CHEKA NA MACHALII WA R-CHUGGA WATENGENEZA GARI NAKUENDESHA MTAANI, MEENA ALLY KAPAKIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 615

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 5 ปีที่แล้ว +9

    MNAOTUKANA MNAKOSEA, WOTE TUKIWA SERIOUS NANI WATATUBURUDISHA KWA KUTUTOA STRESS

  • @nickomdete7232
    @nickomdete7232 5 ปีที่แล้ว +1

    duuuh cha arusha ni no 1_dunia nzima

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 5 ปีที่แล้ว +75

    Baada ya miaka 10 Arusha Watakuwa Wameanzisha Lugha Yao Ya Ziad kwenye Kiswahil

  • @stevelayda8555
    @stevelayda8555 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyie ndo mnaofanya serikali ikataze bangi. Pumbafu sana.

  • @alpheondanzi2544
    @alpheondanzi2544 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmetisha

  • @eliamakere3089
    @eliamakere3089 5 ปีที่แล้ว +2

    kuna vitu vingi sana vizuri vya kupewa airplay,nashangaa sana milard ayo tv unatuonyesha upuuzi ambao hauna mantiki yeyote..

  • @norbertnombo6918
    @norbertnombo6918 5 ปีที่แล้ว +27

    RC Arusha ana kazi kubwa...aongezewe mshahara tu😂

    • @michaeleustach5859
      @michaeleustach5859 4 ปีที่แล้ว

      Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh

  • @shaibusangah1919
    @shaibusangah1919 5 ปีที่แล้ว +57

    Hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe

    • @selevinagamba1319
      @selevinagamba1319 5 ปีที่แล้ว

      Yan huwa wananichekeshaga San hawa jaman kwer bangi sio chakura

  • @kingpengo9998
    @kingpengo9998 5 ปีที่แล้ว +80

    Kwer nimeamini cha arusha sio chai 😂😂😂!!!!

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 5 ปีที่แล้ว +1

    sasa kizazi cha tatu cha hawa wavuta bangi kwa baadae kitakuaje ?

  • @claudraphael1527
    @claudraphael1527 5 ปีที่แล้ว +1

    sema meena anawapatia sana ....

  • @johanesdeocles6337
    @johanesdeocles6337 4 ปีที่แล้ว +1

    Bangi ya alusha Kali sana

  • @ayubusaiba7972
    @ayubusaiba7972 5 ปีที่แล้ว +1

    acha like yako twende sawa chuga dance

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi3655 5 ปีที่แล้ว

    Ding la ding,hawa jamaa nawakubali sana,yaan wana Kiswahil fulan kzur kusikiliza

  • @emanuelmushi6878
    @emanuelmushi6878 5 ปีที่แล้ว +2

    Nyie mnaowaponda ni wapumbavu'tatizo wabongo akili zao ni negative'siku wakifika hatua ya kina masanja na joti ndo mtaelewa:usitake MTU afanikiwe kwa style yako:kila MTU atatoka kwa njia yake

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence6234 5 ปีที่แล้ว +1

    Bangi si mchicha kweli

  • @ndoboathuman8884
    @ndoboathuman8884 5 ปีที่แล้ว

    Kuna lugha ya ziada inakuja kutoka Arusha saluti sana Arusha

  • @denisjoseph3470
    @denisjoseph3470 5 ปีที่แล้ว +1

    Arusha nmekubal n nchi nyingne

  • @mossesimessi3256
    @mossesimessi3256 5 ปีที่แล้ว +1

    Yn wa wa arusha so wa nchi ii kbs tz atuna machiz km ii bangi izoooo

  • @jovinevedastus4244
    @jovinevedastus4244 5 ปีที่แล้ว

    yan chugga mhhh noma sana

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 5 ปีที่แล้ว

    Nikiwa marekani hapa nawa zoom wanangu nikifika Tz nitawatafuta tuje tuboreshe zaidi

