Highlights | Simba ilivyoichakaza Coastal (0-7) - VPL 21/11/2020

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Simba imeshusha dhahma ya mabao kwa Coastal Union kwenye mchezo wa VPL uliopigwa Arusha kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 133

  • @adamlikungila3435
    @adamlikungila3435 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongeren kwa kujtuma wachzaj God bless my tm Simba sc

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 ปีที่แล้ว +3

    Nliona live but saii narudia narudia😋😋😋🦁🦁simba ya pira biriani my timu for ever woyo woyo woyooo😌😌😌

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 3 ปีที่แล้ว +5

    ALHMDHULILLAH Kwa Matokeo mazur point 3 Muhimu

  • @musaking8838
    @musaking8838 3 ปีที่แล้ว +2

    #onelove love simbaaaa🥰🥰🥰

  • @shamilabakari6420
    @shamilabakari6420 3 ปีที่แล้ว +5

    Dilunga katisha sio kwa ushangiliaji ule nimependa sana simba baba lao 🙌

  • @captainjoseph8131
    @captainjoseph8131 4 หลายเดือนก่อน

    Flawless victory ✌🏾

  • @florentbunzaly6391
    @florentbunzaly6391 3 ปีที่แล้ว +5

    Nabdo Simba nguvu moja

  • @tblcampantanzania1202
    @tblcampantanzania1202 3 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo ndo simba

  • @mathiascipriani4716
    @mathiascipriani4716 3 ปีที่แล้ว +3

    We Simba noma

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 3 ปีที่แล้ว +10

    Sasa yanga mna nuna nini😂😂😂😂😂 jamani mniombee nakatiza jangwani hapa na matokeo ya darasa ra saba yame toka lakini tsiwalaumu sana wagosi wa kaya kupigwa 7 tatizo jezi zao zina chata GSM ndio mana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @dechaggagirl1614
      @dechaggagirl1614 3 ปีที่แล้ว +1

      Wee pita mbali nao hao😅😅🤗😂wanaweza kumalizia hasira aloo

  • @marryjohn7745
    @marryjohn7745 2 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda San simb nguvu moja

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว +5

    #MRISHO #GAMBO shabiki wa simba kindakindaki

  • @juniorcx0114
    @juniorcx0114 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndo simbaaaaaaa

  • @oscarkomu1684
    @oscarkomu1684 3 ปีที่แล้ว +5

    Hii inaitwa mission to kill🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ivanmusic6224
    @ivanmusic6224 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi zuri mnyamaaaaaaaaaa

  • @mushinsix8005
    @mushinsix8005 3 ปีที่แล้ว +2

    Vzr sanaa

  • @babashadiamuhammed4286
    @babashadiamuhammed4286 3 ปีที่แล้ว +5

    Simba chamakubwa

  • @vincentpaulo6431
    @vincentpaulo6431 3 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 3 ปีที่แล้ว +3

    Morisson katisha sanaaaa

  • @jonasmaole5140
    @jonasmaole5140 3 ปีที่แล้ว +3

    Muwaleqezee jamani mutawaoqopesha timu zngine

  • @hamisimageni7834
    @hamisimageni7834 3 ปีที่แล้ว +3

    Week nzima Taslim keshi

  • @lunjelaurian3191
    @lunjelaurian3191 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba na yanga

  • @EliasMolell-xx5nz
    @EliasMolell-xx5nz 27 วันที่ผ่านมา

    Wangapi bado tunaikumbuka hii tu wape like ❤❤

  • @ismaillangia1457
    @ismaillangia1457 3 ปีที่แล้ว +1

    Akili

  • @zuwenamsangi6587
    @zuwenamsangi6587 3 ปีที่แล้ว +4

    Pira birian huo tunapigaga kuuwa

  • @benjaminmasele8055
    @benjaminmasele8055 3 ปีที่แล้ว +1

    Download simba vs costo

  • @elibarickelineema8989
    @elibarickelineema8989 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mlicheza na Tim mbovu msije mkaenda nigiria na matokeo mtakula 8

  • @lwitikomwasaga5806
    @lwitikomwasaga5806 3 ปีที่แล้ว +1

    Weeeeeeeeeee champ fund Haman mweeeeeeeee

  • @jastinebenedicto3777
    @jastinebenedicto3777 3 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @raphaelmganga374
    @raphaelmganga374 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha Matokeo ya Darasa la saba Yametoka... Hyo ni likizo ya wiki

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila wahome mmetuangusha bwana mbona uwanja ujajaa hapo ila fresh kichapo kichapo imeisha iyoo

    • @sulemankileo5605
      @sulemankileo5605 3 ปีที่แล้ว +1

      Tumejitaidi v,i,p 25,000 ,b 15,000 mzunguko 10,000 tumeingia wengi kwa kiingilio icho .

