Nimeona mateso

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @mosesmwaijonga6070
    @mosesmwaijonga6070 4 ปีที่แล้ว +5

    Ni mmoja ya nyimbo inayogusa sana moyo wangu, hakika nikisikiliza wimbo moyo wangu unahuwishwa kwa upya na kumshangilia sana Mungu. Ashukuriwe Mungu asiyetutoa mawindo kwa adui zetu.

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 4 ปีที่แล้ว +7

    MAOMBOLEZO 3:1-60
    1Mimi ni mtu niliyepata mateso
    kwa fimbo ya ghadhabu yake Mungu.
    2Amenichukua akanipeleka
    mpaka gizani kusiko na mwanga.
    3Amenyosha mkono wake dhidi yangu mimi tu,
    akanichapa tena na tena mchana kutwa.
    4Amenichakaza ngozi na nyama,
    mifupa yangu ameivunja.
    5Amenizingira na kunizungushia
    uchungu na mateso.
    6Amenikalisha gizani
    kama watu waliokufa zamani.
    7Amenizungushia ukuta nisitoroke,
    amenifunga kwa minyororo mizito.
    8Ingawa naita na kulilia msaada
    anaizuia sala yangu isimfikie.
    9Njia zangu ameziziba kwa mawe makubwa
    amevipotosha vichochoro vyangu.
    10Yeye ni kama dubu anayenivizia;
    ni kama simba aliyejificha.
    11Alinifukuza njiani mwangu,
    akanilemaza na kuniacha mkiwa.
    12Aliuvuta upinde wake,
    akanilenga mshale wake.
    13Alinichoma moyoni kwa mishale,
    kutoka katika podo lake.
    14Nimekuwa kitu cha dhihaka kwa watu wote,
    mchana kutwa nimekuwa mtu wa kuzomewa.
    15Amenijaza taabu,
    akanishibisha uchungu.
    16Amenisagisha meno katika mawe,
    akanifanya nigaegae majivuni.
    17Moyo wangu haujui tena amani,
    kwangu furaha ni kitu kigeni.
    18Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa,
    tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.”
    19Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu
    kwanipa uchungu kama wa nyongo.
    20Nayafikiria hayo daima,
    nayo roho yangu imejaa majonzi.
    21Lakini nakumbuka jambo hili moja,
    nami ninalo tumaini:
    22Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi,
    huruma zake hazina mwisho.
    23Kila kunapokucha ni mpya kabisa,
    uaminifu wake ni mkuu mno.
    24Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu
    hivyo nitamwekea tumaini langu.
    25Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea,
    ni mwema kwa wote wanaomtafuta.
    26Ni vema mtu kungojea kwa saburi
    ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu.
    27Ni vema mtu kujifunza uvumilivu
    tangu wakati wa ujana wake.
    28Heri kukaa peke na kimya,
    mazito yanapompata kutoka kwa Mungu.
    29Yampasa kuinama na kujinyenyekesha,
    huenda ikawa tumaini bado lipo.
    30Yampasa kumgeuzia shavu mwenye kumpiga,
    na kuwa tayari kupokea matusi yake.
    31Mwenyezi-Mungu hatatutupa milele.
    32Ingawa atufanya tuhuzunike,
    atakuwa na huruma tena
    kadiri ya wingi wa fadhili zake.
    33Yeye hapendelei kuwatesa
    wala kuwahuzunisha wanadamu.
    34Wafungwa wote nchini
    wanapodhulumiwa na kupondwa;
    35haki za binadamu zinapopotoshwa
    mbele yake Mungu Mkuu,
    36kesi ya mtu inapopotoshwa mahakamani,
    je, Mwenyezi-Mungu haoni hayo?
    37Nani awezaye kuamuru kitu kifanyike
    Mwenyezi-Mungu asipopanga iwe hivyo?
    38Maafa na mema hutokea tu
    kwa amri yake Mungu Mkuu.
    39Kwa nini mtu anung'unike,
    ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake?
    40Na tupime na kuchunguza mwenendo wetu,
    tupate kumrudia Mwenyezi-Mungu.
    41Tumfungulie Mungu huko mbinguni
    mioyo yetu na kumwomba:
    42“Sisi tulikukosea na kukuasi
    nawe bado hujatusamehe.
    43“Umejizungushia hasira yako ukatufuatia,
    ukatuua bila huruma.
    44Umejizungushia wingu zito,
    sala yeyote isiweze kupenya humo.
    45Umetufanya kuwa takataka na uchafu
    miongoni mwa watu wa mataifa.
    46“Maadui zetu wote wanatuzomea.
    47Kitisho na hofu vimetuandama,
    tumepatwa na maafa na maangamizi.
    48Macho yangu yabubujika mito ya machozi
    kwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangu.
    49“Machozi yatanitoka bila kikomo,
    50mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni
    aangalie chini na kuona.
    51Nalia na kujaa majonzi,
    kuona yaliyowapata kina mama wa mji wangu.
    52“Nimewindwa kama ndege
    na hao wanichukiao bila sababu.
    53Walinitupa shimoni nikiwa hai
    na juu yangu wakarundika mawe.
    54Maji yalianza kunifunika kichwa,
    nami nikafikiri, ‘Huu ni mwisho wangu.’
    55“Kutoka chini shimoni
    nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu.
    56Wewe umenisikia nikikulilia:
    ‘Usiache kusikia kilio changu cha msaada
    bali unipatie nafuu.’
    57Nilipokuita ulinijia karibu
    ukaniambia, ‘Usiogope!’
    58“Umenitetea katika kisa changu ee Mwenyezi-Mungu,
    umeyakomboa maisha yangu.
    59Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu,
    uniamulie kwa wema kisa changu.
    60Umeuona uovu wa maadui zangu,
    na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.
    61“Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu,
    na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.
    62Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima
    ni juu ya kuniangamiza mimi.
    63Wakati wote, wamekaa au wanakwenda,
    mimi ndiye wanayemzomea.
    64Uwalipize, ee Mwenyezi-Mungu
    kadiri ya hayo matendo yao,
    kadiri ya mambo waliyotenda wenyewe.
    65Uipumbaze mioyo yao,
    na laana yako iwashukie.
    66Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize,
    uwafanye watoweke ulimwenguni.”

