1. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MBEYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 70

  • @DorisMbwilo
    @DorisMbwilo หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wangu wa mbinguni najiunganishe na huduma hii naomba Emma burton anioe amen

  • @fransiscamushi4630
    @fransiscamushi4630 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu wa mbinguni ninajua kwako hakuna umbali,ninajiungamanisha na maombi haya ninaomba Mungu ukomboe uchumi .

  • @dainakinyamagoha-go6kf
    @dainakinyamagoha-go6kf 2 หลายเดือนก่อน +7

    Namtukuza MUNGU kwa mipango yake maishani mwangu .Mungu aibariki huduma ya mana na mifumo ya kihuduma

  • @AgathaBira
    @AgathaBira 2 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU wa mbinguni kama uishivyo kwa maombi haya naomba umsaidie mama yangu apate uponyaji katika jina la Yesu kristo

  • @RosePatrick-vh2or
    @RosePatrick-vh2or หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi waMungu

  • @kamikazineema1957
    @kamikazineema1957 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nafuatilia fro 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @JoyceMashamba-u1u
    @JoyceMashamba-u1u 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ee Mungu naomba kupitia maombi haya , na huduma hii ya mana, ninamuungamanisha Mama yangu apokee uzima na uponyaji wa afya yake, Kwa Imani iwe hivyo kama niaaminivyo

  • @SGIT-jd6fg
    @SGIT-jd6fg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu kwa Neno lako la Ufahamu nalitukuza Jina lako

  • @fransiscamushi4630
    @fransiscamushi4630 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa mbinguni tunajiungamalisha na mtumiahi wako kristopha,tusaidie Bwana Yesu,tunaomba uturehemu kwa kila kitu kiovu mbele zako,ili tupokee uponyaji na ufunguzi wa maisha yetu Bwanaa.

  • @surayammanga8190
    @surayammanga8190 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu naomba tufungue familia ya Juma mmanga fungua kila fundo lililofungwa katika Damu yako takatifu fungua na tumbo langu Yesu najua peke yako ndo unaweza kutuokoa Amen

  • @josphatmuia-kr6yw
    @josphatmuia-kr6yw หลายเดือนก่อน

    Somo nzuri na baraka

  • @WitoKonga
    @WitoKonga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sassa nakupenda yesu kuzid pia

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu Kristo nirehemu na unisaidie kupigania muunganiko wa wazo la Mungu juu yangu na wana wangu na wajukuu wangu la sasa na la badaye sawasawa na Mungu Baba anavyotuwazia katika jina la Yesu Kristo Amina. ❤❤❤. Mwalimu Christopher Mwakasege na familia na wote watendao kazi pamoja nawe Mbarikiwe Sana.

  • @felphyner-bf5jr
    @felphyner-bf5jr หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa utumishi mwema

  • @rachelpeter87
    @rachelpeter87 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu nakuomba nifundishe❤

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Mtumishi wa Mungu tunakupata hapa Marekani.

  • @hamiskitundu4376
    @hamiskitundu4376 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyz mngu azid kukubark zaid mtumish

  • @zadockkandenga
    @zadockkandenga 2 หลายเดือนก่อน

    Na bariki Bwana kwa ujumbe huu. Hii ni sauti ya Mungu kupitia mutumishi wake. Nime pata sehemu yangu. Aksante sn.

  • @NeemaMachangem
    @NeemaMachangem 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu nifundishe yanipasayo kufanya

  • @FrankIsaka
    @FrankIsaka 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mteule wa MUNGU azidi kuwa pamoja nawe 🙏 JESUS

  • @shigongokimwaga9067
    @shigongokimwaga9067 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio ibada sasa tunashukuru Mungu kwa ajili yenu kwa kuwatumia

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbeya noma
    Hongereni na Mungu awatendee

  • @VenanceKitutu
    @VenanceKitutu 2 หลายเดือนก่อน +1

    naunganisha maisha yangu na familia yangu kiagano kimaisha na kiuchumi

  • @OscarramceMwankuga
    @OscarramceMwankuga 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupata baba mungu atufunguwe vifungo tulivyo funga

  • @EMMAMAKASI-z1y
    @EMMAMAKASI-z1y 19 วันที่ผ่านมา

    Kupitia maombi haya namuungamanisha mdogo wangu cathe na mwanae wapokee uponyaji,pia kupitia maombi haya nahitaji uponyaji katka familia yangy

  • @NaomiSarakikya
    @NaomiSarakikya 25 วันที่ผ่านมา

    Niudumie bwana

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 2 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu uturehemu, utussidie.

