MAMA MKWE WA DEREVA BODABODA AMTETEA MWANAE SISI NDIVYO TULIVYO KAMA HUWEZI NITAMPOKEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @HarithSeif-g6t
    @HarithSeif-g6t 4 หลายเดือนก่อน +9

    Kaka pole sana hapo hamna suluu ,,tafuta mwanamke mwenye hofu na mungu familia nyingine ni laana tu

  • @JumaJuma-k4i
    @JumaJuma-k4i 3 หลายเดือนก่อน +4

    Usipoteze mdaa wako...like mother like daughter...wakifa marafiki waje wapige ngoma wacheze ndiyo maanake😂😂😂😂

  • @ashamussa4564
    @ashamussa4564 6 หลายเดือนก่อน +36

    Kama hutaki aibu achana na iyo ndoa mungu atakupa mke mwema na mzuri

    • @btylove1870
      @btylove1870 5 หลายเดือนก่อน +3

      Ushauri mzuri sana

    • @FaaniAli-jg5zh
      @FaaniAli-jg5zh 3 หลายเดือนก่อน

      Mm mkwe mwenyewe anaonesha heshima hana😢

    • @IddyKristopha-c7z
      @IddyKristopha-c7z 3 หลายเดือนก่อน

      Maskini moyo umeniumaaa😢

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania หลายเดือนก่อน

      ​@@FaaniAli-jg5zhhana hata robo.

  • @AbbasMosi-g4s
    @AbbasMosi-g4s 6 หลายเดือนก่อน +19

    "Wamoto,mama shughuli,benki ya mtaa" Duh huu ni mtihani mzito sana!

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 6 หลายเดือนก่อน +18

    Kaka pole Hy sio family achana nao

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 6 หลายเดือนก่อน +57

    ELIMU YA DINI NI KITU MUHIMU SANA NA IKIKOSEKANA HAYA NDIO MATOKEO YAKE

    • @ashamussa4564
      @ashamussa4564 6 หลายเดือนก่อน +8

      Ni kweli na waislamu wengi hawataki kusoma dini. Wanaona bora kufuata mila kuliko sheria za dini tumefikia huko mungu atuongoze

    • @jumachawinga8147
      @jumachawinga8147 6 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu mama umri unaenda tu lkn akili hakuna kitu na elimu ya dini ndo kabsaa yan hajitambui

    • @dab8859
      @dab8859 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio tukaambiwa mplke mtto chuoni asome ata kidgo ipo sku atkmbka kdgo

    • @denismahlangu
      @denismahlangu 6 หลายเดือนก่อน

      @@HashimSalim-qj7zn
      Wajinga wanazeeka

    • @denismahlangu
      @denismahlangu 6 หลายเดือนก่อน

      @@HashimSalim-qj7zn mume mzembe eti penzi mke atingisha kundu hadharani sijaona akicheza inabidi mume avalishwe dera

  • @AbuuOmary-b1t
    @AbuuOmary-b1t 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mama muogope Allah hayo ni madhimbi acha ngoma na pia washauri watoto wako waache na mutubu na musirudie tena kwani hy sio dini mpka unasema utakufa nayo kwanza ktk dini hakuna jambo la mila mila ni zashetani mtume swalallahu alayhi wasallam anasema yoyote mwenye kufanya madhambi haliyakuwa anacheka ataingia motoni haliyakuwa analia acha hizo vigodoro baikoko zote hzo ningoma zaharamu muogope Allah

  • @benshayo7810
    @benshayo7810 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mama wachakupotosha familia muogope mungu unafundishani ni wajukuuzako kijana muombe mungu atakupa mke mwema

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania หลายเดือนก่อน

    Kaka wa watu MashaaAllah hana maneno hamna mke apo kaka fanya utaratibu andika talaka tuu.

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah...Wee Mama umri huo ulio nao...lnna lillah wainna illaih Rajiun...huu ni msiba sana Mungu akuongoze..na family yako... sheitwan bado amekushika duuu 🙄🙄

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mama Mkwe wa ovyo......Utalea wajukuu wasiojulikana mpaka kiyama ! Kaka mbona wapo wanawake wengi wenye maadili tu achana na kahaba wa mtaa.....KUNGURU HAFUGIKI !!!!