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sema ni wa kishirikina na kujipinga. Wanamuomba Yesu badala ya Mungu. Silaumu kutokana na kiwango chao cha uelewa

  • @jescamussa4962
    @jescamussa4962 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huu wimbo unanibariki sana🥰

  • @SuzanaMkobalo
    @SuzanaMkobalo 4 หลายเดือนก่อน

    Naupenda sana huu wimbo remi umenifanya nijue kuimba barikiwa

  • @tonymverah8059
    @tonymverah8059 2 ปีที่แล้ว +2

    With love from Kenya...I loooove you guys, God knows. Continue serving...

  • @neemasimbeye9448
    @neemasimbeye9448 5 ปีที่แล้ว +2

    Naupenda sana wimbo huu bairikiwa sana Nyakato kwaya Mungu awainue

    • @efordkitwe7050
      @efordkitwe7050 5 ปีที่แล้ว

      naikubali sana kwaya ya aic nyakato kwa ujumbe mzuri

  • @allyselemani421
    @allyselemani421 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaa imenijenga watumishi....

  • @farajamaduhu1981
    @farajamaduhu1981 4 ปีที่แล้ว +1

    Homeguys, great choir! Ninyi ni magwiji wa style hii ambayo kwa kweli inatambulisha pia vionjo vya asili ya utamaduni wa msukuma! Mmeweka alama, mmemtangaza kristo katika kazi zenu kwa ubunifu unaosanifu utamaduni wa MTU mweusi wa Tanzania.

  • @jacksonemanuel678
    @jacksonemanuel678 3 ปีที่แล้ว

    My favorite song m mbarikiwe sana asante solo kwakuimba vizur lakin kiujumla mmejua kuzipanga sauti safi sana mziki pia unamvuto flani barikiweni sana wana choir

  • @oliviananyaro4277
    @oliviananyaro4277 4 ปีที่แล้ว +2

    My lovely song ❤️😍 ntafarijika daima kwa huu wimbo

  • @pendomanga9098
    @pendomanga9098 ปีที่แล้ว

    2023😍❤️ still listening to this 🙌🙌🙌

  • @AmandoNyelesi
    @AmandoNyelesi 5 หลายเดือนก่อน

    Kila nikisikiliza hii nyimbo huwa napata mbubujuko wa machoz Sana unagusa Sana moyo mbarikiwe

  • @libeabednego258
    @libeabednego258 5 ปีที่แล้ว +1

    Yesu atusaidie kweli jamanii maana bila yeye atuwezi kila nikiimba huu wimbo unanipa faraja na tabasamu kubwa mnoo. Mbarikiwe maana nami nimebarikiwa

  • @emmanuelgimbuya9246
    @emmanuelgimbuya9246 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe % Melody Safi mko mzuri endeleeni kutenda kazi ya bwana

  • @graceayoo4863
    @graceayoo4863 5 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa saaan kwanyimbo nzuri

    • @ibrahimmartin1676
      @ibrahimmartin1676 4 ปีที่แล้ว

      Amen mungu azindi kuwap nguv muzindi kumutumikia yeye musichoke

  • @sarahmwansile259
    @sarahmwansile259 6 ปีที่แล้ว +3

    nimekuja nisaidiee unisaidie unisaidie nisaidiee, naipenda Sana nyimbo him hubariki Moyoo wangu

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli shetani amesubuwa wangi Sana Asante Yesu kwaku niokowa😭😭😭

  • @emmahkiwelu984
    @emmahkiwelu984 4 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana jaman,wimbo mzuri sana Mungu azid kuwabariki zaidi

  • @ubuzimabwaclaudine9798
    @ubuzimabwaclaudine9798 6 ปีที่แล้ว +2

    mubarikiwe sana

  • @felisterkasuga3217
    @felisterkasuga3217 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu utuokoe maana shetani amechakaza nyama yangu jamani. Eeh Mungu turehemu.

