@@udambu_udambu_media_tv3062 kwahiyo watu hawawez kuiga alichokifanya Ronaldo, au wapi nmefananisha Ronaldo na Kagere, usiwe shabiki wa namna hiyo watu wakiiga tunasema
Simba babalao sisi maneno kidogo kazi zaidi nyie pigeni kazi wao wazidi kuchelewa kwa kauli zao mbovu sisi tunakomaaa hata yesu mwenyewe alifanya mambo mazur lakini bado walimdhihaki ko wanasimba tukae kimya tusubir tarehe 8 hapa kazi kazi chama kubwa
Ndio mana hii mechi imekua nzuli nikwavile Azam hawalogi wala simba hatulogi lakini ingekua yanga hapo ushilikina kwanzia nnje yauwanja mpaka ndani yauwanja yanga badilikeni mpila nisayansi
Jaman ee humu kuna watu hawajuwi mpira bora wakacheze segere kwa mpira huu mtu anasema simba inabebwa kweli kuna watu wamevamia fani huu mpira ulikuwa moto sana
Manula ajirebishe, huwezi pangulia mpira kwenye njia hiyo hiyo ya mshambuliaji! Na pili jaribu kuinuka kwa wakati mipira inapo bounzi, uwezi okoa mpira ukiwa upo chini kwa shambulio la kwanza!
Simba bado inahitaji kiungo mkabaji(aggressive midfielder) huo ndo ukweli kulingana na magoli tunayofungwa mengi yanatokea katikati kutokana na ukabaji kuwa soft SNA. Lazma simba tutafute kiungo anayejua kuwadhibiti wapinzani katikati. Pili Chama ndugu yangu Sa zingine ana asili ya uchoyo, kuna movement moja Luis alikuwa kwenye position nzur ya kufunga na amemuomba Mpira chama sjaekewa kwann chama alidelay kumpa pasi na kuelekeza kwa kahata ambaye alikuwa amekabwa. Hili makocha waliangalie kwa wachezaji wafikirie matokeo ya timu kwanza kabla ya ubinafsi
Jana kiungo mkabaji alikuwa n mkude 2 wengine wote walikuwa washambuliaji na wachezeshaji mfn Chama,kahata,miquissone na deo kanda ndo maana mkude alikuwa hapandi Sana n game approach ya kocha
Kama umesikia mtangazaji kasema exceptional striker Meddy kagere,,gonga like
Kama unaamin Kagere amepga goli kama like la Ronaldo kwenye final uefa dhid ya Juve weka like
We usimfananishe na Ronaldo mtu mwengine
@@udambu_udambu_media_tv3062 kwahiyo watu hawawez kuiga alichokifanya Ronaldo, au wapi nmefananisha Ronaldo na Kagere, usiwe shabiki wa namna hiyo watu wakiiga tunasema
hapana mpira wenyewe ulikotoka ulitoka nje ya pitch
Hongereni vijana wa simba kwa ushind mzur beki yetu ya kurekebisha kidogo msimu ujao
Man of the match chamaaaaaaaa
manula
Manula kaokoa michomo mingi
Kweli kabixaaaaaaaaà
Hujbo
Nimewahi nipate japo like 💯
Jamani jmanii kusema ukwel simba inacheza mpira na sio maneno,naiman hii ndo mech qalii msimu huu wa 2019 na 2020,SIMBA baba laoo
Wape salaaaaaam wambie tumefika Dodoma wajiandae 💪💪💪💪💪💪💪💪
Team yangu simba...nakupenda sana
Simba itabaki kuwa juu.mungu ibariki Simba mungu ibariki TZ.
Amen
Mechi tamu sana hii sijaona kwenye lingi toka msimu uanze
Naipenda simba
Simbaaaa, is fireeeeeeeee.
Kama umesikia NDANI KUTAMU KUMBE tujuane fasta hapa
Chama mtu hatare sanaa
Imetumbukia tumbu baraka wewe hatari sana kwa kutufurahisha wana simba Mungu akupe maisha marefu kaka ili uendelee kutupa burudani.
