Lakini mzee isaya benson ujuwe huwa unanikosha pindi unakuwa na unaelezea jambo hasa yoote kuhusu mataifa kwa mataifa na pia kuelezea mambo na dini japo yale unavyo ezea kwa yoote unayajua hata kama hatuyajui lakini vile ambavyo unayoyajua uko vizuri kuisemea
Inabidi waalim licha ya kusoma inabidi waangalie madheheb ya kikristo vizuri ili watu ifikie wakae na wapate muafaka. Nimeishi na wakristo wa othodox ethiopia wao wana vua viatunna wana sujudu kama waislam. Kitu ambacho kina fikirisha hasa
Hongera leo umenikosha.
Imekuelewa sana mwalimu
Dhuu! Mtupe majibu
Ndugu yangu Benson niombee Mungu abariki shughuli zangu nataka niwe na support Injili yako ili udumu kuelimisha
Hapo mwalimu umefunza kitu.
23:36 ?
Maelezo zaidi
Ni fundisho gani lililowataka kufanya ibada mkiwa mmevaa viatu?
Kwan kuna fundisho linalosema usivae viatu ukiwa unafanya ibada!!?
Lakini mzee isaya benson ujuwe huwa unanikosha pindi unakuwa na unaelezea jambo hasa yoote kuhusu mataifa kwa mataifa na pia kuelezea mambo na dini japo yale unavyo ezea kwa yoote unayajua hata kama hatuyajui lakini vile ambavyo unayoyajua uko vizuri kuisemea
Yesu aliwafundisha kutawadha kabla ya kuabudu. Je utatawadha ukiwa umevaa viatu?
Ukristo sio dini ya mitume, ni secular religion inayofuata western values na kuingizwa kwenye mafundisho ya kanisa.
Mtume Muhamad(swa) aliwahi kusali na viatu wakati akiwa vitani na sio kwamba ilikuwa ni desturi. Acha kupotosha.
Inabidi waalim licha ya kusoma inabidi waangalie madheheb ya kikristo vizuri ili watu ifikie wakae na wapate muafaka. Nimeishi na wakristo wa othodox ethiopia wao wana vua viatunna wana sujudu kama waislam. Kitu ambacho kina fikirisha hasa
Unajuwa asili ya wa Ethiopia niwapi au hujuwi?😂