@@simonsadala2386Lissu akili kubwa..kuwa mpinzani mkuu wa zama hizi za watu walioelimika , kwa zama (Information age), kwenye CCM ya zama Magufuli/ Samia lazima Uwe kichwa.Tundu Lissu ni Nyerere wa zama zetu..
Tanzania Ina muhitaji LISU kuliko Wakati wowote ule LISU ana misimamo mizuri na anauwezo mkubwa waakili na nikionambali ni Mkweli na Muwazi Tumpe Kura za Ndiyo.
Nimekuelewa sana devid mfugwa ht mm na muamini lisu mbowe apumzike ili aitunze heshima yke maana yke kaijenga kw muda mrefu hvyo yasije kua km yalio taka kumtokea mwalim j nyerere
Sikuwahi kuwa mtu wa siasa kabisa japo najua siasa ndiyo inatengeneza maisha ya wananchi wake yatakuwaje. Safati.hii siasa zimechangamka haswa. Inaprndeza tulipofikia
Brother Mfuga , nakuona mbali sana ktk nchii… utakuja kunikumbuka.. upo vzr sana maana unajua unacho ongea na unajua nini unaongea… msigwa hakupati hata kwa nukta moja.
CHADEMA, kumbukeni mlikuwa mkisema mnadai kuwa na demokrasia, acheni kuvuruga demokrasia kwa kungangania cheo. Mbowe ataingia kwenye mtego kama Yueri rais wa kudumu. Acheni kuwa viongozi wa milele. Mbowe upumzike, angalia wengine waongoze ukiwa bado na nguvu za kutoa ushauri.
Uchaguzi wa viongozi wa Chadema upo wazi na kila mmoja anayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa.Hili ni jema sana.Hoja pia zinawasilisha bila mkanganyiko.
Yaani kama mbowe wakueleawa basi ataeleea hii ni time atayoamua legacy yake akikosea hapa hii will be grop la lipumba akigomea akiachia atakuwa group la nyerere na zito .
Hamjawahi niangusha iringa chadema,uliyoyaongea ni kweli na ndiyo yaliyo kwa kila mwanachadema tanzania hii,,hakika umetusemea na kuanzia leo wewe ni kichwa sana
Kamanda unajichanganya. Unampinga mwenyekiti wa Iringa na unasema hamjafanya kikao chochote kukubaliana ila hapo hapo unasema unaongea kwa niaba ya wapiga kura wa Iringa. Hicho kikao mmekaa wapi?. Alafu Democracy sio kukubaliana kwa kundi bali kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura baada ya kusikiliza wagombea.
Tusifichefiche ukweli usemwe tu,mbowe haeleweki,hatupeleki tunakokutaka,kifupi yupoyupo tu kama tuchama fulani hivi ambato tupo tupo tu kwaajili ya ruzuku tu,ila sio kuleta ukombozi katika taifa letu,ili harakati ziwe imara,ni lazima jeshi liongozwe na mtu imara,na sio mtu anayechekacheka tu kama mbowe" mbowe ni kibaraka wa ccm,atupishe tu inatosha
Hapa Ndio Ntajua kwamba Chadema nao wanademokrasia au ndio kaz yao kuwapgia kerere tu CCM mi nnajua kama kwel demokraisia itakuwepo chadema lisu Mwenyekiti asubui tu
Kwakua ccm hawamtaki lisu sasa na ninyi wapiga kura wa mkutano mkuu nendeni mkatuletee lisu maana muda huu na siasa za maridhiano na mtesi haikai vizuri mbowe tunakupenda lkn naomba ubaki mjumbe wa kamati kuu. Kwa ajili ya kumshauri atakaye pita
Mbowe,Wenje na Boni wanamaslahi binafsi na hichi chama wanapaswa kutumia akili nyingi sana ili kuishi vzr na Lissu wasije kukirarua chama. Lissu ana watu wao wana pesa na mamlaka!