  • @makorongohcchemba2490
    @makorongohcchemba2490 5 ปีที่แล้ว +17

    Daaa ngoma Lina Busta likipaki Linabonyea

  • @saidbissama9230
    @saidbissama9230 5 ปีที่แล้ว +2

    ningekua na uwezo ngetawanya watu wa arusha songea, lindi ntwara na zanzibar afu arusha napeleka wamakonde😂

    • @mwasitiramadhan5605
      @mwasitiramadhan5605 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahhahaha hahahahhahaha hahahahhahaha hahahahhahaha hahahahhahaha hahahahhahaha hahahahhahaha hahahahhahaha ndan ntiti nje ntiti au sio

  • @yothamjohn650
    @yothamjohn650 4 ปีที่แล้ว

    Du Kwel Arusha nomaa hawajamaa Da kha

  • @salimali5151
    @salimali5151 5 ปีที่แล้ว +1

    Lazima hii bangi ya hawa jamaa ndio original

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 4 ปีที่แล้ว

    Mungu usaidie kizazi chetu

  • @Bongo1Media
    @Bongo1Media 5 ปีที่แล้ว +1

    Bangi tuu

  • @jasminecourteous9493
    @jasminecourteous9493 5 ปีที่แล้ว +5

    I think this is too much.. Rchuga people we're crazy but this craziest is going overbroad akiii

  • @alleroStudio_pszone
    @alleroStudio_pszone 5 ปีที่แล้ว

    Chugamaica nyumban.... Wamikoan karibuni..'

  • @hamidhamadhamad5653
    @hamidhamadhamad5653 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah kwel bangi sio mbog jmn yan r.chuga wanazd kubokoka

  • @mankastambuli1044
    @mankastambuli1044 5 ปีที่แล้ว +10

    Mi ndo engineer complete from no where🤣🤣🤣🤣

  • @dappamuzik4010
    @dappamuzik4010 5 ปีที่แล้ว +108

    😂😂😂 gonga like kama umeskia,,,,,ongea na injiniA

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 ปีที่แล้ว +1

    Hichi kitu kitakuwa cha ngaramtoni kule forest

  • @twahahassan4412
    @twahahassan4412 5 ปีที่แล้ว +12

    Kama umeikubali miwani ya driver gonga like tusepee... Imeishaaaa

  • @janesway3680
    @janesway3680 5 ปีที่แล้ว +1

    hawa ni wakulima wa bangi

    • @aaahahahaha2171
      @aaahahahaha2171 5 ปีที่แล้ว

      Jane Sway 😁😂😀😀😀😀 kweli wendawazimu wako wengi

  • @ابنعثمن
    @ابنعثمن 5 ปีที่แล้ว +50

    Kama umesikia neno "desturenga" gonga like

  • @kinglusa8678
    @kinglusa8678 4 ปีที่แล้ว

    Ndinga hii baraaaah!!!Nakubar chugaaaaaaaah👊👊💪💪

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 5 ปีที่แล้ว +27

    "Et iyo ni renzi yakupimia masnich"
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @miltonstephano3246
    @miltonstephano3246 5 ปีที่แล้ว +1

    Orkokola maganja kali ndio iyo

  • @liliansikazwe7444
    @liliansikazwe7444 5 ปีที่แล้ว +1

    wanaviswahili vya kihun ata wa dsm wanasubiri...washapinda!

  • @dedaynajohnjerry1126
    @dedaynajohnjerry1126 5 ปีที่แล้ว

    salut kwa chuga

  • @adrianamoce6052
    @adrianamoce6052 5 ปีที่แล้ว +21

    Kama umesika neno desturenga. Gonga like hapa twende sawa

  • @fidifelix3150
    @fidifelix3150 5 ปีที่แล้ว

    Ni noma xana chuga ni shida.