  • @AsterisJoseph
    @AsterisJoseph 5 หลายเดือนก่อน +2

    Namshukuru mwenyezi MUNGU kwakunipa mama mwenye hofu ya MUNGU ❤

    • @AdbulAmri-n9p
      @AdbulAmri-n9p 5 หลายเดือนก่อน

      ww una akir mjinga choko

  • @AchaUsumbufu
    @AchaUsumbufu 6 หลายเดือนก่อน +21

    We mama muogope mwenyeezi mungu kufa kupo acha kupotosha jamii ngoma watu wanacheza uchi alafu unatetea

    • @majutojackson5718
      @majutojackson5718 6 หลายเดือนก่อน

      muacha mila ni mtumwa! mbona tunaenda disco watu wamevaa vimini na barabarani watu wanatembea nusu uchi? kikubwa ni heshima! tudumisheni mila na desturi zetu

    • @jumachawinga8147
      @jumachawinga8147 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mama ni mpuuzi aisee vijana tuchunguze sana kabla ya kuoa tutakuja kuoa wapuuzi

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na wewe pia ni mpuuzi​@@majutojackson5718

  • @wema3619
    @wema3619 6 หลายเดือนก่อน +15

    Masikini Namuhurumia Huyo kaka Adi Anatia Huruma Mungu Yupamoja Nawe Usihuzunike Kwa Chochote Mtumainie ALLAH Atakuvusha Salama

  • @SurprisedBlackKitten-zc2vl
    @SurprisedBlackKitten-zc2vl 6 หลายเดือนก่อน +5

    Innalilah wainna ilahrajiuni uwezi kuacha kigodoro mpaka ufe mungu akuongoze mama

  • @HameedaHh-y5y
    @HameedaHh-y5y 6 หลายเดือนก่อน +13

    Huyuuu kaka namuoneyaaa hurumaaa ilaaaa kupendaaa maradhii ya moyoo poleeee broo

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 5 หลายเดือนก่อน

      Mm dhaid namuonea uruma san yani,, tatizo kucheza huchi ndio shid hir huyo mam akili ana

  • @mchengatwalib8765
    @mchengatwalib8765 6 หลายเดือนก่อน +6

    Hiyo familia haifai, angalia ustaarabu mweingine

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 6 หลายเดือนก่อน +5

    Uwo nimsiba mzito iyo familia ya goma adi mama yanazungumza utumbo ajielewi uyo Mama simuamiz wao we mwenyewe wanao ndoucheze nakujifunua kukaa uchi

  • @kinggeorge9770
    @kinggeorge9770 6 หลายเดือนก่อน +11

    Wewe kaka nitakutukana, unashindwa kufanya maamuzi, mwanamke unaona wazazi wako wanataka akae uchi, mwanaume ni maamuzi. Pumbavu kabisa wewe unawadhalilisha watu mbeya tu.

    • @DaheerK
      @DaheerK 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂mm naona haibu hatar yan uyo kaka amekaa km mwehu

    • @YonaKigawa
      @YonaKigawa 6 หลายเดือนก่อน

      Mtu wa mbeya kapatikan ubish wote kwishine

  • @happynesssamwel4249
    @happynesssamwel4249 6 หลายเดือนก่อน +12

    Kumbe ndomana binti nayeye kashindikana kama mama mtu ndo yupo ivi😂😂😂🙌🙌🙌🙌

    • @RashidKahimite
      @RashidKahimite 5 หลายเดือนก่อน

      Mambo VIP?

    • @EmmanuelMaro-jj8qz
      @EmmanuelMaro-jj8qz 5 หลายเดือนก่อน +1

      mama shangingi ashangedere mtoto atakuwaje mama mtu mzima hajieshimu

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน +1

      Uowe mzaramo halafu unalalamika chura? Kama hamuyawezi mambo ya wazaramo mnawaoa wa Nini?