Mtu wa maana kabisa wew mnataka democrasia kutoka CCm wakat Nyie hamna hiyo democrasia uyu mungai ni nan? Waga nachukia mtu anaye sema tumekubariana wakat Kila siku yopo kwake anakula makande ajawah kuzunguka kwa wanainch😂😂😂
Hongera sana Mfugwa kwa hoja nzuri sana, binafsi nimekupenda na nimekuelewa sana.
Jamani viongozi sikilizeni ushauri huu...kamanda uko vizuri
Safi sana kamanda kweli wewe ni kiongozi kabisa
Safiiii sana ikiwa mtafanya hivo chadema itainuka
Kula yangu kwa Lisu huyu jamaa yupo vizuri sana
Kama umeona mbowe kayakanyaga tujuane
😂😂😂😂😂😂
Kayabananga akwende zake
Hahaha
Kijana unafaa kuwa kiongozi wa kuigwa mbowe apumzike.
Kamanda uko vzr sana
MBOWE UMEFANYA MAKUBWA. LISSU ATAFANYA MAAJABU.
Labda. Wanasiasa hawaaminiki sana agenda za mioyo yao
Well Said 👏 upo vizuri kaka
Safi sana vijana, love ya ❤️🙏🏾
Hizi ndo akili ni nywereeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Lisu ni wetu sote kaka na Kwa watz wote Nyerere WA pili Tz,
Familia ya Nyerere njooooni huku kuna boya kamfananisha Lialia na baba yenu
@@simonsadala2386Lissu akili kubwa..kuwa mpinzani mkuu wa zama hizi za watu walioelimika , kwa zama (Information age), kwenye CCM ya zama Magufuli/ Samia lazima Uwe kichwa.Tundu Lissu ni Nyerere wa zama zetu..
Lissu for Change🔥🔥🔥
Sawa kijana wangu
Si tupo na tundu lisu
Ndugu Mbowe pumzika miaka 21 inatosha
Hapa sasa mikoa yote ungana msimamo wa Iringa. Hapa kuna chadema ya kweli
Umongea kwel bro lisu ana faa sana
Lisu anatoshaaaaaa
Lisu oyeeee
Alipo lisu tupoo✌️✌️✌️✌️
Lissu ni chaguo letu kwa sasa
Wewe ni kiongozi sahihi umeongea kwa hoja vzr
MBOWE MUST GOOOOO
Safi sana kiongozi
Tanzania Ina muhitaji LISU kuliko Wakati wowote ule LISU ana misimamo mizuri na anauwezo mkubwa waakili na nikionambali ni Mkweli na Muwazi Tumpe Kura za Ndiyo.
Lisu ndo habari ya mjini 😂😂😂😂
Uko sawa kamanda
Mbowe pumzika usigombee mwechie mwamba lissu lissu lissu atatuvusha
Aisee kijana nakuunga mkono msimamo ni kilakitu lisu tusaidie
Nimekuelewa sana devid mfugwa ht mm na muamini lisu mbowe apumzike ili aitunze heshima yke maana yke kaijenga kw muda mrefu hvyo yasije kua km yalio taka kumtokea mwalim j nyerere
Mbowe must go!
Safi Sana ❤❤ Lisuuuu ni mwenyekit ajae
Chadema inaenda kuzaliwa upyaaaaaaaa! Safi sana kamanda!
Kumeanza kuchangamka
Safi sana. Tuache kuleta uccm kwenye chadema. HII NI DEMOKRASIA.
Mbowe apumzike tu
Wewe hutakiwi kuwa CHADEMA,una uwezo mkubwa wa kujenga hoja.karibu sana CCM
😅😅chefuuu kwani c yupo msigwa hukoo😅
Ccm ibawezakukaliwa na mtu mwenye kupenda urahisi tu... Na wapenda dhuruma
Mtu mwenye
Akili
Msimamo
. Huruma na kuipenda TZ hawezi kuwa CCM
Aje huko mkauze bandari
Vizuri sana 100%
Safi kabisa
nikwer kabisa tundu antipas lissu huu nd mda sahihi kwake
Ha ha ha Yaani Mbowe ndio mwenyekiti wetu
Mbowe must go
Lisu ningekushauri wakikupiga chini anzisha chama chako ulipo nipo
Sikuwahi kuwa mtu wa siasa kabisa japo najua siasa ndiyo inatengeneza maisha ya wananchi wake yatakuwaje.