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว +4

    Millard ...wapi unakwama ? Unategemea dunia inajifunza nn kutoka Tz? acha kurusha vitu visivyo na maana

  • @yasinsaid3690
    @yasinsaid3690 5 ปีที่แล้ว +3

    Hii imezidi sasa, media mnawatia ujinga pia hawa machalii

    • @gaburica7307
      @gaburica7307 5 ปีที่แล้ว

      Enyewe Olmochuga ni taabu

    • @hawasamu2813
      @hawasamu2813 5 ปีที่แล้ว

      Acha izo babulay

    • @yasinsaid3690
      @yasinsaid3690 5 ปีที่แล้ว

      @@hawasamu2813
      Ni kweli kabisa,mi nawakubali sana hawa majamaa wana kitu unique, Wanafanya vitu vya kiduwanzi

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 5 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣😂 kwamba inaendeshwa na mtu mmoko, wanatafuta matilio ya ndege ya chini engenear yupo

  • @lukasanga9483
    @lukasanga9483 5 ปีที่แล้ว

    A.town ni shida

  • @janethkimath8116
    @janethkimath8116 5 ปีที่แล้ว +1

    Kalii

  • @beatricekingsley5062
    @beatricekingsley5062 5 ปีที่แล้ว +12

    Alafu wako serious jmn hawacheki🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว +14

    Kwanza najiuliza kwanini urusha isijitegemee mwenyewe wawe naraisi wao maana wako tofauti sana kwakila kitu kuanzia mavazi kiswahili chao vyakula vyoo mpaka meno yao tofauti nawa Tanzania wengine hahahaha bigap kwao

    • @heryhamza9542
      @heryhamza9542 5 ปีที่แล้ว +1

      KACHERO SIMBA nyie ndio wajinga mnaotaka kuleta mpasuko wa hii nchi wajitenge kwa kipi hasa kwa hizo bange wanazovuta au kwaiyo unataka kuniambia arusha nzima vaa yao ni hyo basi na watu watanga waende mombasa kwasababu ya kuongea kwao

    • @emmanueljoseph6169
      @emmanueljoseph6169 5 ปีที่แล้ว

      Arusha ni yechu hatunaga ubishoo

    • @rosenginai5523
      @rosenginai5523 5 ปีที่แล้ว

      Hahhahahahahhahah aya bhnaaa tutakaaa kamatii kujadili hiloo

    • @magzeeee
      @magzeeee 5 ปีที่แล้ว

      Hahah hata meno

    • @shtatsalfa1668
      @shtatsalfa1668 5 ปีที่แล้ว

      Nikweli hahahaaaaa tunapambana ya hela yoteeee

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 5 ปีที่แล้ว

    Chaa arusha nomaaa

  • @boyjopar8717
    @boyjopar8717 5 ปีที่แล้ว

    Bang mbaya sanaaaa

  • @mustyquesofistyque4527
    @mustyquesofistyque4527 5 ปีที่แล้ว +11

    Hawa awanunuwi bangi ila wanailima weyewe 😔😔

  • @eddiedomicianprez186
    @eddiedomicianprez186 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa arusha wanazidisha usela mpaka wanakuwa machizi sa ndo nini

  • @Biloicon
    @Biloicon 5 ปีที่แล้ว

    Bangi siyo rafiki kwa maendeleo ya vijana wetu

  • @ezrakawogo2568
    @ezrakawogo2568 4 ปีที่แล้ว

    duuu hizi ngoma pasua kichwaaa...

  • @dullyboy1139
    @dullyboy1139 5 ปีที่แล้ว +1

    bangi hain adabu

  • @abdulaziziahmadi6664
    @abdulaziziahmadi6664 5 ปีที่แล้ว +12

    Bangi sio nzury

  • @shabanhafidhu1951
    @shabanhafidhu1951 5 ปีที่แล้ว

    Arusha ni kama tunapatwa na aibu kubwa sana kwa ujana huu. Mungu tusaidie.

  • @victorianbenardnachenga6839
    @victorianbenardnachenga6839 5 ปีที่แล้ว

    Daaaah...kweli bhangi haina urafiki na akili ya binadamu..!!!

