Kati ya marefa ambao ni bora na kidogo wanajua wanachofanya ni pamoja na huyu, nimefatilia mechi zake naona yupo poah sana......#all the way from +254🇰🇪....i love Simba so much🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤
NAOMBA MUANGALIE KAZI YA MANULA HAPO MWISHONI MWA VIDEO ,,,,TUSIJIFANYE HATUONI ,,,,HAKUNA KIPA HASIYEHARIBU ILA KAZI YAKE KUBWA INAONEKANA,,,,LUIS ON FIRE💥💥💥
Asante mungu kwa ushindi uliotujalia simba sport club dhidi ya kmc football club tunaomba mungu uzidi kutupigania simba sport club tuendelee kupata ushindi dhidi ya timu pinzani tutskazocheza nazo amina
Maoni.. Hizi highlights muwe mnaweka title ambay0 ni consistent kila highlight mnayoweka.. kwa mfan0 Azam Tv Official Highlights Simba 2-0 KMC VPL Round of 22 au Simba 2-0 KMC Full Match Highlights VPL 01/03/2020 kila moja iwe inafata mpangilio maalumu ambao mtakua mmeuona unafaa.."
Mchezaji anayetumia miguu yote kwa ufasaha yaani kulia na kushoto mara nyingi huwa ni wachezaji wazuri mfano Ronaldo de lima alikuwa anatumia miguu yote kufunga,Ronaldinho naye alikuwa balaa,Cr7 naye imempa umaarufu miguu yake,Lionel Messi naye ana uwezo mkubwa wa kufunga kwa kutumia miguu yote japo mguu wake wa kushoto ni hatari zaidi na wengineo wengi tu waliofaidika na miguu yao kama wakina Frank Lampard, Drogba,Tevez n. k
Simba inamoto ukitaka kujua hilo tumepoteza mechi 2 mpaka sasa lakin simba akipoteza nchi nzima inazizima inaonyesha tuna stahili pongezi kwanzia kwa Manura mpaka kule bench
Hongera simba Kwa ushindi pia hongera washabiki wenzangu hongera mwamuz bora Kwa huwa ni ALY LISASI huwa hana firimbi nyingi ni vitendo tu azam siwaelew mnavyo chambuwa mpira siku hizi tukutane tarehe 8-3-2020 luiiis hatariii
Taratibu naona jina la okwi limeshaanza kufutika nakusahaulika Ilove you simba ❤ ubingwa uwoooooooooooooo🏆 ndala yebo yebo a k a vyura 🐸🐸🐸🐸 tunakusubirini taree 8 khamsa 5 zinatosha
Nataka kuwauliza nyie KMC nyie nitimu yetu ya manipaa ya kinondoni wachezaji mnalipwa vizuri mnakula vizuri alafu juhudi mliyo iyonyesha kwenye mechi hii dhidi ya simba ndiyo mlitakiwa muonyeshe kwenye mechi zingine mnashika nafasi ya 18 mpaka sasa mki chukulia pow tu mnashuka daraja msimu huu.
@@murrowbhaiofficial448 Hujui lolote, unazungumza tuu. Wimbo wowote wa Harmonize saivi unaanza na trademark ya 'konde boy' maana yake ni trademark yake na hapa Tanzania ni yeye tuu anafahamika kama Konde boy. Sijakataa kama Louis Miquissone ni mmakonde lakini wamuite kwa namna nyingine kama 'mmakonde, kijana wa kimakonde, n.k, lakini sio kumuita vile Harmonize anavyojiita.
I love u simba konde boy umebeba moyo wangu mungu barik simba sport club
Hatari
Mambo
Hatariiiiiiiiiiiii
Wale wa marudio like zenu
Azam tv mnawatangazaji wenye vipaji daaah mtangazaji hongera sn kwa Kazi nzur
Kati ya marefa ambao ni bora na kidogo wanajua wanachofanya ni pamoja na huyu, nimefatilia mechi zake naona yupo poah sana......#all the way from +254🇰🇪....i love Simba so much🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤
Deo kanda kabadilisha Sana mchezo hongera Sana simba
Luis Miquissone 🔥🔥🔥
NAOMBA MUANGALIE KAZI YA MANULA HAPO MWISHONI MWA VIDEO ,,,,TUSIJIFANYE HATUONI ,,,,HAKUNA KIPA HASIYEHARIBU ILA KAZI YAKE KUBWA INAONEKANA,,,,LUIS ON FIRE💥💥💥
Simba ni the best 🔥🔥🌹
Umeonaeee
hello
Mambo,,,,
Niambie mwana simba sc
Asante mungu kwa ushindi uliotujalia simba sport club dhidi ya kmc football club tunaomba mungu uzidi kutupigania simba sport club tuendelee kupata ushindi dhidi ya timu pinzani tutskazocheza nazo amina
Ivi mnamuangalia chama vizuri jmn.. Anapiga pasi za mwisho nyingi sana
joackim mbonde mtu hatari sana
Huyo anaitwa chama mzee wa lunyasi aka passmaster
Love Simba all the best kesho inshallah zangu Dua💋💋❤️
Simbaaaa
Mamb
Maoni.. Hizi highlights muwe mnaweka title ambay0 ni consistent kila highlight mnayoweka.. kwa mfan0 Azam Tv Official Highlights Simba 2-0 KMC VPL Round of 22 au Simba 2-0 KMC Full Match Highlights VPL 01/03/2020 kila moja iwe inafata mpangilio maalumu ambao mtakua mmeuona unafaa.."