XA x x
This is simbaaaaaaaaaaaaaaa
Simba babalao sisi maneno kidogo kazi zaidi nyie pigeni kazi wao wazidi kuchelewa kwa kauli zao mbovu sisi tunakomaaa hata yesu mwenyewe alifanya mambo mazur lakini bado walimdhihaki ko wanasimba tukae kimya tusubir tarehe 8 hapa kazi kazi chama kubwa
Mhhh kwasimba hii humtumi mtoto dukani
Simba baba lao
Ndio mana hii mechi imekua nzuli nikwavile Azam hawalogi wala simba hatulogi lakini ingekua yanga hapo ushilikina kwanzia nnje yauwanja mpaka ndani yauwanja yanga badilikeni mpila nisayansi
Chama, kahata chama kapombe chama kahata Luis chama kahata, Yan zinagongwa tu hapa pas,
Marudio ya simba na as vita
Marudio ya simba
Mechi nzuri
Chama cio mutuuu mzuriii
Azam wako vizuri
INSHAALLAH NA TAREHE 8 yanga atakufa tu timu kubwa ni kubwa tu
Oyoooo Simba yangu tunawasubir waleeee wazee wa Sare trh 8 piga kelele kwa Simba akeeee
Penda sanaaa
Khadija khadija weweeeeeeeeeeeeeeeee,kwiooooooooo
Umenaaaa wazee wa maderaaaaa
Oyooooooo
waoooooo kwa kweli Khahdija.mpira hadi raha
Hahahahahaha kazi nzuri enzi hizo
Hongera sana simba
Anaetoka amefunga anaeingia amefunga hahahaaaa. Nguvu moyaa
SIMBA chama kubwa 🔥🔥 🔥
Simba noma brooooo
Ndanii kutamu kumbee!! Shikamo mpenjaa
Mnyama simbaaaa juu kilele.
Mechi Bora kabisa Afrika Mashariki na kati aiseeeeeeeeeee!!!!!!vyura jifunzeni hapa sio kipaki basi mpira ni burudani
AZAM’s GOAL RULED OUT BECAUSE THREE AZAM PLAYERS CAUGHT ON OFFSIDE POSITION 🤣😂😂🤣
Kuna kitu nakiona hapa kwa safu ya ulinzi hii itabidi wajifue vizuri sana tusipoifunga Yanga hatutoufrahia ubingwa wetu.
Fact👏👏👏👏
@@mutalemwagabrie9791 Simba vc nkana hiyo match huwa week haiishi narudia kuiangalia 3-1
Kabsa beki zetu ni dhaifu mno
@@minaside6717 ndioo
@@minaside6717 dhaifu kivipi wakati ndio beki ilio fungwa gori chache ktk ligi
Simba Mnyama..Hatari sana....
Goli la Kagere ni tamu
Kama umemuona wawa sejio gonga like
Simba fireeeee
huwa napata fulaha sana napoona wachezaji wanaongea baada ya mchezo ni undugu mkubwa sana huo
Wachezaji wa 3 wa Azam wanaswa wakiwa mwenye nafasi ya kuotea ndio maana goal lao limekataliwa ! 😁😁🤣😂😂😂👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Kabla mpira hujapigwa tayali wale walikuwa sehem ya kuotea na mpira hukuenda mojo kwa moja bali ilikuwa libaund
Quality ya video inayumba why
Chama fundi namkubali
Sante 👍👍👍
Alhmdhulillah
Hiii ndio simbaaaaaa
Jaman ee humu kuna watu hawajuwi mpira bora wakacheze segere kwa mpira huu mtu anasema simba inabebwa kweli kuna watu wamevamia fani huu mpira ulikuwa moto sana
This is simbaaaaaa
Mnaosema simba amebebwa jiulizeni Polisi kule moshi ilikuwaje?
Basit juma nlitaman nkupee like mbili
Umeonaeeee aahahaaaaaa
@@nelusigwesteven981 wajinga gao
Bonge moja la game kuwah kulishuhudia
REMIGIUS sostenes
Hii ndo SIMBA SC nayoijua safi sana vijana wa MO
mafala wa kubebwa nyie
@@ponsianonyangachi6805 tukutane siku ya harusi vaeni sare kamili Honney moon ni ya nguvu pia...... Hakikisha hauko period...😋😋😋😋..😕
Hii ndyo mechi niliyokuwa naihofia
Simba ni raha jamani.
