4. FAIDA ZA NGUVU ZA UFUFUO KIUTENDAJI NDANI YA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || NJOMBE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @annemyombo8089
    @annemyombo8089 หลายเดือนก่อน +9

    Yesu asante. my words means alot to you. tutunzie Hudumaa hii. Mpe afya njema na maisha marefu ktk kukutumikia wewe Mwl Christopher na Diana Mwakasege. ni zawadi nzuri nzuri nzuri umetupa Tanzania

  • @ditramcanicia1750
    @ditramcanicia1750 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu na amtunze mtumishi wake...tunakupenda mwalimu wetu ,mafundisho yako yamekuwa baraka kwa watu wengi

  • @iragikamungu
    @iragikamungu หลายเดือนก่อน +3

    Nashukuru sana kabisa na Baraka hizi za Leo. Mungu akutiye nguvu mutumishi wetu bwana ametu Afríka. Nilifuata kwa njiya ya TH-cam

  • @MottoRachel
    @MottoRachel หลายเดือนก่อน +3

    ❤ nakupenda saaana mtumishi Mungu akutunze miaka mingi kupitia mafundisho yako tunamjua Yesu zaidi na zaidi

  • @gracy05ful
    @gracy05ful หลายเดือนก่อน +2

    Yesu asante kwa ajili ya somo hili. Yesu asante kwa ajili ya mwalimu mwakasege, Yesu asante kwa ajili ya huduma ya Manna!

  • @georgiacharles7831
    @georgiacharles7831 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwa ajili ya watumishi ,Tunaomba utukumbuke nasi Ruvuma kwa neema

  • @upendomwansile4207
    @upendomwansile4207 หลายเดือนก่อน +2

    Glory to God! Stay blessed indeed my spiritual dad&Mum Mwakasege,mzee Lukumay stay blessed too baba,God may you protect MANA ministry with your Holy&living blood!

  • @dainakinyamagoha-go6kf
    @dainakinyamagoha-go6kf หลายเดือนก่อน +2

    Nimepokea katika jina la YESU kristo

  • @meshackmahrina1492
    @meshackmahrina1492 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen Kwa Jina la Yesu Kristo Wa Nazareth 🙏🏿❤️

  • @ElikaMwafongo
    @ElikaMwafongo หลายเดือนก่อน +2

    Amina sana nimebalikiwa sana na zaidi ya sana jina la Bwana lihimidiwe roho wa Mungu yupo mahari pote🇿🇦

  • @dainakinyamagoha-go6kf
    @dainakinyamagoha-go6kf หลายเดือนก่อน +1

    Naamini Mungu anatuvusha

  • @FinaLymo
    @FinaLymo 2 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi wa Mungu

  • @RoseWilliam-w6g
    @RoseWilliam-w6g 26 วันที่ผ่านมา

    Amina mungu wako amenivusha milima na mabonde

  • @meshackmahrina1492
    @meshackmahrina1492 หลายเดือนก่อน +1

    Nguvu za Roho Mtakatifu Katika Maisha Yangu Nakupokea Kazi Ya Ndoto Yangu Ohhh Nakupokea Nguvu na Baraka Na Nguvu za MUNGU😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏿

  • @AgnesMgina-ud6ho
    @AgnesMgina-ud6ho หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubaliki mwl.

  • @FrankMtasiwa
    @FrankMtasiwa หลายเดือนก่อน

    Asantee yesu nimebarikiwa sana na hii semina

  • @MBJ202
    @MBJ202 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @evelinamnyawami3751
    @evelinamnyawami3751 หลายเดือนก่อน

    Jina la Bwana YESU liiunukliwe.

  • @AntonethaSunguya
    @AntonethaSunguya หลายเดือนก่อน

    Amina. Nipo Spain napokea nguvu za eoho mtakatifu.

  • @EliasMoses-vk3pu
    @EliasMoses-vk3pu หลายเดือนก่อน

    Tusaidieni tuweze kudanilodi ya MASOMO YA MWALIMU
    MUNGU AWABALIKI SANA.

  • @MaliamJaki
    @MaliamJaki หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe watumishi

  • @iragikamungu
    @iragikamungu หลายเดือนก่อน +4

    Tangu nimeanza familiya mafundisho munayo nitolea hapa TH-cam nimebadilika Sana ki Maisha. Nilikuwa nashida ya wizi Mungu ameimaliza.

  • @SaraSaramashana
    @SaraSaramashana หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa

  • @samwelabm3129
    @samwelabm3129 หลายเดือนก่อน

    Amina sana

  • @GRACENGULO
    @GRACENGULO หลายเดือนก่อน

    Amina kumbwa

  • @BeatriceMsonge-jv1mz
    @BeatriceMsonge-jv1mz หลายเดือนก่อน

    MUNGU AWATUNZE HAKIKA MUNGU AMEONEKANA KATIKA MAISHA YANGU NA KUNIPA NAFASI NYINGINE🙏🏼

  • @evarisaernest2146
    @evarisaernest2146 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @meshackmahrina1492
    @meshackmahrina1492 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Yesu Asante Yesu Asante Yesu

  • @Emsuk-p8v
    @Emsuk-p8v หลายเดือนก่อน

    Nilichukuwa hiyo kadi mwaka jana nikaipoteza na sasa nipo Marekani na ninataka kutoa sadaka yangu

  • @EgibertDamian-hq7ik
    @EgibertDamian-hq7ik หลายเดือนก่อน

    Ww ni mfalume wa wafalume

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 หลายเดือนก่อน

      Eee,unasemaje? Mfalme wa wafalme ni Mungu tu.

  • @NuruMjeuri
    @NuruMjeuri หลายเดือนก่อน

    Naomba, mtusaidie tuweze kudownload jamani

  • @OderMsigwa
    @OderMsigwa หลายเดือนก่อน

    ubalikiwe mutumishi w

  • @vincentkasumba1893
    @vincentkasumba1893 หลายเดือนก่อน

    Natamai niwe na namba yako ya simu.naombeni

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 หลายเดือนก่อน

    Bwana.anastahili.sifa.zote.milele.yote

  • @EgibertDamian-hq7ik
    @EgibertDamian-hq7ik หลายเดือนก่อน

    Ww ni mkama

  • @Jado-m3j
    @Jado-m3j หลายเดือนก่อน

    Mungi wako abari kiwe

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @PendoNyambita
    @PendoNyambita หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Mungu wa Miungu

  • @PendoNyambita
    @PendoNyambita หลายเดือนก่อน

    Aminaa

  • @LucyLwiva-h9l
    @LucyLwiva-h9l 5 วันที่ผ่านมา

    Amina