  • @SamwerAsajile
    @SamwerAsajile 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi 🙏

  • @stellawilson7453
    @stellawilson7453 2 หลายเดือนก่อน

    Naificha huduma hii kwenye kisima Cha damu ya Yesu

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amina Amina

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtakatifu mtakatifu

  • @nawikemwasamboma5510
    @nawikemwasamboma5510 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu wewe niguse mimi

  • @LeahMsyani
    @LeahMsyani 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa watumishi

  • @JustaLutataza
    @JustaLutataza 2 หลายเดือนก่อน

    Niko hapa BWANA unipite!

  • @AngelMngete
    @AngelMngete 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @RoidaLwekela
    @RoidaLwekela 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mrumishi.

  • @JoyceMetsoni
    @JoyceMetsoni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @AnnaAlbert-ez5jd
    @AnnaAlbert-ez5jd 2 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na madhabahu hii

  • @TERESIAYOHANA
    @TERESIAYOHANA 2 หลายเดือนก่อน

    amen Amina Ameeeeeeeeeeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ViolethSanga
    @ViolethSanga 2 หลายเดือนก่อน

    Kupitia maombi haya namuungamanisha shangaz yangu Yustar sanga aweze kupona kifafa

  • @drmaryjohnmponda3484
    @drmaryjohnmponda3484 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @evarisaernest2146
    @evarisaernest2146 2 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu 2 หลายเดือนก่อน

    ❤amen

  • @josphatmuia-kr6yw
    @josphatmuia-kr6yw หลายเดือนก่อน

    Samahani mwaLimu nahitaji kutoa sadaka na Niko Kenya nina toaje sasa

  • @anithamsigwa
    @anithamsigwa 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @nawikemwasamboma5510
    @nawikemwasamboma5510 2 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na mazabahu yako

  • @brownedwin5198
    @brownedwin5198 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti ni ndogo sana

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 2 หลายเดือนก่อน

    TWAKUABUDU huu wimbo naupataje jamani miaka yote siupati

  • @gracemsengi9748
    @gracemsengi9748 2 หลายเดือนก่อน +2

    MFUMO, NI NJIA ZILIZOUNGANISHWA NA KUOANISHWA KIMKAKATI, ILI KURAHISISHA UTEDAJI KIUFANISI. KWA KUTIMIZA KUSUDI HUSIKA KWENYE MFUMO HUSIKA.

  • @quensanford9652
    @quensanford9652 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @BirgitaKelvin
    @BirgitaKelvin 2 หลายเดือนก่อน

    Amen❤

  • @michaelelias5042
    @michaelelias5042 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @GonsalvaLupindu-su2zd
    @GonsalvaLupindu-su2zd 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen ❤

  • @alinanuswelukas-x2h
    @alinanuswelukas-x2h 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @neemam5042
    @neemam5042 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AntonethaSunguya
    @AntonethaSunguya 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NeemaMachangem
    @NeemaMachangem 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @TERESIAYOHANA
    @TERESIAYOHANA 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @happyjob2804
    @happyjob2804 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @happyjob2804
    @happyjob2804 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @MaryGidobat
    @MaryGidobat 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @MosesMwaigomole
    @MosesMwaigomole 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @TetekoOg
    @TetekoOg 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Emsuk-p8v
    @Emsuk-p8v 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @jisraelel2334
    @jisraelel2334 2 หลายเดือนก่อน

    Amen