Safati.hii siasa zimechangamka haswa. Inaprndeza tulipofikia
Mbowe Ana Taka kuwa Mwenyekiti wa Maisha Chadema
Jambo Jema wana Iringa
Brother Mfuga , nakuona mbali sana ktk nchii… utakuja kunikumbuka.. upo vzr sana maana unajua unacho ongea na unajua nini unaongea… msigwa hakupati hata kwa nukta moja.
CHADEMA, kumbukeni mlikuwa mkisema mnadai kuwa na demokrasia, acheni kuvuruga demokrasia kwa kungangania cheo. Mbowe ataingia kwenye mtego kama Yueri rais wa kudumu. Acheni kuwa viongozi wa milele. Mbowe upumzike, angalia wengine waongoze ukiwa bado na nguvu za kutoa ushauri.
huku sio kuvuruga demokrasia bali ndio kukua..kipind ch chaguz hya ni lazima kuepo hata ccm yanakuepo
Uchaguzi wa viongozi wa Chadema upo wazi na kila mmoja anayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa.Hili ni jema sana.Hoja pia zinawasilisha bila mkanganyiko.
Tuko pamoja
Kweli tukiwa na vijana km huyu Tanzania tunaweza kuvuka
Kamanda Kwa maneno Yako tu indhihirisha wewe serious
Yaani kama mbowe wakueleawa basi ataeleea hii ni time atayoamua legacy yake akikosea hapa hii will be grop la lipumba akigomea akiachia atakuwa group la nyerere na zito .
Hamjawahi niangusha iringa chadema,uliyoyaongea ni kweli na ndiyo yaliyo kwa kila mwanachadema tanzania hii,,hakika umetusemea na kuanzia leo wewe ni kichwa sana
CAMANDA UMEMALIZA MANENO KWA WAKATI HUU NI LISSU HALI SINZULI TANZANIA
Simamiaheni pale juu lissu na Heche mutafanikiwa
Ccm walivyo kuwa mashetani utasikia wamemteka au wamemfanyia ubaya wowote hakika mungu ata wahadhibu mwisho wao umefika
Kumbe Chadema ina watu wenye akili zinafanya kazi kama huyu Mfugwa.Mbowe akae pembeni ameishiwa kiutendaji
Hizi fedha alizokataa Tundu Lissu zilirudishwa ikulu kweli au zilipokelewa na Wenje?! 😂😂😂
Kila mtu ana haki yake kuongea, mbowe na lisu kila mtu anahaki kugombea. Wapiga kura ndio wataamua
Kamanda unajichanganya. Unampinga mwenyekiti wa Iringa na unasema hamjafanya kikao chochote kukubaliana ila hapo hapo unasema unaongea kwa niaba ya wapiga kura wa Iringa. Hicho kikao mmekaa wapi?. Alafu Democracy sio kukubaliana kwa kundi bali kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura baada ya kusikiliza wagombea.
Lisu ndio mpinzani wa kwel nchi hii ,Mbowe chawa tu kama chawa wengine
Sioni kwanini kelele nyingi kama lisu anaaminika atashida,
Politiking is not parmanent kwa hiyo mabadiliko ni msingi wa changamoto kadha wa kadha na sio mapya bali ni kuelekea ukomavu wa kisiasa
Hekima ni kunyamaza na masanduku yaamue.
Kapigeni kura nasio maneno mengi
Wenje awe makamo mwenyekiti na Mbowe awe mwenyekiti hawa wote marafiki wa Abdul Sasa sijui Kuna chama Cha upinzani hapo Tena.
Safii sana
Ok in yeah of course tundu antipas lissu nd mtu sahihi kwa sasa
Lisu for new Chadema
Akili ni nywele kweli
Tunaenda na lisu kwa sasa kiongoz mwenye msimamo mikal anaye weza kuikambil serikal
Dogo kachukue fomu kugombea makamu was lisu au uteuliw katib mkuu
Kuwa na Lisu ni kuanza kujenga wigo mpana wa kuwaandaa vijana wengi kuwa viongozi ktk nyanja zote.
