Msaidizi wa Lissu afunguka mazito dhidi ya Wenje

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 210

  • @paulinebogohe-pi8gn
    @paulinebogohe-pi8gn 20 วันที่ผ่านมา +34

    Ni kweli Lissu ni mwaminifu sana

  • @ANDERTETEMEKO-z6j
    @ANDERTETEMEKO-z6j 20 วันที่ผ่านมา +21

    Lisu ni mkweli na ndo maana anakemea hadharani

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 20 วันที่ผ่านมา +20

    Lisu hana tabia ya rushwa

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 20 วันที่ผ่านมา +18

    Yaani akina mbowe wachukue fedha sisi watutumie kuandamana!chadema Kama amumchagui Lissu kwisha habari yenu.

    • @OscarNyoni-r4n
      @OscarNyoni-r4n 16 วันที่ผ่านมา

      12:51

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 15 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 4 วันที่ผ่านมา

      Kweli wapuuz et, wanachama wanapitia magumu lkn uongz uko kimyaaa tuuu

  • @franklwakatarevideos
    @franklwakatarevideos 20 วันที่ผ่านมา +16

    Ni wazi kwamba Chama kishaingiliwa aise. CHADEMA is never the same again.

    • @knight6757
      @knight6757 19 วันที่ผ่านมา

      Pesa...💪 Tamaa.. 💪💪 kitamponza yeyote asie na ari !!!

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 19 วันที่ผ่านมา

      Hakika​@@knight6757

  • @frbm1729
    @frbm1729 15 วันที่ผ่านมา +3

    Nimesoma na Wenje namfahamu sana,ni mtu Moja mpigagji sana mishen town Mmoja aliye komaa

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 20 วันที่ผ่านมา +18

    Mungu ndo kila kitu wanamzunguusha malipo yake ipo siku haki itatendeka tu

    • @haggaikinyau9047
      @haggaikinyau9047 19 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona alishalipwa siku nyingi sana

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 17 วันที่ผ่านมา +1

      @@haggaikinyau9047 Tupatie risiti za malipo wewe shahidi ya hayo malipo?taratibu zote zinafanyika ulikuwpo acheni kuwa na roho za kikatili hakuna anaedai hela mala mbili alafu Raisi au Waziri Mkuu asiseme hujui unajibu kwanza

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 17 วันที่ผ่านมา +3

      @@haggaikinyau9047 Kama angelipwa angemwambia mtoto wa mama nilipwe pesa zangu?au wewe ndo ulielipwa TUNDU LISU Kinyau nini?

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 5 วันที่ผ่านมา +1

      Angekuwa kashalipwa hata serikali ingekuwa ishakanusha

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 5 วันที่ผ่านมา +1

      @bahatielias6443 Apo sasa uyo chawa anaongea vitu asivyovijua anapambania nzi wa kijani wake tu et ameshalipwa kitambo sana anawafanya watu wajiiinga nini?😡😡😡

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 20 วันที่ผ่านมา +18

    😂😂😂Wenje kama si kuwadi basi ni mshenga, ila Abdul kaleta balaa ndani ya CHADEMA 🎉🎉🎉🎉

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 20 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa kaleta balaa gani izoo ndio akilii za matakoni azina maono

  • @ThomasMwarukaKeya
    @ThomasMwarukaKeya 20 วันที่ผ่านมา +7

    Kwa Maelezo haya tu ya MSHAURI MAALUM wa Lissu David Jumbe ni Kwamba Mbowe hafai tena Kuwa Kiongozi Mkuu (Mwenyekiti wa CHADEMA) Kwani atakuwa ANAKIONGOZA CHADEMA Kama (CCM - B) Kwa Sababu ya KUONJESHWA Asali ya Mama Samia Suluhu Hassan na Mwanaye Abdul, hivyo hawezi tena Kuwa Sauti Mbadala Kwa Watanzania..!

  • @josephmnzavas9747
    @josephmnzavas9747 7 วันที่ผ่านมา +1

    Waandishi wa habari ni tatizo,kuna haja ya kurudi shule ya habari kwa masomo zaidi.

  • @joycengoda6567
    @joycengoda6567 19 วันที่ผ่านมา +9

    Twende na Tundu Lissu wapendwa wangu ❤❤

  • @Valerianshad
    @Valerianshad 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hivii abduli kawa special guest wa chadema siyooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TheobardTheonest-hx9sz
    @TheobardTheonest-hx9sz 20 วันที่ผ่านมา +8

    We mwandishi ulisomea wapi unahoji nini sasa🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@TheobardTheonest-hx9sz fala tu muandishi😡😡

  • @joramelishamghwira2425
    @joramelishamghwira2425 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi wa habari unatia aibu,uwezo.mdogo sana wa uelewa na namna ya kuuliza maswali au kuhoji masuala nyeti

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 20 วันที่ผ่านมา +5

    Hii issue kwa nchi za haki basi mtt abdul anakamatwa na mama mtt anatakiwa ahojiwe kwa tuhuma za rushwa na abdul jela mamaake ajiuzulu kama mama kakutwa kashiriki jela . Ntiaji na mpokeaji rushwa wote. Huyu wenje hafai kuongoza kama kathubutu kuwa sehemu ya mipango ya rushwa ni part ya muhalifu. Hii yute nikuonye tuna inchi ya aina gani serekali wanaitwa polisi . Waziri wa ndani . Takokuru kimya like nothing happened

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 วันที่ผ่านมา

    Siwàamini chadema😢😢Wahuni

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 20 วันที่ผ่านมา +6

    Halafu wadanganyika mnambiwa muingie barabarani upiganie chama cha CHADEMA. Amkeni vijana hakuna mwanasiasa anaepigania haki yako na uhakika ndio huo tuanaouona kutoka kwa viongozi "makini" wa CHADEMA. 😂😂😂

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 20 วันที่ผ่านมา +7

    Land Dwellers muwe mnaajiri watu (waandishi) wenye uelewa, siyo kama huyu! Huyu ambaye anajibiwa swali analouliza lakini haoni kama amejibiwa bila shaka huyu ni mbumbumbu tu

    • @tesiustheonest1592
      @tesiustheonest1592 18 วันที่ผ่านมา

      Haka nikaigizaji ka futuhi siyo muandishi bhnaa😂

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h 20 วันที่ผ่านมา +9

    Sugu nilikuamini kumbe na wewe unahongeka ndio maana upo kimyaaa

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 19 วันที่ผ่านมา +2

    Koh ina maana hata SUGU MOTO CHINI naye nu mnufaika wa pesa za Abdul 😂😂😂😂😂😂

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 20 วันที่ผ่านมา +4

    Watanzania tuna Akili ingawa hazifanani ndiyo maana kuna watu kama kina wenje lakini ninavyo amini mimi mwenye akili hahitaji ufafanunuzi zaidi ya huo uliotolewa na Jumbe. Hivyo ni juu yake amuamini wenje ikiwa naye ni kama wenje

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 20 วันที่ผ่านมา +8

    Mtangazi nawe boya sana maelezo ya mwanzo Jumbe amesema alitaka kumpa usafiri na kumsaidia sasa amsaidie nini?wakati ana pesa zake kwanini wanamzunguusha siwamlipe au wanaogopa atapata nguvu?au umetumwa?😡😡😡😡

  • @ihanomadili
    @ihanomadili 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi nyie watu ujanja wote huo hamkuweza rekodi hayo mazungumzo hata kwa simu tu?

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal 17 วันที่ผ่านมา +2

    Rushwa haikemei chumbani. Wewe mwandishi elewa hilo.

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje haya ni kweli kama ni kweli jihuzulu halaka hutufai tena

  • @chezariboy
    @chezariboy 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hopefully,, baada ya lisu kumpa nyaraka za madai abduli zikazaa matunda kwa lisu kulipwa pesa zake halali,, baasi kusingekuwa na gumzo baya zidi ya wenje, abdul hata mashaka kiasi kwa hao waliotajwa kupokea mapesa najisi.. lisu pia asingelipuka na abduli majukwaani (endapo lisu angelipwa pesa zake halali ).

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 วันที่ผ่านมา

    Abdul achana na mambo ya siasa unachafua ikulu.

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 20 วันที่ผ่านมา +5

    Abduli alikuwa sahihi maana Mzazi akiwa kiongozi tena wakitaifa watoto walio wengi huumia sana anaposemwa vibaya mzazi wao. Hata ningekuwa mimi ningetamani kuona njia ya kutuliza amani ya moyo.