    • @OscarJr-yu9so
      @OscarJr-yu9so 4 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅kabsa ndungu

    • @SubiAbdallah
      @SubiAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@darajalakidatukilomgi2362Uyu chizi kweri akili yake aipo sawa family ya ovyo mm mzaramo sina ayo madili anayo yazungumza wanatualibia kabira tu atupo ivyo family zima

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 6 หลายเดือนก่อน +24

    Kaka apo mke una na mama mkwe una

  • @babyzuchu3866
    @babyzuchu3866 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmhhhh huyoo Mama Sasa ni fire 🔥🔥🔥🔥 Acha mtoto apite humo 😅😅😅😅😅

  • @aminajumashakombo1549
    @aminajumashakombo1549 5 หลายเดือนก่อน +1

    Subhannallah mkaka wawatu ni mume haswaa lakini kakosea kuoa😢ALLAH amtie subra kaka wawatu na ampe mke mwema majameni

  • @aliciasultani755
    @aliciasultani755 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ebu achana na uyo mwanamke Mungu atakupa mke mwingine mwenye hekima iyo familia yote aifai mtoto wa nyoka ni nyoka

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

    Mama mkwe umeeleweka, asante kwa elimu ya wazaramo na ngoma, mkataa kwao mtumwa dumisheni mila zenu za kizaramo❤

    • @FabiDthree-ro1ms
      @FabiDthree-ro1ms 4 หลายเดือนก่อน

      Hizo mila ndomana mnazid kuwa maskin

  • @AlhajiDhahabu
    @AlhajiDhahabu 3 หลายเดือนก่อน

    Inna Lilah wainailah rajioun hapa hamna mke hamna mama mkwe

  • @FathimaOman-j5g
    @FathimaOman-j5g 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ivi ww kaka unatia aibu kwenye family yako mke gani anatabia ya kucheza ngoma kwan razima kuvua nguo

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 6 หลายเดือนก่อน +5

    Chukuwa ngoma upige mama aanze chura asaure tuone Moto juu ya moto si mioyo yote ita muogopa mwenyezi mungu dunia bora kwao kuliko akhaera yao

  • @jonesneriahanthony4211
    @jonesneriahanthony4211 หลายเดือนก่อน

    Tujue mila, desturi na tabia za jamii kabla jamani.. pole kaka

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g 2 หลายเดือนก่อน

    Ww bimdashi mungu atakulani mshenzi sana ww mama

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe ni asili so dini ss geuka upande wadini we mama jintunzima na umuongope Allah naulisamin sana kazi kuliko malalamiko yamkweo

  • @heriethsixbert475
    @heriethsixbert475 6 หลายเดือนก่อน

    Asante babangu kwa kunichagulia mama mzuri❤

  • @princessmakwega2444
    @princessmakwega2444 6 หลายเดือนก่อน +1

    Subbahana Allah we mama muogope mungu unadhalilisha kabila zima mimi mzaramu lakini sijawai ata kucheza ngoma na wewe kaka acha ufara ndoa niyako ukiona ime kushinda fanya maamuzi ya busara uketoka naye mbali mama ako mzazi na leo ume muacha

  • @MariamMbetsa
    @MariamMbetsa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana kakangu umekosa pakwenda kuoa

  • @abuibra
    @abuibra 6 หลายเดือนก่อน +4

    Toka lini wazaramo wanacheza hio ngoma inayo itwa kichura!!?na hio kichura imianza lini!?.

  • @ArnoldMbulawa
    @ArnoldMbulawa 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe wewe ni myakyusa....
    Nenda kapate ushauli kwa "GODLOVE" wakukaja mwenzio.

