Salama Na TOUFIQ SE6 EP73| um'PENDAE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @jumamuhammed7421
    @jumamuhammed7421 ปีที่แล้ว +12

    Salama jitahid kukumbusha sana unaowahoji wazungumze kiswahi.

    • @prof.ibrahim1883
      @prof.ibrahim1883 ปีที่แล้ว

      😂 pole

    • @salamisindimwo303
      @salamisindimwo303 ปีที่แล้ว +1

      yaaani, kidhungu cha jumla na reja reja...tulokimbia somo la ngeli darasani interview hiyi hatufui dafu...nimejua ku😂😂😂

    • @RiricaMswati
      @RiricaMswati ปีที่แล้ว

      ​@@salamisindimwo303kingereza kutojua sio kukimbia shule tu unaweza jifunza

    • @raymoshmikidadi87
      @raymoshmikidadi87 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani kingereza huelewi? Jitahidi ujifunze japo kidogo kama huelewi ndio usikwazike

  • @sundaylema249
    @sundaylema249 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa ni genious from day one nilimuona!appart from that he is down to earth person!

  • @ahmedhafidh3515
    @ahmedhafidh3515 ปีที่แล้ว +4

    Salama.....JOEL NANAUKA tuletee tafadhali..

  • @barashially6136
    @barashially6136 ปีที่แล้ว +5

    Tuletee joel nanuka ni mtu mweny madini mengi sana

  • @tanganigga3499
    @tanganigga3499 ปีที่แล้ว +2

    Inakera show za kiswahili ziongelewe kingereza
    😎

    • @RiricaMswati
      @RiricaMswati ปีที่แล้ว

      Watu wa aina tofauti wanapita hapo

  • @faridaalawy7290
    @faridaalawy7290 8 หลายเดือนก่อน

    I like him his is our brother may Allah bless him

  • @susancharles1660
    @susancharles1660 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ameishi nje ya nchi simlaumu kuongea kiingereza lkn unakuta mtu yupo bongo hata hajawahi kwenda Kenya ndio anajifanya km anatafuta maneno ya Kiswahili

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha duh nimecheka sana

  • @ZuhuraOmar-x5t
    @ZuhuraOmar-x5t 8 หลายเดือนก่อน

    Baba yko alikuwa Mtu Mzuri sana ila Chawa wake ndio walimuharibia Mzee.Kwa Jimbo La Mpendae Wabunge bora 2 tu.Issa Baharia na Turkey(Allah warehemu)

  • @Mwamy11
    @Mwamy11 4 หลายเดือนก่อน

    We dont say i was good in mathematics we say I was good at mathematics 😊

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 ปีที่แล้ว +1

    Very bright guy

  • @bedabenson6576
    @bedabenson6576 ปีที่แล้ว +2

    Tuletee Juma Mgunda

  • @husseinwemmar6217
    @husseinwemmar6217 ปีที่แล้ว +2

    Mlete mzungu salamaaaa🤣🤣🤣

  • @nataemsuya
    @nataemsuya 6 หลายเดือนก่อน

    Mahojiano yalikuwa poa sn. Ila ingekuwa poa sn na kuonekana iko na motisha km mngetumia lugha moja tu, na muhojiwa namjua anajua lugha ya kiswahili vzr na kingereza vizuri. Kwanini msingetumia kingereza mwanzo mwisho bila kuchanganya kiswahili???mbona ujumbe ungefika tu. Mtu anapochanga lugha zaid ya moja anapitisha ujumbe gani kwa wasikilizaji🤔?kwama lugha zote sio mzuri, yani kiswahili anajua 50%na
    Kingereza 50%?😂😂😂
    Irudiwę bwana Ila iwę kingereza 100% mwanzo mwisho maana watz woote wanajua kinge 🧠

  • @Moc.khalfan
    @Moc.khalfan ปีที่แล้ว

    Maziko ya baba yake Kuna watu hawakuweza ata kuiona nyumba ya marehemu Wala hawakuona jeneza la marehemu kwa watu walivyokua wengi

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee soudy brown na ikiwezekana avue lile kofia lake

  • @jaaffarabuu6750
    @jaaffarabuu6750 ปีที่แล้ว

    Nzur❤

  • @idrisanassor7744
    @idrisanassor7744 ปีที่แล้ว +4

    Ilkuwa tunaomba intavew ya jb

  • @Hakunamatata_shop
    @Hakunamatata_shop 9 หลายเดือนก่อน

    salama mtafute @sale said wa ZMMI Zanzibar

  • @lucianmartin-kn9xj
    @lucianmartin-kn9xj ปีที่แล้ว

    Tunamuomba dj joozey

  • @idrisanassor7744
    @idrisanassor7744 ปีที่แล้ว

    Hongeraa snaa

  • @stevennyondo2215
    @stevennyondo2215 ปีที่แล้ว

    Thanks 👍

  • @yustomakangula2361
    @yustomakangula2361 ปีที่แล้ว

    Juma Mgunda fanya naye kipindi

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 ปีที่แล้ว +2

    Anaboa anaongea sana Kingereza wengine hatuelewi

  • @godfreymiho4927
    @godfreymiho4927 ปีที่แล้ว

    🔥💯👊

  • @josephmaganga9948
    @josephmaganga9948 8 หลายเดือนก่อน

    Salama safari hii umechemka kwenye lugha

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    😘

  • @stonetown578
    @stonetown578 9 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah