MKASA WA MKE WA DEREVA BODABODA"MUME WANGU AMENIACHA AMEMSIKILIZA MAMA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • MKASA WA MKE WA DEREVA BODABODA"MUME WANGU AMENIACHA AMEMSIKILIZA MAMA YAKE

ความคิดเห็น • 305

  • @FatmaMohammed-ry8yo
    @FatmaMohammed-ry8yo 2 หลายเดือนก่อน +21

    Huyo ndio mume mzuri umeshindwa kujitambua kwani hio ngoma nyumbani huwezi kucheza upumbavu tu mkweo yupo sahihi na anahaki zote

  • @ImranSaid-zw5yc
    @ImranSaid-zw5yc หลายเดือนก่อน +7

    Uyo kaka Kwa kweli uyo mtoto wake aishi nae mwenyewe tu mana hapo Hakuna malezi kabisaa

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 2 หลายเดือนก่อน +9

    Achika kabisaaa hufai kuwa mke mi pia mwanamke ila Kwa wewe hapo umepata Mume umeshindwa mwenyewe

  • @nasrahussein1653
    @nasrahussein1653 หลายเดือนก่อน +3

    Inna lilahi waina ilahi rajiun ni msiba mkubwa huu jmn

  • @japhetnathaniel9821
    @japhetnathaniel9821 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe ni mama wa ngoma si mama wa kujenga nyumba

  • @AdamBwambale
    @AdamBwambale หลายเดือนก่อน +2

    achika wewe hufai kua mke wamtu yani nikama una lana Mungu pia mama yako ni mzazi kama mimi alakini yeye pia pumbavu .mkubwa mama asie na naushari bakini na lana zenu

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi hamna maendeleo zaidi ya vituko tu? Hebu tuleteeni wenye kufanya kazi na kuleta maendeleo haya mambo ya matatizo ya ndoa za watu hatutaki.

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoja maisha yampige na umri ukishaenda ndiyo atakuja kujuta na atamkumbuka huyo X mume wake aliyomuacha.

  • @annaezra2344
    @annaezra2344 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi hizi comment zote hajaziona ama?

  • @FathimaOman-j5g
    @FathimaOman-j5g หลายเดือนก่อน +1

    Muongo uyo angekuwa ameolewa na bakra uyo asingekuwa kichaa

  • @hajistshariast6335
    @hajistshariast6335 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu anatokea mwanaume anaenda kuoa huyu mwanamke huyo mwanaume akapimwe mkojo

  • @daawalife9941
    @daawalife9941 20 วันที่ผ่านมา

    Kwa Sasa amwachie hiyo nyumba kwasababu yeye ndie anayekaa na mtoto ila siku akiolewa tu na mwanaume mwingine atahama hiyo nyumba na mumewe.

  • @SuzanaEdson
    @SuzanaEdson หลายเดือนก่อน +1

    Sio sahihi nyumba wamuachie jamaa uyo malaya atembee akakae kwa jimama lake muachieni jamaa hana shida kijana wawatu

  • @MariamuMkufya
    @MariamuMkufya หลายเดือนก่อน

    Mwanamke mjinga kama wew hakuna wenzio wanatafuta waume kama hao we unawachezea

  • @doreenmaimu2915
    @doreenmaimu2915 หลายเดือนก่อน

    Maisha ya kitanzania ww hayo na maisha yako mwenyewe

  • @abdulaisha4145
    @abdulaisha4145 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha hapa hata mlevi hakubali kukuowa ..Kwanza toa akilini mwako kama kuna mwanamume alie timia na mwenye maadili hawezi hata kukutongoza ww

  • @KafilaBulimwengu
    @KafilaBulimwengu หลายเดือนก่อน

    Baba abaki na nyumba yake na huyo anunuwe yake ya KICHURACHURA, na asifikiri ataolewa na mwanaume mwenye busara. Ajitayarishe kuwa kitanda cha Muhimbili ya wanaume.

  • @ReylaMalambo-qy6ei
    @ReylaMalambo-qy6ei หลายเดือนก่อน +1

    Yaani bola uende kwa vigoma vitakutomba shoga 🤣🤣ungekuwa unampenda ungemsikiliza mumewe

  • @SunnahAmry
    @SunnahAmry 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda kaolewe na wapiga ngoma malaya weeee eti mzaramo koma wazaramo hawapo ivo

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el 16 วันที่ผ่านมา

    Umeshindwa kutulia na mumeo ujeutulie na mwingine mmh uwongo yule mtoto akakae na bibi ake nyumba uki mwachia ataingiza mabasha ndani