  • @FarajiHashim-m8e
    @FarajiHashim-m8e 6 หลายเดือนก่อน +7

    Jamaa kaingia kwenye msitu wa vibwengo😂😂😂😂😂 mama mkwe mwenyewe nimhuni eti mama matatuu😂😂😂😂 kwann ukondeshwe na kichaa ambae anakwao kiujumla hiyo familii ina laana

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 6 หลายเดือนก่อน

      @@FarajiHashim-m8e 😂🤣😂🤣😂🤣😂Nimecheka 😂🤣😂😂🙌✍🏽

    • @ElietiSilausi
      @ElietiSilausi 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanaume hapo hauna mke bari ni kujidharirisha tu

    • @UzzaNassor
      @UzzaNassor 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 5 หลายเดือนก่อน

      Mtihani mkubwa Kaka chukua maamuz

    • @IddyKristopha-c7z
      @IddyKristopha-c7z 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @JosephinaLyimo
    @JosephinaLyimo 4 หลายเดือนก่อน

    Mama wamoto🔥🔥🔥 adi raa nimempenda❤❤

  • @Bantushine_film
    @Bantushine_film 4 หลายเดือนก่อน

    Mama tatu A K A mama shughuli mama churaaaaa 😂😂😂😂😂

  • @TumainiSawee
    @TumainiSawee 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uuuuwiiii Mungu wangu msiba mkubwa huuuuu kaka pole hii soyo familia uuuuwiiii

  • @SalimaOman-hz1mi
    @SalimaOman-hz1mi 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mama huyu amjui mungu kaka tafuta mke anaemjua mungu kwauwezo wa mungu hutapata mke mwema

    • @beccakhalfa5636
      @beccakhalfa5636 6 หลายเดือนก่อน

      Asalam alayqum

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 6 หลายเดือนก่อน

      Hutapata ✖ utapata ✔

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

      Usituletee ustaarabu wa wazungu wewe penda asili yako ya vigoma ya mababu zako, huyo Mungu wa Yakobo waachie watoto wa Yakobo

  • @KhadijaSaidi-is5lb
    @KhadijaSaidi-is5lb 5 หลายเดือนก่อน

    Mtihani Allah awaongoze

  • @mussamaganga2764
    @mussamaganga2764 6 หลายเดือนก่อน +8

    mwandishi unazingua kuhoji familia za kijinga hizo jueni namna ya kumsaidia huyo jamaa maana anaasilika kisaikoloji

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 6 หลายเดือนก่อน

      Bro Mapenzi lakini Kama mke ndio Mila yao dah! Kusaula chafu mbaya uwamuzi ni wako lakini hapo huyu mama hawezi kukutetea myachusa Na mzaramu 🤣😂🤣Namuonea huruma arudi mbeya apatiwe mke🤔🫣

  • @ShaniaAbbas-n6q
    @ShaniaAbbas-n6q 5 หลายเดือนก่อน

    Mama shughuli au mama matatatuu wew huogopi ushauri wangu hiyo familia sio mtangulize Mungu atakupa mke mwema

  • @HusnaRashidi-ox7zk
    @HusnaRashidi-ox7zk หลายเดือนก่อน

    Like Mother like a Daughter

  • @saidshaban8110
    @saidshaban8110 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilioa mzalamu na hawakupga Ngoma na mpaka Leo ajawaikutamka upumbavu WA kwenda kwenye Ngoma broo piga chini uyo mpumbavu

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 5 หลายเดือนก่อน

    Sema tu mnapenda kutengeneza kiki! Ila kwa uhalisia mwanamke anatakiwa akuskilize wewe mwanaume! Aspo kuskiliza unaamua kumuacha aende tu akafanye yake! Sio kujiuliza marambili mbili!

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 5 หลายเดือนก่อน +1

    Turudi kwa mwenyezimungu mama ngoma zipo hata sie tulicheza ila sio hali ya hivi sasa. Yaani ngoma hata mashekhe sidhani kama wataruhusu😂😂😂

  • @KastoryKimamula
    @KastoryKimamula 5 หลายเดือนก่อน

    Kuwa na mam kamauyo daah mungu tuepusha jamn tulee watoto jamn kwenye maadili ya mpasayo mungu

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s หลายเดือนก่อน

    Nmeamin kwel hapa dunian kuna watu na ndara... huyu mama ni ndara......wee mama tubu dhambi yako wee mama

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 5 หลายเดือนก่อน

    Pole kaka kazi unayo haki ya mungu

  • @IddyKristopha-c7z
    @IddyKristopha-c7z 3 หลายเดือนก่อน

    Ningekuwa naundugu nauyo kaka uwiiiii yesuuu yele uwiiii 😅😅😅

  • @teclamastone7098
    @teclamastone7098 5 หลายเดือนก่อน

    mama shughuliii kama mama shughuliiii ahahaaa naijua hiyo dadaangu naona huyo mkwe akujui vizurii aje private nimjuzee😂😂😂

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mama MCHAWI huyo, ndugu liepushe na hiyo familia haikufai, wanawake wako wengi wenye HESHIMA zao.