  • @elnasramassawe9438
    @elnasramassawe9438 ปีที่แล้ว

    Hongereni saaaan Mungu wa mbinguni awape Neema yake ,,karama ya huyo dada ikachanuwe zaidi❤

  • @susanmwanzia273
    @susanmwanzia273 3 ปีที่แล้ว +3

    The song has been a blessing to me every time I feel down

  • @mabitajunior
    @mabitajunior 2 ปีที่แล้ว

    Nyakato Choir tunawapenda sana,hapa Kenya.

  • @mwaluligwa7052
    @mwaluligwa7052 5 ปีที่แล้ว +1

    Sichoki kuangalia nyimbo zenu,barikiwa sana

  • @deogratiusfrancis9853
    @deogratiusfrancis9853 6 ปีที่แล้ว +1

    naupenda sana wimbo huu
    kwani Kila nipatapo nafasi Huwa nauskiliza nakuutazama pia
    Na barikiwa sana

  • @faridachande7063
    @faridachande7063 5 หลายเดือนก่อน

    Still listening to this song

  • @marianapatrick5993
    @marianapatrick5993 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabalikiwa Sana kwa wimbo huu,,, nausikiliza Sana kila siku asubuhi niamkapo tu

  • @joycewilium1649
    @joycewilium1649 4 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuuchoka huu wimbo mbarikiwe sana

  • @dianarichardkiri1318
    @dianarichardkiri1318 2 ปีที่แล้ว +1

    Jina la albam inaitwaje wapendwa mwenye kufaham pls

  • @alennganzi3348
    @alennganzi3348 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice song God bless us

  • @lightnessdaniel2820
    @lightnessdaniel2820 6 ปีที่แล้ว +1

    mbarikiwe sana watu wa Bwana Yesu

  • @tullymngongo2890
    @tullymngongo2890 6 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo huwa unanibariki sana jamani. Mbarikiwe sana wapendwa.

  • @magdalenapeter4851
    @magdalenapeter4851 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥Asante Mungu

  • @victoriamapera7629
    @victoriamapera7629 7 ปีที่แล้ว +3

    ujumbe mzuri

  • @LameckSilinu
    @LameckSilinu 6 ปีที่แล้ว +2

    Msihuzunike kwaajili ya miili mavazi maana miili halisi iko Mbinguni kaza mwendo!

  • @gifftygabriel8784
    @gifftygabriel8784 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana

  • @judsjamsi6278
    @judsjamsi6278 7 ปีที่แล้ว +3

    nimeipenda sana

  • @PiusKifaranga
    @PiusKifaranga 10 หลายเดือนก่อน

    Hakika huu wimbo umetoa machozi

  • @wandedalushi2984
    @wandedalushi2984 10 หลายเดือนก่อน

    28/11/2023 kwangu NI mpya na unanipa maana mpya

  • @keyatekra9958
    @keyatekra9958 6 ปีที่แล้ว +3

    Amina

  • @bablaimanuel6668
    @bablaimanuel6668 7 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mungu awatangulie

  • @melodystaicy7515
    @melodystaicy7515 ปีที่แล้ว

    I speak blessings upon you ❤

  • @salatori1787
    @salatori1787 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimebalikiwa

  • @linaaron431
    @linaaron431 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @SofiaiSoniahi
    @SofiaiSoniahi 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice

    • @erastosengerema87
      @erastosengerema87 6 ปีที่แล้ว

      Mliimba vizuri sana, na kwa nidhamu kubwa, ila siku hizi kama vile mnapotea.

  • @petermagoditz
    @petermagoditz หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @nyanzankwimba220
    @nyanzankwimba220 6 ปีที่แล้ว +2

    nimebarikiwa

  • @sixbertpaul5280
    @sixbertpaul5280 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed

  • @SuzanaMkobalo
    @SuzanaMkobalo 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikewe

  • @evaaggrey2971
    @evaaggrey2971 7 ปีที่แล้ว +3

    hakika amaechukua madhaifu yetu.

  • @kusekwamisalaba7384
    @kusekwamisalaba7384 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyakato

  • @shadrack6530
    @shadrack6530 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢🙏🙏🙏 amen

  • @jeniphamasanga9120
    @jeniphamasanga9120 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen