TAZAMA HASSANI MWAKINYO ALIVYO MPIGA KO MPINZANI WAKE DANIEL LATREY KWENYE RAUNDI YA TISA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 85

  • @MasoudNyoni-g8o
    @MasoudNyoni-g8o หลายเดือนก่อน +4

    Hongera zamaradi TV kwa ujumbe mzuri wa mchezo wa ngumi

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me หลายเดือนก่อน +20

    Ukiwa mchawi hauta mkubali huyu mwamba Yuko vizur mungu amsimamie Hassan afike lengo INSHAALLAH

  • @MussaAnderson-r4f
    @MussaAnderson-r4f หลายเดือนก่อน +6

    Chmpez mwakinyo ni bondia wamfano na wakuigwa Tanzania

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me หลายเดือนก่อน +7

    Ama kweli aliopewa kapewa Tim kiduku acheni fitna mwakinyo anajua tanga tuko vizur

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 หลายเดือนก่อน +4

    Left hook mtangazaji sio right, unkazana na light light sema right

  • @SelemaniKidundo
    @SelemaniKidundo หลายเดือนก่อน

    Hasanifundiwangumi wengineporojotu❤❤❤❤❤❤

  • @AnuaryShedafa
    @AnuaryShedafa หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ndio mwakinyo one time ana kuchamba na kipigo anatembeza 😂😂❤💪💪

  • @JOHNSONKIMARO-y4u
    @JOHNSONKIMARO-y4u หลายเดือนก่อน +7

    Sio right ni left hook alafu power in normal lakini good timing, bigup champ

    • @BuhairTwaha
      @BuhairTwaha หลายเดือนก่อน +1

      Ukiwa southpaw right inabadilika inakua left kwo wako sahihi

    • @JOHNSONKIMARO-y4u
      @JOHNSONKIMARO-y4u หลายเดือนก่อน

      @@BuhairTwaha Asante mwalimu, lakini sio kwamba kama Southpaw tutaiita Left Cross?

    • @Ram8193K
      @Ram8193K หลายเดือนก่อน

      Southpaw huwa wanapiga Right Hook ​@@JOHNSONKIMARO-y4u

    • @RevocatusPamba
      @RevocatusPamba หลายเดือนก่อน

      Km power n normal we zako heavy zwap

    • @JOHNSONKIMARO-y4u
      @JOHNSONKIMARO-y4u หลายเดือนก่อน

      @@RevocatusPamba siku ukiona heavy utanielewa,

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 หลายเดือนก่อน +3

    Kiduku hajui ngumi

  • @MohamedAlly-h4u
    @MohamedAlly-h4u หลายเดือนก่อน

    Huyu Mghana anamfahamu Champez, mana angetaka kuendelea....punch zake zingekuwa hazisemeki

  • @HajiJuma-in2jj
    @HajiJuma-in2jj หลายเดือนก่อน +2

    Ukiwa mchawi huwezi kumkubali mwakinyo mwakinyo Tanzania hakuna kama yeye

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w หลายเดือนก่อน

    Masha Allah champion Hassan ❤❤❤❤❤

  • @seniorlecturerperfectboy5615
    @seniorlecturerperfectboy5615 หลายเดือนก่อน

    Right ...light

  • @charlestesha4202
    @charlestesha4202 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anajua sana ila tararira nying

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w หลายเดือนก่อน +2

    Other Mohammed Ali ❤❤❤❤❤

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 18 วันที่ผ่านมา

      Futa hii kauli 😅😅😅

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w 18 วันที่ผ่านมา

      @badmanno.1650 go to hell

  • @DoctMbegu
    @DoctMbegu หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo mtu mubadi sana ww waligetu paka wasemee👊👊👊👊👊👊🤘

  • @nasrikhoja9664
    @nasrikhoja9664 หลายเดือนก่อน

    Good champez

  • @shukranimbigi2208
    @shukranimbigi2208 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo chizi anayesema mwakinyo ajui ndo bondia pekee anayepiga left ukii na ndo bondia pekee mwenye mafanikio bongo

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera Hassan

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 หลายเดือนก่อน

    Watangazaji tungekuwa hatuangalii tayari umlishatudanganya eti right😂😂😂 mmh jamani

  • @AbdallahAlongwe
    @AbdallahAlongwe หลายเดือนก่อน

    Unaoneka ujui ila unapenda endelea kupenda vibovu nusu nyota akuna alichomuongezea zaidi ya watu kama nyinyi msiejua kuongezeka tu

  • @aronboy1
    @aronboy1 หลายเดือนก่อน

    Yaan nikiangali mapigano ya mambele naona sisi bado saan sema kaka mkubwa akomae tuna mtegemea

  • @HassaniKikoti
    @HassaniKikoti หลายเดือนก่อน

    We ni team kiduku tukaushie

  • @clementrobert-s5s
    @clementrobert-s5s หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌

  • @TheDonn007
    @TheDonn007 หลายเดือนก่อน

    Sio right 😂😂 ni left hook jooo

  • @KidumetokaKyelauko
    @KidumetokaKyelauko หลายเดือนก่อน

    Kubali iyo

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 หลายเดือนก่อน

    Watangazaji wa kisenge mtu kapigwa lefty wanasema uneoyoona right TV yenyewe camera zimezubaa ni wide angle tuu tuaache ushamba azam ni Azam.

    • @AwadhiSiraji-gw8lo
      @AwadhiSiraji-gw8lo หลายเดือนก่อน

      Haoazam kwani kawakataza kuonyesha?

