Young killer ana kipaji Cha Rap na mm n shabiki yake....Ila shida n kwamba hafanyi kazi serious..n Kama vile hajachukulia anachofanya n kazi na Ina ushindani, sio burudani tu
Kufananisha young killer na young lunya nikukosea young maan young killer anaimba na kina fid q young lunya anajifunza mziki bib up young killler msodoki ❤1❤❤❤
Young killer nakukubar wana kweli kila berat unakuwa sana,kweli sija ingia studio ila kweli umenivutia mpaka nataka kufanya korabo 'na wewe kwa kila berat yoyote najisikia nitauwa 'na mimi
Ni wazi kwa wote tunomkubali sana Msodoki tutaangusha like APA👍👍
Tunao umkubal mwamba ngonga like
Killer kana umependa ubunifu kwa hao madogo gonga like
Km unamkubl mwamba weka like angau zifike ht kumi
Gonga like kama hujawahi kumdisappoint Young killer msodoki 💫🤝🔥🔥🙌
th-cam.com/video/bKVK0bQb7Ds/w-d-xo.html
🏂
Kama unaamini MBUZI kaingia zizi la FISI nipee like zangu #killer 🔥🔥
Killer The Son.... Showing Love To Young Killer,,,, Team Killer Let Us Go With So Many Likes Here... 👇🏻
Copy and paste BINGO ya PANTA BOY ..instrumental na chorus 100%
“Raha jipe mwenyew ila ukipewa kuna raha yake..”😮😮😮🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
Mtajua tu kwann tumezaliwa juu ya mawe lakin maji yapo ya kutosha✌️
Hata mm staki kuwa single 😍😍 Kama na ww hutaki kuwa single WEKA like hapa
Ujue me sinaga swaga kabisa 🔥🙌
Sitaki kuwa single❤
Nakubar killer ni mkali🔥🔥🔥
Huyu ndo killer msodokiii ninayemfahamu..keep it really👍👍👍
rapa mwenye uandishi makini na mwenye utulivu ever....
Young killer is the most wanted because he kills in every beat 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
noma kwer
Amecopy BINGO ya Panta boy mulemule... though i appreciate what he did
Uyu mwamba ndio wakwanza wapili nawtatau nandio mwisho mzee
Aliye sikiliza mara tatu🔥🔥 kama Mimi tujuane hapa👇👇👇👇
Msodoki anajua apo ana manager anaishi ulaya angekuwa anamanegment angeishi mbinguni ❤❤❤
Ngoma ni kali top five wangu
ujawai niangusha 👏 uu ndo mziki mzuri unao faa kusikilizwa masikio,Staki kuwa singo🔥🔥
Oyaaaa eee me taila kwa young killer hakuna na hatakuwepo kama yeye woooote like hapa
Big love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Young Killer To the world 🥳 🥳 🥳 🥳 🥳 🥳 🥳 🥳
Wakwanza jamani nifanyieni hak... #MsodokiTheSoni
Picha linaanza msodoki kaanza balaa aya like zetu team msodoki
Killer ni legendary msi mcompee kabisaa huyu son 🔥🔥
Niambiye niku sapot namnagani ili usije uka fuliya mana staki nikuone una fuliya ❤❤❤❤❤💯%
Nakukubali sana blood 🔥❤️
Brother i❤ I'm from usa🇺🇸 niko fans wako sana
Wakwanza 🤘🤘🤘 young killer nipe like
Kama una mwelewa jamaa. SANA NA UNAWEZA UKAJIPA TYM.. HATA MARA 2.. UKASIKIZA NGOMA YAKE GONGA LIKE.. HAPA TWENZETU MJINI👊
Msodoki handsome aliyo kosa matunzo na ujue sinaga swagger kabisa mwamba anajua
Young ni mmoja yaani killer 😊
Killer ni muuaji kama jina lake 🔥🔥🔥 much love from Mauritius 🇲🇺
Erick badilisha style ya uimbaji, Nyimbo zako zina fanana ndiyo sababu wenzio Dharau
Killer kama killer 🔥🔥🔥🔥
Duh Kuna vya kushare sio mpnz
Ujue Si hatunaga swaga kabs yule boy msodoki 🎉🎉🎉🎉🎉
Muziki imepatiwa Kila konaaaa lyrics zenye power, video Kali bila Swaga, flow ni ebhanaaaaaaaaa
Twende kazi Boy"" mchango wangu upo you are capable"" it is horrible get married soon as possible.🤰🤰🤰🤰❤️❤️❤️❤️
DAKIKA YA KWANZA BAADA YA KUACHIWA 😁❤🔥 LOVE YOU KENDRICK
Kila hatuwa tuwa hakuna kulemba msodoki 🎉🎉🎉🎉🎉
Msodoki sikupingi kaka. Alafu mara ya kwanza nilijua piano hii nyimbo kabla sijaisikiliza kwasababu ya jina la nyimbo staki kuwa single
team killer tukutan hapa kwa like man huyu mwamba anajua hatar
Young killer 🔥🔥🔥🔥🔥. Sio levo za Africa . Siku akigundua kufanya ngoma zake kwa English Itakuwa MAZISHI
Umeongea kitu poa Sana
Live nikama juice wrld,wa bongo au kina durkio na J.cole, ryirical murder 🔥🔥🔥🔥
@@ESTHERSUNGI-cz8skmom whatchu sayin?