  • @Doctortv-y7i
    @Doctortv-y7i 20 วันที่ผ่านมา +7

    CHADEMA MMEKUFA SIKU NYINGI SANA MJIZIKE TU KABLA HAMJAOZA MAANA SASAIVI MNACHOFANYA MNATEMBEZA HARUFU YENU TU NA KUTIA AIBU OH ABDUL ABDUL KWAIO ABDUL KAUA CHAMA?

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 18 วันที่ผ่านมา

      Kakwambia nani kama chadema imeshakufa ,iliyokufa ni ccm ,ambayo ina honga na kutowa rushwa kama wale covid 19,msigwa pia kahongwa ,iliyokufa ni ccm haishindi uchaguzi mpaka waenguwe wapinzani ,chadema ni madhubuti ndio maana ccm inawapa rushwa ili wakisaliti chama

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 15 วันที่ผ่านมา

      Ume kufa mkundu wako sio chademaaa

    • @agnettakamugisha4984
      @agnettakamugisha4984 15 วันที่ผ่านมา

      Matusi ya nini?​@@SurprisedFullMoon-gg9vu

    • @onesmomasala-rg2wd
      @onesmomasala-rg2wd 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe huna hakili kabisa tumekufaje Kwa mfano wewe na ccm mna nini

  • @xxl5239
    @xxl5239 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ndugu zetu wa Bara kwao hakuna upinzani kabisa, wao wanatafuta maslahi tu, kwasababu hawana lengo fulani wanalolipigania isipokuwa maisha yao binafsi. Huu hauitwi upinzani, kwasababu ukiletewa hayo maslahi binafsi unanunulika tu.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 18 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu nimalaika Hana doa akisema amesema nanikweri Sasa mnao msema lisu kakosea sema Sasa nyie ambao hamkosei alikemea ili watu wote wasikie

  • @MustaphaMabewa
    @MustaphaMabewa 11 วันที่ผ่านมา

    Lissu Mia Mia mwenyekiti jmn

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 20 วันที่ผ่านมา +2

    Chama cha Chadema kimeshaingiliwa imekua ni kupokea na kugawana 😃

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 15 วันที่ผ่านมา +1

    Haiwezekani Lissu na ujuzi wake wa sheria, ampe Abdul nakala yake aipeleke kwa wahusika kiholela🤔! Halafu apewe nchi🙄

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 4 วันที่ผ่านมา

      Hyo nakala haikuw Siri ni milolongo ya malipo yake

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 11 วันที่ผ่านมา

    TANZANIABILA CHADEMAINAWEZEKANA Matumizi ya fedha LISSU anazosana anazipata wapi upande wa pili naaminisha viongozi wenzake wanatumia fedha za ABDUL lissu hatuuzi sisi kwa ,,,

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 19 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu bado ni mkweri ndo maana anaongea adharani

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 20 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu sasa ndo msema kweli sasa wenje alikuwa anaongea kwa panic sababu anajua mpango mzima sasa imebumburuka plesha juu juu Mungu atuepushe na fitna na zambi za dunia🙏🤲

  • @chachakichonge1285
    @chachakichonge1285 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hata sugu atakua ameramba asali

  • @francismwantolwa2329
    @francismwantolwa2329 19 วันที่ผ่านมา

    Tunaenda Tundu Lisu

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 20 วันที่ผ่านมา +1

    Abdul alikuja vibaya ila alidunda,babu kubwa mr lisu.

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 15 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu ni wa kilindwa sana mimi mwenyewe binafs siwez ningechukua mpunga tu apo nisinge chomoka ila mwamba alichomoa

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 5 วันที่ผ่านมา

      Hapo alipelekewa bomu lissu lakin vile Mungu husimama na watu waliosmat ni ngumu sana kuwapata

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje ni waajabu sana daa wenje ni hatari sana

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 20 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi kwanini Lisu hakumrecord Abdul wakati alijua kabisa kuwa anakuja nyumbani kwake na haelewi kinachomleta. Angerecord ubabaishaji wa Wenje wote ungetoweka. Lakini kwakuwa hakurekodi watu wanabaki na mashaka kwa pande zote bila kujua mkweli ni yupi.

    • @zidadumbepo1486
      @zidadumbepo1486 19 วันที่ผ่านมา

      Kabisa

    • @ShedrackFaustin
      @ShedrackFaustin 19 วันที่ผ่านมา +2

      Wana record ila hairuhusiwi kisheria

    • @BeniMwengo
      @BeniMwengo 19 วันที่ผ่านมา +2

      Unataka record ya nini wakati mtuhumiwa ameshakiri hadharani?

