SARAH ATINGA WASAFI,,AMFUATA DIAMOND PLATNUMZ "MPENZI WAKE WA ZAMANI" AFUNGUKA KURUDIANA NA DIAMOND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 5 หลายเดือนก่อน +3

    Muachen Sarah we2. Waandshi mmezid
    Kashawambia kachoka
    TZ cjui mkoje waandshi😢
    SARA MZURI WA KUJIBU MASWALI❤❤

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu kwani ana tabiya mbaya kwanza katuliya huyo ndo alikua hajatuliya Sara mpk mwenyewe kahojiwa alisema wazi alikua mtu wa viwanja na diamond alisema km kamuumiza lkn zuchu ulishasikia km kamuumiza diamond zaidi diamond ndo anae muumiza zuchu

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hodari wa kuzungumza sister ❤❤❤

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 4 หลายเดือนก่อน +4

    Atapata gari muacheni Sara.
    First lady wa diamond

  • @AMINAMOHAMED-de7gb
    @AMINAMOHAMED-de7gb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake sisi niwakuchezewa tu,sasa uyo diamond akifanyiwa ivyo na zuchu ataweza kweli.awache kufanya wanawake kama vikaragosi,ivi uyo Sarah anajiona anapendwa,uninga tu.Ebu muache mwenzako atumie wakati wake😅

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l 5 หลายเดือนก่อน +3

    Waandishi wa habari mmeshaongea kuwa umri umeshaenda sasa simba la masimba bado yuko kwenye chati .Zuchu ndiye aliyekuwa anamfaa .Sarah kachoka sasa.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uzuri siyo kitu.Tabia ndiyo mhimu🎉

  • @ShanyShany-d1u
    @ShanyShany-d1u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza umzul pesa peke ake uyo mond angekua namboo tu bila pesa tusingemuona zuchu wala sala

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ht kidogo zuchu mzuri Kwa sara

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani zuchu ana uzuli gani jamani wote nibini Adam sio uzuli sara muonekano ni mzuri sana ❤❤❤

    • @fatumasaidi2592
      @fatumasaidi2592 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sarah Sarah sarah❤

  • @SuleimanSalim-ql3ny
    @SuleimanSalim-ql3ny 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada anahaki ktk mafanikio ya mondi cz ngoma iliomtambulisha kwetu sabab ni sara hvyo matukio aliopigwa na sara ilikuwa ni mipango ya M/MUNGU na ikawa sababu ya kutoboa

  • @ashaabdallah9672
    @ashaabdallah9672 5 หลายเดือนก่อน +2

    Zuchu anauzur gan hamuwachi nyiee kakaa km dume dume

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน

    Make apo kwanza nicheke 😂😂uyu mbona tofauti na yule wa nenda kamwsmbie au alienda uturuki kuongeza pua na mdomo maana me sielewi kila nikifuta picture 😂😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 หลายเดือนก่อน +1

    Diamond akimuoa huyu atakuwa na maisha ya amani.
    ZUCHU NI KITUKO HAJAKOMAA.MONDI ATAPATA DEPRESSION.NDOA YAO ITAKUWA VURUMAI TU

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo zuchu ana uzuri gani.Wawili hawa walikuwa wanaendana sana'kwanza saraha ndio alikuwa chuma.Saraha na Nassib nawapenda bure❤❤❤❤

    • @BJM-j2t
      @BJM-j2t 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe unao uzuri ama funganya

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Damode kashidwa kushukuwa nyota ya zuchu ndomana hawezi kudumu na zuchu nazuchu acanenaye badomudogo apambane namayishayake Bana funguka we mtoto mayisha niya mungu 😮😮😮😮

  • @MchagaUk
    @MchagaUk 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani kweli Diamond umempandisha Sarah bajaji

  • @ZUHURASEIF-v1j
    @ZUHURASEIF-v1j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ww Sara usituchanganye wakt
    Mondi akisafiri ulikuwa tayari
    Mjamzito ama.

  • @suleimanmussa5792
    @suleimanmussa5792 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mtu na zamu yake

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo mambo yanakwenda mbele Tz sihami

  • @milliedianeawiti6247
    @milliedianeawiti6247 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh diamond lo

  • @ShanyShany-d1u
    @ShanyShany-d1u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu m baya sana ila anazo pesa uyo zuchu an fikii ata mm sema mm sina pesa tu natumwa na waalabu oman😂

  • @LootTanzania
    @LootTanzania 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi comment jaman siyo kwa mpya huo mmbaya

  • @OMARISAIDI-mx8yd
    @OMARISAIDI-mx8yd 4 หลายเดือนก่อน +1

    We sarah haujui

  • @MariaCassian-ys7pt
    @MariaCassian-ys7pt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nilifikiri sara utakaza kumbe umejipeleka mazima haya jicho halikinai kuona wala sikio halikinai kusikia kwahiyo yetu macho na maskio kati zanzibar na bara muungano utadumu au utavunjika?

    • @ShanyShany-d1u
      @ShanyShany-d1u 4 หลายเดือนก่อน

      DadA Ngoma yakitoto aikeshi uyo sala ana ham kujizalilisha tamaa tu

  • @nsengiyumvaplacide6272
    @nsengiyumvaplacide6272 5 หลายเดือนก่อน +1

    Oooooo Rwanda

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 5 หลายเดือนก่อน

    ila wadishi nyie Muna mambo eti ni mlembo. Huyo dada ana uzuri gani mbona wa kawainda tu.

  • @salum8848
    @salum8848 5 หลายเดือนก่อน

    Sara bado unapanda bajaji!!

  • @munirasallim6450
    @munirasallim6450 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kusema kweli Sarah hajamfikia uzuri zuchu

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 5 หลายเดือนก่อน +3

      Uzuri ni nini kwako wewe.huyo zuchu wenu king'ang'a na minuno kila siku kafukuza hadi mfanyakazi wa ndani leo hii ukoo mzima wamelia na zuchu

    • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
      @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 5 หลายเดือนก่อน +1

      Zuchu mzuri kuliko sara

    • @natamihambo8077
      @natamihambo8077 5 หลายเดือนก่อน +3

      Sarah mzuri sana tu

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa taarifa yako wazanzibar hawataki kuolewa za warwana washenzi wa kibogo tunamshangaa huyu zuchu kumtaka mtwana anajizalilisha tu hatkutakini labda huyo zunchu si wazanzibar wote lol kwa mwanamme gani anafanana na huyo sara mshenzi mwenziwe pua na domo kama tanyri​@@tanzcanmediatv4473

    • @royalfaith1978
      @royalfaith1978 4 หลายเดือนก่อน

      Sara anamushinda uzuri zuchu na mbali. Anamshinda umri ila angali muzuri. Angekuwa na pesa kama Zuchu sara nikiboko.

  • @PeterNyondo-p7k
    @PeterNyondo-p7k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pua kubwa xn

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 5 หลายเดือนก่อน +2

      Pua na domo kama tanuri kikweli wanafanana na dai sura zao

    • @nsiamasawe4578
      @nsiamasawe4578 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kazi ya muumba.

    • @dhahabukalama2635
      @dhahabukalama2635 5 หลายเดือนก่อน

      Binadamu ata apewe udongo wake aumbe mtu anaye mupenda tena bado ataona wamwenzake nimuzuri zaidi. So hao ndo Binadamu ​@@nsiamasawe4578