BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 607

  • @innocentparsalaw8792
    @innocentparsalaw8792 2 วันที่ผ่านมา +22

    Mwenye Macho haambiwi tazama. Mwenye kung'amua na ang'amue. Thank you brother for this.

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 2 วันที่ผ่านมา +7

    Very smart Man Mr Ngurumo... Mwenye macho aambiwi tazama.

  • @jamesndora3263
    @jamesndora3263 2 วันที่ผ่านมา +20

    Mtu Smart sana Ngurumo Always.
    Lakini Leo ni kama umelishwa maneno.

    • @matalo0551
      @matalo0551 2 วันที่ผ่านมา

      Hakika...

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 2 วันที่ผ่านมา +19

    Mzee nilikuwa nakuheshimu.sna na hoja zako pia ila Kwa hili umenunuliwa

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา +2

      Huna lolote..Kafie huko na lisu wako

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@merumount5988kima na ngedere ni mamoja, wote wanaishi porini, sio rahisi kuwatenganisha.

    • @rastheunique
      @rastheunique วันที่ผ่านมา +1

      Kishafika bei huyu 😂😂🍿🍿

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 วันที่ผ่านมา +1

      Hamjasema bado....mpaka msemeeeee!!!!

    • @brunomirambi8792
      @brunomirambi8792 วันที่ผ่านมา +1

      Unapo msikiliza MTU usimsikilize ukiwa na upande wowote ukitoa majibu lazima yaegemee sehemu ile uliyo na mahaba NATO. HONGERA SANA NGURUMO NILIKUWA SIKUELEWI LEO NIMEANZA KUKUELEWA NA NITAKUELEWA MILELE

  • @karakairasa2161
    @karakairasa2161 3 วันที่ผ่านมา +23

    Hongera kaka, umejenga hoja vizuri sana....

    • @juliusjohnii7823
      @juliusjohnii7823 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hoja gani , na wenje je?.

  • @abaatweve6428
    @abaatweve6428 2 วันที่ผ่านมา +17

    WANDEWA TUMESHANG'AMUA PROPAGANDA ZAKO, NA UPANDE UNAKOLALIA.

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 2 วันที่ผ่านมา +25

    Hata Wenje amethibitisha kuwa jambo hilo lilijadiliwa Kamati na kurekodiwa.Lisu akaomba rekodi yote itolewe hadharani bila kuhaririwa ili ukweli ubainike.Bw.Ngurumo unataka kusema hayo yote hujasikia na lile alilojibu Lisu kuwa alichelewa kutangaza baada ya kuona Wajumbe wa Kamati Kuu wamekalia kimya taarifa yake juu ya jambo hilo na alifanya hivyo baada ya kufanya kukusanya ushahidi zaidi.Pia amesema mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ambaye ni marehemu alithibitisha kuwepo kwa rushwa kwenye chaguzi za Chadema.
    Hujajitendea haki na hujatutendea haki mwandishi wa habari nguli.

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 2 วันที่ผ่านมา +4

      Usihamishe hoja. Lissu akakuwaje na urafiki na Abduli na kupokea tuhuma za wenzake toka kwa adui, Abduli?

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 2 วันที่ผ่านมา

      Kuna clip ya kamati kuu wanashindwa kuitoa ipo siku huyu jamaa ataumbuka​@@edgarmbegu1974

    • @samniza9015
      @samniza9015 2 วันที่ผ่านมา

      Thank you, he is just spinning.

    • @JosephIsrael-t6n
      @JosephIsrael-t6n 2 วันที่ผ่านมา +1

      Tundu Lisu hajakaa kimya labda umesahau,alitangaza kwenye vyombo vya habari muda lkn hakuna hatua zozote zilizochukuliwa! Kwa hili unachemka umetumwa

    • @joshuaswai8203
      @joshuaswai8203 2 วันที่ผ่านมา

      Mimi jamani Lissu ni mtu wa ajabu ananwabwaja hovyo kupita kiasi akiwasuta wenzake hasa M owe sio sawa anataka aongoze nani wakati amekiua chama je ataunganishaje tena chama hiki pendwa kwa watz? Ni sawa na mtu aliyeondoa magurudumu ya alafu apanda hilo gari eti anataka aendeshe gari bila magurudumu yaani amejenga uadui wa ajabu kwenye chama akiungana na rafiki yake msigwa na Dr silaa kwa ukweli chama kimeuawa na Lissu' niseme kweli nilikuwa nampenda kuliko watu wote wa Tanzania amenikosesha amani sana Mimi sijawahi kuiskia kampeni za kipumbavu namna hii huwezi choma nyumba yenu moto alafu msomi

  • @JumanneKigori-fm1nn
    @JumanneKigori-fm1nn 2 วันที่ผ่านมา +7

    Napenda unavyompigania Mbowe kila clip ila baada ya sanduku la kura itabidi utumie nguvu kubwa kujisafisha.

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา +1

      ..hicho mnachotafuta hakitakuwa

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 วันที่ผ่านมา +1

      Lissu atashinda kwa kishindo humu mtandaoni lakini kwenye sanduku la kura hawezi shinda.

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 2 วันที่ผ่านมา +16

    Wewe ni mnafiki lisu ameweka wazi kila kitu

    • @samsonsamwel8782
      @samsonsamwel8782 2 วันที่ผ่านมา +1

      Cjui hajafatilia hilo

    • @matalo0551
      @matalo0551 2 วันที่ผ่านมา

      Anakurupuka tuu, Hana data za kutosha....

