WAZIRI AWESO AMUUMBUA MKURUGENZI MOROWASA, AMSIKILIZISHA SAUTI ZAKE - "UNATAKA KUUA, WEWE ISRAEL?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • WAZIRI AWESO AMUUMBUA MKURUGENZI MOROWASA, AMSIKILIZISHA SAUTI ZAKE - "UNATAKA KUUA, WEWE ISRAEL?"
    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameagiza kusimamishwa kazi kwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji Morogoro (Moruwasa) kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 48

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 5 หลายเดือนก่อน

    Press on waziri

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 2 ปีที่แล้ว

    waziri wetu unachapa kazi hongera sana sisi mkoa wa kilimanjaro kijini cha kilindini chini hatupati maji ni pakame sana lwengini kijiji hichichi wanapata maji tunakuombautusaindiehatusikilizwi kamwetutakufa na kiu

  • @samwelifredy6017
    @samwelifredy6017 ปีที่แล้ว

    Safi sana wazili

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 3 ปีที่แล้ว +2

    Hatari sana uweso Una kazi kwenye. idara ya maji. Hao watu. Ni wapigaji haswa. Sukuma ndani

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah!!! Samia Ana kazi kubwa na hawa watu.

    • @abdallahrajabu4401
      @abdallahrajabu4401 3 ปีที่แล้ว +1

      Achaaa ndugu yangu sio kazi ndugu ni masugu Hawa ni hatari Yani hata sielewi haya lini yataisha

  • @fikirimakengwa1080
    @fikirimakengwa1080 ปีที่แล้ว

    Mie netangwa Fikiri Omary Makengwa nekala walaya ya kirindi tanga kijiji kwamba kitongoji Kingo chan'gombe

  • @martinkadinda2790
    @martinkadinda2790 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaan Moro maji shida sn;..wananchi tunapata shida kwaajili ya viongoz km hawa ambao hawaelewi dhamana walizopewa.

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh, hizi tuhuma nzito sana kuliko kichwa cha habari chenyewe.

  • @fikirimakengwa1080
    @fikirimakengwa1080 ปีที่แล้ว

    Mwekazi weye uvyedi vidala waidamanya kaziyako vyedi nagamba gongelayako mgosi mie nivyo huunga ivyo kazi yako waidamanyavyedigaa

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 ปีที่แล้ว

    waziri aweso jitahidi kufanya kazi kwauwezowako wote wizara yamaji kuna madudu mengi sana chapa kazi

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 ปีที่แล้ว

    Ila hii dunia ngumu nyie kuna siku tutaamka asubuhi tusiikute walahi

  • @hamisipolenisanaissa8859
    @hamisipolenisanaissa8859 ปีที่แล้ว

    piga kazi waziri

  • @ashabajwalah9415
    @ashabajwalah9415 3 ปีที่แล้ว +3

    Kihonda Yespa maji ni shiida tunapewa ahadi tu

  • @isackkileo9295
    @isackkileo9295 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh

  • @abdallahrajabu4401
    @abdallahrajabu4401 3 ปีที่แล้ว

    Asiee daaa napata asira sanaaa

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 3 ปีที่แล้ว

    Bro AWESO piga kazi wabongo tunaona na kuheshimu kazi zako kwa faida ya TAIFA

  • @salmajuma9148
    @salmajuma9148 3 ปีที่แล้ว

    Mbn kipind upo naibu waziri enz za magufuli ulikuwa unafanya kz vzr Sanaa asa iv upo waziri umekuwa mpore sana

  • @fikirimakengwa1080
    @fikirimakengwa1080 ปีที่แล้ว

    Aweso weye wetangigwa mgosi kindedindedi uvyedi vidala mgosi

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 3 ปีที่แล้ว +1

    MORUWASA MUNGU ANAWAONA, AREA 5 MIEZI MINNE HATUNA MAJI NIMELALAMIKA SN NA WAKO KIMYA

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 11 หลายเดือนก่อน

    Hiyo misura yao hapo unaiona hasaa imekalia kiwizi wizi tu

  • @aishamsofe3274
    @aishamsofe3274 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuh!! Viongozi wa hivyo wanarudisha nyuma juhudi za viongozi wapenda maendeleo na kuwakosesha huduma wananchi

