HARMORAPA BAADA YA KUKOSA USHINDI, FULL MABUSU, MPENZI WAKE AJITOKEZA ASEMA ATAMNUNULIA GARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 200

  • @shabanmohammed8931
    @shabanmohammed8931 3 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda sana hamorapa hakatii tamàa,luv from Kenya mombasa

  • @chamillairakoze6465
    @chamillairakoze6465 2 ปีที่แล้ว +2

    Good harmo u look good Na hongera🥰🥰

  • @ephesongailo8564
    @ephesongailo8564 3 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania nchi nzuri Sana, sema Tozo tuuu ndoo kerooo......

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 3 ปีที่แล้ว +16

    Keep it up Armo Rapa.. One day watakuhelewa tu

  • @mohamedkissima4893
    @mohamedkissima4893 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukiweza kucheza na kiki za matukio hapa Tz mke unapata kirahisi sana. Big up sana Harmo Rapa

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 3 ปีที่แล้ว

      Sahihi kabisaaa kaka,, tena unaweza pata mpaka mwanamke wa kiarabu kabisaa

  • @helderman2000
    @helderman2000 3 ปีที่แล้ว +29

    Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mpenzi anayekusapoti na kukuinua ukiwa chini

    • @thomasboso3081
      @thomasboso3081 3 ปีที่แล้ว

      Oui!

    • @simbawateranga7020
      @simbawateranga7020 3 ปีที่แล้ว

      Nawewe unaamini🤣🤣

    • @thomasboso3081
      @thomasboso3081 3 ปีที่แล้ว

      @@simbawateranga7020 dacord!!

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

      Ni adimu sana hususani zama hizi.watu hawana imani na uvumilivu.

    • @dfinalpatrick8555
      @dfinalpatrick8555 3 ปีที่แล้ว +1

      Hao washakubaliana kiki bas waendelee kupeta mjini

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 3 ปีที่แล้ว +11

    Kumbe harmo ni mzuri akapendeza Mashallah

  • @ericknyiti7161
    @ericknyiti7161 3 ปีที่แล้ว +29

    Dah huyu jamaa kumbe hensam et😎

  • @omarnzaro31
    @omarnzaro31 3 ปีที่แล้ว +13

    Eti kumbe watu wanapenda kulingana na majira eeeh. Hamo Kawa serious jamani kabadilika maongezi muonekano heee kukomoto

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 3 ปีที่แล้ว +3

    Dada Kauzu zaidi ya Dagaa.

  • @yusuphmbowe9528
    @yusuphmbowe9528 3 ปีที่แล้ว +13

    Leo umependeza harmorapa

  • @thefashoonkiller7225
    @thefashoonkiller7225 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana harmo nakubari umekuwa sasa

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 3 ปีที่แล้ว +2

    harmorapa safi sana umeongea kimchezo kabisa 👏👏👏👏

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 ปีที่แล้ว +10

    Hamorapa na Grand p Mambo yao yanafanana

    • @francopiusi6411
      @francopiusi6411 3 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @erastonicholas5589
      @erastonicholas5589 3 ปีที่แล้ว

      Kigari gani hicho wakati wigi lako lenyewe linapepea umechka mafuta

    • @thomasboso3081
      @thomasboso3081 3 ปีที่แล้ว

      @@erastonicholas5589 kwanini unamponda ulinyang'anywa nini?!!!

    • @erastonicholas5589
      @erastonicholas5589 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapana maisha haya itaji majigambo mmeshiriki shindano mmeshindwa asiponde utajiri wake usipotoshe wanao toa mashindano

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 3 ปีที่แล้ว

      Duuu!!!!! Wewe we noma unamfananisha grand p na hamo......

