"NIMECHOKA KUZINI NDIO MAANA NATAKA NDOA, WATU WANALILIA KUNIOA, NATAKA KUOLEWA NA BEKA" HAPPY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 95

  • @martinkinyua7650
    @martinkinyua7650 8 หลายเดือนก่อน +2

    That a good take Mrs beka👏👏👏. May God bless your family.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah kumbe mwanangu anisa

  • @user-ty6lr1zq7j
    @user-ty6lr1zq7j 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akupe haja ya moyo wako nakupenda sana

  • @user-qe5cs3oy8d
    @user-qe5cs3oy8d 7 หลายเดือนก่อน

    Uzuri wa MKAKASI ndani gome (pande) la mti... only legendary can understand ❤❤❤❤

  • @majabiali973
    @majabiali973 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli dada umeongea point allah akupe hitaji lako la moyoo

  • @user-gd3kh7lz1i
    @user-gd3kh7lz1i 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe damu ya kwetu mamy

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Maakini,.hadi nimetamani kulia,uko sahihi sana happy, pole

  • @gideonjohn7675
    @gideonjohn7675 8 หลายเดือนก่อน +2

    4:48 daaah ila mapenzi yanatesa kupenda kusikie kwa mtu mtu kama unampenda siyo rahis kumsahau

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sema huyu bint anajisikia ,na kujiona mzurrrrriiiiii😁😁😁

    • @user-iv7dm3xw9v
      @user-iv7dm3xw9v 8 หลายเดือนก่อน +3

      Acha wivu sio kujiona ni kweli mzuri haswa tena anajitambua na wewe huwezi kumpatq demu kama huyo hata mkiungana sita bado hujafikia uzuri wake sasa nimekujibu kurupuk ujae

    • @Mina.15
      @Mina.15 8 หลายเดือนก่อน

      She's beautiful 😍

  • @IbrahimNeema-cc4md
    @IbrahimNeema-cc4md 8 หลายเดือนก่อน

    Ipi sisi naijua vzr sana Haina wenge SEMA beca sio mwanaume ni Mvulana basi kwako angalia maisha mengine

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kama anajua beka Hana Hela kwanini amuambie mahari ni milioni 20. Si bei ya crown hiyo.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 8 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana happy ❤❤❤

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wairaq wana dharau na hawanaga cha maana washenzi hao hawajielewi wanapenda maisha ya juu na hawanaga kitu wanaishia kuolewa olewa na kuachwa

    • @elizabethswai7777
      @elizabethswai7777 8 หลายเดือนก่อน

      Wamekeketwa hawana maajabu

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 8 หลายเดือนก่อน +1

      Halafu kitu HAPANA kwa mwanaume yeyote wanayekutana naye hawana. Wajumlishe na Warangi lao moja

    • @tausimohammedy
      @tausimohammedy 7 หลายเดือนก่อน

      tafuteni hela😂😂 wala hatupo ivyo

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 8 หลายเดือนก่อน +1

    Beka akimuoa uyu ajiandae kuumizwa mana inavyo onekana uyu bint asha Anza kumdharau mchiz ndo madhara ya kurudia rudia Kuna kadharau utokea

  • @AnnerErneo-vc9yz
    @AnnerErneo-vc9yz 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mwanamke mapepe mbele ya mwanaume mwenye msimamo au Mwenye uanaume wake

  • @veroniquemango1114
    @veroniquemango1114 7 หลายเดือนก่อน

    Wahuuuu ❤

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 8 หลายเดือนก่อน +4

    Aisee kumbe demu akiwa hakutaki ana kuongezea bei ya mahari 😢😢

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sijaona shida lkn ya huyu dada sema waja tu

  • @user-ng7fw8og2t
    @user-ng7fw8og2t 8 หลายเดือนก่อน

    Uyu mdada kunamtu anampa jeuli jaman mm ni mwanamke akin najijua tunavyo badirika kaka angu tafuta mke mwingine apo wenye hela washa wekeza akili daah😢😢😢😢

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 8 หลายเดือนก่อน +2

    Neno " kuzini" linatumika Kwa Wanandoa wanaochepuka ( wanaofanya tendo la Ndoa nje ya Ndoa). Kwa ambao hawajaoa au kuolewa neno linalotumika ni " uasherati". Kwa hiyo, hajachoka kuwa " Mzinzi", bali amechoka kuwa " mwasherati".