    • @dechaggagirl1614
      @dechaggagirl1614 3 ปีที่แล้ว

      @@sulemankileo5605 hongera wahome kama ulikuwepo simba nguvu1

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว +4

    Naona vishabik vya chaumbeya fc vimebanwa mavi na choo hamna hapo eti mnachati.mnaumiiia.

  • @allenchami3609
    @allenchami3609 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @lutwfiyyahmkonga8093
    @lutwfiyyahmkonga8093 3 ปีที่แล้ว +2

    timu mbovu kwaiy cost ijawai kuifung simb au ingeifunga simba piy mngesema simb imefungw na timu mbovu waja amkosi ya kusema yote ya yote tumepat poit3 maneno maneno tumuachie kasuku😂😂😂😂

  • @safiaabdalla1618
    @safiaabdalla1618 3 ปีที่แล้ว

    Kal sana

  • @richardjoseph3842
    @richardjoseph3842 3 ปีที่แล้ว +1

    Magoli mengi of said

    • @williamgeorge5015
      @williamgeorge5015 3 ปีที่แล้ว

      BA's yatoe ya oofside ubakishe ambayo cio

  • @brysonmeleto7659
    @brysonmeleto7659 3 ปีที่แล้ว +2

    E e e e e e e e e maaa weeee hahahahahahahaaaaaaaaaa. Kama ulisikia hivi twende sawa

  • @aronpaul2904
    @aronpaul2904 3 ปีที่แล้ว +1

    kipigoo kinaendeleaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂weak1 7G inapendezaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @paschalmashiku4814
    @paschalmashiku4814 3 ปีที่แล้ว

    Show show

  • @danieltuya3089
    @danieltuya3089 3 ปีที่แล้ว

    Nouma sana hiyo ndo Simba hbn

  • @valelianusvalence6911
    @valelianusvalence6911 3 ปีที่แล้ว +3

    Nabado nawaombea njaa watan kwa namungo

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide 3 ปีที่แล้ว +1

      Tena wajiandae kisaikolojia naamungo hana raha safar hii lazma amkazie

  • @AvuraKashindy
    @AvuraKashindy 9 วันที่ผ่านมา

    Nimemuona hansipopo

  • @ramadhanmleo539
    @ramadhanmleo539 3 ปีที่แล้ว +1

    💪💪

  • @mwahijajulius9460
    @mwahijajulius9460 3 ปีที่แล้ว

    Chama

  • @chazzytzlazaro5485
    @chazzytzlazaro5485 2 ปีที่แล้ว +1

    naipenda Simba

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 3 ปีที่แล้ว

    Hii mechi sijui yn

  • @elishalaulian6381
    @elishalaulian6381 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba hata kimataifa tufanye kweli

  • @barakawilliam1514
    @barakawilliam1514 3 ปีที่แล้ว +2

    hayo magoli men men go sana

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 3 ปีที่แล้ว +5

    Kichapo cha nguvu

    • @wiriamjakobo6753
      @wiriamjakobo6753 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna wa kumusimamisha mnyam labda lisasiiiiiii

  • @cocojrkpshemndolwa3818
    @cocojrkpshemndolwa3818 3 ปีที่แล้ว +1

    Abushee siyo wakuchezea cost aende nje uyu yuko sw

    • @edenbaraka7533
      @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว

      Coco Jr kwan pale kwako yanga ni pabov
      Hata ww c umsajil Abushee

  • @zunguujoseph2736
    @zunguujoseph2736 3 ปีที่แล้ว

    Ekisi

  • @salimaliweta3217
    @salimaliweta3217 3 ปีที่แล้ว

    Simba 3 yanga 3

  • @jumbehassani9039
    @jumbehassani9039 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwakinyo

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakuwa wameonwa costal wanapeda pesa ,na wengine wahonge si ni biashara kwa nn kulalamika toeni pesa na wengine tuzione hata 5 tu.

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide 3 ปีที่แล้ว

      Ww unafel wap kununua kwan tusione ukicheza nao na una hata goli 6

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 ปีที่แล้ว

      Ukiuma chomoa

    • @elizabethmajaliwa5189
      @elizabethmajaliwa5189 3 ปีที่แล้ว +1

      @@edenbaraka7533 ,ndiyo nawaambia watoe nao pesa ,make Kila Simba ikifunga kelele ,he!

    • @zakiahamisi9840
      @zakiahamisi9840 3 ปีที่แล้ว

      @@BigDreamsWorldwide hujamwelewa

    • @zainabubanda3936
      @zainabubanda3936 3 ปีที่แล้ว

      Mmmh ya mkosaji hayo

  • @htvtanzania3483
    @htvtanzania3483 3 ปีที่แล้ว +2

    Bm3 Ana Jambo lake ngojee

  • @danielmathias160
    @danielmathias160 3 ปีที่แล้ว +2

    Azam bogas kabisa kuweni serious na kaz yenu, Yan highlights ina dk20? 😅😅😅

    • @mohamednoti7119
      @mohamednoti7119 3 ปีที่แล้ว

      Unataka ya dakika ngap mzee

    • @danielmathias160
      @danielmathias160 3 ปีที่แล้ว

      Mzee unajua maana ya highlights Lakin? Highlights haitakiw izd dk4 mpka5 bas angalia ht super spot