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 หลายเดือนก่อน +1

    Umerogwa weeee

  • @lucypeter7804
    @lucypeter7804 หลายเดือนก่อน +1

    Kaachwa 2 weeks keshakonda mmmmh

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db หลายเดือนก่อน +1

    Dada icho ndicho ulicho stahili mwehu kwel eti ngoma

  • @ElizabethJackison
    @ElizabethJackison หลายเดือนก่อน

    Mnasem asipewe nyumba mtoto akakae wapi nibora mama kumlea mtoto wake maana mapenzi ya mama ni mazuri kuliko ya ndugu

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 หลายเดือนก่อน +1

    fala wewa acha usenge

  • @showshowtv1854
    @showshowtv1854 2 หลายเดือนก่อน +1

    ww Dada umeisha
    utadanga danga tu sasa et mtoto wa kiislam umeisha

  • @reymondjulius2252
    @reymondjulius2252 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke Mwizi uyo

  • @IreneGeorge-t3s
    @IreneGeorge-t3s หลายเดือนก่อน

    vizuri sana koma huna akiliii

  • @AdicoRashidi
    @AdicoRashidi 2 หลายเดือนก่อน +22

    Tusikubali kujiingiza kwenye mahusiano bila kujuwa undani wa mtu ila yule mwanaume kaonyesha kwel mwanaume 😂

    • @TibaSalumu
      @TibaSalumu 13 วันที่ผ่านมา

      Kwakweli

  • @x7hia
    @x7hia 2 หลายเดือนก่อน +17

    Pumbavu wewe size yako , huna adabu wala hujiheshimu hufai kuwa mke wa mtu, endelea na uhuni wako

  • @mussambanga
    @mussambanga 2 หลายเดือนก่อน +20

    Bodaboda nampongeza sana. Pia nampongeza mama yake mzazi kuivunja ndoa

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 หลายเดือนก่อน +2

      Haswaaa nataman ningekuw TZ NINGEMPA MTT WANGU AOE WALLAH

  • @NDIKUMANAMariam-v4c
    @NDIKUMANAMariam-v4c หลายเดือนก่อน +8

    Ila uyu dada anampenda mume wake sem tu ndoivo kwao amna mshauri mzuri wote vichaa lakin uyu dada yuko vizuri

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 2 หลายเดือนก่อน +9

    Ndo ukomeeeeeeee kwan iyo ngoma ni ibada huna akili mjinga ww unafata akili za wazee wako majuha km ww tu hutoolewa labda uolewe na wapiga vigoma😂😂

  • @IdirsaKiwi
    @IdirsaKiwi หลายเดือนก่อน +1

    Uwo uchizi Tena uwandawazimu mkubwa unabudu Ngoma kuriko dini au mume mshenzi wewe na famiria yako yote kikeni na kiumeni kumanina nyinyi

  • @ShamsaOmary-l9g
    @ShamsaOmary-l9g 2 หลายเดือนก่อน +10

    endelea na upuuzi wako ukipata mpuuzi mwenzio atakuoa

    • @FaaniAli-jg5zh
      @FaaniAli-jg5zh 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TumainiSawee
    @TumainiSawee หลายเดือนก่อน +1

    Ulitaka amsikilize mamako kichaa yule kwenda huko kunguru wewe si ulijitapa na ndugu zako tahira mkubwa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน +1

    Utachacha lbada upate mwezie kam ww nataboa hozo dunia tuy zimewatawalla

  • @aliciasultani755
    @aliciasultani755 หลายเดือนก่อน +5

    Big up sana kwake uyo mwanaume kwa maamuzi aliyoyafanya Mungu atampa wa kufanana nae na kuendana nae pia achana na ilo kahaba ye akacheze izo ngoma zake na izo starehe zake dada mzuri akili sifuri

  • @JuliusiMasanja
    @JuliusiMasanja 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe ni mjinga ulipata bwana mstaraabu umalaya umekuponza

  • @KafilaBulimwengu
    @KafilaBulimwengu หลายเดือนก่อน +1

    Ile kibanda, ni mali ya KICHURACHURA ?
    Fahamu myaka yako inaenda na kesho utakuwa mke wa public.

