Msodokii Young Killer - Heshimu Kazi Yangu (Visualizer)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 386

  • @JanvierLwango
    @JanvierLwango 2 หลายเดือนก่อน +40

    Wakwanza kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nakukubali sana bro

  • @officialjaycrown
    @officialjaycrown 2 หลายเดือนก่อน +14

    KAka kusema tu ukweli unajua sana hadi sio pw maake sio kwa tuńgo hizo daah nakukubali sana lolimodo wangu na huwa natamani sana kufanya na wewe hata ngoma moja cause as the same na mimi ni rapper. 👍🏻👍🏻👍🏻

  • @JerwinJosephat
    @JerwinJosephat หลายเดือนก่อน +3

    Msukumaaaaaaa kama wewe msukuma weka like hapa tujuane

  • @SefuMbeto
    @SefuMbeto หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sna msodoki for hip hop

  • @kadala06
    @kadala06 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kazi ya mikono yangu ,,,,Ashsante Mungu kwa Kuibariki🙏🙏

  • @nellymurphy8553
    @nellymurphy8553 2 หลายเดือนก่อน +9

    Iitabidi waheshimu kazi zetu bwana Msodoki. Moto sana.

  • @EzraKatambi-g4b
    @EzraKatambi-g4b หลายเดือนก่อน +3

    💥Nimejaza Ngoma zako broo mpaka wananiita young Msodoki so please jina likianza kunilipa nakuomba usinidai 🙏🔥✍️

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 2 หลายเดือนก่อน +4

    Halooooi ngoma zangu hizi sio yale mapiano🎉🎉🎉🎉

  • @kwapuboy
    @kwapuboy 2 หลายเดือนก่อน +38

    Wasukuma wajanja tu like hapa

  • @laxmajor
    @laxmajor 2 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥

  • @AdamJackson-y4w
    @AdamJackson-y4w 26 วันที่ผ่านมา +1

    noma sana 🔥🎼🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌍

  • @aristidesmamba2278
    @aristidesmamba2278 2 หลายเดือนก่อน +4

    Classic man. 🇲🇿

  • @bendachi_the_artist
    @bendachi_the_artist 2 หลายเดือนก่อน +15

    Young Killer Mwanza Mwanza☑️☑️☑️

  • @RobaahKauruo
    @RobaahKauruo 2 หลายเดือนก่อน +15

    HESHIMA iwepo🎤🤜🏽🤛🏽 Kenya 🇰🇪 representing

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Heshimu KAZI YANGU 🎤🎶💥💥💥 Ni Jambo KUBWAAA #Young_Killer_Msodoki 🙌🙌🙌🙌

  • @OmarRamadhan-c6k
    @OmarRamadhan-c6k 26 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤🙏🙏🙏💪💪💪✊✊msodokii❤❤❤

  • @AlfredLeGrand-uv1in
    @AlfredLeGrand-uv1in 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza kutoka Burundi🇧🇮 big up san💪

  • @Jodozyn_48
    @Jodozyn_48 2 หลายเดือนก่อน +3

    Never stop kazi yangu ndo inaniweka mjini $##HESHIMUKAZIYANGU🔑🔥🔥🔥🔥

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 หลายเดือนก่อน +5

    Heshim kazi yangu mtaani pamoto tulize sisi tusio na ajila ww🔥💪💪💪

  • @AbeliKigawa-n5k
    @AbeliKigawa-n5k 2 หลายเดือนก่อน +2

    nice kazi nzuri japo kitambo

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 2 หลายเดือนก่อน +6

    Msodokiii🎉🎉🎉🎉 my best rapper

  • @koechkiprono7452
    @koechkiprono7452 2 หลายเดือนก่อน +5

    First one to like and comment ❤❤❤

  • @isaachakim31
    @isaachakim31 หลายเดือนก่อน +1

    Young King 🤴

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 2 หลายเดือนก่อน +6

    Roma kutekwa ni Siri ya Kambi, please niambie title ya song Young kiiler,hii Kali sanaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Kenya oyeeeeeh