    • @augustinomwamasinga2200
      @augustinomwamasinga2200 3 ปีที่แล้ว

      Sio kweli highlit nitofauti na magoli

    • @augustinomwamasinga2200
      @augustinomwamasinga2200 3 ปีที่แล้ว

      @@danielmathias160 highlit kwa dakika hizo nisahihi, labda magoli ndio inakiwa dakika chache

    • @mohamednoti7119
      @mohamednoti7119 3 ปีที่แล้ว

      @@danielmathias160 sio kweli angalia u tube channel ya NBC ya uingereza highlights nyingi ni kuanzia dakika 10 kwenda mbele..

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว

    Simba ni bora kuliko utopolo maana utopolo wamefungwa wakat sisi tulitoa mapigo saba

  • @joshuashega3969
    @joshuashega3969 3 ปีที่แล้ว +1

    0

  • @mafundionlinetv2528
    @mafundionlinetv2528 3 ปีที่แล้ว +1

    Baraka mpenja awe anatangaza mechi ya simba ndo inanoga

  • @allyseleman6027
    @allyseleman6027 3 ปีที่แล้ว

    Safi simba

  • @ismaillangia1457
    @ismaillangia1457 3 ปีที่แล้ว +1

    Akiligames

    • @fanuelidaudi9456
      @fanuelidaudi9456 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo ndosimbaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeee

  • @lucyphabiano303
    @lucyphabiano303 3 ปีที่แล้ว

    DXd

  • @razaloolenarock2761
    @razaloolenarock2761 3 ปีที่แล้ว +1

    J

  • @salimaliweta3217
    @salimaliweta3217 3 ปีที่แล้ว

    Simba v yanga 3 3

  • @apshiner6558
    @apshiner6558 3 ปีที่แล้ว

    Polen cst

  • @azizakasanga2040
    @azizakasanga2040 3 ปีที่แล้ว

    hapakatu

  • @babylonyNgwembe
    @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +2

    MSUMARI HATOSAHAU MAISHANI MWAKE MECHI HII .

  • @abuuayubuassalafiyu3642
    @abuuayubuassalafiyu3642 3 ปีที่แล้ว

    Nigeria tutapiwa nyingi sana kwa matokea aya yatatutia matumaini kumbe wapi hatuna kitu.

    • @vestinanyenyembe7318
      @vestinanyenyembe7318 3 ปีที่แล้ว

      Hehee

    • @chibzeric679
      @chibzeric679 3 ปีที่แล้ว

      Mm mkenya na kusema kweli, wakati marefaree wanapoacha offside kuifanya timu kujiona nzuri ndipo unagundua ukienda kwa mechi ya kimataifa matokeo yanakua duni.....

    • @mohamednoti7119
      @mohamednoti7119 3 ปีที่แล้ว

      Mnateaeka mkiwa wap

  • @gilbertmark3968
    @gilbertmark3968 3 ปีที่แล้ว

    Offside fc

  • @babylonyNgwembe
    @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +1

    KILICHO WAPONZA COASTAL UNIONI NI WADHAMINI WAO GSM.

  • @settypeter4322
    @settypeter4322 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 et msumali alivoingia tu akalutana na msumari

  • @rashidsyprian1340
    @rashidsyprian1340 3 ปีที่แล้ว

    yanga ngwambina

  • @emanuelyshabani8164
    @emanuelyshabani8164 3 ปีที่แล้ว

    Simba ushind upo njenje

  • @richardjoseph3842
    @richardjoseph3842 3 ปีที่แล้ว

    Marefa wamekuwa waoga sana kisa simba wanalaumu sana mpaka wanaachiwa2

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +2

      KILICHO WAPONZA COASTAL UNIONI NI WADHAMINI WAO GSM.

    • @happyanthony9243
      @happyanthony9243 3 ปีที่แล้ว

      Ila kweli Kuna gori kama mbili ivi za offside

  • @muhamadiissa3843
    @muhamadiissa3843 3 ปีที่แล้ว

    G

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 3 ปีที่แล้ว

    Wangekuwa wanacheza hivyo na Yanga ingekuwa bora zaidi! KUWAONEA COASTAL NDUGU ZENU HIYO SIO POA!

  • @yunusimchala9306
    @yunusimchala9306 3 ปีที่แล้ว +1

    HAMTAKUMBUKA TENA MCHAKATO WA UWEKEZAJI HUYO NDIO PONJORO KANUNUA MECHI HAMTAONGEA TENA

  • @jeremiahromward6784
    @jeremiahromward6784 3 ปีที่แล้ว

    Mfariji ni Simba

  • @gibsonyshadrack4543
    @gibsonyshadrack4543 3 ปีที่แล้ว +1

    Dakika ya 7gor lakwanza mwisho saba