    • @bintabou828
      @bintabou828 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 daah ndo kujua leo

    • @neemanyove9130
      @neemanyove9130 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@bintabou828 mambo ndo hayo hayo tu bhn😊

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @maernov4257
    @maernov4257 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Dada hekima hana kabisaa

  • @adammoursad529
    @adammoursad529 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanang Beka achana na huyu mwanamke ameshakudharau tayar halaf wanataka wakupige pesa, kwanza ki mwanamke chenyewe kifuupi piga chiniii kaka wanawake wapo weengii

    • @mwanaherimatata8571
      @mwanaherimatata8571 8 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wanaumwa wanahitaji pesa uchangiwe wewe unaemkomoa kk wa watu

  • @user-gx3cg1dk5t
    @user-gx3cg1dk5t 8 หลายเดือนก่อน

    Umeongea fact sana ila kwenye mahari milion 20 katafute mashine ya kutengenezea hizo milion 20 ila kama unataka kuolewa na u anaamini umepitiwa sana jitoe tu hata kwa laki 2 tu mana uzuri wa sura sio uzuri wa nyama

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v 7 หลายเดือนก่อน +1

    Laki tano anakugaiya lkn mtaji bek hana 😂😂😂 kivumbi

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 8 หลายเดือนก่อน +6

    Duh! Huyu dada anajitambua

  • @nuruhhussein167
    @nuruhhussein167 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂hivi kumbe kuna kuforce hivi

  • @MUJWAUORIGINAL
    @MUJWAUORIGINAL 8 หลายเดือนก่อน +1

    ALAFU MMAMA KAZEEKA

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 8 หลายเดือนก่อน +3

    WABURU ni chaote😂😂 wengi wauza BAR. hawatulii ndani

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😊😂😂😂😂😂😊😂

    • @user-sn6dc9gh8k
      @user-sn6dc9gh8k 8 หลายเดือนก่อน

      Na wenye saluni😂😂😂😂

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dem amesha mdharau sana beka jamaa hana chake 😂 siwezi rudia makombo wanaume tuache kuwa mafala kulilia mapenzi 😂

  • @asifiwewisayi8580
    @asifiwewisayi8580 8 หลายเดือนก่อน

    Ulimpenda ili ujulikane saiv unaongea upuuzi tu unazani bila beka nani angekufahamu mpende the way alivo Mungu atafungua milango ila sio kusema achangiwe sijapenda

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kupeleka mambo yenu mtandaoni kama unahitaji ndoa

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mdada hataki tu kuonekana mbaya …But Kiukweli Kusema Hadharan Madhaifu Ya Mzazi Mwenzio Sio Poa Lakin Pia Huyu Lazima Ana Sponsor Wa Kimya Kimya …Beka Awe Makini Saana Na Huyu Dada Asipagawe saaana Na Huu Uzuri , Mahali Hyo Mil 20 Ni Sababu Tu , Na Kitendo Cha Kusema Yeye Anatakwa Na Wanaume Wengi Tu Mpaka Wanalia 😅….Hiyo Tayar Ni RedFlag

  • @mwanyulatz
    @mwanyulatz 8 หลายเดือนก่อน

    Ndoa ni makubaliano ya kijana wa kiume na kike kukubalina kuishi pamoja so huyu binti huyu hata kumtetea 😢😢

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wwmbulu , walangi .... Ni chaote

    • @priscacosmas877
      @priscacosmas877 6 หลายเดือนก่อน

      Makasiriko 😂😂😂

  • @charlesmasele8454
    @charlesmasele8454 8 หลายเดือนก่อน

    ☑️☑️

  • @SamKissay-vv1ff
    @SamKissay-vv1ff 8 หลายเดือนก่อน

    Beka anateseka sana yn duh

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 8 หลายเดือนก่อน

    Ndo umtetee kama unampenda kweli m 22 we acheni zetu wameru

  • @jumaiddy-jm5wo
    @jumaiddy-jm5wo 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka mrudishie Mkubwa Fella shati lake!😁

  • @rockycity7213
    @rockycity7213 7 หลายเดือนก่อน

    Mhh kabila hili 🙌

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisaa uko sahihi dada

  • @johnndunguru1113
    @johnndunguru1113 8 หลายเดือนก่อน

    We dada ni mzuri lakin ata ukiolewa kaz bure ijatulia na kizur cha weng kwa iyo ukiolewa jaribu kutulia..