    • @jumachawinga8147
      @jumachawinga8147 6 หลายเดือนก่อน

      Hii sio familia ni mashetan watupu wapuuzi hawa

  • @SuzanaEdson
    @SuzanaEdson 5 หลายเดือนก่อน +1

    We mama jitu zima ovyo uogopi hata mkwe pumbavu zako mfundishe mwanao maisha mjinga mkubwa we

  • @rosemaryKalega-c5s
    @rosemaryKalega-c5s 3 หลายเดือนก่อน

    Weee mama unafer sana mungu anakuona iyo nifamilia mbovu sana kaka apo akuna ndoa wala familia mkeo sil

  • @ObedMoreli-qt3bj
    @ObedMoreli-qt3bj 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie ndugu yang

  • @UmuHaitham-v3b
    @UmuHaitham-v3b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mama rudi kwa mungu wako achana namambo ya kishettan.rudieni kwa mungu wenu

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

      Tokea lini Ngoma ya asili ikawa ushetani? Acheni utumwa wa akili dumisheni Mila zenu wazaramo Huyu mnyakyusa asiwafanye mkaacha kutimiza Mila zenu sababu yake?

  • @FarajiHashim-m8e
    @FarajiHashim-m8e 6 หลายเดือนก่อน +3

    Usitarajie kuona kivuli kilichonyooka kwenye mti ulopinda Jamaa ajipange aoe mke mwingine hapo mke hana na mama mkwe pia hana mkwe shangingi mtoto shangingi mtoto wa nyoka ni nyoka mtoto karithi kwa mama

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

      Kama hakuwaona kabla hajaoa ndio ataoa sasa? Msindanganye mwenzenu alipenda chura ndio alamuoa Raha za chura atazipata kyela?

  • @AsmaOmari-h8o
    @AsmaOmari-h8o 6 หลายเดือนก่อน +2

    Acha uongo mm mziramo na swala tanto Sema umekosea madili ya Dini mama pumzi zisikudanganye

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mtumwa uache kutetea Ngoma za mababu zako ukapaishe ustaarabu wa waarabu? Penda vyako vya asili

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaume tuwe makini, zipo familia zisizo faa kuoa, acheni niwe single, stamani kuoa kabisa

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 6 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaaa boya nafkiri we jmbaa acha usenge biashara y kijiplaudi kwenye Kamara achana na huyo mwanamk msenge wew

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ngoma ukiona wadada wanavyo achia vyombo kweli utamwduni nomaa 😂😂😂

  • @ramadhanikatongo305
    @ramadhanikatongo305 5 หลายเดือนก่อน

    Bro naomba hii comment uione huyo mwanamke hayo anayoyafanya sio sahihi, kwa Allah utaulizwa kwakuwa huyo mwanamke yupo chini yako.

  • @BELYSAM_NEWS
    @BELYSAM_NEWS 5 หลายเดือนก่อน

    Mwanetu karogwa, daah inaumiza sana

  • @AsheliPatrick
    @AsheliPatrick 5 หลายเดือนก่อน

    mama mkwe mwenyewe anaonekana Kama Malaya vile vile kaka hio familia eio hakuna mama hakuna Dada hakuna make subhanallah

  • @Grace-w4r5n
    @Grace-w4r5n หลายเดือนก่อน

    Mm nmtoto kwako mama Lakin sio jambo zuri kumshuri mwanao upuuzi wamuharibia ndoa yake so ww mama ndo inastahili umshauri maadili mazuri Lakin sio kumfurishwa kichwq kakangu mamuuzi nyako

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d 4 หลายเดือนก่อน

    Yani ukitoka mkoa tofaut na pwani usijichanganye kuoa mzaramo utachemka wao wanawezana wao kwa wao, huwezi kumbadili.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ndugu yetu hiyo sio familia nzuri.

