Simba yaifumua Al Hila 4-1, Morrison apiga mawili, akera - Simba Super Cup 27/01/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2021
  • Simba wameanza kwa kasi michuano ya Simba Super Cup wakiwachapa Al Hilal ya Sudan mabao 4-1 katika mchezo wa kwanza. Magoli yamefungwa na Rally Bwalya, Perfect Chikwende na Bernard Morrison aliyefunga mawili.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 310

  • @jamecjohn7318
    @jamecjohn7318 3 ปีที่แล้ว +24

    Jaman inatakiwa i trend hiii game like hapa kama unataman iwe trending simba super cup

  • @balegadaffi4472
    @balegadaffi4472 3 ปีที่แล้ว +35

    Kma hii ndo uliyekuwa unaisubiri gonga like hpa wanasimba

  • @mwahijaismaily538
    @mwahijaismaily538 3 ปีที่แล้ว +8

    Simba raha sana 🤸🔥🔥🤗

  • @bensonashery2360
    @bensonashery2360 3 ปีที่แล้ว +8

    Bwalya namuona yule alikuwa xx karudi kwenye kiwango amekuwa na consistency nzuri xana well done bwalya

  • @tonotvonline3070
    @tonotvonline3070 3 ปีที่แล้ว +11

    Naomba like zenu ,Mabingwa wa Nchi Simbaaa Sc

  • @fatmahhamisi7529
    @fatmahhamisi7529 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndio simba tunayoitaka msimu ujao inshaallah

  • @amiltonmichael5377
    @amiltonmichael5377 3 ปีที่แล้ว +29

    Tadeo kafny broke nyng ila hakuna anaemsifu,defensive players wanasahaulika san

    • @mahengomahengo8191
      @mahengomahengo8191 3 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli Tadeo jana nimemuelewa sana amepambana sana

    • @robertprotas9427
      @robertprotas9427 3 ปีที่แล้ว +2

      Yap Tadeo n mtu sanaaa

    • @mrishoyusuph9532
      @mrishoyusuph9532 3 ปีที่แล้ว +2

      Me ndo alikuwa bora sana.. Akicheza HV cku zote mkude ajiangalie sana

    • @robertprotas9427
      @robertprotas9427 3 ปีที่แล้ว +2

      @@mrishoyusuph9532 tackling zote zilikuwa na usahihi wa 100%

    • @castrocastro9615
      @castrocastro9615 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mahengomahengo8191 Anatisha. Maana anafika kwa wakati kwenye matukio ya hatari. Simba tumepata chuma kweli kweli.

  • @mgeninyimbile5452
    @mgeninyimbile5452 3 ปีที่แล้ว +39

    Aliyemleta Lary Bwarya Mungu ambariki sana

  • @jephtephlon2366
    @jephtephlon2366 3 ปีที่แล้ว +6

    Simba raha jamaniiii 🔥🔥🔥🔥🔥♥️

  • @lulukibanga8152
    @lulukibanga8152 3 ปีที่แล้ว +6

    Simba tamu

  • @obedimwakagali7755
    @obedimwakagali7755 3 ปีที่แล้ว +11

    Mi mshabiki sana wa yanga lakin tuondoe unafiki Kwenye soka kwa huyu benard Morrison yupo vizuri sanaaaaaaaaa

  • @ImmaSimon
    @ImmaSimon 3 ปีที่แล้ว +18

    Morrison baada ya kuona pasi alotoa kwa Miraji haikwenda sawa alikata tamaa na kurusha mikono ishara ya kulaumu😀
    Ila baada ya hapo kilichotokea ni furaha tu maana akafunga bonge la goli💪🙌

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 ปีที่แล้ว +2

    Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 3 ปีที่แล้ว +7

    .bwalya ni Moto

  • @daemuularmmy5280
    @daemuularmmy5280 3 ปีที่แล้ว +8

    bm3gh all da best

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +23

    Kwa SIMBA hii hata ije timu yoyote kutoka Ulaya Tutaifunga Tu 😂😂
    Asante Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 kwa burudani nzuri ya Soka ⚽