Kabisa
Nakubal san mwamba killer umeipa jamiii wazoooo blood jah bless mapambno2 aweke kaz zako hit ✌️🇬🇭🥾🙏💯
Killer 🔥🔥 # young killer msodoki ❤🙋♂️
Young hero umetisha sana blood yangu aminia
Msodoki The Son🗣️🔥🔥🔥🔥
Boss 😁
Oyaaaa mwambaa like nying
Daaah kiukweli hakuna wakukufananisha nae nashangaa sana watu wanakuringanisha Tena we ni Rapper unaehit bila Promo🔥🔥🔥
Kuna mtu 😂demu wake hatujawai kumuona alafu anaongea sana 😂😂😂 support from 🇰🇲 comoros @yougkiller
#msodoki
The Killer in the building again, let's go 🚶 eeh bwana! ❤❤❤🎉🎉 from D.R.CONGO
Umetisha Eriki ngoma Kari video Kari 👫 atuwez kuwa singlo
Some classic music 👣
Young killer ana kipaji Cha Rap na mm n shabiki yake....Ila shida n kwamba hafanyi kazi serious..n Kama vile hajachukulia anachofanya n kazi na Ina ushindani, sio burudani tu
Msodokiiiiii the killer🔥🔥🇹🇿🙏!
Na gari haiendi bila mafuta . niwazi nafaa kazi...✋❤🈳
Killer on top🔥🔥🔥
I am the first from guinea @rachodo
We Jamaa unajua kisenge kmmqe.... Bonge la chupa Bonge lyrics 🔥🔥🔥🔥🔥
Ambao tume rudia zaidi ya mara 10 huu wimbo tujuane
Ndio pia mm sitaki kuwa single ❤❤❤
Tugonge Like Hapa Kama Atutaki Kuwa Single 🎉🎉🎉
Hapa kazi maneno machache kazi kwa sana, ivi madogo wale wa Upande wa pili wako wapi...? D na janjaro 😝😝😝 wakojoe wakalale ke baby 😎👋👋
The son 🙏🔥🔥
Ukimba mziki wa kingereza utatoboa sana ngoma amini kwamba mziki unasoko nje mwanangu msodoki
Killer kills🔥🙌🏾
Makini sana jamaa hicho kiuno Cha huyo mtoto kimefany nimkumbuke Ex wangu tupashe vipolo.. 💥💥💥
Kama unamkubali NGOSHA mpe mauwa yake kijana anapambana sana afuati upepo 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nakkubar kaka kichwa kinachaji
This is dope 🇰🇪🇰🇪🇰🇪⭐⭐👑👑
Respect Kwa msodoki hatutaki kuowa single. Ukiongelea hip hop ni mwanza na kaskazini 😂😂😂😂
Freestyle unakaa , content nd Zmejaa, Kwa Hela Tuko Far , Na tunalal na mpenz hatulali na njaa😂♥️
Kenya tunamkubali sana YKM(msodoki for life yaani mwanzo mwisho)
Killed it g
Aafu eti yule Tozi anajifananisha na msodoki.. buda watu wanajichocha mbaya. Young Killa Ni noma Sana bonge la ngoma
Dope track Erick
Kufananisha young killer na young lunya nikukosea young maan young killer anaimba na kina fid q young lunya anajifunza mziki bib up young killler msodoki ❤1❤❤❤
Eeeeh bwana always u kill in every beat respect🔥
Video 🔥..killer mwanz mwanza✊
Msodoki the sun 👊👊👊👊👊👊💯💯💯💯
Watchers 2024 hii ngoma ina kitu
Killer 🔥🔥🔥
Huu ndio mziki unao takiwa katika kizazi hiki nakupa mau yako broo
Hip hop is still live
Kama kawaida yako ngosha hukoseagi we jamaa 🥰🥰🥰😘😘😍😊😊🤗😊
Young Killer You kill the Hiphop Receive my respect
🎉🎉🎉🎉 siyo kwamba umekula bebe zake nyingi kabla hazidangi.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂too much love to yo ma home boe. obhejasana.
Sitaki kuwa single 🔥🔥🔥 #RockCityGeneration
Ukichezea life itakuchapa fimbo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Killed it 😍❤️🔥🔥🔥
Young mwenye Rasta na KILLER ZAKE!!
Killer the son you kill in every beat 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥
Young killer nakukubar wana kweli kila berat unakuwa sana,kweli sija ingia studio ila kweli umenivutia mpaka nataka kufanya korabo 'na wewe kwa kila berat yoyote najisikia nitauwa 'na mimi
This was suggested to me while listening to the song “Dupe - Skeni Shans” 😊
Alafu anatokea mpumbavu mmoja anajifananisha na our one and only Young Killer @Younglunya itakuchukua miaka mia moja kufikia level za msukuma mjanja
On top 💯💣
Push by oder L❤ muzik.1'
Msodoki the son 🔥🔥🔥💯