Wamelambishwa juice ya ukwaju😂😂
mnyamaaa sema beki bdo
Hakuna kama Simba jamani, nongwa mbaya jamani, timu ikiwa Bora munaipongeza, hii ndio Simba yakimataifa
Du lakn huyu cham xio biandam kabxaa
Kajoro Bornson haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa unadhania ni nan? Sasa
Titanike
Kesho jumapili Tarehe 7 2021 azamu mtakufa goli 3
Yes
Tusubiri tarehe 08/03/2020
Mechi ipikuwa tafu na nzuri
mi nafkir hii ndo mechi yangu bola kwa msimu huu sjui kama patakja tokea nyingine
Kum kum kum
😂😂😂😂😂
simba atari brother
Baraka mpenja kesho dabi inakuusu kutangaza ukiwa na James samweli kesho mtangaze hyo mechi kesho we ndio bora kwangu na kidogoo Ibwe
Mmmh chama ni tatzo hapa bongo.
Kwq SIMBA hii Raha sanaa 😂 tunatembea kifua mbele 👊 No stress 🤣
Kwa kwel timu flan imebebwa ,clear penat
Yaan iyo dakika ya 93 chama pale hakutaka tu kufunga kwel ndan ya box chamma katoa pasi
Ndani kutamu kumbe... Ila mpenja
OFFSIDE WATATU KINA AZAM
Mnyama mkali
Mpaka apo vyura habar wanayo
Simba sport club naikubal mno
Utopile tukiwafunga hatukai chini tunawafata uko uko jukwaaani+974 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Hii staili ya deo kanda yaushangiliaji inamaanisha kitugani?
Ana makole ya ngombe
Shuti LA wawa ni hatari
Kweli
Jumapili Azam mnyama atawararuaaaaa
Manula ajirebishe, huwezi pangulia mpira kwenye njia hiyo hiyo ya mshambuliaji! Na pili jaribu kuinuka kwa wakati mipira inapo bounzi, uwezi okoa mpira ukiwa upo chini kwa shambulio la kwanza!
Unachukulia simple eeh angalia na hali ya uwanj ulivy na mpira ukiwa na maji unakuw vp broo
Hajui mpira uyo
Kadake ww unafikiri ni Sawa na kula bagia😂😂
Nobert Nyawenda vp
simba na singida
sımɞѧ ċһѧmѧ ʟѧ ɰѧňѧѧѧѧѧѧѧѧѧ
Simba bado inahitaji kiungo mkabaji(aggressive midfielder) huo ndo ukweli kulingana na magoli tunayofungwa mengi yanatokea katikati kutokana na ukabaji kuwa soft SNA. Lazma simba tutafute kiungo anayejua kuwadhibiti wapinzani katikati. Pili Chama ndugu yangu Sa zingine ana asili ya uchoyo, kuna movement moja Luis alikuwa kwenye position nzur ya kufunga na amemuomba Mpira chama sjaekewa kwann chama alidelay kumpa pasi na kuelekeza kwa kahata ambaye alikuwa amekabwa. Hili makocha waliangalie kwa wachezaji wafikirie matokeo ya timu kwanza kabla ya ubinafsi
Jana kiungo mkabaji alikuwa n mkude 2 wengine wote walikuwa washambuliaji na wachezeshaji mfn Chama,kahata,miquissone na deo kanda ndo maana mkude alikuwa hapandi Sana n game approach ya kocha
Fraga yupo mkabaji lakini tangu aondoke Patrick hyu kocha hampangi
kandaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mnyama atabak tu kuwJuu
SWEDI ALLY
Michael saimon
simbaaaa baba lao
Hapa mashaka ndo yanapo kuja ...Simba work hard unabebwa kiasi fulani
Pole sanaaa
Ilikuwaje yanga na police
Poleni sana mnaosema simba kabebwa
Simba itasumbua sana sasa ivi
Ndani kutamu kumbe!!!! Ahaahaaaaaaa
Simb vs azam
tareh 8,chura wa jangwani ikapanda juu ya mpira si tunafumua mashut tu, unaingia wavuni mpira pamoja na chura aliye juu ya mpira
Simba vs as vita
Petro Kisinza ayabwana
Ndani kutam ndy mana kunapendwa 😁
Hakuna Kama yeye Triple C mwamba wa Lusaka
Hi corona inatukosesha vitu vingi et
Skuzote mkubwa anahema zake
Kiboko yao
Ni kwa ajili ya mvua au vp,mbona sioni mafans stadium
Snaaa chamaa nakutambua kaka
esivita sibaba
Wengamuzika