@@neemasamweli5221 wewe ndiyo mpumbavu cz km we umenuna tambua kuna watu wamecheka kwa hivi vituko na kufurahi kwa sana,bht mbaya akili ya kujua hilo huna
Huyu ndiyo mwanaume mwenye confidence kubwa kuliko wote Bongo, kuongea hiyo broken mbele ya kamera si mchezo jamani. Uzuri hata ukiongea slang anasikia, harmo ni kwanafunzi bora zaidi. Kama wanafunzi walio shule za sekondari za Kata wangekuwa na mioyo kama ya huyu wangetisha sana kwenye ngeli
Huyu jamaa atakuja kujua kiingereza na atakuwa mbaya sana kwenye lugha. Sababu he’s not feeling shy to speak and he’s very confident. Na silaha ya kwanza kujua lugha ya mtu mwingine ni uweze kupata mtu wa kuongea naye ili hata unapokosea anakuwa anakurekebisha na ndivyo unavyomaster lugha
Diva umenifanya nicheke km bwege ulivyosema km lak 2.unajua watu awajui dola wanazitaja tu .sasa kataja 100.kumbe ndogo ndo sawa na dada yangu zuwena kataja 700.kapeleka 1.7m kazikweli watu km awa wasiondoke wanatustua cc watu wamitaani
Acheni kuwa watumwa xn nyie wa lugha xx hapo hamorapa kakosea wapi?? Kwan lugha ni yake si ANAONGEA tu ,,,mbona wazung wakiongea kiswahili hata kama vibaya mnasema kajitahidi nyie vp
Daaah hamo kajiaibisha kweli, sometimes nikuonge ruga unayo hifaham zaidi Ili watu wakuelewe sio many dollars tunashindwa kuelewa kama ni hella au ni watu wanaitwa dollars
Anaongea yeye naona aibu mimi 😀😀😀😀😀
Hata huyo mhoji hajui kizungu. Wapo gora moja hawa. Harmorapa continue doing, what you are doing. Practice makes perfect.
Hatufanani,jamaa anaenjoy kuishi maisha yake acha aishi.Ivo tu yaan
I believe that practice makes perfect one yes he will speak like native speaker
I like your confidence
IYO ni bangi
Yaaah ! Very confident
Huyu mwamba ni comedian mzuri Sana.akijua English atatusumbua sana
Harmorapa dishi lilishayumba kitambo san hiyo na part two bado part three atakuja kuongea kifaransa
Hatuna Mtu hapa dishi limeyumba kitambo sana
media zetu za kipumbavu Sana.
@@neemasamweli5221 wewe ndiyo mpumbavu cz km we umenuna tambua kuna watu wamecheka kwa hivi vituko na kufurahi kwa sana,bht mbaya akili ya kujua hilo huna
hamorapa ni comedia sana mungu mubariki afikie malengo yake kila binadanu ana dhamani yake kwahiyo asidhaurike jamani.
Huyu harmorapa n komedian mzr san ila hajajua kipaj chake aki deal na wakina mkojan atakuw na maisha mazr san
Mungu hubariki mtu kivyake aiseee so freshy dogo yupo sana juu
The best thing is that he can communicate in English.wazungu wenyewe wengi hawawezi
Tena kwa confidence akiendelea Hivi atakuja kujua vizur lugha ya kingereza
Sana
This Yong man killing me
Good interview my people I love it
No one is perfect in this imperfect world
Ongea kimakua tu ndugu yangu utaeleweka kimekuja na ndege hicho mmakua
🤣🤣😂🤣😂 100 Dollar 💵 alidhani Ni Pesa Mengi saana
😁😁😁😁 uzuri anajiamin pamoja na kuchapia hata hajari huenda alijua anasema 1000 dollars
Hahahahahaaa unatuongezea Siku za kuishi
Huyu ndiyo mwanaume mwenye confidence kubwa kuliko wote Bongo, kuongea hiyo broken mbele ya kamera si mchezo jamani. Uzuri hata ukiongea slang anasikia, harmo ni kwanafunzi bora zaidi. Kama wanafunzi walio shule za sekondari za Kata wangekuwa na mioyo kama ya huyu wangetisha sana kwenye ngeli
Real aise dah
Kweli
😂😂😂😂😂
mwamba mmoja hv
kabisaaa aisee
Nice
Hahahahaha 🤣🤣🤩🤩🤩🤩Lugha ya watu maskini "am handsome boy you vaa'"
And then you fika South Africa. You nifananisha. Keep up bro you are trying
😂😂😂
Nakukubali sana mwanangu harmolapa
Huyo jamaa atakuwa amepungukiwa akili kidogo
Uchafu
Ikiwa huyu unasema amepungukiwa akili, vipi wale wanawake wanaochezea miili yao wakiwa uchi, na vipi wanaume wengine wanaojifanya wanawake ??