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa uyo unampa siasa yanini aweso.amekuzingua nawe mzingue akuna kurogwa hapo

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +1

    😳duuuh

  • @abiollashayo5698
    @abiollashayo5698 ปีที่แล้ว

    hiv nchi hii kuna mtu ali rushwa kwa wenye nafas zao serikalini?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    MHE aweso mlinde sana huyo kijana watamuua kweli

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 3 ปีที่แล้ว

    Simon Ngonyani ameguswa!!! Aisee kweli hii ni Awamu ya 6. Huyo jamaa ni kigogo mkubwa Morogoro nzima.

  • @joshuamatagane1318
    @joshuamatagane1318 3 ปีที่แล้ว +1

    Mlimuondoa Mkurugenzi aliyepita kwa hila, hila hizo sasa zinawatafuna wenyewe. Mrudisheni Mkurugenzi Angumbwike Nicolaus apige kazi

    • @angelicamichael1750
      @angelicamichael1750 3 ปีที่แล้ว

      Shida wanaendekeza majungu...wanatoa watendaji wazuri...wanaweka wanao wataka wao. Haya ndio madhara yake. Wanaanza kusutana wenyewe.

  • @salumlibaba9500
    @salumlibaba9500 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuh bado kuna kazi kubwa inapaswa kufanywa

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 ปีที่แล้ว

    RC wa Moro nae hafai kabsaaa,kairudisha nyuma Moro.

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 3 ปีที่แล้ว

    Uweso kazi yako bado sana, mbarawa ndo alikuwa anaweza

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 3 ปีที่แล้ว

      Sidhani hawa watu wa maji ni majambazi maana hata mbarawa walimshinda Hayate alikua kila siku anamkemea Mbarawa

    • @magorimagori9264
      @magorimagori9264 3 ปีที่แล้ว

      Mbalawa hakua na lolote...

  • @davyadamsontz
    @davyadamsontz 3 ปีที่แล้ว

    jAMANI jAMANI ACHENI UONGO HUYU HAKUWA MKURUGENZI NI MFANYAKAZI WA CHINI NAOMBA MUOMBE RADHI KWA KUPOTOSHA WANANCHI

  • @prosecutorprince281
    @prosecutorprince281 3 ปีที่แล้ว

    😲🤭

  • @joshuasamsonmoghu1355
    @joshuasamsonmoghu1355 3 ปีที่แล้ว

    Piga kaz Aweso

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 3 ปีที่แล้ว

    jpm hayupo tena mnafanya mnavyotaka

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mkurugenz na tim yake hakika wamejaa usheitwan wa hali ya juu. Mpaka kutaka kutoa ROHO ya binaadam mwenziwe daah

    • @josephatjordan5560
      @josephatjordan5560 3 ปีที่แล้ว

      😂

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 3 ปีที่แล้ว

      MAOMBI NA VILIO VYA WATU MUNGU AMESIKIA. WANATUTUSA SANA...
      AREA 5 HAKUNA MAJI

    • @davyadamsontz
      @davyadamsontz 3 ปีที่แล้ว

      hUYU HAKUWA MKURUGENZI WALA MKURUGENZI HAYUPO HAPO HAO WOTE NI WAFANYAKAZI TU JMN

  • @cadeteengele3765
    @cadeteengele3765 10 หลายเดือนก่อน

    Mungo Ako na wewe

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 3 ปีที่แล้ว

    Sijui tumerogwa na nani kila sehemu upigaji tu huduma hazipatikani. Waziri usiumize kichwa wewe sio hakimu kamata peleka mahakamani

  • @cypriankikoti9160
    @cypriankikoti9160 3 ปีที่แล้ว

    Waziri mwendo ni huohuo tuu hao jamaa hawana huruma na watu wao wapigaji sana. Huo ni ubinafsi usiotakiwa wapishe kabisa

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 ปีที่แล้ว

    ndo tatizo la kuwatoa huku na kuwapeleka huku,why? fukuza straight away huyo..hamna cha kupangiwa kazi nyingine? mnawalea wenyewe viungu mtu hivyo..