  • @SNOWFALL92
    @SNOWFALL92 2 วันที่ผ่านมา +20

    NILIKUA NAKUSKILIZA ILA LEO UMEPOTEZA CREDIBILITY YAKO YOOTEEE UMEONGEA UTUMBO NA HOJA MBOVU SANA UMERUDILIA HOJA AMBAZO KILA SIKU TUNDULISU KASHAZIONGELEA KITAMBO SANAAA HAUNA JIPYAAA NAKU BLOCK KUANZIA LEO BLADFAKENI 🤮🤮🤮🤮

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 2 วันที่ผ่านมา +2

      Kumbe hujaelewa! Iweje Lissu amwamini Abduli kwamba kuna watu amewapa pesa? Anafanya urafiki na maadui wa chama? Kwa nini hakumwambia K/Mkuu aitishe Kamati Kuu ili waliokula pesa za Abduli watajwe? Jibu kwanza hayo

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 2 วันที่ผ่านมา +3

      huyu Ngrurumo Anaongea ujomga mtupu siku hizi.Rubish tupu.

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@dassustephen731na hautamuelewa maishani.

    • @Kiyama-g8f
      @Kiyama-g8f 2 วันที่ผ่านมา

      AKILI YAKO NI YA KIAZI;HUJUI KITU;SIKILIZA HOJA USIENDE KISHABIKI;UTAFELI

    • @habibunguvumali3331
      @habibunguvumali3331 2 วันที่ผ่านมา

      Mzee upon vizuri sana nakuelewa

  • @abdulhalimjuma7786
    @abdulhalimjuma7786 3 วันที่ผ่านมา +28

    Mimi nilikukubali sana, kembe huna maana kabisa wewe ni mtu wa fitna

  • @levissanga8867
    @levissanga8867 2 วันที่ผ่านมา +12

    Mchumbuzi nakusikiliza kwa umakini sana. Lakini naona kama unaegemea upande fulani. Ukiwa unataka uchambuzi wa wagombea wawili wenye ushindani mkubwa wachambue wote.

  • @AdamPeter-s8v
    @AdamPeter-s8v 3 วันที่ผ่านมา +18

    Salsa haueleweki kama zamani unaogea uchawa tuuu kwa more ludisha heshima yako

  • @derrickmsa8505
    @derrickmsa8505 วันที่ผ่านมา +3

    Leo umechemka...pole sana team mbowe!

  • @mtumejosephgoliama6159
    @mtumejosephgoliama6159 2 วันที่ผ่านมา +6

    Wewe kwenye suala la Lissu na Mbowe tayari huna moral authority kwasababu wewe ni mfuasi wa Mbowe . Vyovyote utakavyoongea tumeshajua Nia yako, wewe ni kipenzi cha Mbowe. Lakini ujue tu watanzania wanajua wanachotaka msipowapa wanachotaka watanzania basi CCM itawapa watanzania wakitakacho

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 2 วันที่ผ่านมา +6

    LISSU alikataa kwamba hadaiwi chochote na Wenje. Unaonekana unabifu binafsi na Lissu

  • @victorishengoma5724
    @victorishengoma5724 2 วันที่ผ่านมา +15

    Abdul alienda kwa nia ya kumsaidia Lisu pesa....wazo la kusaidiwa lilitoka kwa Lisu ili apate hela yke halali sio kupewa hela isiyojulikana malengo yake

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 วันที่ผ่านมา +4

      Hili pia ni kosa.Lissu na wenje wana makosa

    • @melch3097
      @melch3097 2 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi, lisu kwa kutafuta attention ya kisiasa anajifanya kumpakazia mwenzie​@@MathewNathan-yb2bz

  • @stevenchundu9303
    @stevenchundu9303 3 วันที่ผ่านมา +23

    Sasa hivi umekuwa mpiga kelele sio mchambuzi tena

    • @elikyusimsigwa6608
      @elikyusimsigwa6608 2 วันที่ผ่านมา +3

      Ni kwa vile hasemi unayo tapenade, angesema unayoyapenda Angelia mchambuzi?!

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@elikyusimsigwa6608Toka mwanzo alipochukua fomu Lisu, huyu chaali ngurumo aliumia saaaana, inaeleweka. Ila ajue tu kuwa Mbowe kachuja machoni na mioyoni mwa watu, akapumzike kwanza. Tunajua ana hela chafu za kuhonga wajumbe atapita tuuuu kwani ni CCM B,,,,,,,lkn chama kitakuwa kama cha Lipumba

    • @geoffreynghumba1029
      @geoffreynghumba1029 2 วันที่ผ่านมา

      ​Ni kwa vile amejitoa ufahamu . Alijisemea Nyerere: "Mwenye akili akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali wakati akijua alikuheshimu kwa kuwa unaakili, atakudharau!"@@elikyusimsigwa6608

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 2 วันที่ผ่านมา

      Lisu wako huyo unayedhani haambiwi ukweli. Tunza haya maneno kaa mwaka mmoja au miaka miwili uje usikilize

    • @tanzanianakupenda
      @tanzanianakupenda วันที่ผ่านมา

      Ni mtu bias siku zote ila kwahili la Lissu ndio watu wamemuona wazi...unajua ku spin kitu kizuri kikaonekana kibaya na kibaya kikaonekana kizuri. Anaowapenda wakichemka anaongelea kuchemka kwa jicho la positive na anaowachukia anatuta mazuri yao na kuyaongelea kwa jicho la negative..ndio kipawa chako

  • @ogweyoranga8110
    @ogweyoranga8110 2 วันที่ผ่านมา +11

    Gurumo, ukweli ni kwamba Freeman Mbowe amekaa muda mrefu mno kwenye uenyekiti wa chadema taifa na tumemchoka, tunataka mwenyekiti mpya. Tunamuelewa mno Tundu Lisu kuliko unavyofikiria, tunafikiri Tundu Lisu atatuvusha

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 2 วันที่ผ่านมา +2

      Huo ndiyo ukweli ndugu. Tunataka mwenyekiti mpya ambae ni Tundulissu. Tundulissu anatosha kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu.

    • @sospeterodhiambo6869
      @sospeterodhiambo6869 2 วันที่ผ่านมา +4

      Kichama Tundu Lisu hawezi kutuvusha na Chama kitadumaa Kisiasa anaweza sana maana ni mwanaharakati na msemaji mzuri kama walivyo mawakili
      Kujenga chama haitaki uanaharakati Ni jinsi unavyoweza ku accommodate watu wote wenye fikra tofauti Hapo Mbowe anafaa sana atasaidia ktk ujenzi wa chama

    • @PiusMdoe
      @PiusMdoe 2 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo kumbe hata Urais asingeweza!​@@sospeterodhiambo6869

    • @rastheunique
      @rastheunique วันที่ผ่านมา

      ​@@sospeterodhiambo6869kichama hawezi ila kisiasa anaweza😂 hivi nyie jamaa!! Anyway labda kwakuwa ishasemekana kwamba CHADEMA NI SACCOS YA FULANI HAPO KWELI LISSU HAWEZI WAVUSHA KASACOSISACOSI

    • @globalpeacesummitstv8825
      @globalpeacesummitstv8825 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Atawavusha kwenda wapi? Hatutaki mambo ya Msumbiji hapa.

  • @mkushioriginalsillo5074
    @mkushioriginalsillo5074 3 วันที่ผ่านมา +30

    Mimi nilimsikiliza lisu.Siyo Lisu Aliyemtafuta Abdul .kimantiki hapakuwa na sababu ya lisu ya kumtafuta Abdul kwa sababu wakati huo Lisu alikwisha kukutana na Raisi Samia.Abdul ndiye aliye mtafuta Wenje ili kumfikia Lisu.

    • @FranksonMkumbwa-mb3pp
      @FranksonMkumbwa-mb3pp 2 วันที่ผ่านมา +2

      Ni mbinu za mwovu hizo ww

    • @hajimnubi4581
      @hajimnubi4581 2 วันที่ผ่านมา +4

      Huyu ni mtu wa mbowe na anayasema haya kimkakati ...mbowe alipokua anazungumza na kukubaliana na Rais akiwa pekeake baada ya kutoka gerezani hakujua kama Rais ni usalama wa taifa? Na je ilikua sawa kwa mbowe kuendelea kufanya hivyo licha ya wenzake kuonyesha shaka

    • @samsonsamwel8782
      @samsonsamwel8782 2 วันที่ผ่านมา

      Bora wew unajtambua,Kwan alyemtafta mwenzie n nan

    • @geoffreynghumba1029
      @geoffreynghumba1029 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kachukua kitu huyu 😂

    • @goodluckjohnuiso-gt1fg
      @goodluckjohnuiso-gt1fg 2 วันที่ผ่านมา

      Sikiliza hoja na sio yuko upande upi! Tatizo la watz hawangalii hoja nakujifunza wanapeda kelele

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s 2 วันที่ผ่านมา +6

    Lissu alikwisha sema ni zaidi ya mwaka mahusiano kati yao na Mbowe suti mazuri na sababu ni hizo hizo kukinzana ktk vikao ndani ya chama ndio sababu hawahalikei nyumbani Kwa Mbowe kama siku za nyuma .Hivyo Mbowe anetumika vibaya na serikal ya CCM ndio maana lissu hajapendezwa na Siri zimefichuka njanjanja ya Mbowe imefika mwisho tunaitaji kiongozi Mkweli na Mkweli ni Lissu .Mzee kama umetumwa na Mbowe kafie mbele

  • @bonideodatus9795
    @bonideodatus9795 2 วันที่ผ่านมา +4

    Lisu alisema akipewa hela zake za halali ndo atakuwa rafik yake lakini sio za kuhongwa halaf kingine mtu mkubwa Kama wenje ana ujasiri gani wa kumpeleka abduli kwa lisau na akasema wengine wengi tu kwenye chama wamepewa hela kuwa na subira kwa miez kwa kuchunguza uone chama kipoje mbona lisau kaongea broo nilikuwa nakuamini Sanaa Ila inaonekana unaegemea upande mmoja

  • @kashindisimon5265
    @kashindisimon5265 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi nilikukubali sana chahali lakini kwa hili😂 na wewe umekuwa chawa akili yako😂kubwa hapa imetwawaliwa na akili😂ndogo umeonesha wazi wewe ni chawa wa mboe

  • @jamaliddiin9357
    @jamaliddiin9357 2 วันที่ผ่านมา +7

    Mzee leo umechemka sana
    Au nawe usharamba asali ?

    • @tanzanianakupenda
      @tanzanianakupenda วันที่ผ่านมา

      Kwa hasira anayoionyesha kwenye hii hoja hatuwezi kusema yuko nje ya mfumo

  • @andrewmohere
    @andrewmohere 2 วันที่ผ่านมา +8

    Huyu mchambuzi simuelewi leo. Kwani Abdul alimwambia nini Lisu analosema Lisu alimuaminije? Abdul alitaka kumsaidia Lisu kutaka fedha na gari zuri, kitu ambacho Lisu alikataa na kumwambi kama alihitaji kumsaidia amwambie mama yake amlipe stahiki zake. Sasa hapa alimuaminije?

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Rudia kusikiliza..

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kama humwelewi huyu Mzee basi Uchawi upo

    • @rastheunique
      @rastheunique วันที่ผ่านมา

      ​@@Jumamaduka240Mzee huwa anaeleweka vema sana ila round hii amini yamemkuta!! Yuko Bias tena bila aibu!!

