Jamaa kashavuruga kwa elfu moja na elfu 2 yaani CCM wanasilaha nyingi washajua km huyu Mzee anaweza kuongea shombo washamziba mdomo asije ongea maneno ya hovyo
Mbona makasiriko wa ndugu? Japo kidogo kizuri sifieni tatizo wapinzani wa nyumbani huko chuki ndio inayotuongoza kuanzia kiongozi wenu mbona maalim hakua mtu wa chukii? Maalim alikua msema kweli lakini mliobaki roho mbaya tuu
Singapore unaijua ww, hebu kaa kimya, nyie wazee ndio muliotufikisha hapa kwa kutuuzia nchi yetu na bado munatumika mpaka Leo kuzidi kuikandamiza nchi yetu, furaha imepotea visiwani kwa ukali wa maisha
Wewe Kizee ni kijinga sana acha Ujuha unazani watu wote wapo kama wewe uliyeishiwa na Umri kwenda zako uko umeona maendeleo wapi katika nchi hii zaidi ya kutawaliwa kimabavu mjinga mkubwa wewe.
KARUME WETU MWENYEZI MUNGU AMREHEMU. AMSAMEH MAKOSA YK. HAKUNA ASOKOSEA. Kama yale maneno ya hekima yasemayo ( kilichokufa kiwiliwili hekima busara zake zipo znu tungekuwa mbali sana) lkn aa wapi!
Huyu mmakonde alipotelea wapi karudi na njaa kali naona SUBUHANALLAH SINGAPORE WAKO WAPI JAMANI VICHEKESHO HIVI eti Zanzibar ishakua Singapore hata robo yake hatujaifikia
@hajiabdalla5772 Me Sina Akili hata Moja wewe mwenye nazo tuomeshe hapa ila kwa Kusema ukweli kuifikia Robo tu ya Singapore bado sana Tushachelewa sana
Njaa mbaya sana subiri kuchora s tu mzee nakuwatia watoto wako kazi ya kuzowa mavi na mikojo zoro brain
Bahati nzuri huyu mzee mchele ananunua mwenyewe Kwahyo kama ni uongo anajua yy huo mchele wa kilo 1500 anaununua wapi
Njaa mbaya sana
Mm naenda na omo hizo comed tumezizoeyaaa
Ali mimi naenda na mwinyi ni mchapakazi kila mtu achague anapotaka
Wazee hawa ndio wanao ichelewesha Zanzibar
Wakishakula elfu 10 na kilo moja ya sukari wanaona ndio maendeleo kuliko marekani
Jamaa kashavuruga kwa elfu moja na elfu 2 yaani CCM wanasilaha nyingi washajua km huyu Mzee anaweza kuongea shombo washamziba mdomo asije ongea maneno ya hovyo
Njaa bwana akipigwa elfu 2 ndio anazidi kukufuru hatari wallahi😂😂😢
Mzee wetu hata Smart Phone hana angalau akaiona Singapore ilivyo
Huyu mzee ni bora kunguru anaakili hafai ata kidogo. kama mpaka sasa hajielewe afubiri kaburi tu. Wallahu aalam.
We mzee pumbavu sana hujielewi
Huna haja yakumtukana icho ndo anachoamini ,
Mzee wetu ananjaa Sana msimlaumu wala kumtolea mbovu njaa imemshika
Jidanganye tu mzeee singapooo waijuwa lkn
Sawa sawa mjomba.ila mandondocha wapo tu hawakubali na vitu hivyo hivyo ndio wanatumia wao
Huyu mzee tokea mapema ni bunju znz Kila kukicha maisha yanazidi kua magumu
Na wajinga pia walianza kuwepo zamani, na bado wanaendelea kuwepo...
Mh rais kujitahidi kwa uwezo wake kusema kweli inshaallah mh rais na pemba ibadilike
Hawjambea wakayaona maisha ya Singapore 😊😊😊
We mzee njaa tu inakusumbua, mchawi we
Baba akiondoka umejaa 🎉🎉🎉🎉umeongea point upinzani upo zmn
Huyu babu Bora msenge kuliko Huyu akili zake
Mbadiliko tayari maana mamlaka kamili ni tayari c nyo
Nimecheka sana et "Musijetuzingia ndwele"😅
Madebe alisema ogopa sna kukutana na mjinga aliyezeeka
😂😂😂😂
😂😂😂
Sasa kama hakuna uchaguzi huyu ungempataje we mzee punguza njaa
nyote hamjamfahamu huyu mzee msikilizeni vizuri
Ishakuwa Singapore Sasa seif aliambiwa muongo haiwezekani zanzibar kuwa Singapore mbona Sasa imekubalika km inawezekana.
Mm sina chama ila niko pamoja na mzee muheshimiwa mwinyi akae mpaka achoke mwenyewe kaonesha muelekeo mzuri
Mzee njoo unywe soda
Kwahyo hata Karume mwenyewe hakuwai kuwa kiongozi kama husein Mwinyi
Singapore oyeeeeeeeeee
Astaghafirullah eti singapore
Ikiwa miaka 60 hamukupata viongozi wazuri kumbe munaeka machizi kuwa raisi huko zanzibar na wewe babu hujielewi njaa yakusumbua.
Si hata wewe kinachokusumbua mpaka uka comenti ni njaa tu
@NuruJuma-zv3yz boss sisi tuko na shiba tumedandia mtumbwi ulio na samaki
Ttzo ni moja tu. Ccm haijawahi kushinda kihalali tokea uchaguzi uanze, Na ccm hata ifanye kitu gani. Siwezi kuinga mkono.
