@fasterwalker1464 anae fanya uharibidu ni shetani anaeokoa ni Mungu. Kwa usodoma na ugomora. Na kubadilisha jinsia. Wewe unadhani wanamfurahisha Mungu aliuumba Mbingu na Ardhi???????
Wazungu kama hawa ndio uwa nawaonaga machizi, yani unaponyeshwa na majanga unasema umadhubuti wa nyumba ndio umeiponya😂😂 kwa MUNGU hakuna kilicho madhubuti akitaka kukipoteza
tunajifunza nini kama nchi nikuondoa vile vipengengele vinavyosapoti ushoga mapema maana waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji mama samia kwa kumueshimu MUNGU ondoa haraka vipengele hivyo hatutaki ushoga tanzania na wanaolazimisha ndio hao mungu kawaadhibu sasa ole wenu nyinyi mliokubali mienendo yao BIBLIA inasema ole wao waibadilishao kweli kuwa uongo
Hajajisifia jamani bali anaongea fact ....Mungu hutoa akili sio miujiza na ametumia vyema akili aliyopewa na hovyo ndivyo Mungu hutaka watu wake waishi. Pia jueni kutofautisha na kusikiliza uwasilishaji wa habari
Mm na muomba mungu kwanguvu zake uo moto usizimike uendelee adi mjimkuu wa marekani unguze adi white house . Kwan wao ujifanya wananguvu za kilanamna wapigane na moto sasa
Kumtukuza MUNGU na kutumia maarifa alotupa,bila kupuuza,,ni vizuri zaidi! Mathayo 7;24-27,, ndio maana neno litamkaa mwenye kuzingatia maarifa,, na pepo wataingia wenye nguvu na AKILI, sasa wewe unamwomba MUNGU huku unajenga nyumba za mbao, hali unajua ukanda huo ni wa majanga ya moto, utawafanya makafiri wa kiislamu waamini dua zao zimepokelewa na MUNGU wa ibrahimu, isaka, na yakobo. Kumbe dua zao zimeishia mita 370 TU😂😂😂
Asubiri Mungu amsikie hayo majigambo yake yaani badala ya kumshukuru Mungu yeye anajigamba kwa kuwa ni bilionea. Subiri Mungu akasirike tena anakarudia hako kanyumba nakukasambaratisha kama karatasi. Shauri yake maana bado haijaisha hiyo wale wote wanaotoa maneno ya kashfa na kujifanya wao wajuaji ngoja tuone
Acha akili na mawazo ya kimasikini wewe Alisha muomba MUNGU Sana na ndiyo maana alimpa upeo na akili ya kujenga nyumba imara Sasa ulitaka asemeje na wakati nyumba yake alijenga imara isipigwe na tetemeko Wala Moto yani wabongo bana badala utumiee akili kufanya kazi ufanikiwe unakesha kanisan MUNGU akuletee chakula na utajiri na ulinzi😂😂😂😂😂😂
Mkandarasi wa hii nyumba atapata tenda mpaka akimbie...kila kitu kinatokea kwa sababu...lkn ninaiona LA mpya yenye majengo ya kisasa na imani ya watu kuhusu mungu itaongezeka...ila ni kilio kwa makampuni ya bima kwani mengi yatafilisika kwa kushindwa kulipa fidia...
Sasa ata ilivyo baki apo inamuonekano gani knakaa kama msituni😂😂😂 kondoo wew acha kujikta huo ni moto wa dunian tu mfano wake bado akhera kafiri atajuta milele na milele
Amshukuru Mungu sio kwa uwwzo wake ni kwa nguvu zake Mungu wa Mbinguni
Amshukuru mungu ambae anafanya uharibif mungu gan mpumbav hvo hakuna mungu wa namna hyo
@fasterwalker1464 anae fanya uharibidu ni shetani anaeokoa ni Mungu. Kwa usodoma na ugomora. Na kubadilisha jinsia. Wewe unadhani wanamfurahisha Mungu aliuumba Mbingu na Ardhi???????