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 หลายเดือนก่อน

    Fight ya kawaida Ila inatuburudusha sisi washabiki wa mziki mzuri ,mmeumbuka kambi ushirkina

  • @SalimJuma-q6t
    @SalimJuma-q6t หลายเดือนก่อน +1

    Samahani nawaomba zamaradi msichelewe sana kurusha matukio baada kuredi ingawa mm sina ninalo lijua kwenye mitandao nashauritu

  • @AbdallahAlongwe
    @AbdallahAlongwe หลายเดือนก่อน

    Anakitu bondia mwenyewe ana nusu nyota inamaana sio hazi ya mwakinyo apigane na watu anao fanana nao uyo bondia ni ndizi mwakinyo muoga tu anatafuta viande

  • @abdallahmadeghe6647
    @abdallahmadeghe6647 หลายเดือนก่อน

    Wache walete fitna sisi tunabutua tu, unaweza Mzee fitna na mipango ya Allah niuongo.

  • @AllyMohamed-w5x
    @AllyMohamed-w5x หลายเดือนก่อน +1

    Togoraaaa

  • @baruakivuma8024
    @baruakivuma8024 หลายเดือนก่อน +3

    Hizi ni ngumi mdomo hamna kitu hapo

    • @farahaniIbrahim-y6g
      @farahaniIbrahim-y6g หลายเดือนก่อน

      Utakua na mimba changa ngoja ujifungue tukuangalie

    • @baruakivuma8024
      @baruakivuma8024 หลายเดือนก่อน

      @farahaniIbrahim-y6g Kinachowaponza wengi wenu ni kufata mkumbo na hamtaki kusikia mawazo ya mtu mwingine eidha kukosoa au kua tofauti jambo ambalo haliwezekani na halipo .

    • @ayubuzayumba
      @ayubuzayumba หลายเดือนก่อน

      Tako ww

  • @DIZOGFARU
    @DIZOGFARU หลายเดือนก่อน

    Mwamba anaweza ila pambano lake mengi michongo

  • @Paulomkude-n1e
    @Paulomkude-n1e หลายเดือนก่อน

    Aaaaah fighting ya kawaida sana wala hakuna skills zozote hapo ni bahati TU, kwanza sahs jamaa fitness hana ,na mnaomzungumzia kiduku kumbuken twaha anapewa game ngumu ambaz angepewa mwakinyo tusingetoboa, akapewa sele ikawa ngumu pia kwake hapo namzungumzia wellem

  • @HAJIMUSTAFAHASSANI
    @HAJIMUSTAFAHASSANI หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jaama nikatili

  • @hijakinina1793
    @hijakinina1793 หลายเดือนก่อน

    Tatizo roho mbaya tu sasa watu mlitaka mvuto gani

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 หลายเดือนก่อน

    Hassani bado anaendeleza usungura kwenye gem

  • @simonkitaya5658
    @simonkitaya5658 หลายเดือนก่อน

    Kawaida

  • @SaidAkida92
    @SaidAkida92 หลายเดือนก่อน

    Matako yako meusi ww eti haina mvuto nyau ww hujui ngumi matako ww pambana zuri sana sana tena ww kuwa mshabiki wa rede tena ukacheze na dada zako

    • @edwinemillian2663
      @edwinemillian2663 หลายเดือนก่อน

      Sio kutukana jamani tujibizane bila matusi

  • @DavidMbilinyi-tn3jm
    @DavidMbilinyi-tn3jm หลายเดือนก่อน +2

    Mwakinyo bonge la bondia

    • @HamzaChitanda
      @HamzaChitanda หลายเดือนก่อน

      Hakuna mpinzani hapo😮

    • @frankmfuse6990
      @frankmfuse6990 หลายเดือนก่อน

      Kamlete ww huyo mpinza i

  • @ShebyShabalal
    @ShebyShabalal 7 วันที่ผ่านมา

    Atamuua akimbie

  • @paulmwangoka
    @paulmwangoka หลายเดือนก่อน

    champenzi anacheza ngumi kulingana na wewe ulivo kuja kama Una akili nyingi kwenye mchezo yeye anakuwa zaidi yako

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 หลายเดือนก่อน

    Hakuna bondia hapa ushuzi mtupu kama anaweza basi atupigie yule msouthi tuone yani unaagiza hawa kuku Wa mdondo ndio unajiita bondia 😂😂😂😂😂😂

  • @IsayaZablon
    @IsayaZablon หลายเดือนก่อน

    Tz hakuna bodia kama hasan mpaka piko hapa hawez na yure.mapafu.ya.kuku.atakufa

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x หลายเดือนก่อน

    Other Mohamed ally

  • @JumaJax-x9l
    @JumaJax-x9l หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo hatar

  • @daijuma3956
    @daijuma3956 หลายเดือนก่อน

    Asant

  • @chasamatv5782
    @chasamatv5782 หลายเดือนก่อน

    Unarusha kama sesional

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakinyo VP bro niaje mwanamme shababi hasuki unazingua 😂

  • @JumaIddi-o6f
    @JumaIddi-o6f หลายเดือนก่อน +4

    Fight ya kawaida sana na aina mvuto wowote kwa wanaojua ngum......

    • @kichwaMasta-ys6wt
      @kichwaMasta-ys6wt หลายเดือนก่อน

      Una kipande

    • @AidanHamza-z6e
      @AidanHamza-z6e หลายเดือนก่อน +3

      Usinge angalia kwan ulilazimishwa

    • @oliversimfukwe9828
      @oliversimfukwe9828 หลายเดือนก่อน +3

      Acheni wivu Mwakinyo yupo vizuri

    • @musaambonisye6046
      @musaambonisye6046 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂una mdomo kama mtoto wa kike, afu mtoto mzur kabisa wewe hata huo mchezo huwezi kazi kupiga domo tuu

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu หลายเดือนก่อน +1

      Ungeingia wewe tuone unachokiweza povu tu kupigana ahaaaa