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 2 วันที่ผ่านมา +5

    Ngurumo mbona unachambua tofauti ,Lisu mimi nilisikiliza vizuri sana ..wewe sasa leo unachambua tofauti 😅😅😅muuuuhhhh😂😂

    • @Mwakamele
      @Mwakamele 2 วันที่ผ่านมา +1

      Nilivyomwelewa Ngurumo, anasema kwa nini Lissu alikubali kukaa ana kwa ana nyumbani kwake na Abdul na kuamini maneno yake huku akijua Abdul anaendeshwa na usalama wa taifa? Iwe Abdul aliomba kukutana nae au Yeye Lissu aombe kukutana nae. Issue ni kwa nini ameyaamini maneno ya Abdul ambaye wanashindana kila siku

    • @rastheunique
      @rastheunique วันที่ผ่านมา

      Hayo maswali amuite Lissu kwenye channel yake hii amuulize live ajibiwe!! Vinginevyo abaki kampeni meneja wa Mbowe tu asitumalizie mabando yetu Kwa chambuzi Bias and rubbish!!

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 วันที่ผ่านมา +14

    Kwani lisu alimfuata abdul mafisiemu ndiyo yanawafuata chadema kuwahonga ila lisu hahongeki

    • @FranksonMkumbwa-mb3pp
      @FranksonMkumbwa-mb3pp 2 วันที่ผ่านมา

      Kwann amwamini Abduli ? Wakat ni adui wao

    • @azammaganga9101
      @azammaganga9101 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 2 วันที่ผ่านมา +4

    Ngurumo kalishwa mdudu😂😂

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndio umelishwa mdudu..

  • @anthonymlyashimba8131
    @anthonymlyashimba8131 3 วันที่ผ่านมา +15

    Naona una ugomvi sana na Lisu maana unaegemea sana upande wa Mbowe

    • @juniorSamwali
      @juniorSamwali 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani anachosema Mr NGURUMO ni uongo??? point tupu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 วันที่ผ่านมา +3

      Lissu nae ana makosa ni kwa nini amtumie Abdul kupata malipo yake?

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 2 วันที่ผ่านมา +1

      Acha ukweli uwekwe wazi, kwa nini hamtaki lisu aguswe.

    • @rogathesarwatt
      @rogathesarwatt 2 วันที่ผ่านมา

      Nani alifuta mwenzake ​@@MathewNathan-yb2bz

    • @juniorSamwali
      @juniorSamwali 2 วันที่ผ่านมา

      @@FrancisThomas-jc8wq wataelewa tu hata kama hawataki

  • @DAVIDESEKO
    @DAVIDESEKO 2 วันที่ผ่านมา +4

    Umeonyesha hisia zako. LAKINi haimaanishi ndo ukweli.
    Je unajua Nini kiliongelewa kwenye kamati kuu baada ya kauli yake ya Mpwapwa?

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 2 วันที่ผ่านมา +6

    Kadili unavyotafuta namna ya kumchafua lisu unapoteza mvuto na uchaguz ukiisha utapuuzwa ww ni mtu wa kupuuzwa

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา +1

      Utapuuzwa wewe mbwa koko..

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 วันที่ผ่านมา +4

    Kuna mambo mengine acha yapite tu. Hakuna sababu ya kuendelea kuchokonoa mambo. Ungeacha Chadema waendelee na mambo yao ya Uchaguzi. Lakini kuendelea kuchimbachimba mambo hasa kwa kupitia Lissu tu ni kukosa weledi tu.

  • @mosesmlogani8112
    @mosesmlogani8112 วันที่ผ่านมา +1

    Ansbert I currently don't understand your compos mentis!! 🤔🤔

  • @mussahuyya7775
    @mussahuyya7775 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa ngurumo umepuyanga ukweli wote Lissu ameweka wazi kwa namna unavyojenga hoja ni marudio yalishapata majibu,nashangaa na wewe mwandishi tunayekuamini unakuwa chawa kwaFikira Lissu aliyasema haya hata hajaamua kugombea,ulitaka aside haraka haraka bila kulifanyia uchunguzi

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 วันที่ผ่านมา +1

    Napata hasira kuona ngurumo anakua mjinga mnjinga kweli ngurumo kitu gani hukielewi ...? Lissu aliona pesa chafu kwenye uchaguzi uchaguzi ulikua na lawama akakumbuka pesa za abdul daaah ngurumo mbona unajifanya huelewi

  • @eligiusmandimu8206
    @eligiusmandimu8206 วันที่ผ่านมา

    Great thinker MUNGU akubariki sana

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 2 วันที่ผ่านมา +4

    KOMREDI NGURUMO....LISSU HAONGEKI! NA HAJAWAHI KUHONGEKA HATA HUKO NYUMA.

  • @AntonyKawage
    @AntonyKawage 2 วันที่ผ่านมา +3

    Aisee kumbe na wewe ni mnafiki ,tu kweli inchi imefika mahali ambapo kila mtu aelewe anavyoelewa na sio kumuelewa yeyote awaye

  • @DeusRomanRoman
    @DeusRomanRoman 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe unavyomuandama Lisu unaonekana kabisa ni Chawa wa Mbowe, leo la makala yako ni kumdogogosha Lisu,huwezi shinda

  • @mesharothuman2443
    @mesharothuman2443 2 วันที่ผ่านมา +7

    Mzee this time unatuhadaa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 วันที่ผ่านมา +8

    Kaka kabila lako kama nilakaskazini ya Tanzania kuna jambo unalitengeneza kuhusiana na kabila hilo

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 2 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo ni Nshomire!

    • @rastheunique
      @rastheunique วันที่ผ่านมา

      Wala si kabila!! Nguvu ya muamala mzee!!

  • @Jua_kusudi_lako
    @Jua_kusudi_lako 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ila we jamaa umeanza propaganda.
    TL hakumuhitaji Abdul na hakuwa na mawasiliano nae.
    Na lengo la kikao haikua malipo ya TL Hilo liliibuka baada ya abduli kudai kua atampa pesa ndipo akasema hataki pesa chafu anataka pesa halali kutoka kwa mama yake.
    Afu katika maswali unayojiuliza hapo, sioni swali gumu kama unavyosema
    Jitafakari broo, chambua bila kuonesha mlengo.

