Pole sana mama angu akiamungu vile ile familia ni chafu sana yani wàabudu ngoma kuliko ibada anayoilidhia Allah kweli mume anyone anaonekana mume anaadabu sana na binti alipata mume mwema ila jitaidini kutafuta mwanamke mwenye hofu ya mungu itakua vizuri sana ila mama yuko vizuri sana mungu atampa mke mwema ule afai familia yenyewe ndo ile awana kauli nzuri na wanazarau sana kujiona wao ni wazuri dunia nzima akuna kama wao na awana haya ata kidogo mwaume kuwa na msimamo muache akacheze kigoma chake na familia yake
Nampa pole uyo dada na akil zake fupi kapata familia haina tabu iyo familia imepoa analeta ujinga 😢😢😢shem letu la taifa achana nae wapo wengi ao dunian tafuta mwengine na mungu atakupa mzuri kuliko yy
Kaka yule sio mwanamke mumuwez mchezi wanawake wapo weng ww mwenyewe umevumilia sn ingekuwa mm mapema ningemtia vichwa hamna mke mwanangu pale tulia muombe mungu akupe mwanamke mwenyewe busara anae mjuwa mungu ila pale hamna mke ulipotea njia
When you want married woman fast look familia her mama, father sister and brother watch the are pray, fast, 😢 Sorry kaka bad familia Subhanallah Subhanallah
Kijana atapata mke mzuri tu mama unahaki yule mama nimalaya pamoja na watoto wake hajiheshimu mamamkwe mwizi honasasa mtumwenyehekima anavyo hongea vizuri nandomana wasichana kuolewa dareslama nivigumu kwasababu niwahuni wote mama nakupenda nanimekubali wewe nimzaramu halisi sioyule wale niwatu kutoka rwanda mimi namfahu yule mama Mkwe mnuka pumbu mwili mzima
Bro hata ukitaka tukutafutie wanawake East Africa nzima tutakutafutia mwanamke mwenye heshima mwenye anajua maana ya ndoa achana na wale malaya wavuta bangi
Assalam alaykum mama haliyako pole sana mama lakini nikupatie hongera kwa msimamo wakidini Allah atakulipa heri mtu ana cheza kingodoro chumbani kwa mewake kama ana taka mke asija atapata tena mwenye hesha yaoe
Kaka yangu au hao wazaram wamekurogaa? Mkeo kachagua ngoma kuliko wewe mumewe. Mpe talaka yake huyo mwanamke ili akacheze hiyo ngoma kwa uhuru zaidi. Mama yako kakushauri vizuri Mungu ambariki
Mke wandoa ana cheza uchi mama mjali kijana wako kunamabinti wana heshima sama hiyo familia haijitambui kabisa kama wanachora tatuu mama ana angalia watoto wanavyo ishi anaona sawa oya bro tafuta mke bora na mama bora wa watoto wako
Hii familia ni wale wazaramo wenye dini ila ile family wamechachuka mnoo huyu kijana ni mpole na anaheshima mnoo ila mke hakupata kabisa.Nimshauri tu hakuna kosa kubwa wanaume wanafanya kama kukosea kuoa sabab mke unaeoa anaweza kuisambaratisha familia hadi mkajikuta hamzikani😂
Kuhusu kugawania, mwanamke anapewa kitoka nyumba, Ila kama mlicgangiana wewe nusu na mke nusu, hapo kugawana ni sawa, ila kama ulipambana wewe pekee mwanamke kwakua tuu ulikuwa nae, nyumba wala ulichonacho akimuhusu
Achana nae huyo malaya. Familia yenyewe wehu. Tafuta mke mwenye maadili ya kiislam mwenye ofu ya Mungu achana na hao wapuuzi kaoe mke mwema omba Allah akupe mke mwema
Na ukienda kuoa chunguza kwanza maana na wewe kaka unapenda micharuko kwasababu familia ya yule mwanamke uliijua kabla huo ndio ukweli kama unadhani unaweza kumbadilisha mtu ushajua Sasa kunawatu hawabadiliki. Kaoe mke mwenye maadili utakayo na katika familia yenye maadili sijui umenielewa sio ukaoe katika familia ya maadili lakini bint Hana maadili namaanisha chunguza unayemtaka kumuona kwanza akikuridhisha ndio ukachunguze na familia yake. Kunawasicha Wazazi wao wanamaadili Sana lakini mtoto Hana maadili mtoto wa shehe lakini changudoa.
Masha allah maneno yauyu kijana kwa Mam yake yana farijii Mam yoyote allah akbar allah akuwekey wepesi kwakila mtihani
Mpole mwenyew uyu kijana mashallah na anahekma insha'allah utapata mke mwenyekujua thaman yandoa nakukuheshim
Kwenye miti hakuna wajenzi wallah
Hongera mama uamuzi sahihi, mwanamke hamfai kijana wako.