  • @shabankhamis5104
    @shabankhamis5104 3 ปีที่แล้ว +4

    This is simba

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 ปีที่แล้ว +5

    Bm3 😍

  • @yusufuomari1645
    @yusufuomari1645 3 ปีที่แล้ว +5

    Simba mungu atujarie ty

  • @allyramadhani2632
    @allyramadhani2632 3 ปีที่แล้ว +10

    Combination ya morison na mugalu ni kisanga

    • @ayubumuhanga4438
      @ayubumuhanga4438 3 ปีที่แล้ว

      Vipi akiwepo Ninja na makapu,,😂😂😂

  • @husseinmdoe8832
    @husseinmdoe8832 3 ปีที่แล้ว +8

    Simba nguvu moja

  • @abellutonja4589
    @abellutonja4589 3 ปีที่แล้ว +4

    Simba kumenoga watu wangu

  • @sadamkimario9865
    @sadamkimario9865 3 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda Sana Simba ndotumu yangu hakuna kwampira niliouona kwamkapa hata aje malaika mtoa roho hatoki salama namaanisha ataaje ibilixi shetani hatoki salama kwamkapa

  • @musaking8838
    @musaking8838 3 ปีที่แล้ว +4

    Afanalekiiiiii another level

  • @mussadaniel1528
    @mussadaniel1528 3 ปีที่แล้ว +11

    Hata Tp mazembe na yeye anatakiwa ale kama hizi

  • @mwahijasuleiman5062
    @mwahijasuleiman5062 3 ปีที่แล้ว +15

    Baraka mpenja.....Match hii wapiiii si tulikubaliana za simba utatangaza wewee

  • @barakakiponda5215
    @barakakiponda5215 3 ปีที่แล้ว +3

    Simba raha mustarehe

  • @mwamuziagust4973
    @mwamuziagust4973 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda

  • @michaelelirehema7259
    @michaelelirehema7259 3 ปีที่แล้ว +6

    Simba mungu ana waon

    • @fredjohn496
      @fredjohn496 3 ปีที่แล้ว

      Kwanyii hao jamaa mungu hawaoni mbona simba

  • @daudbusanji2586
    @daudbusanji2586 3 ปีที่แล้ว +4

    Niliisubili sna hii

  • @avitusananias6693
    @avitusananias6693 ปีที่แล้ว +4

    Asie kumbuka Simba ya kipindi hicho afe

  • @averinecutysawaka1256
    @averinecutysawaka1256 3 ปีที่แล้ว +5

    Simba mbele mbele goli 3 tuu leo👌👌 ili tusiwazalilishe sana asvita 💃💃😋

  • @kareemnampoka2749
    @kareemnampoka2749 3 ปีที่แล้ว +5

    Always Red is danger #Simbanguvumoja#💪💪, What are goals for BM3 😂😂

  • @sultanmsoloni8635
    @sultanmsoloni8635 3 ปีที่แล้ว +5

    Uyo Kocha mpya wa Simba nimempenda Hana ubaguzi kwa wachezaji anafanyasub

  • @suleimankibombwe7091
    @suleimankibombwe7091 3 ปีที่แล้ว +7

    Tulikua tunataka simba kama hii

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa simba hii hsta ije bayani munich itspigwa tu

    • @ayubumuhanga4438
      @ayubumuhanga4438 3 ปีที่แล้ว

      Yaaani unajitekenya mewenyew kisha unacheka mwenyewe,,😿🙀

    • @sniperbogo6210
      @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว

      @@ayubumuhanga4438 jitekenye na wewe kama unaweza kinachotakiwa ni kufrahi cjui kama utaweza kujifrahisha kwa kujitekenya kwapani na kucheka

    • @ayubumuhanga4438
      @ayubumuhanga4438 3 ปีที่แล้ว

      @@sniperbogo6210 nyie mbumbumbu ndio mnaweza peke yenu kujitekenya na kucheka,, mmekosa mapinduzi,, viongoz wenu wanawafariji na nyau cup,, aliewashaur mctuarike ujue kawaza sana, tungebeba hicho kibakuli chenu,, wameona wawafariji mashabiki kwa kupanga matokeo.. 🙀🙀🙀😿😂😂😂