  • @mussaagrey5679
    @mussaagrey5679 3 ปีที่แล้ว

    Nenda katumie hizo pesa mzee Rapa wanawake wa kibongo unyoosha sana mtu ukiwa mbwiga Kwenye mitonyo, ongera ila kuwa makini kwenye pesa na makahaba, nakukubali sana unapambana sana we mjeshi

  • @zou7470
    @zou7470 3 ปีที่แล้ว +21

    Jamani mbona kabadilika 🤣🤣🤣❤

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 ปีที่แล้ว +2

    Kabadilika pakubwa sana hongera ziota kwa kumtunza

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +7

    Kmb ukivaa nguo nzuri nawe waonekana mzuri

  • @richardstanley1860
    @richardstanley1860 3 ปีที่แล้ว

    Harmo eti kesho itabidi upate exclusive😀😀😀 nice keep pushing bro 👊

  • @rashidsaad7948
    @rashidsaad7948 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallaaa💚💛💜❤💙💪🔥

  • @ramlanassir1559
    @ramlanassir1559 3 ปีที่แล้ว +13

    hongera harmo lakin isiwe kiki kama mwanzo

  • @dinnoallex7452
    @dinnoallex7452 3 ปีที่แล้ว +9

    Daaa kumbe ukiwa hivii unamuonekano mzurii wa usanii Ila sasaa umerudii kitaani utaanza uchizii wako

  • @eunicewambui4645
    @eunicewambui4645 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah napenda sauti yako sana Ayo from kenya

  • @ephraimmahambo8516
    @ephraimmahambo8516 3 ปีที่แล้ว

    Dada Safi Sana msapoti hivyo hivyo na endelea kumpenda

  • @karomboissa3117
    @karomboissa3117 3 ปีที่แล้ว +19

    Mme wangu imejirudia zaidi ya mara hamsini.....muongo we dada.

    • @isibanianews1329
      @isibanianews1329 3 ปีที่แล้ว

      Huyu ni ziota wa Mwanza,hakuna mapenzi hapo,anasafiria nyota

    • @heavenkingdom8157
      @heavenkingdom8157 3 ปีที่แล้ว

      wanawake wote wezi tuu,hata wewe unaedhani unapendwa kisa handsome wanakugongea wazoa taka ...bad...mens

  • @mosesjames3627
    @mosesjames3627 3 ปีที่แล้ว

    Mkali wenu. Pale nyuma Na jezi LA wananchi

  • @gazeomar8273
    @gazeomar8273 3 ปีที่แล้ว +3

    Amorapa nakubali brother

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 3 ปีที่แล้ว +13

    Iyo couple ina vituko Kweli kwali 🤣🤣🤣

  • @ochupower3960
    @ochupower3960 3 ปีที่แล้ว

    Sema amolapa ana onekana adi kiakili atakuwa ametulia sasa

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz 3 ปีที่แล้ว +3

    sema harmo rapper atakuja awe star knm

  • @issachipeta4527
    @issachipeta4527 3 ปีที่แล้ว +1

    Kijana.umetisha.sana.ongela

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 3 ปีที่แล้ว +8

    Harmorapa 😎

  • @ousmanjuma3396
    @ousmanjuma3396 3 ปีที่แล้ว +1

    Harmorapa ndio mshindi banaaaa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว

    Bado yupo na huyo mkeo dah kweli kila shetan na mbuy wake hongeren Sana

  • @brudatv3539
    @brudatv3539 3 ปีที่แล้ว

    Kama umemwoka mkali wenu nipe like

  • @minakhamiskhamisi6193
    @minakhamiskhamisi6193 3 ปีที่แล้ว +24

    Hkn mtu mbay dunian ila n maish tuu

  • @happynesskasanda7275
    @happynesskasanda7275 3 ปีที่แล้ว

    Umependeza bana

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 ปีที่แล้ว +14

    Kaka umedamshi🔥😄

  • @rashidmwinyi271
    @rashidmwinyi271 3 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa nimefurahi kusikia unampenda mumeo na kumjali

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mwanamke ndiyo amebaki peke yake duniani mwenye roho ya hivyo

    • @dotnatajoseph2620
      @dotnatajoseph2620 3 ปีที่แล้ว

      Kabis kabak peke yake kwakweli duuuu

    • @dulahcharles6460
      @dulahcharles6460 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 exactly

  • @amuruboy4161
    @amuruboy4161 3 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂kwambaaali nawaona machizi wawili hapo mkalia wenu na jeymond🤭🤭

  • @thomasboso3081
    @thomasboso3081 3 ปีที่แล้ว +6

    Oui! Très bon Harmorapa!!

