ZUCHU NAMPENDA SANA DIAMOND | NATAMANI TUFUNGE NDOA MAPEMA | BADO HAJANICHUMBIA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 26

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    DIAMOND AKIFUNGA NA KING'ANG'ANIZI NDOA ATAKUWA MJINGA KULIKO! MAANA ASTHMA IS A DOMINANT TRAIT.

  • @mkumuletv2011
    @mkumuletv2011 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    ❤❤BEAUTIFUL COUPLE

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ni Mtihani MKUBWA ukisha kuwa Desperate kiasi hiki,Dada Diomond kukuowa ita take time Mnoo,Kiasi Wewe tu jinganganize ,Na pili Utatoka kama gueen masanja, Omba Mungu akupe Mume alosahihi KWAKO,Ila Kwa Dai Itaingia kama DIVA na kuachwa na Maumivu

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ataendelea tu kumlazimisha hadi amuoe😂😂😂😂😂😂kampeni itaanza

  • @dinimanabii833
    @dinimanabii833 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    kuna madhara makubwa sana mwanamke akilazimisha ama kushawishi kuolewa.

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ko unataka akae kimya kabisa kama dada zako wajazwa mimba tu wakiwa nyumbani

    • @salimmwakaribu942
      @salimmwakaribu942 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂​@@AllyNzisabira

    • @AyshaMuhajir
      @AyshaMuhajir 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mb0na si vibaya

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@salimmwakaribu942 😂😂😂

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna ndoa hapo

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kulazimisha ndoa sio baya Maana dhinaa mbaya

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli mwanamke mwalimu wake ni mwanamke mwezie...

  • @Derick-k6w
    @Derick-k6w 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I love you Zach

  • @shanishani-qv3bc
    @shanishani-qv3bc 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu wanavyo comment ni wao washaachwa sana na hawana mabwana ata wakumueka ndani

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mkumbushe kabisa hao wanaokupinga wanataka uwe kama dada zao wamezaa zaa hovyo wakiwa nyumbani kwao wanaona gere tu

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Anapenda, helazake, Engekuwahana, pesa, Ungempenda

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwani we uliyenae anakupendea pesa au

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ko Zuchu umeona Hana Pesa? Zuchu ndio msani wakike anaeingiza pesa ndefu kwenye muziki wake kuliko msani yeyote wa kike pia kwa wanaume yupo top4 wew unamzungumzia je? Ulitaka asimkumbushe kujisafisha mbele ya Mungu?

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chezeeni tu shilling chooni lakini ombeni ikija siku ikatumbikia ndio mtajua chezeeni tu

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aliya yukwapi😂😂

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 anakuchezea tu kukuowa hiyo sahao unapoteza tu muda wako We huoni wanawake zake walikua wazuri wote kazaa nao tu pole sana

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani wameshachoka kuzi hata anatakakuolewa sasa

  • @Ormelody-m6x
    @Ormelody-m6x 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ambiyeni diamond amu owe zuchu anamzehesha

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      we mwenyewe mama yako amezeeshwa

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