Mtangazaji upo vizur unatumia busara maneno pande zote keep it up
Safi sana kaka nimefrai umemskiza mama.. mungu atakupa kilicho bora uyo Dem ajakupenda bhana
Mama unamsimamo unakijana mzuri inshallah atapata mke mwema mwenye kher na yy kijana achana na huyo changing Allah atakupa mwenye kher na ww
Njoo kijana uoe Binti yangu mpambane na maisha
Yupo wapi
Alie ona kama huyu kijana anafanana na Steve mweusi gonga lik❤❤
Kweli kabisa hata mimi nilishindwa tu ku-type😂🙌🏾
Ila watu mnamcho
Kuna Mzaramu piyu na mzaramu pure.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@MwanaishaShattry
Pole sana mama angu akiamungu vile ile familia ni chafu sana yani wàabudu ngoma kuliko ibada anayoilidhia Allah kweli mume anyone anaonekana mume anaadabu sana na binti alipata mume mwema ila jitaidini kutafuta mwanamke mwenye hofu ya mungu itakua vizuri sana ila mama yuko vizuri sana mungu atampa mke mwema ule afai familia yenyewe ndo ile awana kauli nzuri na wanazarau sana kujiona wao ni wazuri dunia nzima akuna kama wao na awana haya ata kidogo mwaume kuwa na msimamo muache akacheze kigoma chake na familia yake
Asante ndugu yangu mzaramo mwezangu ❤❤❤❤❤❤ nakupenda bule una busara sio yule chizi vigodoro piga chini kijana tafuta mke uoe njooo nikupe mke mwenye kumjua mwenyezi mungu
Nampa pole uyo dada na akil zake fupi kapata familia haina tabu iyo familia imepoa analeta ujinga 😢😢😢shem letu la taifa achana nae wapo wengi ao dunian tafuta mwengine na mungu atakupa mzuri kuliko yy
Mama kahaba Binti kahaba acha wakasheha wanaume
Kaka yule sio mwanamke mumuwez mchezi wanawake wapo weng ww mwenyewe umevumilia sn ingekuwa mm mapema ningemtia vichwa hamna mke mwanangu pale tulia muombe mungu akupe mwanamke mwenyewe busara anae mjuwa mungu ila pale hamna mke ulipotea njia
Nakupenda kaka na mama kwa ajili ya allah
Mh usiaze hapa mm ndio mke mtalajiwa
😂😂😂😂😂😂@@LatifaMusa-dy3id
Mama anaheshima sanaaa sio lile shankunku
😂😂😂 shankuku
Mama unabusara sna mwanao niachane na hyo danguro tu atapata mke mwengne mwenye kujiheshim na kujal ndoa yke
Mama nakupend sn❤❤
Safii sana mama.tunahitaji wazazi wa Aina kama yako.mungu akure afya njema❤
Huyu mama ana. Busara sana sio lile lishamkupe😏
Matatuu
Punda huzaa punda
😂
Asante mamaangu maneno mazr kama una pesa Brother mpe uyo mwanamke uzuie kibanda
pole sana kaka inshaallah ndugu hana Iyana atakupa mke mwema kubwa Dua ammi yarabilalamina 🙏
When you want married woman fast look familia her mama, father sister and brother watch the are pray, fast, 😢 Sorry kaka bad familia
Subhanallah Subhanallah
Safi Sana mama msimamo mzuri sana❤❤❤❤chukua makupaayako mama
Masha Allah kaka mwenyezi mungu akupe mke mwenye hofu na mungu
Safi sana kijana.nakusapoti aslimia 100
Hacha kigodoro wewe ndoa yako nzuri mume anakubembeleza sana rudi dada
mama upo sawa hongera sana AllAh akbarki atapata mke mwema Amina yarabilalamina 🤲🙏 usijali
Mama nakukubali ata mm niliushi na mzaramu wabagamoyo alikua aendi kwenye goma na anaishi vizur tu anasema sipendi ngoma
Uko sawa mheshimu mama yako
Wallah natamani ndoa watu wanapata bahati wanachezea bahati😢😢
Uwe mzuri. Km sura km langu cheusinmNgara. Mmmnakaa zangu oman
Allahu akufanyie wepesi inshallah
Aishaa
Aishaa
Kwajinsi ukivyo nabusara ndugu yangu Mungu atakupa mke mwema sana...mwanaume anabusara hatari
Mama hongera sna mtu wa maana kabsa wakaolewe na wacheza ngoma wenzao . Uko sahihi 💯 atafte maisha upya kila kitu kinawezekana
Masha allah mama yangu nakupenda sana