    • @AteniOnesmo
      @AteniOnesmo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tafta sina swagg kama par4

  • @MapenziMartin
    @MapenziMartin 2 หลายเดือนก่อน +6

    young killer Msodokiii.❤🎉💣

  • @DjsimpleAlitchoki67
    @DjsimpleAlitchoki67 2 หลายเดือนก่อน +1

    Best rapper mimi ni fan wako toka drcongo i'm the Simple🔥🔥🔥

  • @paschalbuhalwe2449
    @paschalbuhalwe2449 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwabeja sandakalaweee❤

  • @filbetdaud4597
    @filbetdaud4597 2 หลายเดือนก่อน

    Oyaaa weeh umu umu mzee killer💥💥

  • @estonsmart
    @estonsmart 2 หลายเดือนก่อน

    Heshima Iwepo 🔥🔥

  • @RosecocoRose
    @RosecocoRose 2 หลายเดือนก่อน

    Ila huyuu jamni acheni kufananisha na yule mbana pua sijui anijiita young lunyaa
    Nakukubalii my broo msodokiii hakuna kama wewe na sio kila young ni killer uwezo unaongeaa lavyuuu❤❤❤❤

  • @KIDNESS1178
    @KIDNESS1178 2 หลายเดือนก่อน

    From drc killer msodoki ❤❤

  • @Mt_mathius
    @Mt_mathius หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kulala mwanangu, heshimu kazi yako

  • @wizzyBobby
    @wizzyBobby 2 หลายเดือนก่อน +4

    Best rapper msodokii

  • @SelaphinKulwa
    @SelaphinKulwa 2 หลายเดือนก่อน

    Bonge la goma ili 🔥🔥

  • @sheddmusic47
    @sheddmusic47 2 หลายเดือนก่อน +5

    We @youngkiller MSODOKIIII🎉🎉🎉

  • @nomineetz255
    @nomineetz255 2 หลายเดือนก่อน

    The true definition of Hip Hop proud of you Brother

  • @JacksonHuma
    @JacksonHuma 2 หลายเดือนก่อน +67

    Wapenda hipapu usipite bila ku like❤❤

    • @Bullah_tz
      @Bullah_tz 2 หลายเดือนก่อน +4

      kaka ni Hip hop sio hipapu

    • @mwafrikabarz4507
      @mwafrikabarz4507 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😊hipapu au siyo , Hip Hop

    • @Is_jooh
      @Is_jooh 2 หลายเดือนก่อน

      Hipapu tunapenda wote kaka 😂

    • @JoshuaDena-u9y
      @JoshuaDena-u9y 2 หลายเดือนก่อน

      Hipapu ni wewe

  • @allypandit
    @allypandit 2 หลายเดือนก่อน +2

    The genius Killer🔥🔥🔥

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 2 หลายเดือนก่อน

    Young mwenye killer zake kazi kubwaaaa sana

  • @jeremiahdaniel6900
    @jeremiahdaniel6900 2 หลายเดือนก่อน +1

    killer ni 🔥🔥🔥 tuzo sio kipimo cha kuwa unajua sana wakati mwingne tuzo za michongo tu.😂

  • @SidiAlly
    @SidiAlly หลายเดือนก่อน +1

    Yamoto sana

  • @onestartz
    @onestartz 2 หลายเดือนก่อน

    Noma sana

  • @EmmanuelCharles-mn8yv
    @EmmanuelCharles-mn8yv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngosha wanaman Big up broo🌄👣💪

  • @hassanihanzel
    @hassanihanzel 2 หลายเดือนก่อน +15

    Nimemind sana Hilo bonge lenye matiti manene maziti😅 😮😊

    • @frankkotte117
      @frankkotte117 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia jishangazi ilo😂😂😂

  • @Michambonline
    @Michambonline 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nina nyegeeh nyingi nahitaji wakunikuna wapenzi wangu nawapenda ❤

  • @RIDHIWANIAMINI-ox3td
    @RIDHIWANIAMINI-ox3td 2 หลายเดือนก่อน

    Big up sana brother...mistari ya favio foreign

  • @Mudi_brand
    @Mudi_brand 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mamen killer ❤❤❤