  • @KostaAgnasi
    @KostaAgnasi หลายเดือนก่อน +1

    Yani huyu mwanamke mpumbavu sana,ulisema bora ndoa ivunjike kuliko kuacha vigodoro sasa unalalamika nini hupaswi kupewa chochote nenda kacheze vigodoro

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kk uza kibanda kacheze ngoma ujenge nyumba uishinamwanao nakama shida mtt kwann usiache goma ukaishinamtt wako siulikata alivokua akikubembeleza ss baki na goma zako mpuuzi ww

  • @NadiaRamadhan-q1m
    @NadiaRamadhan-q1m 2 วันที่ผ่านมา

    Unanitia kichefuchefu unajichekesha chekesha unajipa sifaunaona fashene ilaujinga2 ovyo

  • @NadiaRamadhan-q1m
    @NadiaRamadhan-q1m 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe dada hauna hakili unadai vyumba ungekua unapenda ndoa yako ungetulia achaujinga nenda ukaishi kwenyekigodoro maana haunaatahaya muone jinzi ulivyo

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu siyo mwanamke hata hivyo anabahati, we hutaki kuacha mambo yakipuuuuzi hayo. Watoto utawafunza nini, mamaake nae ni chanzo, nakuwa mimi nyumba Nauza, ikishindikana nabomoa.

  • @aminajumashakombo1549
    @aminajumashakombo1549 หลายเดือนก่อน +2

    Makosa anayo mwanamke kachangia pakubwa kuachika so nyumba haimhusuu...ushaur wangu nyumba isiuzwe kutiana umaskin ya nn nyumba ibaki tu au ipangishwe hela imsomeshe mtt had atakapokua

  • @AdicoRashidi
    @AdicoRashidi 2 หลายเดือนก่อน +4

    ktk dunian sijawah kuona mwanamke mjinga km huyu hivi kweli ht shule kaenda kweli huyu ht darasa 7 kufuta ujinga kweli ktk dini sheria ya ndoa unaijuwa kweli ndio maana tumeambia tuowe wanawake mwenye hofu na mungu na mwanaume mwenye hofu na mungu ila huyu mwanamke jinga kubwa sn din unajuwa kweli ww dah

    • @Haji-yr9db
      @Haji-yr9db หลายเดือนก่อน

      Sidhan kama ameenda uyo😂

  • @ZainabZainab-q5z
    @ZainabZainab-q5z 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaaani uyo dada ana af na mungu pia wazaz wake awana maaadili uyu ni muhuni tu aaachane nae tu

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ww ulikua ni ushauri tu yy ndokapambana kwani ulivo jibu bora upewe talaka kuliko kuacha ngoma hukujua kama kuna mtt mpuuzi ww

  • @HappynessJose
    @HappynessJose หลายเดือนก่อน +2

    Unalalamika nini siulisema bora kuachana bora tu bodaboda atafute mke mwingine sio akieda kazin na wasiwasi ulikua unataka maisha ya hivo nisawa kabisa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน +1

    Gaw wote pamoja na wazazi wamelaniw sii kidog

  • @AsheliPatrick
    @AsheliPatrick 10 วันที่ผ่านมา

    Huyo mdada anatakiwa asipate chechote kule kwasabab huyonijeuli huyomkaka asikubali atakuuza kibanda chake

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 หลายเดือนก่อน +2

    Sio mmeachana, umeachwa
    Alafu huyu jamaa nimemkubali kwani alichokifanya ni jambo sahh

  • @rahema1992
    @rahema1992 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa wew kama ulikuwa unapenda mumeo ungemckiliza lkn hakutaka endelea kucheza mdundiko wako mavuno uache kumkatikia mumeo unaenda kukatika nje pumbavu

  • @statevibemedia
    @statevibemedia 17 วันที่ผ่านมา

    Hizi sheria nazo muda mwingine ziangalie na namna ya ndoa ilivyovunjika, siyo mtu anafanya ujinga kama huu alafu eti pia anataka mali ili aitumie kuendeleza huu ujinga wake.
    Brother ni afadhali umeachana nae lakini pia usikubali kuachia nyumba yako, tafuta mwanasheria akusaidie katika hili ili ikiwezekana huyo kichaa aende zake bila chochote

  • @RajatiRajati-p7g
    @RajatiRajati-p7g 9 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada anataka nyumba alikuwa na pesa yakujenga nyumba au pesa za mume apo cha muhimu nyumba wauze wangawane pesa au mtt mpe mwanaume ww utafute maisha yako sasa kula jeuri yako

  • @SalumuKijupa
    @SalumuKijupa หลายเดือนก่อน +1

    Mulize uyo dada anataka achiwe nyumba akija kuolewa ile nyumba atakaa nayo nan

  • @abdulaisha4145
    @abdulaisha4145 หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba tunauza mtoto tunachukua Bibi yake yupo na tunatafuta mke mwema .. ww endelea na Ngoma zako... Nyumba tukikuachia utapijia umalaya na mtoto ukiwa nae hata kua na maadili mema

  • @babujackson3593
    @babujackson3593 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo dada asipewe chochote hapo Akacheze ngoma huko malaya mchafu hana Akili huyo dada