Pole sana kweli Kaka yangu. Kosea kila kitu usikosee kuhowa😢
Inshaallah utapata mume mwema kaka angu na mama ndio Mungu wa pili mwenyezi Mungu naiman atalifanyia kazi hilo🤲
Hongera kijana hakuna siku mama anamtakia mwanae vibaya mfwate mama yako huko hakuna familia wehu wote wacha waolewe na wahuni wenzao
Kijana atapata mke mzuri tu mama unahaki yule mama nimalaya pamoja na watoto wake hajiheshimu mamamkwe mwizi honasasa mtumwenyehekima anavyo hongea vizuri nandomana wasichana kuolewa dareslama nivigumu kwasababu niwahuni wote mama nakupenda nanimekubali wewe nimzaramu halisi sioyule wale niwatu kutoka rwanda mimi namfahu yule mama Mkwe mnuka pumbu mwili mzima
Hakuna mke pale kuanzia mama yake na dada yake wote hawana maadili na sizani kama yule mama anandoa
Yaan kakaangu una hekima nyingi sana pamoja na mamaako utapata mke mwema insha allah
Ila idunia daaa yani mtuansema yupotayali ndoaife ili abaki na kucheza ngoma daaaa mungu tunusulu jmni 😢
Hongeren sana uwamuz nzur ngoma haina maana
Mama jamani anabusaraa mashallah
Mkaka ametulia manshallah
Bro hata ukitaka tukutafutie wanawake East Africa nzima tutakutafutia mwanamke mwenye heshima mwenye anajua maana ya ndoa achana na wale malaya wavuta bangi
Wewe usiseme hivyo mbona unaitukana bangi iimekukosea nini
@@malitomalito Pole sana kaka nilikuwa sijui kama nakosea kusema hivyo
@😂cideboy100
Ushauri wangu wa bule. Asimoe taraka . Kijana arudi kwa mama yake alafu ajipange aoe mke mwingine.
Hakika kaka yetu upo sahihi kabisa mama ni mama
Safi mama labda uyo mwanao kalogwa nawaachae tu
Ehhhh mamaangu hataweza ruhusu huo ujinga asante mama kwa malezi mazuri
Assalam alaykum mama haliyako pole sana mama lakini nikupatie hongera kwa msimamo wakidini Allah atakulipa heri mtu ana cheza kingodoro chumbani kwa mewake kama ana taka mke asija atapata tena mwenye hesha yaoe
Safi san mama umefanya vizur hata ningekuw mim ningemwachiisha kabsa njoo nimpe mke uache kuliliw mwehu
Mke takataka atakuletea magonjwa piga chini
Hongera sana mama nimeipenda sana
Mm mwenyewe n mzaram lakn sina hy tabia ndg zang wazaramuu kwa ngomaaa haaaa ukmkuta anae cheza ngoma n ngumu kumbadlshaa kaka
Jamaa mama yupo sawa jiongeze
👍 kweli mama upo sahihi 💯
Kaka yangu au hao wazaram wamekurogaa? Mkeo kachagua ngoma kuliko wewe mumewe. Mpe talaka yake huyo mwanamke ili akacheze hiyo ngoma kwa uhuru zaidi. Mama yako kakushauri vizuri Mungu ambariki
Kabisa munasubila mungu atawaheshimisja
Akitaka mgawane nyumba uza kk mgawane na utanunua kiwanja na utajenga kwa uwezo wa Allah
Mbona mnapenda kuachanisha watu wewe, gawana gawana ivi nyumba ndio Utu kuliko Mke na watoto?
@@darajalakidatukilomgi2362kwandoa gan wakata mama yake bint kasema awez mwanae kuacha kuchezachula
Tatizo kubwa like kwa huyu kijana,mjinga sana Hana maamuzi Hadi atowe mama yake.hata akioa mwingine ni shida.
Umeongea point mama
Uko sahihi kbs mama laiti wazazi tungekuwa na msimamo km huyu mama familia zingekuwa na adabu
Wakaka wegi wanapitia magumu kwenye ndoa ndugu wamume wakingilia utasikia ndugu wamume wakorof
Mama hapo safi sna ,mamuzi sahihi kabisa
nipo hapa singo unioe jamaniiii nakutaka
Mke wandoa ana cheza uchi mama mjali kijana wako kunamabinti wana heshima sama hiyo familia haijitambui kabisa kama wanachora tatuu mama ana angalia watoto wanavyo ishi anaona sawa oya bro tafuta mke bora na mama bora wa watoto wako
Mkataa asili yao mtumwa, umeoa mzaramo halafu unalalamika chura??