  • @SigibertMushy
    @SigibertMushy หลายเดือนก่อน +2

    Msukuma mjanja hata nikiwa na njaaa nikiskiza Ngoma zake wangu njaaina kata

  • @SameerSuge
    @SameerSuge 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msodokiii on top always💪💪

  • @habibutadeo8183
    @habibutadeo8183 หลายเดือนก่อน

    Na mkubali sana mzee wa njele hip hop killer

  • @PerezuAroma
    @PerezuAroma หลายเดือนก่อน

    Ipo kazi poa,,,, msoooodokiiii🔥🔥🔥

  • @MussaGi-q1q
    @MussaGi-q1q 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kiukweli niseme ya moyoni kaka msodoki unajua sana nakubali sana kwenye ngoma ya new girlfriend uliua sana mungu akulinde mwanawane ila tunahtaji collaboration kaka najua wengi utawaficha mchukue hata dizasta vina hao wengine utawapoteza ni hayo tu🫡🫡🫡🫡

  • @Giannoumiles
    @Giannoumiles 2 หลายเดือนก่อน

    King of Tanzania's hip hop❤

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 หลายเดือนก่อน +1

    Woyoooo! bonge moja la goma 🎉🎉🎉🎉

  • @YusuphMohammed-b9s
    @YusuphMohammed-b9s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Msodokiiii...🙌🙌

  • @EzraKatambi-g4b
    @EzraKatambi-g4b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wabheja sandakalawe ✍️🥂

  • @samwellsamwellswai
    @samwellsamwellswai 2 หลายเดือนก่อน

    msodoki the sun ndo abar ya ton🔥🔥🔥✌️kazi ya mikon yangu naiyeshim san

  • @kazezengwa
    @kazezengwa 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa ndio nimekubali mzee ❤

  • @sedjuh-n7z
    @sedjuh-n7z 2 หลายเดือนก่อน +1

    mje mlike na ngoma zangu o go by the name of sedjuh.

  • @Amosicharles-c3d
    @Amosicharles-c3d 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka unajua sana chukua maua yako 💐💐

  • @danielaloyce8418
    @danielaloyce8418 2 หลายเดือนก่อน +3

    wakenya hapaaa☝

  • @AliKeah
    @AliKeah 2 หลายเดือนก่อน

    Iko vizuri mwanangu💪

  • @EdgarMjanja
    @EdgarMjanja 2 หลายเดือนก่อน

    Umeixha broo kama yanga

  • @fidelemupilinda2677
    @fidelemupilinda2677 2 หลายเดือนก่อน

    nomah sana bro

  • @munixpicentertainment
    @munixpicentertainment 2 หลายเดือนก่อน

    Youngkiller is back 🙌 🙌🙌🙌

  • @Hamirazy26
    @Hamirazy26 2 หลายเดือนก่อน +2

    Young killer msodoki 4 hip hop forever 💯 ♾️🔥

  • @footytyme
    @footytyme 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wamemchokoza KING 👑

  • @KPMASTER-q1w
    @KPMASTER-q1w 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kashindiomari6552
    @kashindiomari6552 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndo young tunae mjuwa ongeza speed bro hua nakubali mawe yako sana.

  • @RodrigoBenedictor
    @RodrigoBenedictor 2 หลายเดือนก่อน

    Mpka nimeomb like ujuee motoo uuuu leooooo

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 2 หลายเดือนก่อน +1

    shabiki ako hapa from tz

  • @captainb.o.b568
    @captainb.o.b568 2 หลายเดือนก่อน

    MSODOKI IN THE BUILDING HIT💯

  • @allyseba172
    @allyseba172 2 หลายเดือนก่อน

    Hyu ndye yuleeeee killer nimjuae

  • @NgasaMaduhu
    @NgasaMaduhu 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanza Mwanza Mwanza 🔥🔥🔥🔥

