Alichokisema CHAMA Kuhusu Kuondoka YANGA?, Kukosa Namba Kikosi cha Kwanza, Aikumbuka SIMBA SC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @KudraAbdalah-z6z
    @KudraAbdalah-z6z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Atoke kazi awez alud kwao kaxhakua mzeee

  • @AkramIbrahim-c8w
    @AkramIbrahim-c8w 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hao Ni Simba Wanataka Kumyumbisha Chama Chama Tulia Jangwani Hao Makolo Wasikushgulishe Wanaumia Wewe Kuwa Mwana Jangwani

  • @asherimlwanda
    @asherimlwanda 6 วันที่ผ่านมา

    diamond na p ddy

  • @VailethBarnabas
    @VailethBarnabas 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huko huko na kwetu hatukutaki mkataa pema pabaya panamuita piamkataa kwao mtumwa👏👏👏👏👏

  • @JamesMwisasa
    @JamesMwisasa หลายเดือนก่อน

    Aludi kwao akalime viazi mzee uyo

  • @EliasMasanja-qg1wh
    @EliasMasanja-qg1wh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chama ni mchezaji mzuri sanaa atulie atapewa nafasi nzuri

  • @DavidKampate
    @DavidKampate 2 หลายเดือนก่อน

    Anaweza asicheze hata mechi 2 ni matakwa ya kocha asifosi ,kama ni kuondoka ni mawazo yake

  • @enockjoseph1702
    @enockjoseph1702 2 หลายเดือนก่อน

    Leo ataanza
    Asihofu amekuja kwenye chama kubwa😮❤😢😮😅😊😢🎉😂❤

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 2 หลายเดือนก่อน

    Aonyeahe kiwango atapangwa, mchezaji humshawishi kocha kwa kuonyesha kiwango, siyo hana furaha aseme ni ngumu kupata namba.

  • @SamsonKarungubale-dh4so
    @SamsonKarungubale-dh4so 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mshamba2 aende

  • @AishaHassan-l5e
    @AishaHassan-l5e 2 หลายเดือนก่อน +1

    kuwa na subra my bro cz mda wako utafk,

  • @mariamshibanda3358
    @mariamshibanda3358 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmh sio kweli kwamba alikulupushwa hapana mwache asugue

  • @BaltazaryKibasa
    @BaltazaryKibasa 2 หลายเดือนก่อน

    Avumilie2

  • @AkramIbrahim-c8w
    @AkramIbrahim-c8w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poa Utacheza Na Utafunga Na Utatoa Assist Nyingi TU Ulia Broo Usiwasikilize Na Bado Mtamuongelea Sn Mwamba Wa LUSAKA

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mfumo wa yanga ,ni ngumu Kwa chama kuanza,atulie Tu kuna michezo ataanza ila si Kwa matakwa Yake au ya ninyi watangazaji,tuna kazi naye Sana mbeleni Kwa sasa atulie Tu.

  • @moclass-ct8cd
    @moclass-ct8cd 2 หลายเดือนก่อน +5

    Chama anapaswa kufuata matakwa ya kocha gamond kwasababu uchezaji wake hauendani na mfumo wa kocha kama timu inahitaji matokeo ya ushindi Kwaiyo awe mpole

    • @Amos-z7z
      @Amos-z7z 2 หลายเดือนก่อน

      Chamani mnafiki tu

    • @chrisostomruta-cw3zf
      @chrisostomruta-cw3zf 2 หลายเดือนก่อน

      Kama walikubaliana atapata namba first eleven inabidi waheshimu mkataba

    • @Kimware-kb1yb
      @Kimware-kb1yb 2 หลายเดือนก่อน

      Hata Akiondoka yanga bado tuna wachezaji wengi Koo uzuri wa yanga haina mda wa kubembeleza mchezaji bora tuu asepe njia nyeupe😂😂

  • @Shaban-d6l
    @Shaban-d6l 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo ninyi Wana yanga atawasumbua sana chama anatatizo kwa Sasa ambaro hata ninyi Wana yanga hamtariweza 1 huyo anaradhi Toka msimbazi kwa hiyo mkitaka Wana yanga acheze mpira hapo kwenu basi tuwafundishe mreteni kwanza msimbazi Kuna wazee hapo tupo tujue tunafanyaje hairoooo

  • @AntonyJeremiah
    @AntonyJeremiah 2 หลายเดือนก่อน

    Kila poli Lina mfalme wake simba selengeti hawezi kwenda kutawala mikumi Wala ngolongolo