    • @francismomo7067
      @francismomo7067 17 วันที่ผ่านมา

      Record ipo,kinachosbliwa n kama upande mwingine utaleta za kuleta

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 14 วันที่ผ่านมา

      sababu ya kutaka aende nyumbani kwake ni iili amrekodi kwahiyo amerekodiwa muda muwafaka bado haujafika

  • @mtanganyika-e2b
    @mtanganyika-e2b 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji mbea

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 20 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mwandishi anahoji ninibona maswali km hujasoma

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 4 วันที่ผ่านมา

    Haki mwamba amemuuza makamu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo abdul. Anatumia pesa ya walipa kodi. Kuwahonga viongozi wa chadema nachadema ili kuiua chadema watanganyika tupiganie haki zetu

  • @revocatusvedastus8893
    @revocatusvedastus8893 6 วันที่ผ่านมา

    abdull anatembelea watu,

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 12 วันที่ผ่านมา

    Yajayo Yanafurahisha

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 วันที่ผ่านมา

    Lissu ni muongo pia
    Lissu hasemi ukweli kuwa a n a makazi ya k u dumu ubeljiji😢

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 5 วันที่ผ่านมา +1

      Akikaa huko wewe unapungukiwa Nini?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 17 วันที่ผ่านมา

    Lissu ni shetani wa Tanzania nzima.msaliti na msenge😢😢

    • @georgepeter2055
      @georgepeter2055 17 วันที่ผ่านมา +2

      Kama lissu ni shetani basi wewe ni msukule wa ccm

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe Kuma kweli

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 20 วันที่ผ่านมา +2

    Hela za waarabu hizo na ndio zinazoinunua nchi

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 20 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu wangu Mbowe gaidi

  • @FelixLubango-j3q
    @FelixLubango-j3q 19 วันที่ผ่านมา +1

    SaSA WATU WANTAKA UKWELI. MWEUPE AU MWEKUNDU

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 20 วันที่ผ่านมา +3

    Muandish huna maswali ya maana

  • @DavidJohn-i2d
    @DavidJohn-i2d 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi hajui kuhoji kabisa

    • @tesiustheonest1592
      @tesiustheonest1592 18 วันที่ผ่านมา

      Siyo muandishi haka kametumwa nako hakuna mahojiano ya maana hapo.

  • @godsson5954
    @godsson5954 19 วันที่ผ่านมา +1

    MBOWE HAKUPELEKA SABAB YA WIVU NDO MAANA ALITAKA WAUNGANISHE MADAI YA CHAMA NA YA TAL😅😂

  • @wallacemngoma794
    @wallacemngoma794 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji inaonekana rushwa haioni kuwa ni jambo hatari kwa yeyote yule.

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 12 วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu Abduli Takukur hawajamhoji tuu hadi sasa?

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 20 วันที่ผ่านมา +3

    Mauwongo mengi sana

  • @195941233
    @195941233 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe mwandishi Ufahamu wako ni mdogo sana. Unashindwa kuelewa unachoelezwa!

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 16 วันที่ผ่านมา

    Kwanini watu wanadhani ni vizuri kukemea rushwa kifichoni kuliko hadharani😂😂😂

    • @petermisungwi3229
      @petermisungwi3229 8 วันที่ผ่านมา

      Hilo kiongozi ni la kufanyia research nadhani....Kuna tatizo kubwa saaaana hapo la kijamii. Na linaweza likawa kubwa zaidi ya kudhania na ukichukua maoni ya mmoja tu au wachache unaweza usijue stori kiukamilifu. Tatizo hili linaweza kuwa mzizi wa matatizo mengine mengi makubwa sana yaliyopo kwa jamii yetu hii.

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 20 วันที่ผ่านมา +2

    DREVER WA LISSU YUKO WAPI ? ĶÀZI KWENU WAPIGA KÙRA CĤADEMA !!

  • @chachakichonge1285
    @chachakichonge1285 19 วันที่ผ่านมา

    Lissu ni mwaminifu

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa Mwanza kama Wenje anacheo chochote chadema avuliwe mara moja.

