SABABU 3 ZA KUKU WA KIENYEJI KUTOTOA VIFARANGA WACHACHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @changamkiafursa
    @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว +9

    Video hii nimejibu changamoto ya utotoleshaji wa vifaranga wachache. Kwanini unapata vifaranga wawili kwenye mayai 10 uliyoatamiza

    • @ihucha
      @ihucha 4 ปีที่แล้ว +1

      Tuko pamoja

    • @zaitunkhamis3854
      @zaitunkhamis3854 3 ปีที่แล้ว

      Ni changamoto. Yangu hiii

  • @beatricemwombeki1651
    @beatricemwombeki1651 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka ngoja nipambane nimepata na faida ya kugeuza mayai nilikuwa Sijui shukrani sana.

  • @muniramussa1530
    @muniramussa1530 11 หลายเดือนก่อน

    Mm ni mfugaji mchanga na nitajiunga kwenye group lenu Inshallah. Ila nimepata changamoto nimempoteza jogoo mmoja ALIKUA amezoofika na ALIKUA anakohoa. Kiukweli niliumia sana maana sikujua nimpe nn.

  • @DenisShayo-lv3gw
    @DenisShayo-lv3gw ปีที่แล้ว

    Asante san aise nimeweza kuelewa kbc

  • @user-vi7uq1cp6h
    @user-vi7uq1cp6h 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @user-we6sr9wq3h
    @user-we6sr9wq3h ปีที่แล้ว

    Asante sana nilipenda unitumiye namba Yako ikuwa n'a alama yakuonyesha ichiyako mimi niko Nord Kivu ndani ya DRC

  • @Jane-qj6oy
    @Jane-qj6oy 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana Sdakta👌

  • @ihucha
    @ihucha 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka nasikia fluu inakusumbua Allah akuponye

  • @josephinemuthoni5986
    @josephinemuthoni5986 4 ปีที่แล้ว

    Thanks for today's lesson i never knew eggs are supposed to turned twice a day for good hatching.thank you God bless us.

  • @eliakimupaulo1716
    @eliakimupaulo1716 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kwa elimu. Kuna hali kuku kuwa kama anaachama au kuacha mdomo wazi kwa muda. Hii ni dalili gani?

  • @mariethamgabo2530
    @mariethamgabo2530 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi napenda sana kufuga kuku wa kienyeji naomba nijiunge kwenye mtandao, nitapataje vifaranga wa kienyeji

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Karibu kwenye darasa la ufugaji wa kuku

  • @elizabethlweya5011
    @elizabethlweya5011 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka nahitaji somo lako

  • @twororeturimekijambere5491
    @twororeturimekijambere5491 2 ปีที่แล้ว

    🇧🇮🙏👌🇧🇮munanifanya mufugaji muzuri sana

  • @LevinaMushi-gf3nj
    @LevinaMushi-gf3nj 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba nielekezwe namna ya kulea vifaranga vya bata

  • @Godneverfailed
    @Godneverfailed 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mwalimu

  • @omaryabdalla5218
    @omaryabdalla5218 ปีที่แล้ว

    Habari mi mfugaji mdogo tatizo nililonalo kuku wangu anatotoa vizuri tu tatizo vifaranga vyangu avikui baada ya wiki ya pili wanakuwa wanyonge na kuanza kufa

  • @clemencejulius
    @clemencejulius ปีที่แล้ว

    Vyombo gan ni muhimu kw ajili ya kulishia vifaranga wachanga na wale chakula kipi??

  • @givanosiako8646
    @givanosiako8646 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa

  • @hajidumi4100
    @hajidumi4100 ปีที่แล้ว

    Bro unaelezea vizur san.mung akulipe

  • @catherinekavishe8885
    @catherinekavishe8885 10 หลายเดือนก่อน

    Habari Mimi ni mfugaji mchanga wa kuku wa kienyeji kwanini kuku anataga mayai ambayo hayaja komaa.

  • @maryjepkorir6968
    @maryjepkorir6968 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni vyakula vipi ambavyo vina virutùbisho?

  • @rosemaryetome5341
    @rosemaryetome5341 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni Rosemary Je kuku wakilalia/kuatamia wawili kuna madhara gani?

  • @user-jl8wo8gg2g
    @user-jl8wo8gg2g ปีที่แล้ว

    Shida kuku wangu wakiatamia hata Kam maayai ni machache mfano mayai nane anavunja mayai kwenye kiota chake kabla ya kutotoa nakuyazila mayai yaliyobaki nakuahirisha kutotoa

  • @sarahbukachi6484
    @sarahbukachi6484 4 ปีที่แล้ว +2

    Hujambo, Mimi nafuga kuku Wa keinyeji. Wanachukua wakati mrefu sana kulallia. Sababu ni nini?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Kuku wa kienyeji hatakiwi kuzidisha siku 21 kinyume na hapo mayai yameharibika

    • @sarahbukachi6484
      @sarahbukachi6484 4 ปีที่แล้ว +1

      @@changamkiafursa Asamte, lakini nilimaanisha wanataga kwa muda mrefu, wemetaga kwa miezi mitano Sasa . shida ni nini? Hazija lalia

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Hao sio kienyeji, hao ni chotara

  • @abubakarmzee8601
    @abubakarmzee8601 3 ปีที่แล้ว

    Hello mm naaza kufuga kuku wa kienyeji nilipata vifaranga lakini hanizalia tena mayai vifaranga vimekuwa wakubwa