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kuendelea kusikiliza Chanel yako hii ni ujinga wa kiwango cha lami, zamani tulikuona wa maana kumbe bure kabisa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 วันที่ผ่านมา +2

      Tatizo hampendi kuwa nyutro.mimi lissu nampenda ila kwa hili naona alikosea.utamtumiaje mtoto wa rais?

    • @godfreymikmta5008
      @godfreymikmta5008 2 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo unapenda bila kutafakari

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Kafie huko ulikotoka..huna lolote, fisi wewe!

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hata mim nshamshtukia kamwe haongei madhaifu ya mbowe wakat chama kinazd kupoteza mvuto kisa staili yake ya kwenda ikulu kimya kmya

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 2 วันที่ผ่านมา +4

    Uko bias sana. Tundu Lissu kaweka wazi mazingira yanayo onyesha Abdlu kutumiwa na mama yake kuhonga watu. Katika kuhonga huko Tundu kamuonyesha Wanje kama middleman wa uhongaji huo ndani ya chadema. Na Wanje kakili hilo kwa kusema anajuwana na watu wengi. Na mmoja wa marafiki wa wanje ni Abdul. Sasa wakumaliza yote ni abdul.

  • @norbertmbena5896
    @norbertmbena5896 2 วันที่ผ่านมา +20

    Hutamwelewa Lisu unampenda Mbowe

    • @geoffreynghumba1029
      @geoffreynghumba1029 2 วันที่ผ่านมา

      Wala Mbowe hampendi, angeongea kitambo siyo Leo. Naona sijui ameanza kwenda ki maslahi zaidi? Anadai Abdul eti Usalama wa Taifa 😂 Lissu mwenyewe alihojibkitambo, anapata wapi Abdul legitimace ya kwenda Uganda nchi ya nje kwenda kujadili Mikataba ya nje? Lissu aliyehoji ni mgombea Urais wa 2020, ni mwanasheria nguli wa kimataifa, Leo anahojiwa na kinyangarakata tu?
      Suala hili ni myama mkali kanasa mtegoni, kwahiyo ni la kuusogelea mtego kwa tahadhari! 😂

  • @MartineJoseph-u6i
    @MartineJoseph-u6i 2 วันที่ผ่านมา +4

    Naww ni chawa unaongea vyeusi unajitoa ufahamu unajifanya ukusikia aliyoyasema lisu na aliyoyasema wenje

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 2 วันที่ผ่านมา +8

    Ulikuwa mchambuzi mzuri Sana lakini Sasa hivi mmmmh

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 2 วันที่ผ่านมา +5

    Unanisikitisha sana siku hizi. Ghafla umekuwa chawa wa Mbowe. Moja ya sifa za mchambuzi bora ni kubalance story vipi ww ukiamka Lissu, ukifungua mdomo.. Lissu. Sema ukweli Mbowe kakulisha asali gani maana sio bure. Sasa unajivunjia heshima... weka wazi kwamba unataka umakamu mwenyekiti mkifanikiwa kumtoa Lissu

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Kwanza hakuna chawa chadema..pili mbamtumia lisu patina yeye kujua

  • @HamisMtanda
    @HamisMtanda วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kwa uchambuzi nzuri brother. Siku zote naamini sana uwezo wako mkubwa kiuchambazi wa mambo.

  • @AnaniaIsaya-z9g
    @AnaniaIsaya-z9g 2 วันที่ผ่านมา +3

    LISSU HAJAWAHI KUWA MUONGO NA WALA HATEGEMEI KUDANGANYA
    Amenyooka ndo maana mafisiemu wanamuogopa.

    • @ericknganzi398
      @ericknganzi398 วันที่ผ่านมา

      Huyo ni chawa wa Mbowe hujagundua tu😂

  • @Fred-Ma
    @Fred-Ma 2 วันที่ผ่านมา +4

    Licha ya hayo yote umesema Lissu alikujulisha juu ya sakata lenyewe hili.
    Mbona haukumshauri haya yote?
    Patia picha mtu amekuamini kukupatia taarifa na ukashindwa kumpa ushauri huu unaomshangaa?

  • @FranceKomba-sn3ui
    @FranceKomba-sn3ui 2 วันที่ผ่านมา +6

    kaka umeanza kupoteza uweredi kwa hoja zako

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 2 วันที่ผ่านมา +4

    Jitihadi ipi LISSU kafanya kumpata ABDUL??? Wewe mzee umeshindwa kuwa analytical....Ulipaswa kuhoji kwanini Wenje hajatoka kukanushaaa???

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา +1

      Rudia kusikiliza uelewe..

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 3 วันที่ผ่านมา +11

    Nenda kweny point Ngurumo
    Half wewe ji msomi lakn huwez kuchambua upande mmoja tuu kwa udhaif wake
    Inamaana upande mwngine uko safi hundred percent !!!!????
    Yawezekana unapoint lakn chambua pande zote weka mezani mazur na mabaya half sisi tutaona nani anafaaa kwa sifa zake

  • @sankeyjames3294
    @sankeyjames3294 2 วันที่ผ่านมา +5

    Kaka kwenye hili jipange haupo sawa kabisa,hapa upo upande hujeng,angalia heshima kubwa baada ya uchaguzi huu mdogo,

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา +1

      ..acha maneno yenu ya kipumbavu, kila kitu kimewekwa wazi, lisu anaaminije mtu ambae mama yake anawashambulia?

