Inahtajka kazi kufanya kumuokoa aiseee ukwel nmeshtukaaa kumuona hv Yan nahisi kama sio pombe Kali basi ni poda inamfanya hv Yan sura imenenepa na kung'aa vbayavbaya tu Yan sio kwel Kabsaaa broooo
Unasiku ya tatu unanisumbua mwenzioo unanifata na malungu kisaa demu unasiku ya pili unanisumbua mwenzioo ooooooh kisa demu 😂🤣😂🤣 shida ndotabuu j tukutane mbagala kibulugwa
Hivi ungeandika tu Kiswahili badala ya kujiaibisha kwa kukosea sarufi na maneno ya lugha usiyoijua ungepungukiwa nini? Eti "Regend" yaani ilimradi uonekane umeandika Kiingereza! pole sana
Acheni Usenge Sasa mmeonesha nyumba au kochi?
Napenda sana nyimbo zako baba nature. Ila amebungia sana pombe ama mm ndoo naona tu
Mbna kama mlevi vilee🤔🤔Ila hongera ulikua hataree zama izo💪💪
Mjinga Anavuta bangi usipime
Living legend nature mwenyewe.. @MrAndem
Umekaza broo
juma necha respect Brother
rud kwere gemu mzee music unapotea aisee
Juma nature uwache pombe Kaka haina faida sauti sio kabisa iyo ...sauti ya mlevi yaani..
Siyo pombe ni madawa
Wewe unatumia nini
@@pattymzee1 acheni maneno yasio ya kweli dawa gani ametumia ?
Sauti yake asili sauti ya simba
Aki Hy sauti ya tungi kabisaa
Good tolk juma wewe ni mhimu kwa jamiii
Mnaweka nyumba ya gorofa ambayo Haina uhusika na mrengwa wekeni mjengo halisi wa mrengwa
🤣🤣🤣
Tatizo lao ndiyo hilo,media zetu za kibongo hizi za online,wanakupa picha na habar yake tofauti
Wananikera awa pusi,wanaonyesha mjengo uleule tuu
Asema mtu anafikiria kununua mifuko ya cement kumi na saba hahaha 🤣🤣
Namkubali sana mtuwangu juma nature
Juma acha pombe ngoma iko mliman hyo huoni kaka??
Kweli Apache pombe ...
Inahtajka kazi kufanya kumuokoa aiseee ukwel nmeshtukaaa kumuona hv Yan nahisi kama sio pombe Kali basi ni poda inamfanya hv Yan sura imenenepa na kung'aa vbayavbaya tu Yan sio kwel Kabsaaa broooo
miaka 100 nimeipenda sana
Mzizi wa bongo fleva
Nakubali nature
Nature unaupendo Mkubwa Sana
Big up mze baba nature
Mkongwe uyo anakubalika kwenye game
Nakukubali Sana ndugu yangu pamoja Sana.
Juma anazingua sana now tukutane mbagala kibulugwa kona bar tupate bia bro j
Nakukubari sana Nature
Juma nature mzee wangenge vankutuli kuntapaaaaaaa
Kujenga mpaka ujitoe ndugu yang mana kuna misuko suko ming!!
Nakukubali sana Nature tangu enzi za Sonia!
Mbona sauti sio yako anko nini?
Hajaonja vyombo
Sir Nature kibla, huyu mtu ni hbr nyngne
Atakama anakunywa pombe haina noma maisha yake umeyaweza nakubali sana wajina
Yupo tungi mzee baba
Sanaaaa nature
Uko vizuri san✊🏻💪
Ile sauti ya "YA LEO KALI" imeenda wapi mzee mwenzangu Nature ?
Yan anaonekan yup tungi sana apo mkali wa vina
Unasiku ya tatu unanisumbua mwenzioo unanifata na malungu kisaa demu unasiku ya pili unanisumbua mwenzioo ooooooh kisa demu 😂🤣😂🤣 shida ndotabuu j tukutane mbagala kibulugwa
Mh, hii sauti niaje asee?
Alikuwa mwamba san nature
Sir Nature kuku ni kuku jogoo jina
Vipi mzee baba unaumwa?
Daa maisha haya kama hujapitia msoto huwez mwelea nature
Na wewe umepitia musoto dada rukia
@@leonardndabila2446 sana tuuu
😄😄😄
Hahaha eti msoto
Nature kiroboto
Nakukubali mkubwa Juma nature
Nakukubali Sana juma
Sauti ilipita wapi?mbona kama ya kukopa
Sauti ya Zege safi sana
Safari nzito kweli bwana Juma
Pombe baba mbona kama umezdisha
Uko vizuri school ment wangu
Ebana eeh kumbe ulisoma na mkali nature
Drunkers ndo builders within feature!
Kama mdau mleteni best naso
Mhh
Jamaniee watu wa kigoma piteni apa muoni Mambo ya nyumbani
Iko wap
Unaweka wapangaj unachukua mchele au vp
Pombe kali achana nazo
Aisee yupo chicha kimtindo
Kiroboto unaonekana kweli ww chapombe! Hujifichi! Ila Interview nzuri!!
Big up
Hahahaha life watu wamesota mtu anaona kawaida
Regend never die
Hivi ungeandika tu Kiswahili badala ya kujiaibisha kwa kukosea sarufi na maneno ya lugha usiyoijua ungepungukiwa nini? Eti "Regend" yaani ilimradi uonekane umeandika Kiingereza! pole sana
J unatetemeka vidole acha udirink jamaangu bado tunakukubali
Juma kaludi utotoni 😂😂
Kwa iyo huo mjengo uliopo kwenye picha ndo wakwake
Huu no mjengo wake na Siyo huu tu anaghorofa ya frow moja
Huyu jamaa hazeek
Sahii kiroboto
Kiroho sayona😁
True bloody
kiroboto
Hapo neture yupo tungi
Z'l
J
🔥🔥💯
Ngwan👊👊👊👊
Maisha ya bongo jamani no usanii mtupu
kiroboto, nature, kibla
Yuko tungi
Hawa ndo wakongwe wa mziki hawa wa sasa siwaelewi kabisa
Aliye ona kibiriti kwa ajili ya kuwashia ganja gonga like👆
Mbona anatetema mwili nn mbaya
Nyege
Tungi+bange ya mbagala
@miss najma😂😂😂
apunguze kunywa pombe kali
😁😁
Bangi sijui
Sauti yake iyo long time,sijajua wew una umri gani na umemjua lin
Pic and love
Iyo so nyumba yake achen uwongo kwake napajua huku mbagara nyumba ya kawaida tu anaishi mtaa wa kwa mzungu huku michanga kibao
Nature hana nyumba moja nyumba yake nyengine ipo kurasini wewe yawezekana unaijua ya mbagara pekee
Sauti yenyewe ya Bangi
Ana magari mangapi au huwa anatumia bodaboda?
@@josephstephen2047 😂🤣😃😀😀😄
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Kiroboto
Mwambaa
Kipa katoka
Pombe cio chai
m
Tmk
Bravo nature wa jina
Nyumba yenyewe iko wapi
Nature...your are a big boy now you should be.married by now...and settled with a family...alafu punguza uraibu broo. Umri umeesonga...
Big up