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa like mother like daughter....kabla hujaoa nenda mwangalie mama Mkwe wako.

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

      Usimdanganye mwenzio anachezewa chura chumbani amuache ataanzia wapi?😂😂

  • @anithamuttassa8981
    @anithamuttassa8981 6 หลายเดือนก่อน

    Pipa namfuniko, Mungu Anisamehe Sana, Kaka Hapo Mkwe Mmmmmh Huna, Msaada Nenda Mckitini

  • @michaeljulius3905
    @michaeljulius3905 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa wazazi wa aina hii ni sawa na rangi ya maji mama mkwe rangi ya maji , mtoto nae ni rangi ya maji.msingi ni wazazi 🎉 wazazi wakipoteza mwelekeo ni hatari kwenye jamii huyu kijana anapenda sana amani lakini ameingia mlango wa kutokea

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mama mkwe huna ujipangeee usije jinyonga

  • @PaulBisare
    @PaulBisare 6 หลายเดือนก่อน +1

    Piga ngoma tuone vibe la uyo mama😂😂

  • @MwanaidiMohamedi-d1y
    @MwanaidiMohamedi-d1y 5 หลายเดือนก่อน

    Sema kak mstaarb yaan sm mke tu ndy shida

  • @AminaMohamed-n2y
    @AminaMohamed-n2y 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakusaidia tuu kaka utapata mke mwenye her na wewe

  • @twahaanyoni9120
    @twahaanyoni9120 6 หลายเดือนก่อน

    Mama mkwe miyayusho vibaya mno kiufupi bodaboda kayatimba tumuachie tuwi lake mwenyewe na wakwe zake tusitie Neno kusuka kunyoa hatajua mwenyewe 😂😂😂

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 6 หลายเดือนก่อน +9

    Kakaangu Kakaangu Kakaangu nimekuita mara tatu chukka maamuzi muombe mungu atakupa mke bora uyu dada hawez kubadilika kwa ajili ya mamaake 😢😢😢

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga chura haiachi Mke peleka ubara wako kigoma

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania หลายเดือนก่อน

      ​@@darajalakidatukilomgi2362 mtot wa kiuslamu na vigoma wapi na wapi ,mama mkwe chenga mtoto chenga hamna mke apo.

  • @barkathkassam4680
    @barkathkassam4680 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mama muogope Allah subhanna wataalah usione Raha ya Dunia ukasahau umauti, unaabisha wakina mama aibu sana.
    Tena umepata mkwe mzuri sana mkweo anamtafutia Pepo mtoto wako.
    Usimsifie mwanao tabia chafu acha muogope Allah

  • @wadiRamadhan
    @wadiRamadhan 5 หลายเดือนก่อน

    MTANGAZAJIEE, VP MWAMBIEEE UYOO BROOO UYO MKE AACHANE NAE ATAMUUAWA SIMKE UYOO, HEBU MTIZAME UYO MAMA TU KWANZA ANAJIBU KAMA IVO, DUH HATARI, ILA WEWE MUACHEE KAMA KISA WATOTO NILETEE MIEE NTAWALEAA FRESH.

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa sijui wamemywesha nn yani yuko kama boya yani amekosa maamuzi ya kuamua kama mwanaume yani anatutia aibu wanaume wenzake!!!!

  • @noorkitetey4504
    @noorkitetey4504 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana umeingia choo cha kike Mkwe siyo kabisa anatetea maovu.Inaonyeshahuna sauti kwa mkeo.akikosea mkeo huna pa kukimbilia kwa ushauri.