  • @TitusSongoro-ww3bo
    @TitusSongoro-ww3bo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana mkubwa mi huwa na kuelewa sana, hasa unapo dadavua mambo ya kanisa,
    Mfano ulivyo wahi dadavua swala la Father nkwera,
    Kwahili la uchaguzi wa chadema, uko upande wa mbowe na litapunguza wafuasi wako.
    Na kwa nini mbowe atawale milele.

  • @ericknganzi398
    @ericknganzi398 วันที่ผ่านมา +1

    Chawa wa Mbowe wewe 😂, Mhariri wa magazeti ya Mbowe.

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus5990 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mkuu tunajua ungekua mjumbe kura yako ingeenda kwa Mbowe

  • @noussommecapable7570
    @noussommecapable7570 2 วันที่ผ่านมา +4

    Tumeisha kuelewa, wewe ni mtu wa mbowe, tafuta chawa mkichwa cha lisu hauwezi kupata izo ;

  • @ip_header
    @ip_header 2 วันที่ผ่านมา +4

    Kimsingi umejenga hoja vzr, ingawaje wewe pia umesha chagua upande wako, kwahiyo hoja zako nyingi ni dhidi ya mpinzani wa unaemtaka ongoze CDM

  • @SangioNgoo
    @SangioNgoo 3 วันที่ผ่านมา +5

    Du, jamaa wewe umepoteza direction kabisa. Naondoka kwenye channel yako. Nime-unsubcribe

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Ulivyoingia ulitangaza? Sepa huko koko wewe!

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo ndugu yetu ngurumo uchambuzi wako umedunda acha miamba iparulane wenye masikio na macho tufaidi sinema ya bure

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 วันที่ผ่านมา +3

    Chawa wa Mbowe katika ubora wake

  • @rastheunique
    @rastheunique วันที่ผ่านมา +1

    Hivi ngurumo TUNDU Lissu yuko peupe sana kujibu maswali yoyote unayotaka kujua!! Kwanini hutaki kuona umuhimu wa kumuuliza kwanini hakufanya kama ambavyo ungetaka afanye!! Swali langu kwanini hutaki kumface Tundu Lissu face to face umuulize!! Chambuzi zako hizi Zina mashaka sana!! Sasa unawatetea watesi 😢

  • @MassoudMaghwaly-jo8sh
    @MassoudMaghwaly-jo8sh 2 วันที่ผ่านมา +7

    Usipotoshe
    Abdul hakunda ili kusaidia lisu apate pesa zake. Alienda ili kusaidia hali ya lisu kupata gari nzuri. Hapo ndio lisu akakataa kua hataki pesa za Abdul.
    Km abdul anataka kusaidia bas asaidie upatikanaji w haki ya lisu ( mafao). Na sio msaada w pesa zake mfukini. Lisu amekataa pesa z Abdul from his pocket.

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa nini lisu hakusema wakati huo huo..lini Abdul akawa rafiki, lini usalama wa taifa wageuke kumsaidia lisu..?

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 2 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@merumount5988Acheni uchawa! Tundulissu yuko wazi sana anaongea kila kitu wazi acheni kupotosha! Ukiona mtu hajamwelewa Tundulissu basi kwenye afya ya akili kuna changamoto!

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      @usembiphonedar5632 suala si uwazi, kwa nini anaamini kwanza kukutana na kusaidiwa na mtu ambaye anafahamu fika hawezi kuwa anawatakia mema yeye Lisu na chama chake, pili, anaanzia wapi kuamini maneno yake..tatu, alishindwa nini kutumia nafasibyake km makamu mwenyekiti kuraise hizo tuhuma aliambiwa za wenzake kuhongwa, yeye ni mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya chama..unaona dhamira njema hapo?

  • @simbozconsultancy
    @simbozconsultancy 2 วันที่ผ่านมา +4

    Kiongoozi huu mfupa huuwezi umeshindwa kujenga hoja Kabisa umekuwa dhaifu tunajua mgongano wa kimaslahi ya. Wazi

  • @mathiasmavanza605
    @mathiasmavanza605 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi siamini kwamba Lissu anaweza kumsingizia mtu suala kubwa kama hilo. Hayo maswali yako wala hayana maana yoyote. Kutolisema mapema suala hilo linaweza kuwa na sababu nyingi sana. Nadhani hoja kwamba Abdul ni usalama wa taifa sio sahihi kabisa. Nakuona kama mpambe wa Mbowe na nia ni kum deliscredit Lissu. Wacha wajumbe wa mkutano mkuu waamue. Tutawasikia wengi walio chawa. Sisi tunamuona Lissu kama suluhisho la uhai wa chama na watanzania. Mbowe must go!!

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Toa sabab kwa nini Abdul siyo usalama wa taifa..unaruka ruka tu km juha..toa sabab ya unachopinga

  • @stevenpeter2260
    @stevenpeter2260 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ndo maana tunaonekana Watanzania wengi ni wajinga, kwa hiyo hata wewe ni wa kukata kipande cha mahojiano na kuanza kuchambua?
    Utapoteza heshima yako ukiendelea kumchafua mtu ambaye ni msafi. Chunga sana kaka

  • @AllanKajembe
    @AllanKajembe 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huwa una uchambuzi makini, ila katika hili umeboronga. Nilikupa benefit of doubt kwenye ile ya kwanza lakini hapa ume prove kwamba una upande tayari. Wewe mwenyewe ndo unaamini kuna watu hawawezi danganya, hawawezi kupotoshwa etc. Endeleeni kuua chama chenu

  • @allanyusto
    @allanyusto 2 วันที่ผ่านมา +5

    UMEONGEA KANA KWAMBA WEWE PEKE YAKO NDO MWENYE HATI MILIKI YA UKWELI WOTE WEWE PEKE YAKO😂

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 2 วันที่ผ่านมา +5

    Leo kaka umefosi sana kumkandamiza Lissu

    • @ericknganzi398
      @ericknganzi398 วันที่ผ่านมา

      Uchawa ni kazi nakwambia 😂

  • @BensonMpete
    @BensonMpete วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe dishi limecheza

  • @benny4345
    @benny4345 3 วันที่ผ่านมา +8

    Mchambuzi yuko biased! Can’t talk about Mbowe. Kwa nini?! Ni chawa wa Mbowe and we all know that!
    Ngurumo: usipotoshe! Abdul hakwenda kwa Lissu kwa ajili ya kushughulikia madai ya Lissu. Madai ya Lissu ni matokeo ya kushindikana kwa Lissu kuhongwa! Get the facts right
    Lissu amekanusha kudaiwa na Wenje!
    Wenje angesemaje kuhusu kuhongwa wakati yeye ndo alifanya udalali?! Hakuna uchambuzi hapa Ngurumo!

