali kuchukuliwa kirahisi hivyo, ungekiwasha huko huko airport😮vurumai zingewafanya watu watoe taarifa😂
Unatuombea njaa kwakua wewe umesombea familia Yako huko ulaya umeiba fedha zetu na kuzisombea huko
wanaosema maandamano yanauchama ndio maana hawajajitokeza wanatafuta kichaka chakujifichia maana hata Tanzania razima maandamano yaitishwe na taasisi fulani ndio watu wajitokeze kwasababu gani naongea hvyo sisi Kama watanzani hatuongei lugha maja tukaelewana mfano maandamano yakupinga masuala ya bandali situliitwa kama watanzani tulijitokez?
Watu wameerevuka hatuji Tena kwenye maandamano wee watoto wako wako mbona hawkuwako
Aliewaroga watanzania ni yeye alieleta wazo la watu waliofeki shule kwa level yeyote ile et ndio waajitiwe kwenye sensetive institutions za ulinzi na usalama wa nchi,ajabu sana!adui yako ni yule wa nyumbani mwako.think big
Ungetumia usafiri wa watu wa chini lazima abiria wangetoa taarifa zako.
Nani kakutuma utupiganie nishida Yako ndio unayo kufanya uhangaike
Siku ukitoka kwa dada yako utajuahujui
You talk too relaxed bro... hadi unakata concentration ya unachojaribu kuwasilisha........
inasikisha sana
Mbona wewe umewataja wamasai ndio kabila lao
Wewe umekuja hamasisha fujo iliukimbie utuache na shida zetu