Dash!! Ulikuwa ni mlipuko wenye mshindo mkubwa mno usiku ule, ambao ulisikka zaidi ya umbali wa kilometa thelathini na kuzua hofu has a maeneo jirani.Jamani hizi tekinolojia za kigeni no vema zisimamiwe na wanaoziunda vinginevyo madhara yangekuwa ni makubwa mno
Mwenyezi Mungu awapokee na awajaalie huruma zake
Eeee MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI
Faraja yako kubwa tunaihitaji Watanzania
Poleni sana familia na kwa Taifa la Tanzania,
Dash!! Ulikuwa ni mlipuko wenye mshindo mkubwa mno usiku ule, ambao ulisikka zaidi ya umbali wa kilometa thelathini na kuzua hofu has a maeneo jirani.Jamani hizi tekinolojia za kigeni no vema zisimamiwe na wanaoziunda vinginevyo madhara yangekuwa ni makubwa mno
Duuuuuh mlio ulikuwa mkubwa eeh
Mungu awalaze mahali pema peponi.
Polen ndugu zetu ajar huyo mungu awatie nguvu wafiwa
Jamn" wapumzike kwa Aman Marehem wote😭🙏
Poleni sana ndg zetu kwa ajali hiyo na Mungu awajalie majeruhi wapone haraka,very sad
Inalillahi wainailahi rajuun. Subuhanallah
😪😪😪😪😪😪 mungu azilaze mahali pema peponi🙏 kazi ya mungu haina makosa🎚
Raha ya milele uwape eebwana na mwanga wa milee uwaangazie
Amen
Poleni sana jamani
Duuu! Poleni ndugu zetu mbele yetu.😢
jamani mbona wamefariki wengi hivyo
Jamani poleni wanafamiliya 🙆🙆
Shida nini jamani
Innalilaah wainnailaih rajiun
Hata sijui nasikia ajari ajari sielewi 😢😢
Kwahiyo wamekufa kwa mvuke"si ndiyo?
Tunamuombea baba mdogo apumzike kwa aman na tunawaombea marehemu wote wapumzike kwa aman, bwana ametwaa na bwana ametoa jina la bwana lihimidiwe
Wapumzike kwa Amani
Dah ila maelezo Yao simple Yan 🥺
Jamn
Pole familia pole kiwanda pole tanzania
Me cjaelewa ni ajal gan ya nn poleni jaman
Moto
Ajali ya gari
Bomba la kupitishia mvuke lilipasuka ndo huo mvuke ukawaua hawo watu
Hata sijui nasikia ajari ajari sielewi 😢😢
Kuna mitambo ya mvuke imelipuka ktk kiwanda cha mtibwa sukari.