  • @cyberGhost-g3d
    @cyberGhost-g3d หลายเดือนก่อน

    Ushakondeana wikimbility😂😂😂😂ngoja uyomume apate mke uskie harusi utajinyonga na kamasi

  • @FaaniAli-jg5zh
    @FaaniAli-jg5zh 6 วันที่ผ่านมา

    Na wigi lake utadhani ni kuku wa kidimu nyoko ww unachezea ndoa bila kujuwa kwamba sisi tunaitamani ndoa

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 หลายเดือนก่อน +1

    Alikuwa akupe talaka mia sio moja

  • @NoorynMody
    @NoorynMody หลายเดือนก่อน +1

    Hyo mtoto akikua nae c ajenge ya kwake ww mbona ukupewa nyumba na wazazi wko sema unaitaka ww

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 หลายเดือนก่อน

    Tunampongeza bodaboda kwa kumuacha huyu.huyu umri ukijakuenda atakumbuka ndoa,kipindi hicho hamna hata wa kumgusia ndoa

  • @rahma6189
    @rahma6189 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ulijua hivo mbona umebomoa ndoa na usiseme mama kasababisha ulitaka mwenyewe uachiwe nyumba ulete wanaumewake nyumba iuzwe kila mtu are na chake pumbavu zako

  • @neemamsuya6098
    @neemamsuya6098 15 วันที่ผ่านมา

    Huyo kaka akae na mwanae huko Kwa mama yake hakuna malezi kabisa watamuharibia mtoto aende ustawi waone hizi interview hawatamwachia mtoto

  • @YunisB-x9c
    @YunisB-x9c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada hiyo Starehe unayo ishikiliya Dini hairuhusu kufanya hivyo mbele za watu. hiyo Starehe fanya chumbani kumuonyesha bwanako hapo Dini haikatazi. Dada mimi sikwambii kwa ubaya. ulize Mashekhe wata kwambiya.
    Fi Amanillah

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Amefanya vizuri san acha ufuzwe na ulimwengu utajuta na vigodor et starehe mjinga san unakubali kusikiza dada ako acha mfuzwe na dunia saf san aoleq na nani naujinga walio nayo kwenye familiy yako

  • @ImmahKilonzo
    @ImmahKilonzo 23 วันที่ผ่านมา

    Bora iuzwe maisha yaendelee babaake atamtaftia vingine,,na mtoto akakae kwa bibi yake upande wa baba huyo mwanamke hafai

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dada ana akili wallah namuomba mungu akuongoze ivi ngoma ni nn una aki kweli kweli yani ww na familia yako yote amna akili ila jitaidini mtafute dini mjifunze na nikweli nibola tu muuze ela unatumia yote ww tahira

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 2 หลายเดือนก่อน

      Alafu umekonda wiki mbili tu sio kama mwanzo

  • @Gmeninoclassic-b5o
    @Gmeninoclassic-b5o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nibora malaya nkubwa usijielewa pakawe nenda kwa mamahako usie funzuawe kuma lako

  • @JumaKitutu-t4s
    @JumaKitutu-t4s หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwanamke sio mke jamani.
    Kwa lugha nyepesi huyu ni kipoozeo sio wa kuoa.

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hii tamthilia nzuri 😂😂😂 endeleen kutuletea mwendelezo tupo pamoja adi muache kutuongopea 😂😂

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂umeonaee hata mm nimeshtukia mchezo

    • @FabiDthree-ro1ms
      @FabiDthree-ro1ms 23 วันที่ผ่านมา

      Nyie ya ukweli mnataka ip au mbk msikie mtu kafa ndo muamin tatzo weng wajinga

    • @FabiDthree-ro1ms
      @FabiDthree-ro1ms 23 วันที่ผ่านมา

      Mwambie antafte mm nimuoe napenda kweli watu wa hvyo kma unayo no zake nipe mkuu

  • @DaheerK
    @DaheerK 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm km mwanaume nauza vizur tu iyo nyumba upumbavu umeanza mwenyew auze tu uksingie kwenye ngoma ufanye kibanda nyoko ww ulimuona mshamba jamaa 😂😂yupo kwangu sasa

  • @ClaudiaAizack
    @ClaudiaAizack หลายเดือนก่อน +2

    Kaka kaza uza kibnda

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kibanda kiuzwe hufai wew mgawane km mtoto atamtunza tuu mtoto niwake

  • @janethpPoul
    @janethpPoul หลายเดือนก่อน +4

    Umekonda to week 😂😂

    • @RachelGabriel-l3v
      @RachelGabriel-l3v วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂si alijua kuachwa ni simple