😂wambiiii haooo Zanzibar yetu inagaraa wachaaa tu wee semaaa to 😂😂😂😂😂😂
Hata kama wewe ni mjinga, sio lazma uutangazie umma kuwa wewe ni mjinga😅😅
Jamaa wanaitaka kasema kabla ya miaka 4 mapembe ulikuwa 2400 saivi baada miak 4 mapembe ni sh. 1500
Mzeee unazeeka vibaya
😮😮😮😮😮😮😮😮😮 cmm
Huyu kama bado hajaielewa Asubir kaburi tu sasa
hili pole latokea wapi kwani mpuuz
Kiukweli kwa upande zanzibar husseni amefanya mambo mazuri sana
Huyu Mzee inaonesha anamaisha magumu sana kwanza the way hivyo amevaa tu unamjua
mamlaka kamili ya Zanzibar acha njaa
Njaa bwana ni mtihani, jamaa aropoka tu, akili imeshuka miguuni kutoka kichwani, ayo ni maoni yako sisi tunataka Zanzibar huru.
huyo mwinyi hajawahi kushinda wala hashindi mpaka kufa kwake rabda aendeleee kuiba kama alivoiba babayake mshenz mkubwa wala hatumsamehe yy nababaye huko kaburini aliko
Hakika ujinga ni kitu kibaya san
Kama akili yako
@hajiabdalla5772 ni kwel ila yawezekan yakwako imezid
Mijinoyo Zanzibar ndio Singapore ivi ilivo una njaaa tu
😂😂😂😂😂
Wew maiti chama cha nn
Nenda kavunje mawehuko
Njaa tu inamsumbua uyo mzee
😂😂😂
Nabado shida haijakuondoka shida ungalinayo kwasasa unatawaliwa
Mbona makasiriko wa ndugu? Japo kidogo kizuri sifieni tatizo wapinzani wa nyumbani huko chuki ndio inayotuongoza kuanzia kiongozi wenu mbona maalim hakua mtu wa chukii? Maalim alikua msema kweli lakini mliobaki roho mbaya tuu
Ndio maana mukamfanyia dhulma mpaka akafa@@BakaryOmally
Tumpeleke Singapore kidogo mzee
Singapore unaijua ww, hebu kaa kimya, nyie wazee ndio muliotufikisha hapa kwa kutuuzia nchi yetu na bado munatumika mpaka Leo kuzidi kuikandamiza nchi yetu, furaha imepotea visiwani kwa ukali wa maisha
Huyu jamaa aongea fact
Sasa hiyo ndo hoja yakumpa kuraaa
Huyu mzee mm namwita mpumbavu au mwehu na sijui nimwehu wawapi huyu
Wewe Kizee ni kijinga sana acha Ujuha unazani watu wote wapo kama wewe uliyeishiwa na Umri kwenda zako uko umeona maendeleo wapi katika nchi hii zaidi ya kutawaliwa kimabavu mjinga mkubwa wewe.
KARUME WETU MWENYEZI MUNGU AMREHEMU. AMSAMEH MAKOSA YK. HAKUNA ASOKOSEA. Kama yale maneno ya hekima yasemayo ( kilichokufa kiwiliwili hekima busara zake zipo znu tungekuwa mbali sana) lkn aa wapi!
huyu kashavut bangi c akil zke
Hujielewi ety
Huyu mmakonde alipotelea wapi karudi na njaa kali naona SUBUHANALLAH SINGAPORE WAKO WAPI JAMANI VICHEKESHO HIVI eti Zanzibar ishakua Singapore hata robo yake hatujaifikia
Huna akili wewe si ndio unayayatimia hayo yaliotengenezwa
@hajiabdalla5772 Me Sina Akili hata Moja wewe mwenye nazo tuomeshe hapa ila kwa Kusema ukweli kuifikia Robo tu ya Singapore bado sana Tushachelewa sana
Kama kombo jichwa nimemuona
Mzee ulipaswa uliseme pia hili la kupanda bei ghafla ndani ya mwezi mmoja mchele wa hayatt kutoka elfu 45 hadi elfu 56.ndani ya utawala huu.
Ukiondoka hapo njaaa itabaki pale pale mzee acha ujingaaa wako
Ww njino tafuta kali ufanye
Kakojoe ukalale watu wanuka njaa ama Singapore ishakuwa
😂😂😂 wanammiminia tu bukubuku kwenye koti njaaa mbaya 😂😂😂😂pumzika kwa amani babu katumie pipi bukubuku zako
hiyo sura kwao ni tabora sio Pemba wala Unguja
Munawajua kwa sura?😂
Kakosea sio Singapore ni peponi asaa hasa uko micheweni
Kwenye mapembe klip mumeikata cjuikwann
Si hata wewe kwenu oman
kunakipande cha bei ya mchele
Mijinoyo cha vutu la bibi yako akinya
Acha uchawa mpaka afe huwezi kuchezea katiba kama kitabu
Njaaa babu ipo wap singa hapo acha uzushi
Astaghafirullah
Njaa kali inakutafuna ndio mana unaongea ujinga upate kula nafamilia Yako
Wale wote wanao moment utumbo ndio wale walozaliwa mwaka 2000 .hawajuwi chochote wanafata mkumbo Tu
Mbona mmekata hapo kwenye bei ya mapembe saiv
Hahahaha asema wakati aingia ni sh 2400 saivi unguja yauzwa 2000 na nikwakuwa tu Dola imeshuka ila tusubirini tuone
@@AllyaminiAlly wameikata
Njaa hio, na hayo unayo sema hujui kua unakufuru