Marekani na nchi za Magharibi zinaisukuma Urusi kuvuka ‘mstari mwekundu’ - Putin

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 73

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 28 วันที่ผ่านมา +11

    Marekani mimi sijui inataka ni ni inazani itatawala dunia yote au kila inchi mwenye iko n'a uwezo wakutawala dunia ni mungu tu

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 28 วันที่ผ่านมา +13

    Huyu mwamba ni hatar anaenda kwa kuangalia sana kwa hesabu kubwa

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 27 วันที่ผ่านมา +4

    Uyu mwamba hatari

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 28 วันที่ผ่านมา +5

    Bara aenede ivo ivo kikubwa umakini Coz akianzisha mashambulizi ya Nyuklia ata. Kwke hatari Coz, geographic Y ukrein ipo karbu na urusi mionz itawaathiri.

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 28 วันที่ผ่านมา +8

    first comment first wacther🎉🎉

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 27 วันที่ผ่านมา +2

    Putin baba lao ❤🌹🇷🇺🇷🇺🇰🇪

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 28 วันที่ผ่านมา +4

    Russia pia ipereke Quba na Iran Makombora mazito na yenye kasi kubwa!!!!!

  • @MajaliwaCharles-d3t
    @MajaliwaCharles-d3t 26 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉

  • @goodluckmsoka3660
    @goodluckmsoka3660 27 วันที่ผ่านมา

    Avuke tu uwo mstari Nch za Ulaya ndio zinasubiria

  • @HercaIlunga
    @HercaIlunga 28 วันที่ผ่านมา +4

    Atoke pale anapenda kuonea Ukraine atajuta

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 27 วันที่ผ่านมา +2

      Ihurumiye kwanza Congo yako imeonewa miaka zaidi ya 100 na watu walio kufa na zaidi ya mil 12 ila wewe umemezeshwa uongo eti mrusi Ndio mbaya

    • @alimkumbukwa8363
      @alimkumbukwa8363 27 วันที่ผ่านมา +1

      Ttea ushoga shog sjasema ww

  • @walker-96
    @walker-96 22 วันที่ผ่านมา

    Putin mbona mpumbavu sana .....kwann uingilie mambo ya ndani ya nchi za wenzako

  • @johpixel4108
    @johpixel4108 27 วันที่ผ่านมา

    Putin haitaji vita zaidi maana hao ni ndugu zao pia,ila inaonekana Raisi wa Ukraine ni mjinga angesitisha vita hivi

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 27 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe mzee pigana acha kulaumu watu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 26 วันที่ผ่านมา

    Kuna mtalamu mmoja alisea Vita iliopo Anza TU........USA na washirika wake wativuta vita Kwa mudà mrefu......kwani watu wa magharibi wamezoea vita virefu Ili mrusi achoke.....kwenye Kila eneo na hata wananchi na SERIKALI yake.......Kwa kutumia viashiria vya kijasusi ndipo wataanza kumgusa sehemu muhimu.........

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 27 วันที่ผ่านมา

    Da! zeleski anatuponza😢

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 8 วันที่ผ่านมา

    Russia aache uharamia dhidi ya Ukraine nchi huru

  • @doubletapkama3901
    @doubletapkama3901 27 วันที่ผ่านมา

    yeye anaogopa kufanya venye anafanyia wengine

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 28 วันที่ผ่านมา +1

    De dollarization coz problems

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee Putin unawadekeza hao wasukumie makombola ili tuheshimiane nchi na nchi

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 28 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa yeye Kama anaona vita inamgharimu si aondoke tu Ukraine

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 28 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂😂😂 nilisha wambie akuna kitu apo nakumbuka alisema atakae ipatia Ukraine sila za masafa marefu atapigwa 😂 leo anaongea kujitete subili utafirwa mpaka ufurike😅😅

    • @Viva01Bigs-r7f
      @Viva01Bigs-r7f 28 วันที่ผ่านมา +3

      Kaitikisa Dollar Unaumia ukiwa wapi brother kabla ujatowa comment kasome usichekwe na wadogo zako mzee Nishauri wa bure tu

    • @habarinamichezo6427
      @habarinamichezo6427 27 วันที่ผ่านมา

      😂😂 huyu labda waende kumshika Tako maana kama mchanga watu washaputa yeye Kila siku vitisho mchina nae kma kamkata ye mwenyewe anategemea support ya kiduku na khamei Sasa anategemea Ukraine ndio asitumie msaada yani unipige wewe ukachukue misaada Mimi nikuangalie tu.

