Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa akitoa nasaha kwa Waislamu.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2024
- Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa akitoa nasaha kwa Waislamu alipowasili Zanzibar baada ya kutekeleza Ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia.
Allah azitaqabbal ibada zenu.
Ammyna
Alhamdulilah tunamshukuru mwenyezi mungu
Mashaallah Waziri wetu Allah akutakabalie hijja Yako na mahujaj wote
Masha Allah mheshimiwa lela
Karibuni tena nyumbani Zanzibar
Karibu Tena kisiwani Hajjat Lela