  • @chiefmtoto1365
    @chiefmtoto1365 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama umesikia neno dingi la dingi la kuwadekea hao mambanga tanning'o Ar chuga,basi like za kutosha kwangu

  • @muharamharoub8896
    @muharamharoub8896 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wa2 wa Arusha wakapimwe akilll

  • @allymtaftaji1374
    @allymtaftaji1374 5 ปีที่แล้ว +11

    Kama umesikia hiyo ndinga inavuka mpaka border gonga like

  • @mari_onemaoboy6900
    @mari_onemaoboy6900 4 ปีที่แล้ว

    Wonderful

  • @mrzugamelck4641
    @mrzugamelck4641 5 ปีที่แล้ว

    kweli inawalipa mnavuta bangi kwa masrahi ona sasa imewatuma kutengeneza gari lenu wenyewe ongezeni juhudi ipo siku itawatuma kutengeza ndege

  • @favourmusic4692
    @favourmusic4692 5 ปีที่แล้ว +8

    Hawa ndo wanafany ganj ikatazwe daaah

  • @enockmadati7822
    @enockmadati7822 5 ปีที่แล้ว +3

    Hivi Arusha vijana wote ndo wapo kama hawa?
    Kwa nini tusiwatenge hawa wawe na nchi yao maana wana akili za peke yao tofauti na mikoa mingine yote.

    • @allymohamedi991
      @allymohamedi991 5 ปีที่แล้ว

      Enock Madati wew sas unatak tutengwe ili iweje

    • @lulukessy4922
      @lulukessy4922 5 ปีที่แล้ว +1

      Ukitaka kututengaa we tutenge tu dingiii maan xikumanyi kac babalabab

    • @enockmadati7822
      @enockmadati7822 5 ปีที่แล้ว

      @@allymohamedi991 aisee mnatakiwa muwe na nchi yenu muiite Chugaland😅

  • @paulochedego8089
    @paulochedego8089 4 ปีที่แล้ว

    Wanajua sana sema bongo ha2sapotian unafik mwing

  • @salehhamadi6070
    @salehhamadi6070 5 ปีที่แล้ว

    Hii gar au ndege

  • @josephkapella1737
    @josephkapella1737 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyo anaeuliza mtangazaji anae wahoji,, mfukuzeni tu kazi mana anahoji ka katoka kulala,,,, kaboa ile mbaya

    • @immasoi384
      @immasoi384 5 ปีที่แล้ว

      Kuwahoji wavuta bangi haihitaji nguvu sana. So yupo sawa

  • @dorcasmejason9808
    @dorcasmejason9808 5 ปีที่แล้ว +1

    Hizo kofia wanatoaga wap

  • @daboyjox7930
    @daboyjox7930 5 ปีที่แล้ว +4

    Visherii vinaharibu machaliii aisee

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 5 ปีที่แล้ว

    Mnatisha bbk oooooiiiii nikwere kweche

  • @kingmicky1002
    @kingmicky1002 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha daah,,kweli Arusha ina utofauti

  • @happynesszablon3014
    @happynesszablon3014 5 ปีที่แล้ว

    Arusha oyyyy....imeisha iyo

  • @jumannemagweiga8360
    @jumannemagweiga8360 5 ปีที่แล้ว

    Hatari sana

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 5 ปีที่แล้ว +7

    This is how "CHA ARUSHA" works

    • @hamisisingano4232
      @hamisisingano4232 5 ปีที่แล้ว

      Kuna bangi nabangili hii ya Arusha msiwape vichwa vichaa tupu hao

  • @mcdericktv7298
    @mcdericktv7298 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji yuko vizuri lakini amepoa saana kuendesha interview na watu wa namna hii...jamaa amepoa sana anahoji kama vile yuko msibani.

