Bwana Yesu asifiwe sana. Nmebarikiwa sana sana na maombi ya kufunua mikono ya wanawake Leo. Roho Mtakatifu azidi kukufunulia zaidi Mwl Mwakasege. Asante sana. Mungu wa mbinguni azidi kukubariki
Asante Mungu Baba kunikumbuka leo na kunisemesha nankushughulika na mikono yangu sawasawa na neno umenitakasa mimi na mikono yangu ili uitumie kwa utukufu wako katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege asante kwa neno na mafundisho nimejifunza na kupokea ba kupona ubarikiwe wewe familia na wote watendao kazi pamoja nawe. Amina.
Naomba mungu ifungue mikono yangu maana nimekua mtu wa kupoteza hera san, na matumiz yasiyo ya kawaida. Hatua zangu ziwekwe huru, nakataa roho ya uharibifu kwa jina la YESU
Mwl hili somo ni la kiufunuo sana Baba limebeba mambo ya ndani na siri ya Mungu iliyo kuu. Tunaomba utusaidie kulifunua zaidi km Kanisa tulielewe vizuri. Somo hili ni jipya na lina siri sana.
Babangu na mamangu Christooher na Diana MUNGU awape maisha marefu, somo la jana ni Real-nothing was moving in my hands, jana nimefunguliwa toka ishara mbaya za kiroho
Bwana Yesu asifiwe sana. Nmebarikiwa sana sana na maombi ya kufunua mikono ya wanawake Leo. Roho Mtakatifu azidi kukufunulia zaidi Mwl Mwakasege. Asante sana. Mungu wa mbinguni azidi kukubariki
Leo Nimemuona Mungu kwa namna ya tofauti sanaaa Mungu azidi kukutunza Mwalimu Na Usipungukiwee
MUNGU alinipa neema nikawepo katika hii semina, Asante YESU naweka hii comment hapa kama Ishara kila aisomae akukumbushe jinsi ulivyo niponya mm 🙏🏽✝️❤
Hongera sana mungu ni mwema
Hongeraaaa
Asante Mungu Baba kunikumbuka leo na kunisemesha nankushughulika na mikono yangu sawasawa na neno umenitakasa mimi na mikono yangu ili uitumie kwa utukufu wako katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege asante kwa neno na mafundisho nimejifunza na kupokea ba kupona ubarikiwe wewe familia na wote watendao kazi pamoja nawe. Amina.
Hakika Roho mtakatifu ni mzuri amenena na kunuhudumia kupitia mwl Mungu akubariki baba
Ahsante sana YESU KRISTO umenipigania nakuita Jehova rafa Jehova nici
Ameen moyo wangu umejawa ma shukrani 🙏🙏🙏🙏
👌👌nimeenjoy neno ,mungu akutunze mtumishi
Naomba mungu ifungue mikono yangu maana nimekua mtu wa kupoteza hera san, na matumiz yasiyo ya kawaida. Hatua zangu ziwekwe huru, nakataa roho ya uharibifu kwa jina la YESU
Mungu akupe maisha marefu, uzidi kutufundisha! 🔥🔥🔥
Ubarikiwe na uongezewe zaidi azina ya taifa
Amen Mwl Mtumishi wa Mungu. Bwana akubariki sana.
Amina baba kwa mafundisho mazuri yamenibariki, pia Baba naomba ata mwaka 2025 mpeleke semina ya neno la mungu mkoa wa Geita na wilaya yake,
Mungu na azidi kukutumia kama ishara Kwa watoto wake
Mwl hili somo ni la kiufunuo sana Baba limebeba mambo ya ndani na siri ya Mungu iliyo kuu.
Tunaomba utusaidie kulifunua zaidi km Kanisa tulielewe vizuri.
Somo hili ni jipya na lina siri sana.
Nipo hapa😢😢
Precious john
Mungu kila kitu tunaweka mikononi mwako linda watumishi hawa
Babangu na mamangu Christooher na Diana MUNGU awape maisha marefu, somo la jana ni Real-nothing was moving in my hands, jana nimefunguliwa toka ishara mbaya za kiroho
Amen! 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🏿
AMEN
❤❤
Amen
❤
Asteriah mathias desdery
sauti hakuna Leo
Hii mbona haina sauti au tatizo liko kwangu tu?
Mwanzoni sauti haipo
❤❤