@monicasimpilu6257 sasa kama mungu anajua kua shetan ndo anafanya watu wawe mashoga kwann asimwangamize huyo shetan moja kwa moja tukawa huru
@fasterwalker1464 Mungu hawezi muangamiza shetani mpaka wakati wake ufike. Bila shetani kuwepo watu wasingemtafuta Mungu
@monicasimpilu6257 sasa kwann anakasilika wanapo muhasi huoni kama huyo mungu na shetan lao moja yaan shetan anafanya kaz aliyopewa na mungu kufanya
Duuuh awa awajuwe kumushukuru Mungu wanajisifu wenyewe 😢😢
Wazungu kama hawa ndio uwa nawaonaga machizi, yani unaponyeshwa na majanga unasema umadhubuti wa nyumba ndio umeiponya😂😂 kwa MUNGU hakuna kilicho madhubuti akitaka kukipoteza
Inasikitisha saana
Yaaani nimejifunza hawa wako mbali sna na Mungu,🙏🙏🙏🙏
@sarahkinyashi6213 najomana Mungu ana waazibu kwa🔥
@@SifranLove Africa moja ya watu wa Pumbavu ni wewe yani amejifanyia Ubunifu alafu unampangia amsifu Mungu ambaye ajawahi kumuona
tatizo nyumba zao nyingi ni material ya mbao ndio maana moto unazidi kusambaa kila nyumba
Wanatumia mbao zaid kwa ajili ya baridi nadhani,
mungu hachaguwii mbao au tufali anatia moto tu 😂 allh ni mwingi wa rehema . walio wauwa palestina nao watakufa 😊
Mbao zenyewe wali iba huku kwe2 Africa AFRICA OEEEEE itikia HOIIIIII
@@MunirRias-he7kk hyo unavoona ww ni rehma unacheka sabab hayajakukuta
Nyumba imeponea ili ajifunze lakini bado anasema ni uwezo wake 😂😂😂😂😂
😂😂😂ngoja amke asubh iwe imeungua
Mjinga sana huyu
Wajinnga sana awa
😂😂Sasa anavyojisifia sasa😂😂😂😂
Allah tu kamuonea huruma pengine kunajema alilifanya Allah kamuonea huruma. ,,,,aende akakae kamaagopi😂 mshukuru Allah ww na siujanja wako
Eee mbona alikimbia 😂😂
Badala Kushukuru Mwenyezi Mungu...yeye anajipiga kifua asisahau nebkadreneza alifanyiwa nini.
Mungu Unamjua ww😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwani Mungu si ndio aliyeutuma Moto ashukuriwe kwa lipi? Au kwa kushindwa kuunguza mjengo wa Binadamu alilolijenga kuwa fire resistant?
@@franknamkoko8228 eti 😂😂😂 mtu kajenga yy haf amshukuru mungu
Ni kwa uwezo wa mungu,Kuna jambo jema ulifanya, mungu akakuepusha na huo moto.
Aseme Asante mungu asituvuruge
god bless you 🙏🙏🙏🙏
tunajifunza nini kama nchi nikuondoa vile vipengengele vinavyosapoti ushoga mapema maana waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji mama samia kwa kumueshimu MUNGU ondoa haraka vipengele hivyo hatutaki ushoga tanzania na wanaolazimisha ndio hao mungu kawaadhibu sasa ole wenu nyinyi mliokubali mienendo yao BIBLIA inasema ole wao waibadilishao kweli kuwa uongo
Ila sio siri brother unajua sana kusimulia habar zako fanya utuelezee tukio LA vijana walio uawa congo
Wale walikuwa wahalifu na waliwaua Sana watu...wakajiona wanajiweza wakajaribu kuipindua serikali
Ooooh kumbe ni panya road nilikuwa nawaonea huruma @@omondiowino7875
Sema amshukuru mungu tu ila mungu akimua jambo lake hakuna kinachoshindikana
Ni mapenzi ya mungu kunakitu kilimpendezandio umenusurika
WAPI NETANYAHU AKAZIME MOTO 😂
Hajajisifia jamani bali anaongea fact ....Mungu hutoa akili sio miujiza na ametumia vyema akili aliyopewa na hovyo ndivyo Mungu hutaka watu wake waishi.
Pia jueni kutofautisha na kusikiliza uwasilishaji wa habari
Kwa hiyo unahisi hizo material alizotumia kujengea kama Mungu alishindwa kuiunguza??
@@neemanyove9130
Na kwa nini Mungu aiunguze?
Sijapenda Hii Habari Sio Siri Nimechukia 😢😢😢
Kaibomoe sasa😂😂😂😂😂😂
Sasa jomba nani alikulazimisha uwe maskini? Kwani ukiwachukia matajiri unadhani wewe utatajirika basi😅
ALLAH AKBAR
Safi sana ,moyo wako uwaonee hiruma wenzio waliopoteza na dio dini ya kweli iyo
Mungu anamahaju yake
Jamaa alisimamia ujenzi vzr
Ataishiiii peke yakeee bila jirani
Watu wabayaaaaa watalipigaaaa bomu liungue acha ajisifie
Tena watu washenzi kweli hawashindwi😅😅@@FredrickMatiku-xf2uk
Mm na muomba mungu kwanguvu zake uo moto usizimike uendelee adi mjimkuu wa marekani unguze adi white house . Kwan wao ujifanya wananguvu za kilanamna wapigane na moto sasa
Kwa waliosema Ni Mungu katuma hilo gharika Waseme sasa MUNGU kashindwa akili ni huyo mwamba kajenga jengo ambalo limemshindwa Mungu kuunguza.