Hii ni Comedy anayoileta katika game ya mziki ni sawa na Mandonga katika boxing
Chizi kweli wewe mtu anachangamsha unasema hana akili ! Hebu jitasmn kwanza kabla huja changia hoja
😂😂😂😂😂😂
Iyo "What" aloitoa Harmorapa alipoambiw ni laki 2 😅😅😅😅😅 'Wanishushe' (With Diver voice😅)
What A Hell......! He should look Other Ways...Kaka Hamorapa. I love him Kaka Huyu.
Eti times ten ya nini tena jaman na ushataja bei😄😄
Keshajua hazijafika alipotaka zifike😂
🤣🤣🤣🤣
Lengo lake ni kusema 1000$
Yufika for hand South Africa😁😁😂😂
Huyu jamaa atakuja kujua kiingereza na atakuwa mbaya sana kwenye lugha. Sababu he’s not feeling shy to speak and he’s very confident. Na silaha ya kwanza kujua lugha ya mtu mwingine ni uweze kupata mtu wa kuongea naye ili hata unapokosea anakuwa anakurekebisha na ndivyo unavyomaster lugha
jambo tusilojua tusifanye,tusijishushe thamani yetu watanzania
Big up sana Hamorapa amepiga ka hatua kidogo, I appreciate keep it up 😇🤙🔥🔥
diva leo nimecheka Mpaka mbavu zinauma kumuona hamo rapa ktk lavidavi nimetoa stress zote nimecheka sn
Safi sana
Diva pia hajui kingereza,
Harmorapa unazungumza kingereza cha kisenge sana yaan cha darasa la tatu🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂bora uzungumze kiswahili
Nakubali ma5
Kweli ukipata hela kiswahili unasahau😂😂😂
Ndiyo ujue wazungu wako juuu,🤣🤣🤣
Valentine leo kamechisha🤣
Likely to hear from u
Nlijua mganga wakienyej😀
😂😂😂😂😂😂😂😂daaah kiingereza sasa Daah nimecheka sana
English ya bien sana
Jamaa kaenda studio na nguo ya kulalia 😂 daaaah
Kavaa Kama mganga
i was looking for this comment😁
@@abcosecomartialarts4321 😂😂😂😂
@@zuwenashamte3543 😂😂😂 this is another level of craziness
$100x10 🤣🤣🤣
Sawa imani yetu kw Mungu
Afu yuko serious kabisa aiseeee, yaan Tanzania bhana
Kumbe Twenty hundred ni elfu ishiri na hamniambii😂😂😂
😂😂
Jana alikuwa anaimba ile nyimbo ya Robert Kelly nilicheka sana yaaan
Wimbo upi mzee
@@benashery8142 when women love
Katisha
Huyu ni mwamba bongo nzima
The guy he mean hundred thousand dollars not a hundred dollars 😆 😄 🤣
Ni vyenye ameshindwa kuji explain
Diva umenifanya nicheke km bwege ulivyosema km lak 2.unajua watu awajui dola wanazitaja tu .sasa kataja 100.kumbe ndogo ndo sawa na dada yangu zuwena kataja 700.kapeleka 1.7m kazikweli watu km awa wasiondoke wanatustua cc watu wamitaani
Anajifunza na ili ujue usione aibu kukizungumza hata kibovu ila lengo liwe ni kutaka kujua
So many Dollars hajawahi kuiona hiyo $ 10
Huyu jamaa kafanana sana na Konde hata kingereza chao kinafanana sana. Tofauti ni nomarawaa tu.
