3. FAIDA ZA NGUVU ZA UFUFUO KIUTENDAJI NDANI YA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || NJOMBE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 22 วันที่ผ่านมา

    Tunayafuta maneno yote mabaya ya laana kwa damu ya Yesu. Tunawatamkia baraka watoto wetu leo wabarikiwe na wakutumikie wewe Mungu.

  • @BahatiSaimon-x5r
    @BahatiSaimon-x5r หลายเดือนก่อน +2

    Mungu afanye njia kwa kwel, atuondolee mifumo ya ukoo

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 22 วันที่ผ่านมา

    Turehemu Mungu sisi wazazi na vijana wetu kwa kutowapa watoto wetu kipaumbele katika malezi yao.

  • @benedicto98sanga35
    @benedicto98sanga35 หลายเดือนก่อน +5

    Ubinafsi naukataa katika jina la Yesu

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath หลายเดือนก่อน +3

    Amina Amina

  • @FarajaChengula-c7s
    @FarajaChengula-c7s หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi wa Mungu

  • @AgnetherMujwahuzi
    @AgnetherMujwahuzi หลายเดือนก่อน +1

    Yes my God is good!

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 22 วันที่ผ่านมา

    Turehemu na utusamehe kwa kuwatamkia maneno mabaya ya laana watoto wetu.

  • @superdeetv.1796
    @superdeetv.1796 วันที่ผ่านมา

    Glory to God

  • @justinembwilo
    @justinembwilo หลายเดือนก่อน

    Amina!
    naikataa roho ubinafsi kwa Jina la Yesu

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je หลายเดือนก่อน +1

    Halleluya Halleluya Halleluya

  • @alfakayange8060
    @alfakayange8060 หลายเดือนก่อน

    Amina yesu nivushe

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 22 วันที่ผ่านมา

    Bwana badili mawazo na matendo ya vijana wetu yakurejee tena.

  • @ndivakombilinyi5115
    @ndivakombilinyi5115 หลายเดือนก่อน

    Mungu niondolee ubinafsi na mifumo ya ubinafsi

  • @ndivakombilinyi5115
    @ndivakombilinyi5115 หลายเดือนก่อน

    Yesu niondolee ubinafsi

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @evarisaernest2146
    @evarisaernest2146 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie nisiwe mbinafsi

  • @BrianChanachayo
    @BrianChanachayo หลายเดือนก่อน

    Kaka Willy Drummer nakuona apo.....Hongera sana

  • @AgnetherMujwahuzi
    @AgnetherMujwahuzi หลายเดือนก่อน

    Yes my God is good!

  • @AgnetherMujwahuzi
    @AgnetherMujwahuzi หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 17 วันที่ผ่านมา

    Amen