Fact
Fact.. Wamebadilika saivi hawaandiki officially, yaan wanajaza maneno yao tuu.. Badilikeni, inasaidia MTU akitaka kupata highlight kirahisi @azamtv
Mtangazaji yuko vizuri sana na anasauti ya kuchangamka sana tu
Abdullah kipeta ebu waambie hawa wanaosema eti hatangazi vizur sasa sijui wanataka atangazaje
Mchezaji anayetumia miguu yote kwa ufasaha yaani kulia na kushoto mara nyingi huwa ni wachezaji wazuri mfano Ronaldo de lima alikuwa anatumia miguu yote kufunga,Ronaldinho naye alikuwa balaa,Cr7 naye imempa umaarufu miguu yake,Lionel Messi naye ana uwezo mkubwa wa kufunga kwa kutumia miguu yote japo mguu wake wa kushoto ni hatari zaidi na wengineo wengi tu waliofaidika na miguu yao kama wakina Frank Lampard, Drogba,Tevez n. k
Next level
Muito bonito
Alhamdu lillah
Simba inamoto ukitaka kujua hilo tumepoteza mechi 2 mpaka sasa lakin simba akipoteza nchi nzima inazizima inaonyesha tuna stahili pongezi kwanzia kwa Manura mpaka kule bench
Good simba
Alhmdhulillah
Naipenda time ya simba mnyama
Mimi sio simba Lakin wacha niwe mkweli hamna wakuwazuia kuchukua ubingwa
Naipenda timu yangu
Chama aumia
Ssc💪
P1
Hongera simba Kwa ushindi pia hongera washabiki wenzangu hongera mwamuz bora Kwa huwa ni ALY LISASI huwa hana firimbi nyingi ni vitendo tu azam siwaelew mnavyo chambuwa mpira siku hizi tukutane tarehe 8-3-2020 luiiis hatariii
Naipenda simba sana ongeleni wachezaji wetu
Luis miqussione oyeeeeeeee???! Next level wataisoma
Luís Miquissone 🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
alaf wa2 wengne mnavyo comment maituchanganyie mpira na music hapo anazungmziw luiz habar ya harmonize inakujaje
Good good
🔥🔥🔥🔥
Salamu kwa yanga hiyooo
Yanga
Hainaga
Ushemeji
Tuna
Walagatu
Safi
Baraka mpenja yuko wapi?
Obrigado por nos representar.
Está mesmo
Grande Golden Boy
Huyu Konde boy atawatesa wengi maana Ni mwepesi sana
Mathias Zakaria Sana yuko facta
Barak mpenja mmemficha wapi azm nyie litangazaji ganii hilo ss☺☺☺
Yes
Luis anajituma kinyama
Sana aisee huyu ni bonge ya mchezaji tumepata
Messi wa msimbaz...Luis miqussone
Husna Salehe kwel
Luís Messi
Hapa kamera haikuonesha vizuri
Yan daaah kwakwel mungu hampe nini ndohameenda kuonyesha mahajabu sehemu nyengn
Taratibu naona jina la okwi limeshaanza kufutika nakusahaulika Ilove you simba ❤ ubingwa uwoooooooooooooo🏆 ndala yebo yebo a k a vyura 🐸🐸🐸🐸 tunakusubirini taree 8 khamsa 5 zinatosha
Jamani
Simba nguvu moja konde boy 🔥
😭😭Miss u on fotball utangazie Nurdin suleiman ni miongoni mwa watu mlionifanya kutokan na saut yenu ya utangazaji nifatilie mpira wa TANZANIA😭😭😭😭
Simbaaaaaaaaaaaaa 💪
Nakubal Simba nguv moja
Konde boy jmn kwel me najua ni luis
wapi barack mpenja jamani nataman kusikia akimtangaza mtoto luis miqson
Au paschal kabombe au ht hashim ibwe
Simba yangu
Nafurah kuona mashabk wa simba kuangaria mpira huu hakika inafurahixha
Chama bhana
Et
Chama
Jafanyaje
Maumivu ya Barcelona mume ya futa nyinyi asante simba baba Lao
Saf saaaana watu was simba sc kwa udhind wooooote
Chura mvae pempas mapema siku hyo vinginevyo mtakuja harisha mchafue kiwanja
Azam mbna huyu mtangazajii amepumbaa sanaa
⚽️⚽️
Rahaaaaa
Ukismama nchale ukikaaa nchale ha ha ha konde boe
Aseee jaaamaaa ajuwii kabisaa kutangaaza mpiraaa yani mpiraa umekuwa doroo
ALBERT ANANIA sio kila mechi atangaze mtangazaji mmoja tu jaman,,,,mbona huyu nae yupo pw kaka
Awaaachie kina kabombe
Video ni low quality sana.. tunaona vivuli..rekebisheni
Cm yako ndo inatatzo ndugu
Sm yako mbovu iyooo
Aina handset unayotumia kwa kuthibitisha hilo mtafute mwenye simu aina tofauti yako ujiridhishe
Mbona Mimi hapa fresh tuu.. More than HDDDDD..