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 15 วันที่ผ่านมา

    Wenje hata kwa kumungalia amekaa kidarari kabisa

  • @BrayanEdwin-v5v
    @BrayanEdwin-v5v 20 วันที่ผ่านมา +2

    Nihatar haya mambo

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 20 วันที่ผ่านมา

    Mwndishi ana IQ ndogo. Kuelewa kwake mambo ni kudogo sana. Hata hoja zake ni dhaifu.

  • @DanielMasubo-bv7zf
    @DanielMasubo-bv7zf 19 วันที่ผ่านมา

    Hii inshu ya kutokulipwa hela kwa Lissu inachangia na Mbowe maana nilisikia kuwa Mbowe aliona Lissu akilipwa hela atakuwa na Nguvu kwenye Chama.

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 20 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mlinzi yuko vizuri maana hata kwenye account za lisu anaingia kujua miamala inaingiaje. Duuuh

    • @franciscomasungulwa3575
      @franciscomasungulwa3575 20 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo siyo MLANZI ni msaidizi wa LISSU....Kitaaluma ni engineer...na wakati yuko chuo aliwahi kuwa RAIS wa serikali ya wanafunzi....He is smart

    • @georgepeter2055
      @georgepeter2055 17 วันที่ผ่านมา

      Sio mlinzi ni MSAIDIZI…..
      Ukijua maana ya msaidizi itakusaidia sana

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna wa kumwamini hapo.Rusheni hiyo clips

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 15 วันที่ผ่านมา

      Vp mchaga swai naona umesikia hela umetabasam Kwa nin haukuwa wewe 😂😂😂

  • @rashadwiser2584
    @rashadwiser2584 19 วันที่ผ่านมา

    Waadishi wa habari mtihani

  • @JacksonNyaikoba
    @JacksonNyaikoba 15 วันที่ผ่านมา

    Mambo hayo tutajua mengi

  • @JacksonNyaikoba
    @JacksonNyaikoba 15 วันที่ผ่านมา

    Wenje sòma nyakati

  • @MerkiorMwakalindile-d8w
    @MerkiorMwakalindile-d8w 10 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi maswali yako hayaeleweki,

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 19 วันที่ผ่านมา

    Mtego wa CCM umenasa kabisa Ngoja tuone cdm inavyopukutika kama chama cha caf

  • @StellahSteven
    @StellahSteven 20 วันที่ผ่านมา +1

    Anayehoji hajui kuhoji. Hajauliza maswali ya msingi.

    • @PATRICKKIPARA
      @PATRICKKIPARA 20 วันที่ผ่านมา

      Maswali yapi ulitaka aulize,,?

    • @schniderlivin
      @schniderlivin 20 วันที่ผ่านมา

      Anaehoji anafeliii bana 😂

    • @schniderlivin
      @schniderlivin 20 วันที่ผ่านมา

      Critical and relevant questions​@@PATRICKKIPARA

    • @faustineguje5529
      @faustineguje5529 18 วันที่ผ่านมา

      Kuna maswali ya msingi hayajaulizwa; LISU kabla ya kukutana na Abdul alihoji uhalali wake kukutana na Rais mseveni,, Sasa alimwaminije Tena akampa documents za madai, alimpa Abdul kama nani??

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 20 วันที่ผ่านมา +1

    kwn kasema kua aaaminiwe yy. muandishi unaboa

  • @amanmwalyambi1416
    @amanmwalyambi1416 19 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwandishi mbona ana kichwa kigumu kuelewa

  • @mtanganyika-e2b
    @mtanganyika-e2b 17 วันที่ผ่านมา

    Mi naona mtangazaji anahoji polis.

  • @MzeeBonge
    @MzeeBonge 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi mbona kama umetumwa

  • @johnndunguru2080
    @johnndunguru2080 20 วันที่ผ่านมา

    Wewe Mwandishi wa habari umeishia darasa la nne.

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 15 วันที่ผ่านมา

    Kelele tupu! CHADEMA haifai kuongoza nchi! Lissu alitakiwa kupeleka nakala yake kisheria sio kumpa Abdul. He should know better.