  • @AronAdamJR-xj7yg
    @AronAdamJR-xj7yg 5 หลายเดือนก่อน

    😊hiyo rangi isikuponze katafute mke atakuuwa

  • @ukhtimwajuma
    @ukhtimwajuma 5 หลายเดือนก่อน

    Hii familia,sio yakuowa wa kuolewa labda kama hujitambui kama wao

  • @SikudhaniAdolph
    @SikudhaniAdolph 4 หลายเดือนก่อน

    Kila kabila lina tamaduni zao lkn inategemea uchezaji wanaocheza na hao wapiga ngoma ndio mabwana zenu

  • @ArifAli-hw4gz
    @ArifAli-hw4gz 6 หลายเดือนก่อน

    Brave sw kasema mzee asili ila ,asili iwe inamipaka maana kwa mwendo huo sio sw nikulize kwa hio kama ww mkewe unaempenda unajiskia vizuri akacheza kikodoro

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 6 หลายเดือนก่อน +2

    🤣😂🤣😂🤣😂Kakaangu Umeingia pazito funga macho 🤣😂🤣Du! Yabidi muulize Jotiiiii Aliachwa kisa Kigoma Dah! 🤣😂🤣Jotiiiiiiiiii kuja Huku tena mwenzio yamemkutaa🗣️🗣️🗣️

    • @RaymondMwaisumo
      @RaymondMwaisumo 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mnyakyusaa mwenzangu njoo chalinze uone vigomaa vya wakwereee hahahaaa halafu kwenye vigomaa wana kulana hatariii nkamu gwangu bopagaaaa ndeke ujo akankikuluuu ujo🤣🤣🤣🤣🤣

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 6 หลายเดือนก่อน

      @@RaymondMwaisumo 😂😂🤣🫣🫣😂🤣🔥🔥🔥

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto wanaolelewa na mama tuu bila baba shida sanaaa wamama awajui kulea peke yao mtoto %kubwa hualibika km huyu mama amlee mtt bila baba unategemea nn

  • @ClaudiaAizack
    @ClaudiaAizack 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman kakaang umejitwka goma ahhh

  • @HappyElias-t9f
    @HappyElias-t9f 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mkwe hakutaka hata kumsikiliza mkwewe ina maana, mwanae alimtonya kwamba achana na huyo fala😢

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mama wa mjini huyo mtoto wake ni kupewa TALAKA ili aendelee kuruka ruka mjini.

  • @samwelmasunga8293
    @samwelmasunga8293 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mkwe ni mseng ------------- et mira na matako shida kukaa uchi mamkwe na ww unaweza kaa uchi mbele ya mkwe wako fala sana huyu mama mkwe

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d 4 หลายเดือนก่อน

    Iko kwenye damu hawezi badilika, wanaume nanyi muwe mnaangalia na familia

  • @sein.208
    @sein.208 5 หลายเดือนก่อน

    Fateni Quran &Sunnah siyo kufata mila (haramu)

  • @peterpelisic4527
    @peterpelisic4527 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bro usikubal aibu we akikataa kubadilik achan nae iyo ni zalau sana mtaan utapata mwingine tu mungu atakuongoza utapat mwingin

  • @MariamMuhala
    @MariamMuhala 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mma hana maana kucheza ngoma sio mbaya ila mma kusaura kuenua nguwo aaaaaaa bwana mama huwo sio ustsarabu nimatusi hiyo ngoma ya ndani ya ndani ina uhuru huwo

  • @DainesDanie
    @DainesDanie 5 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli namshukulu kwakunipa wazazi wema wamenilea vizur kilamtu ambae hana mzazi kama huyu wa vingoma amwambie mungu asante

  • @RashidiLubaba
    @RashidiLubaba 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka pole pole sana hapo umechemka hakuna Familia hapo unaweza gonga mama na mtoto

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el 4 หลายเดือนก่อน

    Uyo mama hana akili ngoma gani wana vua nguo umeingia choo chakike Brother angalia ustaarabu mwingine

  • @samwelmasunga8293
    @samwelmasunga8293 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Mungu atupe wepes wanaume tuna teseka sana ndo maana bola tukajichua tu kuliko kufanya ujinga kama huu hv mama kama huyu ana shindwa kuzua janga kama hili kwel

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 5 หลายเดือนก่อน

    Mama kopo, watoto makopo yaani wote hamnazo😅😅😅