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s 2 วันที่ผ่านมา +4

    Acha kuwa chawa wa Mbowe

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 2 วันที่ผ่านมา +4

    Pesa za Mbowe inaonekana wanakula wengi maana wanajitokeza machawa ambao hatukutegemea

  • @amos878
    @amos878 2 วันที่ผ่านมา +4

    Wewe nawe kumbe ni kibaka🤔🤔🤔🤔

  • @kamazimakyaruz1219
    @kamazimakyaruz1219 2 วันที่ผ่านมา +6

    Yaani tunge kuwa na uwezo wakujua kinacho ongerewa na mtu kabla ya kufungua kifurushi chetu, tunge okoa mb zetu nyingi, la.

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 2 วันที่ผ่านมา +3

      Amenimalizia mb zangu bure tu huyu chawa

    • @BitaraWanjaraGondera
      @BitaraWanjaraGondera 2 วันที่ผ่านมา +2

      😅😅😅😅😅

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu wewe​@@eliajimmy95Katie huko ulikotoka..

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@eliajimmy95ujinga ulio nao utaelewa nini..

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Huna lolote.. nenda kahongwe na hao ccm wajinga wenzio

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 2 วันที่ผ่านมา +4

    Sijamaliza hii video. Na sitakaa nikusikilize tena

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Kaambie waliokutuma..

  • @hamisimweta4505
    @hamisimweta4505 2 วันที่ผ่านมา +5

    Leo ndio nimeachana na ww kumbe ww ni mnafiki mkubwa

    • @tanzanianakupenda
      @tanzanianakupenda วันที่ผ่านมา

      Siku zote huyu ni bias. Hana jipya

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale 3 วันที่ผ่านมา +11

    Mzee mbona mnageuzageuza maneno mtu mzima wee nyie ndio wachonganishi wa tundu lisu na mbowe acha uongo wako

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 วันที่ผ่านมา +1

    Siku hizi sikuelewi

  • @artsonkimath2917
    @artsonkimath2917 3 วันที่ผ่านมา +14

    Kwa hiyo mtu akimuunga Mbowe mkono hafai.......ila anayemuunga mkono Lisu anafaa.......acheni ujinga....box la kura litaamuwa

    • @jamesrobare522
      @jamesrobare522 2 วันที่ผ่านมา +3

      Chawa Lisu jiandae kisaikolojia kushindwa tena na tena tukutane kwenye sanduku la kura litaamua jiandae kisaikolojia lkn 🏃🏃🏃

    • @melch3097
      @melch3097 2 วันที่ผ่านมา +3

      Tena bila kuangalia kazi aliyoifanya chadema, ukweli kama huna pesa bongo huwezi kuendesha chama bongo, tundu alikua wakawaida chadema ikampandisha baada yakupata matatizo sasa anainyea

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 2 วันที่ผ่านมา

      Ashinde Mbowe au Lissu, haibadilishi hali halisi. Msigombane. Yeyote atakayekuja, Mama ana mitano tena. Baaas!

    • @tanzanianakupenda
      @tanzanianakupenda วันที่ผ่านมา

      Ukiwa mwandishi professional basi kuunga watu mikono na kuwapinga wengine kwenye makala zako inakua ni usanii na uchawa sio journalism tena

  • @tam5262
    @tam5262 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hii analysis inanikumbusha msemo "mchamba sana hutoa mavi" .....
    Kwa kitu literally almost black and white

  • @noussommecapable7570
    @noussommecapable7570 2 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ndo ulisema , kama ulimuambia Lisu asigombeye , jee hautaweza kufurahi lissu kugombea, muongo wewe

  • @PaschalKiteaKitea
    @PaschalKiteaKitea วันที่ผ่านมา

    Tafakari nzuri sana hii mkuu tumia nafasi yako kumshauli Lisu awe makini

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 2 วันที่ผ่านมา +3

    MASWALI YAKO Hayana msingi wowote,wewe na wenje ni chawa wa MBOWE UNATUMIKA SANA HUWEZI KUJA LEO.ULISHASEMA PERSONAL ISSUE AMBAYO.CHAMACDM KILIWAHI KUIDAI SERIKALI PESA ZA LISSU?JITIHADA BINAFSI

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 2 วันที่ผ่านมา +6

    CCM na timu nzima wana mkono wao hapo sio bure

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 วันที่ผ่านมา +1

    We nawe siku hiz huna jipya

  • @oseamkama
    @oseamkama 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee unatupiga chenga ya mwili.. afu inavyo inavyo onesha ww upo upande wa mbewe

  • @AllyOmari-qk8uh
    @AllyOmari-qk8uh 2 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mdogowangu, wambie hao wasio kuwa nauwezo wafuutilia jambo kwaundani sasa baadhi watakuelewa.
    Weanye akili yadebe tobo wata gongomoka nakubaki toboro.