  • @giftmbogela2435
    @giftmbogela2435 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada si ndo anaigiza kwenye Ligomba ya brother K

  • @rasymb6190
    @rasymb6190 3 ปีที่แล้ว +9

    Waooo nakubari Sana

  • @upgo6112
    @upgo6112 3 ปีที่แล้ว

    Mwamba walikuwa wanamponda Sana Ila ni mpambanaji sana

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

    Kila ndege na mti wake😘

  • @modeemojombo5662
    @modeemojombo5662 3 ปีที่แล้ว +7

    English course kidogo inaweza kukusaidia

  • @gaudensiayustini8669
    @gaudensiayustini8669 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallaaa

  • @simbawcb6317
    @simbawcb6317 3 ปีที่แล้ว

    Mzee baba kila sk nitakua nakukumbusha hiyo gari tunaisubiri

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 3 ปีที่แล้ว

    Umependeza Harmo

  • @masala8099
    @masala8099 3 ปีที่แล้ว +2

    handsome

  • @7mpya799
    @7mpya799 3 ปีที่แล้ว +4

    Mkali wenu anahangaika😅

  • @princearamyog5816
    @princearamyog5816 3 ปีที่แล้ว +6

    Fireee

  • @lazboylazboy6188
    @lazboylazboy6188 3 ปีที่แล้ว

    Tisha sana

  • @danielisaack9097
    @danielisaack9097 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada ana saut nzito😁😁

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 3 ปีที่แล้ว +6

    Hamorapa atulie sasa 😅

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm naona kiki tuu

  • @samsonelikana903
    @samsonelikana903 3 ปีที่แล้ว

    Hyu bibie anakaa mwanza mtaa gan na mmeo hamorapa

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 3 ปีที่แล้ว

    Dada kaigiza LIGOMBA na brother K

  • @shabanimchemba7504
    @shabanimchemba7504 3 ปีที่แล้ว +4

    Nan kalion shabik la utopol..😂😂😂

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 3 ปีที่แล้ว +2

    Mh hii ni kwa kuwa kapata tuhela hutu , but no love 🤣

  • @gaudensiayustini8669
    @gaudensiayustini8669 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashall

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 3 ปีที่แล้ว +1

    Wameshinda ni shwa surabaya au vipi

  • @ayubukhamis8673
    @ayubukhamis8673 3 ปีที่แล้ว +4

    Anh danh Hawa watu wawili wananifurahishaga sana.kamavile wanafanya comedy kumbe ndo Sirius.

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 3 ปีที่แล้ว +2

    Tia gia baada ya tuta kaka ,tutakutana kwenye beria ya traffic .

  • @emanuelmuna1242
    @emanuelmuna1242 3 ปีที่แล้ว

    Afu mkali wao ni mbea namwona kwa mbali anamcheka mwenzake hamorapa😂😂

  • @hasanihamisi537
    @hasanihamisi537 3 ปีที่แล้ว

    amo katoka kama bush man god mast be crez

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 3 ปีที่แล้ว

    Me ninachomkubari hamorapa hajawaki kujikataa hapo kakatishwaa tamaa Sana lakin bado anapambana tu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 ปีที่แล้ว

    Harmorapa kiboko ya Mabishooo

  • @hamidakondo3458
    @hamidakondo3458 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atampa

  • @selemanimmeswa3556
    @selemanimmeswa3556 3 ปีที่แล้ว

    Mtu wangu sema

  • @kingungeii6520
    @kingungeii6520 3 ปีที่แล้ว

    Kudadeki Kingunge mie nimecheka sana

  • @footy_genius
    @footy_genius 3 ปีที่แล้ว +2

    Moral of the story: we sio mbaya, tafuta pesa tu

    • @samirakaisi8182
      @samirakaisi8182 3 ปีที่แล้ว

      Kaka maisha yamegeuka ona bilget alichofanyiwa

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว +1

    Harmo anaefanana sana na yule aliecheza mkanda wa bush man jamani c utani.

