HIKI NDIO CHANZO CHA PETER MSIGWA KUHAMA CHADEMA ADAI KUA CHADEMA NI SACCOS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 2 วันที่ผ่านมา +3

    Njaa haina baunsa, jana tu ulikuwa ukimsema vibaya Rais wetu mpendwa Mama Samia leo unaanza kuwa upande wetu!! jamani, tuwe makini aside asijekuwa ametumwa na Lisu 😅😅😅😅

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 วันที่ผ่านมา

      Kundulisu sio tishio kwa CCM hata kidogo,siyo mtu wa mikakati bali mropokaji na mlalamikaji mtukanaji ambaye sasa hivi watu wengi wenye akili wanampuuza.

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz วันที่ผ่านมา

    Chadema chama baba mkwe wake mboye na ndio mwenyekiti maisha napenda kumpa mchungaji msigwa congratulations

  • @bahatisube120
    @bahatisube120 วันที่ผ่านมา

    Msigwa yupo sahihi, CHADEMA inabidi ijitazame upya!!

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 2 วันที่ผ่านมา

    Nakupongeza sana mkuu tulia ufanye kazi sasa umechelewa lakini hakuna shida

  • @richardjafu7404
    @richardjafu7404 วันที่ผ่านมา

    Ungekuwa na akili hata kidogo, ungekaa kimya!

  • @erestizacharia4758
    @erestizacharia4758 2 วันที่ผ่านมา

    Huna jipya msigwa, sisi tutaendelea kuiamini chadema na sio msigwa.

  • @sadamshantiwa9749
    @sadamshantiwa9749 วันที่ผ่านมา

    Brother Makala, singida alienda kufany nn kua makin eheee atakuwa ametumwa na Lissu

  • @user-ji8ox8fw6i
    @user-ji8ox8fw6i วันที่ผ่านมา

    Msigwa angekuwa mkweli kama angetoka kabla ya uchaguzi wa mkiti Kanda ya Nyasa,,lakini bila hivyo ni uongo mkubwa sana

  • @MWAJUMAKIZA-gb8us
    @MWAJUMAKIZA-gb8us วันที่ผ่านมา

    Kwa mchungaji, mtu alieaminika kwenye Chadema, kweli njaa inasumbua!

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 วันที่ผ่านมา

    Mnaomlaumu msigwa jalibuni kuangali hojazake Mbowe hana demokrasia Chama kinapotea hamtaki kusema ukweli mapungufu nimengi jibuni hoja mfumo wauchaguzi chadema ni mbovu

  • @JacoboNaftari
    @JacoboNaftari 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni kichaa msigwa unayarudia matapishi hufaai kabisa hiyo ni njaa kali umeisha

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 วันที่ผ่านมา

    Dah... inasikitisha..lakini tutatoboa tu...😢😢

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 วันที่ผ่านมา

    Siasa bhana...... Watu wanatafuta kazi kama kazi ajira kama ajira.....Maslahi....amefika bei
    Cheo...kinakuja sasa kwa uteuzi wa rais....

  • @mwanahamisially7385
    @mwanahamisially7385 วันที่ผ่านมา

    Asante mkuu uleule anyone vichwa

  • @mertus.nestory.bishirangon4624
    @mertus.nestory.bishirangon4624 2 วันที่ผ่านมา +2

    Msigwa.msigwa. msigwa..mungu.anakuona

  • @syliviawilison7090
    @syliviawilison7090 2 วันที่ผ่านมา

    Sijakuelewa kabisa braza mungu anakuona kaka

  • @MalifedhaMtutuzi
    @MalifedhaMtutuzi 2 วันที่ผ่านมา

    Huna akili Kaa kimya, Domo chafu wewe, utatoka mwenyewe na njaa zako

  • @mfaumegomangulu8140
    @mfaumegomangulu8140 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera maamuzi sahihi

  • @mgm412
    @mgm412 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 msigwa umeonyesha huna akil,tuache wenye akili tutetee nchi yetu, ww mnafiki, unawezaje jiunga na chama kinachotesa wananchi eti unaakili......stupid

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s วันที่ผ่านมา

    mumpe cheo haraka msipo mpa cheo atahamia chama kingine msigwa na upendo peneza hao ni wapenda madaraka

  • @josephsangija-x9o
    @josephsangija-x9o วันที่ผ่านมา

    Watuwahizi ha wanatakiwa maobi iriwafe hawafai

  • @AlfanChuma
    @AlfanChuma วันที่ผ่านมา

    Ccm juu

  • @PaulIranda
    @PaulIranda 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe umeamua kwenda huko Kwa tamaa zako tu, huna lolote! Mbona Ndani ya uongozi wako Huku Fanya hayo unayoyaongea

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa nini asingejiondoa kabla ya kushindwa uchaguzi