    • @youngloyclassic3173
      @youngloyclassic3173 3 ปีที่แล้ว

      @@ayubumuhanga4438 huna jipya hili kombe nyiny sio saiz yenu maana hili wanacheza mabingwa tu

  • @mariamfrank117
    @mariamfrank117 3 ปีที่แล้ว +7

    Namkubali Sana kocha ye Hana maneno mengi Ni makofi tu 😂😂😂

    • @alexwiliam7875
      @alexwiliam7875 3 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀✌🇹🇿

  • @Hance-Kiteve
    @Hance-Kiteve 3 ปีที่แล้ว +4

    Nani kamuona Dogo mtunza Mipira Akicheka Nakushika Kichwa Baada Ya Kibusha Morrison 🔥 Alipo weka Mpira Kwene Bkta

  • @alfanabdallah8157
    @alfanabdallah8157 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba lahaaa saaaaana

  • @ramadhanimohamed611
    @ramadhanimohamed611 3 ปีที่แล้ว +6

    Apo konde boy hayupo sa ingekuwaje

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 3 ปีที่แล้ว +6

    kituko alichokifanya morrison, yanga hawatakuja kusahau, nimependa pasi aliyotoa miraji othman kumpa morrison

  • @hekimachaula3629
    @hekimachaula3629 3 ปีที่แล้ว +4

    simba Vs yang kucheza lini

  • @mimiwangu8133
    @mimiwangu8133 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki chama

  • @michaelgibril8594
    @michaelgibril8594 2 ปีที่แล้ว +1

    KAMA IMEKUBIDI KUITAZAMA HII SIMBA KUPUNGUZA MAUMIVU YA KUTOLEWA NA YANGA GONGA LIKE HAPA

  • @vanboyegidiusprospery2132
    @vanboyegidiusprospery2132 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @livefans5914
    @livefans5914 3 ปีที่แล้ว +3

    Vpi mpaka alitumika au Simba ni brand kubwa sasa

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa simba hii ata aje manchester United anakula zake anaondoka wachezaj bora sana hawa

  • @agnestemu8382
    @agnestemu8382 3 ปีที่แล้ว +9

    Mfano sisi yanga tunataka kuincia kwenye aya mashindano tunafanyaje fanyaje adi tujoin

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 ปีที่แล้ว

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 23: ZAKIA MWENDELEZO.
      th-cam.com/video/9CCePc5-JSU/w-d-xo.html

    • @mariammbodze2649
      @mariammbodze2649 3 ปีที่แล้ว

      Lazima muende hatua ya makundi 🤣🤣🤣

    • @ronaldfesto6043
      @ronaldfesto6043 3 ปีที่แล้ว

      Yanga inabidi msubili miaka 10 ya ubingwa wa simba ndo mtaingia kwenye haya mashindano

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว

      Sawa mtani usijali mwakn naww upo

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 ปีที่แล้ว

      CEO alisema mashindano yajayo nanyi mtashiriki

  • @emulickidausoni8045
    @emulickidausoni8045 3 ปีที่แล้ว +1

    Noma

  • @martinitumepambanaaiseefes8848
    @martinitumepambanaaiseefes8848 3 ปีที่แล้ว +4

    Jameni kushabekia simba raha

  • @robertprotas9427
    @robertprotas9427 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @saidingelemange3465
    @saidingelemange3465 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaan Kuna watu WENGINE wanampenda dunia mpk wanakufuru mungu nipe mwisho mwema mm na kizazii changu

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +1

      Kauli za maskini mpumbavu mufa maji mbwa 🐶🐕🐕 ww

    • @yohanacharles5758
      @yohanacharles5758 3 ปีที่แล้ว

      @@afterfull-time1348 ungemjibu kulingana na comment yake kiungwana zaidi

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +2

      @@yohanacharles5758 huo n upmbav na izo kauli zinapatkana baada ya adui kukushinda kwa kila mbinu ndo unamkumbka Mungu acheni kuhusisha Muumba kweny vitu vyq kifara ivo furaha n sehemu ya maisha ya mwanadamu unawezaje tia koment za kishoga kias hicho na huyo n mwana UTOPOLO