  • @wadiRamadhan
    @wadiRamadhan หลายเดือนก่อน +1

    UYO dada asipewe nyumba Wala mtoo,atamlea vp

  • @AbdallahHuweid
    @AbdallahHuweid หลายเดือนก่อน

    Wazo la maana ni nyumba andikiwe mototo sawa lakini akayenayo mwanamme huyo binti akakae kwao acheze ngoma apate mumemwengine watafute nyumba sio yeye akae humo na mume mpia mcheza ngoma mwenzake na boda boda pia awenayo baba ake mtoto ili afanyiye kazi kwa kupata pesa za kuntunzia mtoto mahitaji yake tuu hio ndio sahihi

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz หลายเดือนก่อน

    Mimi nimefurai sana wewe kuachika kwasababu ahuna akili bali unapepo langono pamoja namama yako asikupe hata kimoja mnalahana kwahiyo familia mama malaya mtoto malaya hote wananuka pumbu tu

  • @GoodluckyMbangala
    @GoodluckyMbangala หลายเดือนก่อน

    Kwa nilichokiona huyo msichana si kama hawez kuacha hiyo tabia bali ameomba apewe mda na kengine tatizo n hiyo familia yake ndo tatizo

  • @Sr.MartinaNyoni-k2l
    @Sr.MartinaNyoni-k2l 28 วันที่ผ่านมา

    wewe dada una matatizo. Kawaida ukiolewa fuata anayosema Bwana. Sio wewe ufuate unayoyapenda.

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 13 วันที่ผ่านมา

    Mmhh angekuwa mtu wa upande wa pili" wangekuwa wanatoa povuu ila kimewapta wao akina Amina wako kimyaaaa

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba iuzwe asiachiwe muache acheze ngoma

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukumuogopa Allah
    Kwaajili ya goma kwani kuna dini ilo kuruusu kucheza ngoma nakwann usimsikuze mumeo u kaacha ngoma iyo talaka itakupiga baki nangomazake

  • @MahmoudMakame-cl9jc
    @MahmoudMakame-cl9jc หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mtoto kichwani hamna kitu

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 หลายเดือนก่อน

    Huyu hajapata tu wakumserebusa chumbani, Siku 3 tu huyu atasahau kwenda serebuka nnje

  • @RehemaKipanga-k4l
    @RehemaKipanga-k4l หลายเดือนก่อน

    Kwa wazimu wako unamrudisha nyuma kimaisha basi kama vip ww chukua bodaboda mwenzio muachie nyumba

  • @buumoko375
    @buumoko375 20 วันที่ผ่านมา

    Mwendazim wee na mama yako,wachawi wakubwa nyie,kaolewe na kigidoro

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc หลายเดือนก่อน

    Serikali ingie katimwanamme apewenyumba akaenamwanae hiifamulia sio kabisa mtoto wakibakinae ataharibika

  • @aysha8507
    @aysha8507 หลายเดือนก่อน

    Dada mjinga sn unavunja ndoa kisa kigodoro na utakuja kumkumbuka huyo baba maan hufau kuwa mke wewe

  • @Mdoman-v2n
    @Mdoman-v2n 28 วันที่ผ่านมา

    Mm nimependa alivo achwa akaendelee kucheza chura tena hana adabu et bimkubwa wake

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 29 วันที่ผ่านมา

    Jamaa umeshinda mtihani ata yaicho kibanda utashinda kazaa iyo family sio nimishetanani iyo

  • @BeatriceMtuy
    @BeatriceMtuy หลายเดือนก่อน

    Kwanini isipangishwe hela iwe ya matumiz ys mtoto baadae mtoto aptiwe urithi wake

  • @cettyamandus2929
    @cettyamandus2929 หลายเดือนก่อน +2

    Safi Sana Kama kakuacha Tena vizuli kacheze uko na familia yako dada yako kasema amuachi ndiyo nenda safiii

  • @asmamwachuma2305
    @asmamwachuma2305 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kawa mnyonge chezeA talaka najuwa kali

  • @RachelGabriel-l3v
    @RachelGabriel-l3v วันที่ผ่านมา

    Huyu ni malaya aachwe kabisa mbwa hyu

  • @BraitonTweve
    @BraitonTweve 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sura km kiaz cha kiangaz nyAmbafu😅😅

  • @ashamussa4564
    @ashamussa4564 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukeshaamua kuingia kwenye ndoa ni lazima ufate sheria za mume acha mambo yalokuwa hayana umuhimu haya endelea na vigodoro

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kk uza kama nyumba utaja jenga in shaa Allah atakujakurisi mtt wak