Mtangazaji unapendeza sana ukivaa hivyo. Nimefurahi kuona umeendelea kuvaa mpaka baada ya mwezi wa Ramadhan. Sidhani kama kukaa mwili wazi ndio kupata mafanikio katika jambo lolote. Vaa zako stara, piga kazi unapendeza sana 100% unavutia sana ukiwa umevaa stara ❤ Hongera kwa hilo dumisha stara ❤ Lakini kwenye maswali jitahidini kuuliza maswali ya kimaisha. Anayehojiwa anaonekana anamambo mengi ya kuongea tatizo maswali ndiyo yanamrudisha kuongelea watu... Rekebisheni maswali hatakama mtu ni msanii kama anamambo ya kuongea nje ya sanaa muelekezeni huko huko 🙏
Mtangazaji jaribu kuwa unaangalia video zako ukivaa hivyo na zile ukivaa kihuni uone wapi unavutia... Hapo ukovizuri sana dada angu ❤ endelea kuvaa mavazi ya stara. Hata ZUHURA YUNUS aliyekuwa wa BBC alikuwa akivaa stara siku zote na alikuwa maarufu na aloporudi Tz kapata ajira nzuri tu na yupo ktk vazi lake. Raisi wetu mama Samia ❤ hadi raha kwa mavazi yake ya heshima. Hakuna vazi la kiisilamu na la kikristo sote tuvae nguo za heshima kwa wanawake wafunike vichwa vyao wataheshimika ❤
Nazipenda sana interview za Dudu Baya. Najifunza mengi sana. Mustafa Michenje from Pemba Mozambique❤
Wasalimie wa naz batata spensao na markado kariakoo😊
Wasalimie wa nas batata imolansao na merkado kariakoo
Bigger up dude baya...unajua kuelezea....
Bro wew ni mkubwa Tanzania..be blessing bro
wote tunaomkubali dudu baya like ziwe nyingi hapa
Dudu baya nakukubali sana kijana wangu you're very very genius fanya tuwasiliane kuna vitu nataka ni share na wewe
Mtangazaji unapendeza sana ukivaa hivyo. Nimefurahi kuona umeendelea kuvaa mpaka baada ya mwezi wa Ramadhan. Sidhani kama kukaa mwili wazi ndio kupata mafanikio katika jambo lolote. Vaa zako stara, piga kazi unapendeza sana 100% unavutia sana ukiwa umevaa stara ❤ Hongera kwa hilo dumisha stara ❤
Lakini kwenye maswali jitahidini kuuliza maswali ya kimaisha. Anayehojiwa anaonekana anamambo mengi ya kuongea tatizo maswali ndiyo yanamrudisha kuongelea watu... Rekebisheni maswali hatakama mtu ni msanii kama anamambo ya kuongea nje ya sanaa muelekezeni huko huko 🙏
chini ya utatu mtakatifu Ameen
Umepngea ponti sana
Mbengo TV wanampenda sana dudu
Muwe mnamlipa bhana
Kweli kabisa sio Wana patawao tuu
Unataka kumwaribu sasa. Sio maisha yake.
analipwa hafany bure anatoa content
Du bara ni ❤❤
Dudu baya ni level nyingine
Mtangazaji jaribu kuwa unaangalia video zako ukivaa hivyo na zile ukivaa kihuni uone wapi unavutia... Hapo ukovizuri sana dada angu ❤ endelea kuvaa mavazi ya stara. Hata ZUHURA YUNUS aliyekuwa wa BBC alikuwa akivaa stara siku zote na alikuwa maarufu na aloporudi Tz kapata ajira nzuri tu na yupo ktk vazi lake. Raisi wetu mama Samia ❤ hadi raha kwa mavazi yake ya heshima. Hakuna vazi la kiisilamu na la kikristo sote tuvae nguo za heshima kwa wanawake wafunike vichwa vyao wataheshimika ❤
Eti kulinda walevi
Yup know how to explain big up
❤ mamba dudu baya
Leo nimekuwa wa kwanza eti ku watch,😂😂
Nakuelewa sana, kuishi na mwanamke miaka mingi sio kigezo cha kumuoa
Hapo umekoseya, nenda kamwambiye tayari walishakuwa namawasiliyano kitambo
Kwamba kama mbwa mwenye fangus 😂😂😂
Nikweli kabisa
🤙🙉
Dudu baya unanifunza sana nakusikiliza nipo omani
😂😂😂😂😂😂nimecheka leo hii ila baba wille wee kiboko et anafinywa mpaka wipi
Dudu baya nakukubali
Wana tafuta content anatakiwa aanze kuchukuwa malipo
Heee psa ya karatasi imebandikwa Kwa super glue!?😢
DUDU ni jeshi hanaga ujinga
Diamond akamuoe Sara kwa kweli
Story Kama ya kwangu
Sasa unakata wese la nini konk
Ninataka number ya Dudubaya
😂😂😂😂😂🙌🙌
Bora uvue mtandio usitiri mwili wako dada.
Konki nkubali
Oil chafu
Konki umepigaje hapo
Dudu baya konki master mwamba putin
Konki×3
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wee ndo maria mwenyewe mtoto wa dudu😂
Acha uwogo ww ndo mkorofi bhana ao wanawake wote akuna ata mmoja mwenye tabia nzuri?
Wana habar bure kabisa amuna maswali ni daimond kila mara dudu apendi maswali ya kimapenzi muulize kuusu harakati
Sauti imeshaenda mrama! 😂😂😂 Pale leaders sijui kama tutajaa!