  • @chapaulingeproduction4768
    @chapaulingeproduction4768 3 ปีที่แล้ว +11

    Hivi hii ni SIMBA ile ile?au niwatu wanatafuta namba za kudumu kwa kocha mpya.maana sio kwa PIRA BIRIANI hili nilililo liona nitamu saanaaaaaa

  • @festojohnson2017
    @festojohnson2017 3 ปีที่แล้ว +4

    Hiii simba sijui aanz3e nan na abakiiii nan benchi

  • @bensonkyakwe6132
    @bensonkyakwe6132 3 ปีที่แล้ว +1

    speaking from the interior of my heart,, apart from disrespect and indiscpline cases ur the best MORISON

  • @peterkomanya2510
    @peterkomanya2510 3 ปีที่แล้ว +1

    Ooya nimpenda

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 3 ปีที่แล้ว +1

    Fantastic day

  • @joaojaime1080
    @joaojaime1080 3 ปีที่แล้ว +1

    Vipi Simba

  • @magemarco3732
    @magemarco3732 ปีที่แล้ว

    I love you Lion

  • @jackmrema4003
    @jackmrema4003 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba raha jamani

  • @maliamthomass1346
    @maliamthomass1346 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaman Simba hatal

  • @gwamakamsyanigwamakamsyani3645
    @gwamakamsyanigwamakamsyani3645 3 ปีที่แล้ว

    SanaSanaa morrison

  • @big9media282
    @big9media282 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndio simba

  • @user-gw3wt2ui6m
    @user-gw3wt2ui6m 4 หลายเดือนก่อน

    Simba yetu mi nzuli xana

  • @fanueladamadamu4100
    @fanueladamadamu4100 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri azam media

  • @mohamedymilowe6435
    @mohamedymilowe6435 3 ปีที่แล้ว

    Hongelen

  • @TiitoTvTz
    @TiitoTvTz 3 ปีที่แล้ว +1

    simba sio poa

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 3 ปีที่แล้ว +2

    Atachaje kuwakera

  • @slyviabambanza6972
    @slyviabambanza6972 3 ปีที่แล้ว

    Move

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 3 ปีที่แล้ว +5

    PAMOJA NA KUA BWALYA KAUPGA MWINGIII..LKN MAN OF THE MATCH N MORRISON GORI TATU KAHUSIKA UYU MTU RICHA YA DAKKA CHACHE ALZO CHEZA😀✊

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      Uliangalia mechi kwel au umetazama now hii HL ndo unakoment ivo

    • @oscarjohn477
      @oscarjohn477 3 ปีที่แล้ว

      @@afterfull-time1348 kivyovyote vile man of the match n Morrison ndo kaua mchezo bwalya pamoja NA kaz yote aloifanya kahusika kwenye gor moja tu dakka zote lkn Morrison dakk chache gor mbil NA assist😀😀

    • @mrpeter4828
      @mrpeter4828 3 ปีที่แล้ว

      @@oscarjohn477 Acha upimbi mchezaji bora sio lazima awe amefunga goli au magoli kinachoangaliwa ni ubora wake aliouonesha mwanzo hadi mwisho wa dk 90

    • @abdulbebeto9703
      @abdulbebeto9703 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mrpeter4828 pia mtu kuamua mechi inaweza kumpa Man of the match

    • @oscarjohn477
      @oscarjohn477 3 ปีที่แล้ว +2

      @@mrpeter4828 Mara sjui pimbi yametokea WAP kwa taarifa yako nna urefu wa 178cm ASA jjbu mwenyew pimb n yup APA..anyway inaonekana n mgen kwenye soccer ndomana hujanielewa takujb kwa mfano rahisi *RASHFORD ALCHUKUA MAN OF THE MATCH MECH NA RB SALZBURG HAKUCHEZA IZO DAKK 90 UNAZO ZTAJA ALOTEA SUB LKN KWASABABU TU YE NDO ALIUA MCHEZO TENA KWA DAKKA CHACHE ALZOPATA* UNAWEZA PIGA PAS NYNG VYENGA KBAO LKN MCHEZO WA MPIRA N WA MAGORIIIIII😀😀😀😀 N ISHIE APO UKISIPO ELEWA BAS ACHANA NA MPIRA KAFANYE VTU VNGNE UKU UNAJPOTEZEA MDAAA😀✊

