- 695
- 528 350
VOP TV TZ
เข้าร่วมเมื่อ 2 ก.ค. 2022
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI
VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri
Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri.
Follow VOP Tv
Facebook | Voptvtz
INSTAGRAM |Voptvtz
Contact us via number
+255 620 535 768 Au +255 710 138 927

WAKAAZI WA KISIWANI PEMBA WACHARUKWA BILA YA WOGA WAMTUPIA SWALI WAZIRI WA UCHUMI WA BULUU.
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI
VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri
Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri.
Follow VOP Tv
Facebook | Voptvtz
INSTAGRAM |Voptvtz
Contact us via number
+255 620 535 768 Au +255 710 138 927
VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri
Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri.
Follow VOP Tv
Facebook | Voptvtz
INSTAGRAM |Voptvtz
Contact us via number
+255 620 535 768 Au +255 710 138 927
มุมมอง: 51
วีดีโอ
BAADA YA KUPEWA MTAJI NA WAZIRI UCHUMI WA BULUU ATANGAZA KUOA.
มุมมอง 4714 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
HIVI UNAJUA KWAMBA HUWEZI FANYA KAZI YA GEREJ KAMA UNA MAWAZO YA KUACHWA?
มุมมอง 4622 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
HABARI MAELEZO KUISIFIA VOP TV MBELE YA HADHARA.
มุมมอง 642 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
TEKELEZA FC WATOA KERO ZAO BILA YA PESA WAO SIO CHOCHOTE.
มุมมอง 1722 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
"TUMEFANYA MAKUSUDI ILI MJUE CCM TUNA WATU NA WATU WENYEWE NI WAGOMBANI."(MHE.JOKATE)
มุมมอง 8344 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
HII NDIO SABABU YA KIFO CHA GRACE MAPUNDA.
มุมมอง 354 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
"SIASA YA ZAMANI YA MANENO HATUITAKI TENA/ DR.MWINYI NI MKOMBOZI WA ZANZIBAR HAKUNA ANAEMFIKIA".
มุมมอง 4.1K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
NIMEAMUA KUINGIA CCM NI WAKWELI ACT NI WAONGO.
มุมมอง 2K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NIMEAMUA KUINGIA CCM NI WAKWELI ACT NI WAONGO.
HIVI NDIVYO DR.MWINYI ALIVYOINGIA UWANJANI GOMBANI APAA KWA AINA YAKE.
มุมมอง 1.7K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
WAPEMBA WANASEMA HIVI KURA KWA DR. MWINYI NI LAZIMA.
มุมมอง 7064 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
USHAWAHI KUNYWA MAJI YA KUSCAN/ FIKA HAPO GOMBANI UKAYAONE MAJI YA DHAHABU.
มุมมอง 1417 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
WANAKONDE WAMWAMBIA OMO KUWA HAMUWEZI DR.MWINYI HATA AFANYE NINI
มุมมอง 1.8K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
MHE.LEILA KUWA RUBANI/AENDESHA NDEGE PEMBA
มุมมอง 3577 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
TUMEJIPANGA RAIS WOTE WAWILI WANAPATA KURA ZA HESHIMA.
มุมมอง 257 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TUMEJIPANGA RAIS WOTE WAWILI WANAPATA KURA ZA HESHIMA.
"HII NDIO AHADI KWA DR.MWINYI HATULALI WALA HATUZUBAI" (MH.SUZAN)
มุมมอง 617 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"HII NDIO AHADI KWA DR.MWINYI HATULALI WALA HATUZUBAI" (MH.SUZAN)
UNAUJUA UWANJA WA KOREA PEMBA?NA HAYA NDO MAAJABU YAKE
มุมมอง 1249 ชั่วโมงที่ผ่านมา
UNAUJUA UWANJA WA KOREA PEMBA?NA HAYA NDO MAAJABU YAKE
RANDA NAMI 03. SHANGAZWA NA GOMBA LA GOMBANI PEMBA
มุมมอง 2829 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RANDA NAMI 03. SHANGAZWA NA GOMBA LA GOMBANI PEMBA
IT WA TIKTOK APIGANA NA MTANGAZAJI WA VOP TV TIMBWILI LATOKEA.
มุมมอง 2979 ชั่วโมงที่ผ่านมา
IT WA TIKTOK APIGANA NA MTANGAZAJI WA VOP TV TIMBWILI LATOKEA.
"SERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA"(MHE.HEMED)
มุมมอง 3412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"SERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA"(MHE.HEMED)
JAA KUGEUKA SOKO '' MWISHO WA UBAYA AIBU
มุมมอง 4014 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JAA KUGEUKA SOKO '' MWISHO WA UBAYA AIBU
SHUHUDIA CHUMA CHA DK MWINYI AKIWAONESHEA WANANCHI
มุมมอง 4116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHUHUDIA CHUMA CHA DK MWINYI AKIWAONESHEA WANANCHI
RANDA NAMI LEO IMEFIKA KATIKA MSKITI BANNARA MALINDI/FUNGUA VIDEO HII KUIJUA HISTORIA YA MSKITI HUO
มุมมอง 8216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RANDA NAMI LEO IMEFIKA KATIKA MSKITI BANNARA MALINDI/FUNGUA VIDEO HII KUIJUA HISTORIA YA MSKITI HUO
" IVYO VI KINA JUSA SIJUI TUTAONA TU NIENDE WAPI MIE /ACT YA NINI MIE?" (BARAKA SHAMTE)
มุมมอง 9919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
" IVYO VI KINA JUSA SIJUI TUTAONA TU NIENDE WAPI MIE /ACT YA NINI MIE?" (BARAKA SHAMTE)
Wacha unafiki biarafa ww ni ccm tangiya zamani usiwe muongo
Mengingine acheni mbona anaupiga mwingi anasema nomber, mm nasema tatizo michoro, wenye B 3 ataelewa 🎉
Hahahaaaaa pesa za mtaji kapanga kuoa
😂😂😂 njaaaaa bwana 😂
PENGOLOOOOO
Huna mpya Dr Mwinyi wewe endelea kutufisidia nchi yetu na kuichuuza ila nawewe huko tunakokwenda utakutana na muumba wa mbingu na ardhi
Sio kweli Dr Mwinyi wewe utabakia mvamizi tu acha propaganda zako izo za CCM. Don't take advantage of situation ya watu wa Zanzibar situation ambayo nyie ndio muloitengeneza. Kujega skuli au barabara sio kipimo cha kiongozi mwema kwani ukijipachika cheo cha uraisi uje ufanye nini??? Stop fooling people, kwani hizo pesa za kujenga skuli na barabara umezitoa wapi. Mikono inavija damu tafuta sabuni kwanza ujikoshe sio kubabaisha watu kufanya waZanzibari wote limbukeni wa skuli na barabara
Uxhindi kwa ccm oyeeee❤❤❤
Mm kaz yangu nasom comment tu maaan , so kwa maneno hy😂😂😂
Hahahhaha huy kijan , amenifurahisha sa ❤❤, anajiamin bil woga
Tuna njaa nchini
Njaa mabaya jamani ukishapeawa leyo ccm hawana hajana wezene njaa zenu
Nyny njaaa tu
🎉🎉😂
Acha ujinga uwo hapana usawa ata kdg
Njaa hiii jaman kesho utaskia kesharudi tena nja mbaya.
Hii headline imenifurahisha kwel jamn 😂😂😂😂
Tunaomba tume huru uchaguzi utaopigwa siku moja sio mbili
Sasa kama mshapata mtaji wa wanachama Pemba na unguja wekeni tume huru msiogope mbona ss mkishinda tutawapongezs
Vichwa kanga hao sisi tunatka ukombozi wa zanzibar
Tuseme kweli dr husen mwinyi kazi kubwa anaifanya mimi pia na ungana nae
Huyu. Nimama. Ilasiamni. Kwamatabiayake. Badoanajiona. Nimtoto. Punguza. Mambo. Mmegne. Dunia. Tutaicha.
Nchi ina waandawazimu hii serekali kuu inajivunia kujenga skuli kuwa ndio jambo kuubwa miaka 60 baada mapinduzi serious kweli miaka 60/tunajadili maji njia na shule.
Bi Arafa unauza nchi kwa njaa kali tuu ? Huko ulipo sasa njaa ndio makao makuuu.
Bluuuuu zoteeeeeeeee uko vizr sana
Acha uongo ww ss ndio wapemba hutujui sisi tumeoshwa wap
Mwazalilikaaaaaa jamaniiiiiiiii poleniiiiii sanaaaaaaaa enyiiiiii njaaaaaa
Wasaka tonge haooooooo njaaaa tuuuuuu jamaniiiii heeeeeeeee
Kaz unayo ya kufanya ukapata kipato chko? Mana unasherehekea ujinga ata Cha kula huna mpumbavu ww
Hasan muwembe kashazeeka ?dah mtihn kweli wawah
Kwa lipi kubwa? Ni wajibu serikali kuweka huduma za kijamii karibu na wananchi kufanya hivyo sio kuwa ni maendeleo.
