Was also surprised too...3whole minutes asking nani aliigusa yesu... they need to change this style...too much repetition,too monotonous,making the whole song lose value ... Otherwise good 😊 dancing n guitarist 😊😂😂😂
Mko vizuri sana waimbaji na meseji iko vizuri mno.Bali style za wanaume mwalimu Kazania zimechezwa na wana AIC wengi. Badilisheni Style wanaume hao. Lakini mko vizuri sana
Mko vizur sanaa ila huyo solo alijitahidi sana japo inaonesha sio yeye ambaye alirekodi sauti hiyo anaonekana tu mana kwenye kuekti angekuwa niyeye kuna kitu angeongeza hapo hivyo kuna kitu kwenye kuekti video kachemka kidogo japo anajitahid kiasi chake
Kazi njema mungu awabariki
Iza iza
Nyimbo za waimbaji hawa zina mahubiri mazuri sana ambayo pia ni hai. Wacheni Yesu akapata kuhimidiwa milele.Amina.
Yaan wimbo unafika dakika ya tatu bado wanazungukia maneno mawili tu, nina aliyenigusa, yesu aliuza mmhhh
Was also surprised too...3whole minutes asking nani aliigusa yesu... they need to change this style...too much repetition,too monotonous,making the whole song lose value ... Otherwise good 😊 dancing n guitarist 😊😂😂😂
Asante kwa ushauri tutarekebisha makosa
Mbarikiwe sana nyimbo nzr wekeni zingne
Barikiwe watumish jasinta na mommy ❤️❤️🙏🙏 nawapenda Sana kwa huduma ya uimbaji💥💥💯
.
Hakika mpo vizuri mungu awabariki Festo Mnyamili wa Iyumbu Dodoma
Congrats this is a very good song , mcheza solo guitar congrats
Kazi nzuri Bwana azidi kuwatia nguvu.
Ongera kwa kazi nzr mungu awabaliki sanaaaaaaa
Hongeren wanakwaya
Bwana ni mwema
Mbarikiwe
TUNAZIDI KUPAAA MAOMBI KWENU.
Mko vizuri sana waimbaji na meseji iko vizuri mno.Bali style za wanaume mwalimu Kazania zimechezwa na wana AIC wengi. Badilisheni Style wanaume hao. Lakini mko vizuri sana
Mko vizur sanaa ila huyo solo alijitahidi sana japo inaonesha sio yeye ambaye alirekodi sauti hiyo anaonekana tu mana kwenye kuekti angekuwa niyeye kuna kitu angeongeza hapo hivyo kuna kitu kwenye kuekti video kachemka kidogo japo anajitahid kiasi chake
Hongereni kwaya Mungu awatunzeni
Amen
Road