  • @FrankJohn-f4g
    @FrankJohn-f4g 2 หลายเดือนก่อน

    Akileta zake tutmwacha arud Kwa wasokuwa kiwango wenzake asitucitu peleke kama alivyokuwa akiwazalau makoro sii tunatak kumpandixh kiwango. Haraf yyee anajixhauwa

  • @Monalissaanyagile
    @Monalissaanyagile 2 หลายเดือนก่อน

    Lud ulikotoka bab hap ulipo ushapungua Sasa utazid kuwa moja

  • @MaikoLoswe
    @MaikoLoswe 2 หลายเดือนก่อน

    iliymbia wakae mezani na simba wazungumuz akakataa muache ssa asugue penchi

  • @LatifaWilliam-ng8hr
    @LatifaWilliam-ng8hr 2 หลายเดือนก่อน

    Wanayang walikiwa wanaishi na ndoto ya kuj kummiliki Cham wakio wemempat manen meng

  • @RajabuNakapala1
    @RajabuNakapala1 2 หลายเดือนก่อน

    Wana Msimbaziiii je mnaikumbuka sakata la Emmanuel Okwi na Yanga ilikuwaje je Lina utofauti wowote na hilo la Chama je nini kilitokea linganisheni wenyewe

  • @AbilahiHasani-hp6wo
    @AbilahiHasani-hp6wo 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanz habar zenyew ni za jweli?

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 2 หลายเดือนก่อน

    Aongeze bidii na pia abadilike kimchezo asimaind siku akianza afanye vizr au amshafishi kocha

  • @FelixisaacKalembo
    @FelixisaacKalembo 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndo bongo na bado aende ihefu

  • @FelixisaacKalembo
    @FelixisaacKalembo 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo mechi zinamfaaa kucheza za kirafiki

  • @BensonDickson-xf1ge
    @BensonDickson-xf1ge 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga ni matapeli tu chama katapeliwa bila kujijua

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 2 หลายเดือนก่อน

    Avumilie tu urafi wake wa vihela ndiyo vimemponza.

  • @RashidRamadhani-g5z
    @RashidRamadhani-g5z 2 หลายเดือนก่อน

    hiiosio sahihi

  • @ChicsSalimu
    @ChicsSalimu 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoja achome mahindi huko na ujinga wake akishidwa arudi kwao. Mubwa huyo Simba kuriko chama

  • @browntv1119
    @browntv1119 2 หลายเดือนก่อน

    aondoke tu

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan nyie wana habar mnashindwa kumuhoji ili tumsikie nasio kumuongelea kama ni marehemu

  • @enockjoseph1702
    @enockjoseph1702 2 หลายเดือนก่อน

    Acheen udhushi hao Makolo hawana lolote

  • @ThomasJoseph-s7e
    @ThomasJoseph-s7e 2 หลายเดือนก่อน

    Aludi tu kwamnyama

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน

    Ataendelea kukaa mbao ndefu Tuu

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 2 หลายเดือนก่อน

    Mwacheni ale jeuri yake

  • @SYLIVERIOKILIMILA
    @SYLIVERIOKILIMILA 2 หลายเดือนก่อน

    No chama anataka pila Sambusa ke kuna pira gwaride hapo ngumu

  • @LumumbaFarhani
    @LumumbaFarhani 2 หลายเดือนก่อน +1

    uzushi wa kutafuta viewers

  • @Awadhharoun-hr4ir
    @Awadhharoun-hr4ir 2 หลายเดือนก่อน

    mbwaaaaaaaaaaaa akubwa

  • @drdrex113
    @drdrex113 2 หลายเดือนก่อน

    Hi ni moja ya zile channel unabofya vidoti vitatu... halafu NOT INTERESTED au DONT RECOMMEND CHANNEL

  • @mbogomohamed6376
    @mbogomohamed6376 2 หลายเดือนก่อน

    Aseme mwenyewe tumsikie mbona unasema wewe mwandishi

  • @BarakaMelami
    @BarakaMelami 2 หลายเดือนก่อน

    Arudi nyumbani Kwa mnyama

  • @Esterevagreen
    @Esterevagreen 2 หลายเดือนก่อน

    Apambane na wazee wenzake ss vijana hatumtaki

  • @LucasHaile-dy9kd
    @LucasHaile-dy9kd 2 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo bwana

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo habari ni propaganda za uwongo

  • @MaikoLoswe
    @MaikoLoswe 2 หลายเดือนก่อน

    uyo chama atasugua matako yake san penchi kwa pakome uyu atakexha muno