Acheni kuwa watumwa xn nyie wa lugha xx hapo hamorapa kakosea wapi?? Kwan lugha ni yake si ANAONGEA tu ,,,mbona wazung wakiongea kiswahili hata kama vibaya mnasema kajitahidi nyie vp
Nilistart with twenty hundred (elfu ishirini)🤣🤣🤣🤣🤣
😃sasa twenty hundred c nikama 2000 tuu😀😀😀
🤣🤣🤣🤣
Noumaaa saàna 😂😅😁😄 Hamorapaaaa Iyo ngeli daa😂😅😁
Mbavu zangu jaman 😁😁😁😁😁😁😁😁
It's your mtaji wa mtu😂
Jamaa anachimba mashimo ile mbaya🤣🤣🤣
Nampenda sana uyu
Huyu kaka mbona anajichanganya na kingereza jameni..🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ya!kweli kabisa huyo ndo hamo rapa mwamba
😂😂😂😂😂 namkubali Sana harmo comedy mzuli Yani
Noma
Eti Dollar 100×10 nimecheka jamani
#haaaaaa
Hatha mbuyu ulikua kama mchicha ndo ukawa mkubwa so felicitasion harmorapa Bhai arams arams bollo English baadhme Pura English pathaa Mera dhost
Sijui mnawazaga nini kuleta vituko studio🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
@@uwimana6533 kula m b zetu tuu
Diva leo umepatikana na kizungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Namukubali sana Hamoo..
Kamechisha kama mganga wa kienyeji maskini
Mbongo ni mbongo tuu usumbufu mwingi mpk kwenye mic
Noah yego kutoka magharibi wa kenya.. napendezwa na confidence yake ingawa kingereza halifahamu hataa🤣🤣🤣
mimi ndio naona aibu jaman du huyu kaka
Jamaaaa daaa ninooooma
duuuh hamorapa like mtaji wa mtu hii ngeliiiii jmn.....🤣🤣🤣🤣 asnte sna hamorapa
😂😂😂😂 the dollars
In this road 😂 au Lord au in this world
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁
Huyu mjamaa zimefatuka
Harmoraper😂🙌🙌
Safi 🔥 hamorapa 🇰🇪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakubali rapa boy
Masikiniii,, Diva,unapata dhambi,,,
Daah..!!🤣🤣😄😄
Sio many dollar,sio many dollars
kingereza cha haina gani hiki tanzaniaa mna mambo kwelii😂😂😂
sema jamaa ni mwezi mchanga, akiponaga hatumuoni.
Nimecheka
Harmorap ongea kiswahili tu kaka wakenya wasisikie Mzee
I guess we can do commedy with hamorapa,🇰🇪🇰🇪someone drop his number,these is mtaji wa mtu😅
Kinge cha hamo kimenichachafya
Anaongea nn huyu jamn ni kingereza au ni Nini hiki jamani
Ukiwa serious utoboi
Hivi Lamata hajamuona huyu kibwengo?? Maana Akiwa muigizaji itapendezaa
Wa tz munatisha
Daaah hamo kajiaibisha kweli, sometimes nikuonge ruga unayo hifaham zaidi Ili watu wakuelewe sio many dollars tunashindwa kuelewa kama ni hella au ni watu wanaitwa dollars
Usinge comment maana wewe ndo unajidhalilisha na mambo yako ya ruga badala ya lugha
Siku maisha kujifyatua sasa wewe tumia akili uone kama ujafa mapema
Na huyu dada ywazidi kumsanniiffff😂
Huyu jamaa angekuwa anajuwa English angetusumbua Sana Tz
Anajikubsli mwmba
Presenter Kingereza pia ni balaa.
It's how much does it cost not how much is it cost😅
🇹🇿🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ongea Kiswahili Boya Wewe Hahahahah Hahahahhahah Inzii mtaji wa mtuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani muacheni atafute njia ya kutoboa mpeni sapoti tu ndugu
Yeye ni mchekeshaji utaumia wewe tu
Daaah ananichekesha akiongea kiingereza tu
😁😁😁😁😁😁😁😁