  • @6melody567
    @6melody567 2 หลายเดือนก่อน +4

    Msodoki 🔥🔥🔥🔥

  • @digalaemily6051
    @digalaemily6051 2 หลายเดือนก่อน

    Hili goma lazima lihit kaka🙌🙌🙌✅✅✅

  • @JoanesMawawaJacob
    @JoanesMawawaJacob 2 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali Sana Mwamba Young killar Msodoki From Msubijii

  • @MongooFabre-yg6xp
    @MongooFabre-yg6xp 2 หลายเดือนก่อน

    Hizi ndio ngom umechok unatulia unasikiliz Muzik sio makelel Yale ya naniii❤❤

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asiyejua kwamba wewe ni killer ni nani❤

  • @gideondavid8249
    @gideondavid8249 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aiseeee bro bonge la ngoma yaniii 👋🔝🆙🆙 ila tunatamn Yako na dizasta moja tu Kwa ss mashabiki man

  • @JunoLay-Tz
    @JunoLay-Tz 2 หลายเดือนก่อน +11

    KILLER YOUNG SIO KILLER.UWEZO UTAJIELEZA, 🎉🎉 RESPECT FOR YOU MY BROTHER MSODOKI

    • @junokizzyoficial
      @junokizzyoficial 2 หลายเดือนก่อน +2

      Upewe mauwa yakoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @junokizzyoficial
      @junokizzyoficial 2 หลายเดือนก่อน +1

      Msooodookiiiiiii❤❤❤❤❤❤

    • @chechecomedy
      @chechecomedy 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nani? asiye jua wew ndo king wa mda wotee🎉🎉🎉

    • @JunoLay-Tz
      @JunoLay-Tz 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤

  • @JenivaAbel
    @JenivaAbel 2 หลายเดือนก่อน

    My favorite artist 🎉🎉

  • @KlikHapaTV
    @KlikHapaTV 2 หลายเดือนก่อน

    Beat Kali , Mashairi Makali

  • @nehemiajohnson4597
    @nehemiajohnson4597 2 หลายเดือนก่อน

    Biti kali sana mistari ndo usiseme umetisha kijana

  • @jaydabas4754
    @jaydabas4754 2 หลายเดือนก่อน

    Rock city on top #kazi

  • @tonymsiluwova3926
    @tonymsiluwova3926 2 หลายเดือนก่อน +1

    MSODOKI THE SON NDO HABALI YA TOWN❤

  • @realmadridfans9098
    @realmadridfans9098 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kulala mwanang mkwanja unasakwa iwe usiku au mchna 💪💪💥💥

  • @buffalo_arts_familly_movies
    @buffalo_arts_familly_movies 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉 sawa mkuuu

  • @RespisPatrick24
    @RespisPatrick24 2 หลายเดือนก่อน

    hii kazi ni ya moto sanaa💪💪.

  • @mfuasieddyson6521
    @mfuasieddyson6521 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu mbad since day one killer boiiiii

  • @guzomc
    @guzomc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Heshimu kazi yangu
    kazi ya mikono yangu naheshimu sana💪

  • @Salumukilozo
    @Salumukilozo 2 หลายเดือนก่อน

    good like and man my brother young msodoki

  • @greywizzphilipo
    @greywizzphilipo 2 หลายเดือนก่อน

    Sinaga swagger on top tunacome for blessing

  • @EliasLucasjr
    @EliasLucasjr 2 หลายเดือนก่อน

    home boy umeupiga mwingi hiyo ngoma 😄

  • @carlivian
    @carlivian 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nomaa sanaa💯💯🔥❤️

  • @Jacde6ix
    @Jacde6ix 2 หลายเดือนก่อน

    Bonge la drill dro country hajabadilika kwenye Hilo goma angechange pigo🎤🎤🎤🎤🎤🎤

  • @ngasamotv358
    @ngasamotv358 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanza mwanza 👊👊👊

  • @VeranDevasc
    @VeranDevasc 2 หลายเดือนก่อน

    Young killer msodokiiii respect for ue genius

  • @IddyAmos-z1x
    @IddyAmos-z1x 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz yangu makini sanaa

  • @footytyme
    @footytyme 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mawe juu ya mawe