    • @habarinamichezo6427
      @habarinamichezo6427 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@Viva01Bigs-r7fmaji na damu hujitenga siku zote umesikia tamko la trump na umeona India na SA walivyojiami hata huyo mchina sio wakumuamini ni kama uturuki pale middle East.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 27 วันที่ผ่านมา

      SS matusi ya nn

    • @burukinyebo6294
      @burukinyebo6294 27 วันที่ผ่านมา

      Ukiwa mtoto wa zinaa lazima ukose wisdom

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 27 วันที่ผ่านมา

    Urusi iache Ukraine ni nchi huru

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 27 วันที่ผ่านมา

      Israel iache Palestina pia Israel itoke Syria hizo ni nchihuru

    • @AhmedMuhammad-b5n
      @AhmedMuhammad-b5n 27 วันที่ผ่านมา

      @issalyanali4119 ndio ni kweli kabisa ili vita ziishe

  • @shaabansulaymaan4478
    @shaabansulaymaan4478 28 วันที่ผ่านมา +9

    Ana bla bla nyingi
    Mwenzie marekan alipopga Nagasaki na Hiroshima hakuleta taarab nyingi
    Huo mstar mwekundu ushakuwa green tyr

    • @AbubakarMinya
      @AbubakarMinya 28 วันที่ผ่านมา +1

      Hapo Ako naubinadamu kuliko wao

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 28 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo ndio unaona walifanya jambo zuri kupiga si ndio

    • @SelemaniMsuya-q8n
      @SelemaniMsuya-q8n 28 วันที่ผ่านมา

      We mpuuzi hujitambui

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 28 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@AbubakarMinyaHana ubinadsmu bali anaogopa.

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 27 วันที่ผ่านมา +1

      Kumbuka urusi wajaaa wanajali sana utu na America ni Mabepali wajali saana capital

  • @salumrashidabdullashmely2558
    @salumrashidabdullashmely2558 27 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaomba piganeni nyuklia, wengine hatujaona inavyofanya kazi.😂😂😂

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 28 วันที่ผ่านมา +1

    Kasongo yeyee, ......

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 28 วันที่ผ่านมา

      Mobali nangaa, sunga libala ooyee mbona wewoo😂😂

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 28 วันที่ผ่านมา

    Aw acha ujinga anaonea ukren au Ulaya yote ndio inayo pambana na Putin Kwa akili yako unafikir ni ukren acha ujinga kijana

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 28 วันที่ผ่านมา

    Mstari mwekundu ni upi na unavukwa vp

    • @MarcellySumaye-bv5lh
      @MarcellySumaye-bv5lh 27 วันที่ผ่านมา

      Hizo ni sheria za kivita za umoja wa mataifa

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 27 วันที่ผ่านมา

      Baina ya tako na tako😅

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 28 วันที่ผ่านมา

    Ili jamaa Lina akilli sana na wanaomuelewa ni wenye akili tu.. kama humuelewi wewe ni kiazi

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 28 วันที่ผ่านมา

      Utoporoo mtupu utoporoooooo
      Ajaribu aone watakavyo mnyoa anafikiria Amerika 🇺🇸 ni Ukrein 😂😂😂

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 28 วันที่ผ่านมา

      Ww ndio kiazi mjinga hujitambui.

    • @mwengejames9182
      @mwengejames9182 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@zebedayokatamaduni9676Shida huelewi anachoongea putin

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 27 วันที่ผ่านมา

      @@mwengejames9182
      Anaongea nini? Pumbafu tu huyo kiazi mwenzio

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 28 วันที่ผ่านมา +1

    Putin wapige Urkaine nyuklia

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 28 วันที่ผ่านมา +1

      Mbona kakimbia huko Syria?? Maji ya shingo

    • @Uyumunsi-tv
      @Uyumunsi-tv 28 วันที่ผ่านมา

      ​Vipi ninyi huko afghan😂😂​@@OnesmoEphrata

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@Uyumunsi-tvkwani yeye Afghastan hajakimbia.Afghastan marekani ilishinda vita na kuuondoa utawala wa Muller useme wale waafghanstan waliokabidhiwa nchi baada ya ushindi ndio walishindwa kuilinda nchi yao.

  • @Uesilamsiodiniyakweli
    @Uesilamsiodiniyakweli 28 วันที่ผ่านมา +2

    Avuke tu ndo tuone sasa” Putin ni mjinga kama wajinga wengine tu kina Assad

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 28 วันที่ผ่านมา

      Na Akina Biden

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@EmmaNkubaBiden mjanja.Akili mingi na ndio maana syria kafanikiwa kumfukuzisha Putin na Assad na Ukraine putin atashindwa vile vile.

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 27 วันที่ผ่านมา

    Tayari alisha zoofika

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 27 วันที่ผ่านมา +1

      wewe ni lijinga hujui kitu mmbwa wewe Bora ukae kimya

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 28 วันที่ผ่านมา +1

    Warusi wawache kulalamika, nani aliwatuma ukrein?

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 28 วันที่ผ่านมา +2

      Hawalalamiki wewe Acha ushabiki
      Wana inform walimwengu ili likitokea lakutokea wapige nuke msije mkasema ni watu wabaya jins mlizoeshwa na wa magribi kuambiwa uwongo.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@thelonewolf4429
      Kwa hiyo nyuklia anayo yeye peke yake huyo kichaa Putin.
      Mpaka Pakistan anazo hatishii mtu

    • @faridmichael1307
      @faridmichael1307 27 วันที่ผ่านมา

      Wewe kwel zebeda​@@zebedayokatamaduni9676