  • @user-ti4ug9sd4u
    @user-ti4ug9sd4u 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke anaye jiheshimu awezi kuongea madhaifu ya mume wake beka aki muowa uyu dada ata teseka sana , ata kama aja kuchangia mtaji unge mfichia aibu unge sema tu ame kuchangia linda aibu ya mwenza wako

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 8 หลายเดือนก่อน

    Mmh mi mwenyewe mwanmke lakin Happie huna mapenz bhna sema tu ukweli

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 8 หลายเดือนก่อน +19

    Kwa Ultimatum hizi hapa hakuna mwanamke hapa....Ushauri wangu kwa Beka ajifute vumbi, azime data atafute kisu kingine he is a star na mademu wanamwelewa kinomaa ffs....huyu ashaota mabawa tayari halaf kashamchukulia poa mchizi..... halaf hata wakiingia kwenye ndoa kwa vibe hizi haitadumu......Bro mwache aende akakutane na wana wa Israel kitaa...easy tu.

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 8 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe ni mnafiki huyo dada yupo sawa

    • @Rehanifam
      @Rehanifam 8 หลายเดือนก่อน +1

      Bro una facts sana

    • @anjemolin4469
      @anjemolin4469 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani angekuwa ni dada yako ungesema hivyo mwanke umeka namna mtoto nae kwani kumuoa nishida gani 😢

    • @ritchiexanti9587
      @ritchiexanti9587 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@anjemolin4469 relax kwanza we huoni huyu dada anajikuta keki?? anajikuta ni star kuliko aliemtoa

  • @marypaul8908
    @marypaul8908 8 หลายเดือนก่อน

    Hahaha 🤣 eti mtaji mtamuonea

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenye alikuwaga anaweza hiki kipindi alikuwaga Alliya nyinyi haviendi kabisa

  • @hanamuson891
    @hanamuson891 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna mambo ya kuweka wazi kwa media wenawe umelelewa wapi jamani

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 8 หลายเดือนก่อน +3

    HAKUNA MWANAMKE HAPA. HUYU NI MALAYA

  • @RashidMohammed-cj3rj
    @RashidMohammed-cj3rj 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hao wambulu wanagaw uroda balaaa tunao huku mwanza hawajui kuchagua wao ni bandika bandua tu😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 หลายเดือนก่อน

    Dada kama unampenda huyo kaka wewe ndo uliishi nae unajuwa kipato chake basi wekeni mahari ya kawaida ili muowane
    Msikomowane kuweka mahari kubwa ni sawa na kusema humtaki ama wazazi wako hawamtaki so ushauri kama mnatakana malizeni hayo kibinadam

  • @eunicenduba-bv3xo
    @eunicenduba-bv3xo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia itakunyoshooshaaaaa

  • @abdulishaban7795
    @abdulishaban7795 8 หลายเดือนก่อน

    Uzur unaisha ukuwaga ivi dada umesha chuja saaana ebu jiangalie ulivyo kuwa nyuma na sasa ivi acha hii dunia ni pasi ya mvuke wa mkaa itakunyoosha

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 8 หลายเดือนก่อน +1

    Muongo Hakuna Mwanaume yeyote aliyetaka kukuoa

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mwanamke apo wambuluu beka kajichangamya kuzaa nae

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 8 หลายเดือนก่อน

    Milioni 20 jenga nyumba hakuna mke hapo

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 หลายเดือนก่อน

    Wadada urembo unawazuzuwa na ndo mana ndowa zenu hazidumu

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unazuga humtak tu mwenzioo

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂hapo hakuna mke bali ni uchafu tena uozo FC

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 8 หลายเดือนก่อน

      Nyumba ushavaliwa ushachoka hadi wenyewe unakiri.

  • @SamKissay-vv1ff
    @SamKissay-vv1ff 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni mburuu

  • @user-vy9pz7sk4z
    @user-vy9pz7sk4z 8 หลายเดือนก่อน

    Cyo kwamahar iyo

  • @benjaminthomas7969
    @benjaminthomas7969 8 หลายเดือนก่อน

    Mbulu sehemu gani duuh saita ama

  • @man4nikaah
    @man4nikaah 6 หลายเดือนก่อน

    Any Muslim women available?

  • @farajapeasonmagota8226
    @farajapeasonmagota8226 8 หลายเดือนก่อน

    Beka acha utoto oa

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 8 หลายเดือนก่อน +1

    Beka Hapa Unapotea Bro..
    Mwanamke anaekudharau hivi mbele ya Media.. Nenda mbele, abaki kuwa Mama wa mtoto Tu..
    Hapa Hakuna Mke.. Mwache akaoelewa kwao huko Bro😢

  • @mwanyulatz
    @mwanyulatz 8 หลายเดือนก่อน

    Ndoa ni makubaliano ya kijana wa kiume na kike kukubalina kuishi pamoja so huyu binti huyu hata kumtetea 😢😢