Jitahid ujitambue kua huna akili ili usimtaje MUNGU kwa kumdhihaki
Hivi hawa hawajui uwepo wa Mungu au
Mungu yupo Ila yeye kaokoa Mwenyewe hapo Mungu kafata nini
Wah
Ni africa 2 ambapo kila kitu ni mungu 😂😂😂 hichi ni kituko sijawahi ona
Huo moto uishie huko marekani usigise uku ghorofa moja limetutoa jasho kama ingekuwa moto kama huu tungeangamia
hiki ndio chuma sasa
Ayo maajabu ya mungu,usipake mafuta mtenze nguvu kama ana akili.
Naona kunanyumba nyingine apo jirani aijaungua
Ni nyumba tu ndo ilijipambania na kujiokoa yenyewe bila msaada wa mmiliki aliekimbia
Hanakili. Yote nikazi yamungu
Kumtukuza MUNGU na kutumia maarifa alotupa,bila kupuuza,,ni vizuri zaidi! Mathayo 7;24-27,, ndio maana neno litamkaa mwenye kuzingatia maarifa,, na pepo wataingia wenye nguvu na AKILI, sasa wewe unamwomba MUNGU huku unajenga nyumba za mbao, hali unajua ukanda huo ni wa majanga ya moto, utawafanya makafiri wa kiislamu waamini dua zao zimepokelewa na MUNGU wa ibrahimu, isaka, na yakobo. Kumbe dua zao zimeishia mita 370 TU😂😂😂
Asubiri Mungu amsikie hayo majigambo yake yaani badala ya kumshukuru Mungu yeye anajigamba kwa kuwa ni bilionea. Subiri Mungu akasirike tena anakarudia hako kanyumba nakukasambaratisha kama karatasi. Shauri yake maana bado haijaisha hiyo wale wote wanaotoa maneno ya kashfa na kujifanya wao wajuaji ngoja tuone
Acha akili na mawazo ya kimasikini wewe Alisha muomba MUNGU Sana na ndiyo maana alimpa upeo na akili ya kujenga nyumba imara Sasa ulitaka asemeje na wakati nyumba yake alijenga imara isipigwe na tetemeko Wala Moto yani wabongo bana badala utumiee akili kufanya kazi ufanikiwe unakesha kanisan MUNGU akuletee chakula na utajiri na ulinzi😂😂😂😂😂😂
Huyo ndio uchawi wa kizungu
Wengi nyumba zao mbao ni nyungi
Ngojee uludi uo moto
Mkandarasi wa hii nyumba atapata tenda mpaka akimbie...kila kitu kinatokea kwa sababu...lkn ninaiona LA mpya yenye majengo ya kisasa na imani ya watu kuhusu mungu itaongezeka...ila ni kilio kwa makampuni ya bima kwani mengi yatafilisika kwa kushindwa kulipa fidia...
Atapata tender nyingi Sana. Can't wait to see the new LA.
😀😀wazungu hawajawah kuamin katik mungu
Wapo waumini
Ukiangalia vyema kuna jirani yake pia nyumba yake haijaungua ila kwakua yeye ni billionaire macho yote kwake😂😂😂😂
Ata firahuni alikua ivyo hivyo
Ikumbukwe kuwa hata nyumba za ibada zipo zilizoungua. Wanaosema ni adhabu ya Mungu,inamaana Mungu kaamua kuchoma hadi hizo nyumba za Ibada 🤔
Adhabu inapokuja hajui ww nyumba ama mtu mwema ama jumba la mungu kila mtu atakwenda na hisabu yake
@BAKENDE na huyu ambae nyumba yake imesalia ni nani kwa Mungu,iwapo kama hadi makanisa yameungua 🤔
@benjo_brighter kila kitu Mungu ana sababu zake kuiwacha hyo nyumba iko sababu huwenda ikawa ni ishara na Mungu Kwa Wanadamu kushukuru ama kukufuru
Kanisa ni nyumb ya mungu ten ? Kituko cha mwak 2025@@benjo_brighter
kah
Aya waislam Allah wenu kashindwa kuichoma hyo 😂😂😂
Duh we mtu sms gani iyo kuwa muoga kuhusu maswala ya Mungu
Hanith😅 kivuje%100
Siyo kila kitu kinaangamia hili jinga nikwa ajili ya mazitio kwa hivo usimpangie mungu
Sasa ata ilivyo baki apo inamuonekano gani knakaa kama msituni😂😂😂 kondoo wew acha kujikta huo ni moto wa dunian tu mfano wake bado akhera kafiri atajuta milele na milele
Subiri adhabu ikushikie na ww kumdhihaki mungu jinga ww