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 3 ปีที่แล้ว

    Nani kamuona mkali waoo kule kwa mbali

  • @fundijumakimbaru7622
    @fundijumakimbaru7622 ปีที่แล้ว

    Waongo munatudanganya kutufanya watoto kubari si rinzikiyako

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 ปีที่แล้ว +6

    Kapendeza sana leo muhuni hahahahhahahahhaha

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 3 ปีที่แล้ว

    Katsha sana harmo

  • @keffajacob8952
    @keffajacob8952 3 ปีที่แล้ว +7

    mbona unageukageuka nyuma 🙄au bdo unakumbuka wale wababe waliokufanyia kitu mbaya kisa kujitangazia mtoto wao kuwa wko🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🙏

    • @energeticmbn4596
      @energeticmbn4596 3 ปีที่แล้ว

      Mkali wenu alikuwa anamsumbua

    • @genyu1439
      @genyu1439 3 ปีที่แล้ว

      Acha kutukumbusha Mambo yaliyopita bwege wewe

    • @keffajacob8952
      @keffajacob8952 3 ปีที่แล้ว

      @@genyu1439 hivi unafilwa na baba ako wewe...kuma kibuyu we..hiyo coment inakuhusu nn kuma la babako ww

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 3 ปีที่แล้ว +1

    Amo kumbe mzur nyie 😂

  • @masakaupdate1488
    @masakaupdate1488 3 ปีที่แล้ว +8

    MATANGAZO MMEZINGUA MALEFUU

  • @fedianfredy2631
    @fedianfredy2631 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 kingereza kigumu

  • @sephlkhankhamis5960
    @sephlkhankhamis5960 3 ปีที่แล้ว

    Nakubal

  • @damianocostantine9042
    @damianocostantine9042 3 ปีที่แล้ว +1

    Mhhh huyu dada wa ligomba

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 3 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @samsonelikana903
    @samsonelikana903 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @nusraatel7954
    @nusraatel7954 3 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 ปีที่แล้ว +1

    Alimuona mkali wenu aniambie👁👁👁👁hahhahahahahahhahaga

  • @edsonimkwama8745
    @edsonimkwama8745 3 ปีที่แล้ว +2

    Mkali wenu kwa nyuma

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanaume mpooooooooo🤣🤣🤣 wapenda mtereeeeeezo mpooooooooo

  • @kiratz3699
    @kiratz3699 3 ปีที่แล้ว +3

    HAJI MANARA AITUKANA SIMBA KIMAFUMBO MO AMJIBU KISOMI "HAJITAMBUI"👉👉👉👉th-cam.com/video/uNQeZH-PecE/w-d-xo.html

  • @king-size8114
    @king-size8114 3 ปีที่แล้ว

    😲😲😲

  • @shariphnassoro3802
    @shariphnassoro3802 3 ปีที่แล้ว

    Km mmemuona mkali wenu akijipitisha🤣🤣🤣

  • @wiledenderege7845
    @wiledenderege7845 3 ปีที่แล้ว

    Kama nilimwona mkali kwa mbali Alivaa uzi wa yanga

  • @ahmedbinazizi4509
    @ahmedbinazizi4509 3 ปีที่แล้ว

    hamo tena uyo mke udumu nae sio ubadilishe kama nguo

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 ปีที่แล้ว

    Kesho anapelekwa SHOO LUM
    Unakujua wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @juliusmushi6428
    @juliusmushi6428 3 ปีที่แล้ว

    Nadhani tayari kashanunuliwq

  • @musason1680
    @musason1680 3 ปีที่แล้ว

    Harmo anafumba macho wakati wa busu ka mwanamke

  • @officialraines8995
    @officialraines8995 3 ปีที่แล้ว

    Khadija ziota sizani kama anapesa kiki tu hizo 😂

  • @beatuskazimily457
    @beatuskazimily457 3 ปีที่แล้ว

    mkali wenu namuona kwa mbali na madharau yak