  • @amanishayo2211
    @amanishayo2211 3 ปีที่แล้ว

    Hongera bro

  • @hamisimusaa1698
    @hamisimusaa1698 4 ปีที่แล้ว +1

    Namna bora ya kutunza vifaranga wa kienyeji , je ni walishaje kuku wa kienyeji ili wanipe faida

  • @ramamazanindegebedua7214
    @ramamazanindegebedua7214 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa nimepata faida ya kugeuza mayai. " TUNAISUBIRI SAANA HIYO YA CHAKULA"

  • @hellenmgungus2935
    @hellenmgungus2935 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm kuku wangu ni chotara wanasumbukiwa sana na mafua yaani wanakoroma sana

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Chotara wako sensitive sana kwenye mazingira ya kubanana na hali ya hewa ya baridi

    • @hellenmgungus2935
      @hellenmgungus2935 4 ปีที่แล้ว

      Hivi ukiwapa kuku dawa za binadamu zinamadhara??kama utatumia nyama au mayai??

  • @abdurahmankaid3681
    @abdurahmankaid3681 2 ปีที่แล้ว

    Habari mbona kuku wangu hawatagi na nimewanunua Kama mwezi mmoja umepita

  • @clausuvaboyissa3205
    @clausuvaboyissa3205 2 ปีที่แล้ว

    Mimi Nina matatizo kuku wangu ameatamiya ila siku zimepita lakini kuku akuwa ata kifaranga kimoja

  • @merinaemmanuel206
    @merinaemmanuel206 2 ปีที่แล้ว

    Pilet ni aina gani ya chakula je kinapatika ?

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua nikitaka kununua vifaranga wasiku moja tuseme kama mia 200 nifanyeje ili nipate vifaranga wazuri ambao sio dhaifu kama wale wanao pandwa na kaka na dada,

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Mfugaji makini wa kuku wa kienyeji huwa anazingatoa kubadoli jogoo mara kwa mara

  • @nemburisrobinson8898
    @nemburisrobinson8898 2 ปีที่แล้ว

    Ninakuk wangu ametaga yai moja leo ni wiki yatatu ajataga Tena nisaidieni

    • @shakurfaith
      @shakurfaith ปีที่แล้ว

      Hali chakula kizuri huyo. Unamlisha tu pumba

  • @evalinegodfrey270
    @evalinegodfrey270 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi na Mimi nitaanza ufugaji wa kuku.

  • @dripkeyzer5284
    @dripkeyzer5284 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah mimi kuku wangu hawalalii japokuwa ni wakienyeji

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Pole sana, hao ni kienyeji waliochanganya. Siku hizi watu wanapandisha kienyeji na chotara

    • @dripkeyzer5284
      @dripkeyzer5284 4 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa dah poa nc

  • @doricaszephania9632
    @doricaszephania9632 4 ปีที่แล้ว +1

    Na je majogoo yakiwa mengi mfano majogoo 8 au 7 Kwa majike 12 hiyo ina madhara gani

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Matetea watakosa utulivu kwa kupandwa mara kwa mara

  • @cornelfaya3746
    @cornelfaya3746 4 ปีที่แล้ว

    Kuku wangu katotoa vfaranga 15 lakin kaua wote " nn nifanye ili vifaranga vyangu vikue na nitumie dawa gan ili wasiumweumwe

  • @salhakassim7860
    @salhakassim7860 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua kuku wangu wanataga sana but wanakula mayai nn sababu

  • @dripkeyzer5284
    @dripkeyzer5284 4 ปีที่แล้ว

    Kuku wangu hawalalii japokuwa ni wakienyeji

  • @patrickmtama3568
    @patrickmtama3568 4 ปีที่แล้ว

    Namimi hiyo changamoto nakutana nayo sana

  • @mohdfaki9324
    @mohdfaki9324 2 ปีที่แล้ว

    Tunakuomba tuandalie video ya ufugaji wa bata wa kienyeji tunaokuomba hata video moja mimi ni mfuatiliaji mziri tu wa chanel yako tunakuomba kaka

  • @veronicalaizer4322
    @veronicalaizer4322 3 ปีที่แล้ว

    Bado kuna nafasi ya kujiunga na ukiehajinga ndo maja kwa moja au ni kila mwezi

  • @christophesaiba1354
    @christophesaiba1354 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nakua na shida ya kulisha kuku. Kwani jogoo anahitaji ale peke yake na kuwafukuza wengine. Nisaidie na wazo

  • @manchibwa6301
    @manchibwa6301 2 ปีที่แล้ว

    MNA PAKANA WP

  • @sayunielisha735
    @sayunielisha735 2 ปีที่แล้ว

    Unisaidie ninakuku wawili huwa wana penda kubakiza mayai nusu wanatotoa nusu wanaacha nifanyeje kuwasaidia

  • @rosemaryetome5341
    @rosemaryetome5341 4 ปีที่แล้ว

    Mimi ni Rosemary Je kuku wakilalia/kuatamia wawili kuna madhara gani?

  • @patrickmtama3568
    @patrickmtama3568 4 ปีที่แล้ว

    Namimi hiyo changamoto nakutana nayo sana

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Pole sana

    • @patrickmtama3568
      @patrickmtama3568 4 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa nahitaji kujiunga na darasa nafanyaje

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Darasa litaanza tarehe 1 mwezi wa 10, kujiunga tuma 5,000 tigo pesa 0656528455 kisha tuma meseji ya jina na namba yako ya what's app