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 14 วันที่ผ่านมา +1

      hakuna ubaya wowote kwa Lissu kumpa Abdul karatasi zake kuziffikisha kwa wausika serikalini kwani alishafuata njia sahihi bila mafanikio

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 14 วันที่ผ่านมา

      hakuna ubaya wowote kwa Lissu kumpa Abdul karatasi zake kuziffikisha kwa wausika serikalini kwani alishafuata njia sahihi bila mafanikio

    • @onesmomasala-rg2wd
      @onesmomasala-rg2wd 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe hujui chochote mnafiki nchi inamtaka mtu kama tundu lissu

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 19 วันที่ผ่านมา

    Yupo makinsana

  • @tesiustheonest1592
    @tesiustheonest1592 18 วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu ni muandishi kweli!???

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 19 วันที่ผ่านมา

    Yote haya nyerere aliyatabili,lissu anachukiwa kwa sababu ya misimamo yake ya kizalendo.

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 20 วันที่ผ่านมา

    Lisu anatosha wakimzingua tunahama nae, walitudanganya zito na kitila hawafai kumbe wanafaa kuliko wao wamebaki na ujinga wao komaa kamanda hata gobore huna,!, kwenye pesa wanabaki na kimange na wenje na watoto wao,, hawana pa kutokea tena , hadi ccm inawashinda hawana ukaabila

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 19 วันที่ผ่านมา

    Gapo cha kufanya ni kupiga chini Mboe vinginevyo mtu mwenye akili timamu hawezi kuipigis kuura tena chadema Mboe hatakiwi kupngoza chama nyupo pale kupiga dili wala hana ukweli wowote anacheza na akili za watu.

  • @MihayoMageta-k4n
    @MihayoMageta-k4n 20 วันที่ผ่านมา +7

    😂😂😂😂Wenje Jaluo noma😂😂😂😂

  • @ProperGandatv-b1p
    @ProperGandatv-b1p 20 วันที่ผ่านมา +2

    Abdul anasaidiaje mtu mmoja mmoja?. Siapeleke misaada kwa wasiojiweza uko, ajui kunawatu ata mlo wa Day one hawana?

    • @schniderlivin
      @schniderlivin 20 วันที่ผ่านมา +1

      Si ndio Sasa...anisaidie hata Mimi bana 😂

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 20 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa staili hii naiona ACT wanashika atamu ya kuwa Chama kikuu cha Upinzani.

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 20 วันที่ผ่านมา

    We mtangazaji sisi wananchi ndiyo tunapima mazungumzo ya wote tunajua nani mkweli nani muongo

  • @allanbhujo8736
    @allanbhujo8736 20 วันที่ผ่านมา

    Kwa watu wenye akili timamu kadri maneno yanavyozidi kuongeleka ukweli na uongo utajitenga

  • @knight6757
    @knight6757 19 วันที่ผ่านมา

    Mzama maji hu tapatapa.... wenye akili watajua hao wano tapatapa !!

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi uliza maswali yenye mantiki mbona maswali yako ni ya kitapeli zaidi hueleweki .

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 19 วันที่ผ่านมา

    But kwa nini hamkurekord jamani.we next time.msikose hilo.pls pls pls

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 14 วันที่ผ่านมา

      karekodiiwa ndio maana alimwitta nyumbani kwake Lissu sio mjinga anajua nguvu ya ushahidi wa video

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 5 วันที่ผ่านมา

      Ukiwa vitani usitoke na silaha zako zote kaka

  • @FarajaZambiawaka
    @FarajaZambiawaka 19 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwandishi alivyo kaa kwenye kitu na upara wake unaweza ukazani kweli ni mwandishi kumbe ni makajanja tu hana uwezo wa kuhoji kabisa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 17 วันที่ผ่านมา

    Chadema fungeni midomo kura ziongee Iwapo mtamlazimisha Mbowe kuondoka basi chama kibadilishe jina ,siyo demokrasia tena kiitwe Lissu😢

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 15 วันที่ผ่านมา +1

      Tume kuckia mkundu wako",tutakiita matako yakoo

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 4 วันที่ผ่านมา

      Ukiona adui yako anamsifu mtu fuln ujue anahofu nawew

  • @ALFREDMTUNDU
    @ALFREDMTUNDU 20 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi uwe unajianda Kwa maswali, anayejibu Yuko smart kuliko muulizaji.

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 19 วันที่ผ่านมา

    *Ewe msaidizi wa Lissu, Djumbe, Lissu amewahi kutuambia kuwa alimwambia Abdul kitu kama, "shenzi, toka hapa na pesa zako." Je, ni kweli? Je, alitamka hivyo siku hiyo ya kukutana?*