  • @madyuza4978
    @madyuza4978 วันที่ผ่านมา +1

    Halooo!!!
    Mzee nilikua nakuheshim sana na ninafuatilia uchambuzi wako ,, ila this time umekua km matapishi thamani yako umeishusha Kwa speed sana mzee,,, mbona kila kitu kipo wazi!!??? Mara zote tunakuja hapa kuskiliza uchambuzi wako,, ila Kwa hii umeyakanyaga mzee

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 วันที่ผ่านมา +1

    Leo umelewa gongo lamavi kakojoe ulale hautamuweza lisu huyo ni mbeba maono😊

  • @RevocatusKitambi
    @RevocatusKitambi 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ngurumo wasiliana na Mbowe na Lisu waitishe kikao cha zalula kabla UCHAGUZI kufika

    • @rastheunique
      @rastheunique วันที่ผ่านมา

      Sidhani kama uwezo huo anao!! Ukishakuwa bias, unaanza kupwaya taratinu

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ngurumo hujawa mkweli kumlinganisha Lissu na mareh. Mrema! Ukweli ukisemwa wazi, hasa kwa jambo nyeti ktk jamii yetu kama rushwa miongoni mwa viongozi, ni jambo la kupongezwa na si kubezwa kama unavyosema wewe! Ukweli ukisemwa hauwezi kuwa ndiko "KUCHAFUA VIONGOZI WENZAKE". Nahisi unajaribu kumnasua mwenyekiti Mbowe ktk tuhuma za rushwa zilizotajwa na Lissu; sidhani kama utafanikiwa kwa mazingira yaliyopo😂

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      Sikiliza uelewe..unainuka kuchamba bado unakunya..

    • @EstherSamwel-vk4wb
      @EstherSamwel-vk4wb 2 วันที่ผ่านมา

      Wewa nawe mtu katangazwa dunia nzima inajua ni gaidiii imekuajeee toka gerezani aibukie ikulu😮😮😮😮😮

    • @adenmwakalobo760
      @adenmwakalobo760 2 วันที่ผ่านมา

      Kama kweli Mbowe hahusiki na kashfa za rushwa zinazozungumzwa, kwa nini anachukizwa zaidi na Lissu aliyezisema hadharani lakini haoneshi kuchukizwa na Wenje ambaye dhahiri amekiri kujihusisha na pesa hizo chafu? Kwa nini anakaa nao wote wawili ktk vikao bila walau kuchukua hatua za kinidhamu/kimaadili dhidi ya mmoja wao au wote wawili??? Kama tunasema ccm haifai na iondoke kwa kulea ufisadi na kutowajibika, hivi mdadala wake atakuwa Mbowe na wenzake wanaotaka ufisadi unaosikika ndani ya chama chao na kati yao uwe SIRI YA VIKAO VYAO??? Nonsense! Rasilimali zinazofujwa ni za nchi, iwe zinamnufaisha Mbowe na wenzake ktk CDM au walioko CCM au kwingineko! Haitoshi kwa Mbowe kutuambia yeye ni mfanyabiashara si mbangaizaji, kwani twajua sote wahujumu na wapokea hongo wakubwa si wabangaizaji!!! Nahisi Mbowe na wenzake kadhaa ktk Chadema wamechafuka kwa uamuzi wao wa kutumia upinzani kama njia yao ya mkato ya kujipatia pesa kutoka kwa walioko madarakani! HAYUPO ALIYEWACHAFUA BALI WAO WENYEWE NI WACHAFU! Vinginevyo waiweke hadharani video ya kikao chao juu ya suala hili (inayosemekana wanayo) ili ukweli wote uwe bayana kwa umma-wachafu na wasiohusika wajulikane! Ni hatari kukaa na watu wakijidai wapinzani kumbe madalali watafuta pesa za mkato!

    • @adenmwakalobo760
      @adenmwakalobo760 2 วันที่ผ่านมา

      Merumount5988 mbwa koko weye huna chakula chako! Chawa mkubwa!! Nimemaliza kunya njoo ule😂

  • @nickmpanzi
    @nickmpanzi 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwenyehuo mfanowako wakwamba mtoto wa adui yake kajakwake akamwambia hua anachepuka na mke wake, ilipasa usemepia wakati akimwambia hayo alikuwepo ndugu yake anayemwamini sana na alidhibitisha nikweli huyu mkewe(shemeji) anachepuka.

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 วันที่ผ่านมา

    Broo yupo sawa sana

  • @jamesndora3263
    @jamesndora3263 2 วันที่ผ่านมา +3

    Aliyemleta Abdul Nyumbani kwa Lissu yupo na Mbowe Sasa kwenye kambeni zake, Wenje mwenyewe alisema anayajuwa yote, Mbona kaka, Mbona hatuchambuwi Wenje kuwa daraja la kupeleka Usalama kwa Mwana-chama mwenzao?? Wakati tunahoji kuhusu Lissu, tuangalie upande wa pili kwani kiunganishi ni Mwana-chama mwaandamizi tena ni Chawa wa Mbowe.

    • @merumount5988
      @merumount5988 2 วันที่ผ่านมา

      ..anakubalije lisu kuletewa adui nyumbn kwake..kwan wenje alimshikia akili na utashi wa kukataa?

  • @YustoJohnfas
    @YustoJohnfas วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa nilikuwa naamini anachofanya ila tangu aanze kumtag Lissu ....nimeelewa kabisa kumbe naye kibaraka tu ama anatumika na serikali au kambi ya Mbowe kabisa.

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 3 วันที่ผ่านมา +2

    You always bless me

    • @rastheunique
      @rastheunique วันที่ผ่านมา +1

      But Money killed Jesus on the cross ❌

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 2 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu anataka haki, kama unakumbuka lisu alisema hela yangu hata wasiponipa wajukuu wangu au watoto wangu watakuja kudai,anaamini sheliya Yuko vizuli tumuelew lisuu