NILISHANGAA KUONA HAKUNA VIBAKA WALIOIBA ILA WALIKUWA BIZE KUOKOA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @DIEUDONNE-PRAY
    @DIEUDONNE-PRAY หลายเดือนก่อน

    FROM DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 TANZANIA IS MY SECOND HOME POLE SANA TANZANIA 🇹🇿 POLE KARIAKOO 💪

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h หลายเดือนก่อน

    Ukifikiria vizuri utagundua cc watanzania tunaupendo sana

  • @tukio-q7p
    @tukio-q7p หลายเดือนก่อน +7

    NDIO TUSIDHARAULIANE, HUJUI NANI ATAKUJA KUWA MANUFAA KWA WENGINE, JAPO TUNA KASORO ILA TUPEANE HESHIMA KWA SOTE BILA YA KUJALI DINI, KABILA, CHEO, UWEZO

  • @zamdanamwenje9415
    @zamdanamwenje9415 หลายเดือนก่อน +1

    Nilijiuliza ilo swali nikajijibu mwenyewe nashukuru nimepata majibu mwenyezi mungu awalipe wote waliojitoa kupqmbania wenzetu ishaaalah

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 หลายเดือนก่อน +3

    MwenyeziMungu awalipe Kila kheri na awaongoze ktk njia ya sawa hao vibaka

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 หลายเดือนก่อน +1

    Haya maisha hakuna kudhalauliana

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mkubwa

  • @gladymtui3475
    @gladymtui3475 หลายเดือนก่อน

    Ima from pasua mosh