Hasani pole mwanangu
Mukimaliza kusoma ajira nikwenda pwani kuvuwa hiyo ndiyo ajira uhanisiwenu shilingi hamuna
Mbona babko ana wajibu wa kukupa kila kitu na hajakupa unaililia serikali ikupe maisha bora ?
@@RashidHaroun-c2j Babako hawezi kukupa spitali, bali atajitahidi upate matibabu spitali na spitali anaepaswa kujenga ni serikali kwa watu wake. Babako hawez kukupa cheti chochote bali serikali ndio itapaswa ukizaliwa upewe cheti, passpot, uraia n.k hivyo babako sie anaepaswa kukupa huduma za kijamii bali yy atatumika kukuhudumia wewe kwa uzo alojaaliwa.
@@AbdillahSOthman sasa wa kukupa chakula ni nani wakati serikali ilikusomesha ukaondoa ujinga ikajenga miundombinu za bara bara masoko ili mufanye biashara muondokane na umaskini,mumemiliki ardh muitumie kwa shughuli zenu, suala la ajira hatuwez kupata sote ndugu wala nchi kama io duniani haijazaliwa sote tukiajiriwa unahisi dunia itaendaje
Tanganyika lengo lao kuichukua znz kwa jumla waifanye tanzania moja lakini mtashindwa kwa uwezo wa mungu tunataka zanziba yetu yenye kujiongoza sio kuongozwa mnasema mnajenga shule mbona mitihani inasainishwa tanganyika kwani zanziba hatujui kusainisha
Basi hatuoni wala akilihatuna ramda tuwe hatujakatwa magozi ndo tumpe yeye azidi kutuangamiza kila kitu cha zanziba wamepora watanganyika
Kama hosipitali maendeleo tusenge kua na shida ya kupelekana nchi za nnje au muhimbili hosipitali dawa hamuna
Kama maendeleo barabara zanziba nzima ingenea barabara maana mkoa mmoja wa tanganyika zanziba ni ndogo
Tembea uwone ccm hawajawahi na hawatowahi kuleta maendeleo kama maendeleo shule basitungeweza kusainisha mitihani ya elimu ya juu znz kama maendeleo Barabara basi tungekua tumeimaliza znz yote Kwa Barabara mana znz ni mdogo kuliko mkoammoja wa bara
Safari imemshinda kaona bora auze nchi kwa tumbo lake. ... hawa ndio chuwa kwenye mchele bora aende kwa wanafiq wenzake
Jamaa anakula na vipofu na wao wanafurahia . ... wakishasoma nini kinafuatia? Kaa bench kachukue kadi ya CCM makazi hamna .... TUNATAKA NCHI YETU ... Hebu washenga mwambieni!!!!!!!
Shule shule
Njaa inasumbuwa kwa kweli .
Mtumbatu pekeake ndio mwenye asili ya kisiwa cha unguja. Na yeye asiliyake ni kutoka makkah muarabu mweusi. Soma historia sahihi na sio propaganda ya kizungu. Wqpemba ni watu kutoka Tanga na mombasa. Kutambiana waunguja na wapemba na wabara ni ujinga tu nyote baba moja mama moja.
Njaa mbaya
Utumbo mtupu ... Mwinyi kaja kuimaliza zanzibar na wao wanafurahia .. wanafurahia majumba ambayo hayawasaidii wananchi
Pambe san ❤❤
Sisi tunataka Zanzibar Kamili si chengine
Itishani uchaguz harak 2one
HATUSHIBI kushinda kwa kura CCM haiwezekani haijawahi na haitowahi CCM kushinda kwa kurazanzibarht MWINYI anaelewa hilo ndo maana mauzauza yameanzamapema halafu mnasema ACT wamerudisha kadi?hhhhhh,,,,,propaganda hzo endeleeni kujishauwa CCM zanzibar haitakiwi kwasbb hawataki kurejesha mamlaka kamili zanzibar simple
Nendeni uko labda njaa nchini mlo moja kwetu unatushinda
Kushinda ccm ningumu sana nisawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano ila niseme kweli husein mwinyi amejitahidi kuliko wote kuanzia salmin na atapata kura kidogo za afadhali ushindi ule wanao ulaya wa 89% mara hii wategemee ACT asilimia 67% mara hii pemba hamna ccm ila mara hii ACT watapata kura nyingi unguja kuliko pemba na ccm mara hii pemba nizaushindani ila ACT watashinda
Ujinga