  • @SwaibaJumanne
    @SwaibaJumanne 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wee msigwa ACHA Tamaa kwer mko kimasirai kwaiyo urvyo watukana Reo unawambia nn Sasa mjinga wewe uereweki mchungaji gan we njaa tu

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 วันที่ผ่านมา

      Kajifunze kiswahili,usipoteze muda kwenye mitandao wakati hata kusoma na kuandika bado ni changamoto kwako

  • @barakamwantolwa4336
    @barakamwantolwa4336 2 วันที่ผ่านมา

    Lisu alisema lkn

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 2 วันที่ผ่านมา

    Juzi singida ulienda kufanya nini na makamu mwenyeki wa chadema

  • @user-pq6wd1nj4d
    @user-pq6wd1nj4d 2 วันที่ผ่านมา

    Ugali ugali , njoo nyumbani ccm chama kikubwa

  • @AlphonceKomba-go3xu
    @AlphonceKomba-go3xu 2 วันที่ผ่านมา

    Maokoto time bado Lisu mtata

  • @erestizacharia4758
    @erestizacharia4758 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe shida madaraka na njaa tu.

  • @user-om2rc3gd3s
    @user-om2rc3gd3s 2 วันที่ผ่านมา

    Msingwa hujapotea karibu iringa tunakupenda

  • @georgepewa9624
    @georgepewa9624 2 วันที่ผ่านมา

    Njaa mbaya sana

  • @syliviawilison7090
    @syliviawilison7090 2 วันที่ผ่านมา

    Uroho wamadalaka una watesa viongozi wetu kwakwe munguatawalipa

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 วันที่ผ่านมา

    Mnafiki mkubwa wewe amani gani hio watu mpk juzi wametekwa umejiunga ccm kwa sababu umekosa cheo lengo lako wewe ni cheo tu ulipokosa cheo chadema mbaya

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 2 วันที่ผ่านมา

    Makala wewe sio msimamizi wa huo uchaguzi alio shindwa msigwa

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 วันที่ผ่านมา

    CCM insonesha udhaifu wake

  • @user-ru1yk6tc7w
    @user-ru1yk6tc7w 2 วันที่ผ่านมา

    Sawa

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 วันที่ผ่านมา

    Wanasiasa muda wote wanawaza vyeo🤣 kwa ccm vyeo utavipata, ndani ya ccm na ndani ya serikali.Huko mapesa watavuna tu😂

    • @mwansasu
      @mwansasu 2 วันที่ผ่านมา

      Naipokea Taaarifa😂

  • @AvitChaz
    @AvitChaz 2 วันที่ผ่านมา

    Vua na uchungaji

  • @user-pz2kp2ej5e
    @user-pz2kp2ej5e 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe una njaa tuu

  • @user-pq6wd1nj4d
    @user-pq6wd1nj4d 2 วันที่ผ่านมา

    Duuu tumepoteza jembe tumepokea jembe

  • @user-kr2qr8vx1x
    @user-kr2qr8vx1x 2 วันที่ผ่านมา

    Mnafki msigwa..mwangalienj sana....nipo pale

    • @dabigregory3221
      @dabigregory3221 2 วันที่ผ่านมา

      Mnafiki nini mwache Baba wa watu apumzike

  • @MATEIMichael-kx8ix
    @MATEIMichael-kx8ix 2 วันที่ผ่านมา

    Cbuma mbinu zao halafu utuletee

  • @user-pz2kp2ej5e
    @user-pz2kp2ej5e 2 วันที่ผ่านมา

    Naomba mamba yako

  • @mwanzadaniel2659
    @mwanzadaniel2659 2 วันที่ผ่านมา

    Uuuu wewe kaaa kimya

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 2 วันที่ผ่านมา

    Mema wewe Lini CCM?

  • @Garma-z9b
    @Garma-z9b 2 วันที่ผ่านมา

    😮😮😮😮

  • @user-pz2kp2ej5e
    @user-pz2kp2ej5e 2 วันที่ผ่านมา

    Tulia wewe mavi

  • @mwangajilemwangajile-hd9vj
    @mwangajilemwangajile-hd9vj 2 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji mzima unaenda upande wa dhuruma badala ya haki. Afadhari ugeenda hata ACT.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 2 วันที่ผ่านมา

      Haahaa mpinzani akijiunga na ccm simwelewi,😂

    • @Visiona897
      @Visiona897 วันที่ผ่านมา

      Hata huko upinzani kumejaa dhuluma tu wala hakuna haki. Msigwa amefanya maamuzi sahihi kabisaa kwa muda sahihi, Mbowe anaendesha chama kama familia yake. Hakuna demokrasia huko, hata Tundu Lissu anajua

  • @user-zj1ep6hn4p
    @user-zj1ep6hn4p 2 วันที่ผ่านมา

    Huna lolote kaka njaaa