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 5 ปีที่แล้ว +3

    Arusha msipeleke bhag jamani

  • @youngrappertz1735
    @youngrappertz1735 5 ปีที่แล้ว +1

    Bangi ya Chuga ni 💥💥💥💥

    • @hassanmkota2213
      @hassanmkota2213 5 ปีที่แล้ว

      Mnaturushia vitu vya kijinga ww mtangazaji waelimisheni hao ndgu zenu hiyo sio poa mnachangia kuharibu hicho kizazi hivi ww mtangazaji kwann hujafikiria

  • @mubofuthegreat4955
    @mubofuthegreat4955 5 ปีที่แล้ว +15

    Hili ni tatizo la kukosa ajira😂

    • @sitefanomwizarubi1408
      @sitefanomwizarubi1408 5 ปีที่แล้ว

      Mubofu thegreat nikweri hawana hajira

    • @albertally8681
      @albertally8681 5 ปีที่แล้ว

      Sio kweli kabisa,sidhani kama sehemu machalii wana ajira kama chuga na moshi usiwaone hivo ukahisi ni kazi hawana hiyo ni lifestyle ya machalii kama wote.tuna milima huku so tuna wagumu tuna hifadhi huku so tuna matent crue nakadhalika hii ni chugamaica lifestyles

    • @lilianpalanjo2444
      @lilianpalanjo2444 5 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀😀

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 5 ปีที่แล้ว

    Ushuzi
    Usela mavi
    Kizazi kisichobuni mambo yenye tija kama vijana.

  • @jumaselemani2720
    @jumaselemani2720 5 ปีที่แล้ว

    Waandishi wa habari bhn.. Kwhiyo hamkuona habari za kutuletea mbaka mnatuletea izo bange mnatumalizia mb zetu

  • @himedia6047
    @himedia6047 5 ปีที่แล้ว +1

    ujue Akili za Media. ni zakijinga

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว +1

    Bangi + Mirungi + K-VANT! Ikipoozewa na NDIZI ZA KUROSTI na KITIMWENGA!

  • @jamalabdinasirali2430
    @jamalabdinasirali2430 4 ปีที่แล้ว

    Hawa wandishi wa habari wengine kweli wanazingua realy anaulizia gari kuna gari hapo

  • @hawaduguda7321
    @hawaduguda7321 4 ปีที่แล้ว

    Akili nyeeeeee kabisaaa

  • @jacobmsola4491
    @jacobmsola4491 4 ปีที่แล้ว

    Hivi hizo ni bange au?

  • @lightnessmmbando4229
    @lightnessmmbando4229 5 ปีที่แล้ว

    😎😎bangi ya chugaa mbaya woii

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 5 ปีที่แล้ว +1

    Wavuta bangi hao

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 5 ปีที่แล้ว +4

    Kijiti cha Olmotonyi kinafanya kazi kinyama

  • @BenCheck-jx9lo
    @BenCheck-jx9lo 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama umekuja hapa kuangalia vitu vya kawaida umepotea njia. Elimu ya darasani haitumiki huku, so angalia sana usiandike comment halafu ukaonekana umepungukiwa akili na hujui kusoma alama za nyakati. Hapa ni mwendo wa ku-like. Desturenga 💪

  • @kulwasengaauasengapaul9676
    @kulwasengaauasengapaul9676 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka mpanka nimejamba

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 ปีที่แล้ว

    Vijana wa Arusha wanafurahisha sana wako happy kwa vitu vya ajabuajabu vinavyowatoa stress za maisha.

  • @007-h9m
    @007-h9m 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah it’s so painfull aisee

  • @mwajumakapalatu7466
    @mwajumakapalatu7466 4 ปีที่แล้ว

    Nawakubali wanangu Chuga moja

  • @athumanbilah5536
    @athumanbilah5536 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndyo comedy ya chuga chugani hana kuderefea

  • @azizirashid5031
    @azizirashid5031 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli ya chuga haimuachi mtu salama

  • @issarashad8437
    @issarashad8437 5 ปีที่แล้ว +8

    Bangi bangi bangi

  • @emmanueldecarzolin4955
    @emmanueldecarzolin4955 5 ปีที่แล้ว +2

    sanawari moko👑