  • @whatsonmswaya2483
    @whatsonmswaya2483 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmmmh simb nguvu moja

  • @omaryassani231
    @omaryassani231 3 ปีที่แล้ว +2

    taifasitaa

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 3 ปีที่แล้ว +3

    GOMES ana systems nyingi sana, Hii Mechi ndo Hunipa Hope ya Kujakuichakaza AS VITA hapa kwa Mkapa...5 Bila Naziona SIMBA kuichakaza AS VITA

  • @omaryassani231
    @omaryassani231 3 ปีที่แล้ว +2

    timuyataifa sitaa

  • @MollelBlessing-po3zi
    @MollelBlessing-po3zi ปีที่แล้ว

    Simba

  • @jujabejaphety4587
    @jujabejaphety4587 3 ปีที่แล้ว +4

    Yani raha ninayo ipata kila nkiangalia mechi za simba hakuna mahara popote ninapo weza kuzipata yani hii ni zaidi ya rahaaaa

  • @foibemollel984
    @foibemollel984 3 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri

  • @happyathanas2454
    @happyathanas2454 ปีที่แล้ว

    Zoran yupi coach wa alhilal

  • @magemarco3732
    @magemarco3732 ปีที่แล้ว

    💞♥️

  • @jacobomgongo8412
    @jacobomgongo8412 2 ปีที่แล้ว

    Simba vs azam

  • @kaimurashidi8263
    @kaimurashidi8263 3 ปีที่แล้ว +1

    Daudi joseph

  • @mrsnam6897
    @mrsnam6897 17 วันที่ผ่านมา

    Naweza kusema pacome ni morison alie na nidhamu

  • @machembalume6085
    @machembalume6085 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni kwli ndogi anawapa simba wanachotaka, amani kwake

  • @nurathhassan1902
    @nurathhassan1902 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyombo za machalii watundu

  • @happyathanas2454
    @happyathanas2454 ปีที่แล้ว +2

    Hatuna haja naye

  • @martineomary22
    @martineomary22 3 ปีที่แล้ว +4

    Simb mnyama

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 3 ปีที่แล้ว +2

    Na sisi yanga tunaruhusiwa kucomment hapa

  • @barackantony8316
    @barackantony8316 ปีที่แล้ว +1

    Hii Ni hatar

  • @daudmshimbe4642
    @daudmshimbe4642 3 ปีที่แล้ว +1

    Cmba baba lao

  • @mazeeali4638
    @mazeeali4638 3 ปีที่แล้ว +1

    M

  • @benjaminenyasanga2195
    @benjaminenyasanga2195 3 ปีที่แล้ว +9

    azam pandisheni bei ya vifurushii hiii piraa biriani sio ya kuangaliwa kwa kifurushi sawa na UTOPOLOO.
    mabanda umiza tuongeze kiingilio pja hii inafaa kuangaliwa kwa bei juu
    😀😀😄😄

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj 3 ปีที่แล้ว +3

    SSC for real.

  • @shabanbernard4492
    @shabanbernard4492 2 ปีที่แล้ว

    Mo

  • @OsamaAthumani-gm3kv
    @OsamaAthumani-gm3kv ปีที่แล้ว

    Kwel

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 2 ปีที่แล้ว

    Uyo Kipa Wa Sudan Shkamoo

  • @wazirikibona7551
    @wazirikibona7551 3 ปีที่แล้ว +1

    Shoo zawsafi

  • @jinaikikanga5598
    @jinaikikanga5598 3 ปีที่แล้ว +1

    Kenedy

  • @nicksonluoga2972
    @nicksonluoga2972 3 ปีที่แล้ว +3

    Mnyamaa

  • @pcpoint1224
    @pcpoint1224 3 ปีที่แล้ว

    MICHELINI scoll

  • @vicentpaul8237
    @vicentpaul8237 3 ปีที่แล้ว +2

    saf