Nataka kuwauliza nyie KMC nyie nitimu yetu ya manipaa ya kinondoni wachezaji mnalipwa vizuri mnakula vizuri alafu juhudi mliyo iyonyesha kwenye mechi hii dhidi ya simba ndiyo mlitakiwa muonyeshe kwenye mechi zingine mnashika nafasi ya 18 mpaka sasa mki chukulia pow tu mnashuka daraja msimu huu.
Mh! Mtangazaji buana
Watu wasiompenda harmonaize wanaumia wakiskia jina la konde boy wanaumia kwl kwl ntapata tabu naizo chuki zenu zisizonasababu
Simba nawakubaligi hapo tyu
Hela zilisababisha kuzima furaha ya wengi mno mo alikosa mshauri mzuri
Azam mnakwama wapi? Low sanaaa
Simbaaaaa chamaaaaa kubwaaaaa
Gongowazi etiligi ifutwe mnawazimu Simba bingwatu
Simba baba lao
Simba baba lao
Ntangazaji umeniboa San au umehongw na yanga we
At ukichimama nchale ukikaa nchale,hahaaaaa! ww mtangazaji Mungu anakuona hivyo
Mpira wa SCC na yng
Huwa mm sipendagi wanavyomuita konde boy maanake nn wampe jina kingine huyo mtangazaji amuite jina lingine amuite hata messi
Hamza Nurdini haaaaaaaaaaaaaaa ivi nikuulize na uyo ni mzaliwa wa mtwala eti?
Nimemkubali huyu mtangazaji
Vyema sana hiyo
Ongela luwizi mikisoni
Jamani corona siiishe tumemisss mpira jamani
Asee kweli kabisa
@@dicksonwanzagi4490 😆😆yaani mpaka sasa kunawatu wangekuwa kwenyemabonde kuinama 😆😆😆
Mimi kila siku naomba mungu corona iishe turudi kwenye starehe yetu ya mpira,,love love love sana simba yangu
@@vickkipaule1205 😗😗😗
Anatililika t kama anasoma iv
Sim zenu mbovu kama amuoni kwaliti
Luis n mess
Nurudin seleman ci ndo tunamuelewa sana
Hana mbwe mbwe hatumii nguvu ila ni machuad mno
Simba 4vs kmc reo
Jim
Aslay
aslay
Ahina ya marefa watakaochezesha mechi za simba,tuwe macho maana wanatumwa"ni vyura"
Mika
Simba chama kubwa
Mtangazaji utashtakiwa na Harmonize kulitumia jina la Konde boy kwa mtu mwingine.
Uyu nimmakonde wamsumbuji tena nichale ata tbc ya taifa ivyo ivyo wanamwita konde boy ilo Skosa bali niraha kwa harmonize kwakumpata star mwwnzake
Kvp kaka
@@murrowbhaiofficial448 Hujui lolote, unazungumza tuu. Wimbo wowote wa Harmonize saivi unaanza na trademark ya 'konde boy' maana yake ni trademark yake na hapa Tanzania ni yeye tuu anafahamika kama Konde boy. Sijakataa kama Louis Miquissone ni mmakonde lakini wamuite kwa namna nyingine kama 'mmakonde, kijana wa kimakonde, n.k, lakini sio kumuita vile Harmonize anavyojiita.
Kwan ameshalisajil io jina LA konde boy uyo hermonize
Corona ulaaaniwe, shenzi wewe
Huyo mtangazaj awe anatangaza mechi za utopolo huku kwetu anatupoezea haend na kas ya mpira
Katangaze weww
@@ramsokinyuka357 ww n utopolo🐸🐸😂😂
Sufuri bin sufuri
Akunakama konde boy
Kesho point 32 muhim chama lawana
Kesho uhakika pont 3
Wana simba point 3 mhimu leo
Tambia nini watuuuuuuuu konde boooooy
Hhhh konde boy
Azam kila ck mnapunguza dkk 🤨🤨 jomon asaiv mmezdisha dkk 15 😏😏
Highlights huwa zinatakiwa kuwa fupi, ikiwezekana wafanye dk 5 tuu kama Supersport wanavyofanya
Joseph wanawekaga mbili ya dkk kdg na nyingn dkk nyingi
Khadijah Ali yaan walau wangeweka hata 38 walau
@@kemilembealex8688 wanawivu azam🐸🐸
Simba vs nkana
tumemis utamu tena LIGI KUU.furaha irejee tena
simba baba l
ao
Joka ra kijiji
Uyo naye ni mtangazaji kweli Azam mmeshuka viwango
Uyo mtangazaji muwe mnamuwekasiku ikicheza yanga sio Simba mnakesha uhondo havutii yan
Konde boy