@@darajalakidatukilomgi2362kua mzaramo ndio ukacheze uchi huko nakukatoka mauno mzaramo yeye nahuko wake ndio wanamambo yaovyo
Good dicision brother. Kwanza wanawake mbona wengi tuuu njooo Kenya uoe ?
Wapi in Kenya?
Mi nataka mke zubeda@@zubedadayo871
Kama kashindwa chura ndio ataweza maandamano ya Kenya😂😂😂
Upo vizuri sana mama
Kaka tafuta mke apo una mke
Bora mama wanawake wamejaa ila uyu kijana itakuwa alitolowe bikra nauyo dada pumbavu san kijana
Mwanaume hana bikra bhna 😊
Mama hongera sana kwa msimamo
Hii familia ni wale wazaramo wenye dini ila ile family wamechachuka mnoo huyu kijana ni mpole na anaheshima mnoo ila mke hakupata kabisa.Nimshauri tu hakuna kosa kubwa wanaume wanafanya kama kukosea kuoa sabab mke unaeoa anaweza kuisambaratisha familia hadi mkajikuta hamzikani😂
Fact 🎉
ni kweli mama kijana yuko sahihi kwa sababu mtoto wake anapelekwa motoni mzima mzima bila dhambi malaika ni mama yake tu
Saf mamaangu nakupenda bure
Tena mama wa mwanamke ana akili kweli
Kwanza ni Aibu sana yule ma mkwe mchafu watabia
Kuhusu kugawania, mwanamke anapewa kitoka nyumba,
Ila kama mlicgangiana wewe nusu na mke nusu, hapo kugawana ni sawa, ila kama ulipambana wewe pekee mwanamke kwakua tuu ulikuwa nae, nyumba wala ulichonacho akimuhusu
Akili ndogo inafikiria nyumba mbona hamsemi saikologia ya mtoto?
Naomba kuuganishwa na huyu kaka
Huyo MKE hakufai hata KIDOGO
Afu mwanaume mashaallah anauelew ila mke hajapata ila allah atampa mwanamke sahih inshaallah
Mma rehema wang polee kwamitihani watto ulee kwatabu vile Bado kunahuyo kihedemswede waukubwani akupehekahela pole
Wapo kina sisi tunazitafuta ndoa Kwa tochi weeee😂weka namba ya kaka bwanaa kha!
Weka namba yako wewe
Nikutaftie mtoto mzurii Wikipemba swala tano bado kadogo kazuri sana
Mahari kiasigani
Kweli wanaume tunatofautiana heeeeeeeeeeeee uyo MwAnamke Anann adi unalingangania liache likadange
Bora huyu mama mtu!
Mwanamke anakubali ndoa ivunjike kisa ngoma subhanallah
Huyo so mwanamke achana nae kabisa utapata mke bora
Wanafyale tumevamiwa,Akuna myakyusa dhaifu wa ivi,Wanyakyusa uwa ni imala katika maamuzi,Acha izo unatuaibisha,
Achana nae huyo malaya. Familia yenyewe wehu. Tafuta mke mwenye maadili ya kiislam mwenye ofu ya Mungu achana na hao wapuuzi kaoe mke mwema omba Allah akupe mke mwema
Mama nakupa bigap hayo ni maamuzi sahii kabia mtoto wako atafute mwanamke mwingine.
Mama wewe ndio unaharibu unazidisha ugomvi unayakuza
Mungu wangu aache tuy h hakun kingine hapo
Mpe talaka ata mia hana akili yule mwanamke mpumbavu mpe mia
Nyengine za wacheza kigoma na wapigaji😂😂😂
Mp talaka kak hakufai yuh
Duh jamaa anampenda xana mwanamke uyo leo ana mawazo xana
Na ukienda kuoa chunguza kwanza maana na wewe kaka unapenda micharuko kwasababu familia ya yule mwanamke uliijua kabla huo ndio ukweli kama unadhani unaweza kumbadilisha mtu ushajua Sasa kunawatu hawabadiliki. Kaoe mke mwenye maadili utakayo na katika familia yenye maadili sijui umenielewa sio ukaoe katika familia ya maadili lakini bint Hana maadili namaanisha chunguza unayemtaka kumuona kwanza akikuridhisha ndio ukachunguze na familia yake. Kunawasicha Wazazi wao wanamaadili Sana lakini mtoto Hana maadili mtoto wa shehe lakini changudoa.
Maa sha ALLAH 🥰🥰🥰
Nauache ujinga wakulilia mwanamke kam yule
Wewe ni mama mzur
kwanza kwenye vigoma kunamda wanatembea na mpiga kigoma kigoma kinastopishwa mpiga kigoma anamtaka mwanamke wa kuwa nae niwashenzi
Mama shikilia hapo hapo yule mwanamke hafai
Mtangazaji mlete mama wa binti pia
Pole sana kaka