Tusifichefiche ukweli usemwe tu,mbowe haeleweki,hatupeleki tunakokutaka,kifupi yupoyupo tu kama tuchama fulani hivi ambato tupo tupo tu kwaajili ya ruzuku tu,ila sio kuleta ukombozi katika taifa letu,ili harakati ziwe imara,ni lazima jeshi liongozwe na mtu imara,na sio mtu anayechekacheka tu kama mbowe" mbowe ni kibaraka wa ccm,atupishe tu inatosha
Kiukweli mbowe akirudia kuomba Tena nitaamini ana maslai yake chadema
Hapa Ndio Ntajua kwamba Chadema nao wanademokrasia au ndio kaz yao kuwapgia kerere tu CCM mi nnajua kama kwel demokraisia itakuwepo chadema lisu Mwenyekiti asubui tu
Hawa wote ni machawa wa Msigwa
Kutokana na maelezo ya huyu kamanda kura yangu ni kwa lissu
Mi.i ni ws Iringa, ninaenda na Mbowe. Kura ni uamuzi wa mtu binafsi
Nyie mnashindwa kuelewa kitu kimoja ni kwamba no MBOWE noCHADEMA.
Nyie vijana mnatumika hivyo!!!!
wacha watu waoneshe mawazo yao..msibane watu kw lugha hizo
Wewe ndio unatumika hii Dunia hakuzaliwa kiongozi Mmoja TU
LISSU ALISEMA LOWASA FISADI NA HAFAI
TUNDU AKAMSAFISHA LOWASA.
KWELI ANA MSIMAMO.
Mbowe sikiliza ushauri wa watu usishupaze shingo utaharibu hiki chama tunakitegemea kitukomboe kutoka utumwani kwa mkoloni fisiemu
Kaka umeongea ukweli vipo vwama viongozi walikataa kutoka madarakani wakabaki wenyewe
Kwakua ccm hawamtaki lisu sasa na ninyi wapiga kura wa mkutano mkuu nendeni mkatuletee lisu maana muda huu na siasa za maridhiano na mtesi haikai vizuri mbowe tunakupenda lkn naomba ubaki mjumbe wa kamati kuu. Kwa ajili ya kumshauri atakaye pita
Jidanganyeni Hana kitu huyo mpayukaji wenu watanzania tunawasuniri m so hangae
wewe si chadema, lissu anakuhusu nini?
Ndo nmejua kwann CCM inamhtaji mbowe
Mbowe,Wenje na Boni wanamaslahi binafsi na hichi chama wanapaswa kutumia akili nyingi sana ili kuishi vzr na Lissu wasije kukirarua chama. Lissu ana watu wao wana pesa na mamlaka!
Mtaingia choo Cha kike na mtajutia maamuzi ndani ya mienzi mitatu mkinchagua lissu
Lisu alipo na sisi tutakuwepo
Kasongo yeye mbona wewo! Mbona wewo? Mobalinangai.
Kura ni Siri acheni kutumia uwingi na kutoa matamko ya pamoja kuwa mpo na lisu sema wewe upo na lisu.
Wote mmenunuliwa
😢
Mtu wa maana kabisa wew mnataka democrasia kutoka CCm wakat Nyie hamna hiyo democrasia uyu mungai ni nan? Waga nachukia mtu anaye sema tumekubariana wakat Kila siku yopo kwake anakula makande ajawah kuzunguka kwa wanainch😂😂😂
Ni busara mwenyekiti kuachia ngazi kwa sasa kuliko kusubiri kutoka kwa aibu.
Nyie zungumzeni ya mnyikaa...hapo mbowe hajaongea lkn mnabwabwaja
Mfugwa kaa chonjo unaweza kutekwa na polifisiemu
Kwa nini msiache demokrasia itumike? Kura zipigwe mshindi apatikane.